Kagera Sugar 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 29/08/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 288

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 2 месяца назад +3

    Yeah two goals, three points... thanks God. 🏆💛🏆💛

  • @BimamuosmanOsman
    @BimamuosmanOsman 2 месяца назад +2

    Alhamdulillah nashukuru Mungu.. wachezaji wetu nawapenda sana wallahi mauwa yenu hayo mchukue🎉🎉🎉🎉🎉 I Love yanga ❤❤❤❤❤ God bless our team and all the players mubarikiwe sana kwa bidding yenu..l love my team yanga nyi hamuogopi ....

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 месяца назад +3

    Alihamdulillah kikubwa point 3

  • @novatusaloyce
    @novatusaloyce 2 месяца назад +7

    Nimeipenda passion ya yanga baada ya dube kukosa goli wamemfuata nakumuambia usijilaumi bdo unaweza

    • @ArkamHamad
      @ArkamHamad 2 месяца назад

      Uliwaskia😂😂😂

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 2 месяца назад +6

    Mzize ni mpambanaji sana,

  • @rehemarehema7475
    @rehemarehema7475 2 месяца назад +1

    Yanga juuu zaindi sana tukopamoja nawapenda sana❤❤🎉

  • @hoithamacha1503
    @hoithamacha1503 2 месяца назад +5

    Hongerani sana yanga

  • @LAFAELYPATA
    @LAFAELYPATA 2 месяца назад +1

    Naipenda yanga

  • @daggerslick
    @daggerslick 2 месяца назад +4

    Saiv tulikuw tunaongelea 5g anyway muhimu point tatu yanga bingwaaa💚💛🔥

  • @ZuhuraTwaha-u5n
    @ZuhuraTwaha-u5n 2 месяца назад +3

    Sio matarajio yetu yamagor 2 tulitegemea 5 Leo, ila tunashukulu tumeondoka n point 3 💛💛💛

  • @KhamisAli-o9r
    @KhamisAli-o9r 2 месяца назад +2

    Uwanja ni mzuri ❤

  • @anzurunianzuruni-h3s
    @anzurunianzuruni-h3s 2 месяца назад +3

    kweli mzize ni traika namba1 ligi ya tanzania kwa sasa. muchi respect mzize anataka kubisha na abishe nimemaliza

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 месяца назад +3

    Kagera wagum mno yanga wamepambana mno💚💚💚🖤💛

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 месяца назад

      hapana tumepoteza nafasi nyingi sana za wazi, timu inayoitwa ngumu ni ile inayozuia wewe kutengeneza nafasi,

  • @ZenaIbrahim-c5d
    @ZenaIbrahim-c5d 2 месяца назад +2

    Yanga kazi nzuri

  • @joachimsironga1560
    @joachimsironga1560 2 месяца назад +1

    Mzize ni fire 🔥 😍

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 2 месяца назад +1

    Asante. Sana. Mungu. Wetu. Wa. Mbinguni. Muumba. Ardhi. Na. Mbingu. Mungu. Baba. Umetujibu. Maombi. Yetu. Kwani. Ushindi. Ni. Ushindi. Tu. Kwa. Uwanja. Wa. Kaitaba. Ni. Kumushukuru. Sana. Muumba. Wetu. Amina

  • @marwa_chacha
    @marwa_chacha 2 месяца назад +1

    Mzize is turning into a beast in front of goal.....I guess the coming of Dube has made Mzize up his game....

  • @jacksonnyoni1978
    @jacksonnyoni1978 2 месяца назад +62

    Tumezoea magoli mengimengi aya mawili kama atuhashinda 😂😂

  • @AmaniMasingot
    @AmaniMasingot 2 месяца назад +8

    jaman mashabiki tuwe watu mpila ebu tuwe tunarizika na ushindi wowt kikubwa haijapoteza na point 3 mkononi sasa mnataka yanga awafanyie nn il mlizike? kiukwer inanishangaza kwakuraumu!!!!!!!!

    • @hamooummar7298
      @hamooummar7298 2 месяца назад

      Umeongea point, ss kama bao zmeptkana mbili na point tumepata tatu kma ipaswavyo, tunafaa kjua c Kila mechi tutapata mabao mengi kama mnavyotka, ikitokea timu imeingia kwenye mfumo atakula tano mashabik mfurahi zaidi, ila huu pia n ushindi wanachi tuwe wamoja ndo kwanza tumeanza🎉

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 2 месяца назад +3

    Mzize bonge la mchezaji

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 2 месяца назад +3

    KAgera wanatukaziagaa sana bukobaa

  • @tumwitikemanda7601
    @tumwitikemanda7601 2 месяца назад +4

    Kagera sikuzote pagumu tumshukuru mungu kwa ushindi

  • @bahatizakalia909
    @bahatizakalia909 2 месяца назад +4

    Nimesikitika sana yanga kushinda goli mbili yan kama tumefungwa

  • @AmidaMangota
    @AmidaMangota 2 месяца назад +3

    Kikubwa point 3

  • @francisjames3785
    @francisjames3785 2 месяца назад +2

    Like za Mzize Hizi hapa😂
    Persistence
    Positioning
    Finishing

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 2 месяца назад +2

    Tumeshinda lakin hatuna furaha 😂😂😂 goal 2 kweli yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💚💛💪

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 2 месяца назад +6

    Yanga alipoteza nafasi nyingi alikua na uwezo wa kushinda hata 5

  • @nasonchisota6241
    @nasonchisota6241 2 месяца назад +3

    Clear chances wamepoteza yanga, imeniuma sana

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 месяца назад +1

      Sio kila chances lazima yawe magoli!

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад

      Bado hujasema na utasema😂😂😂

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf 2 месяца назад +3

    Ushindi ni Ushindi tu hata gori 1 like za mzize ndonizi hapa 😂😂😂😂

  • @williamsilvester5220
    @williamsilvester5220 2 месяца назад +1

    Mzize clement

  • @TwahirAbdalla-j1e
    @TwahirAbdalla-j1e 2 месяца назад +5

    Dube leo hana bahati😢

  • @husnmjuba4978
    @husnmjuba4978 2 месяца назад +1

    🙀🙆🏿‍♂️Huyu mzizee au jiini shkamoo mzize!

  • @MagdalineMambo
    @MagdalineMambo 2 месяца назад +1

    Asanteni wanangu kwa kazi nzuri mliyofanya, Mwenyezi Mungu uwabariki sana. Kagera suger kuwa wanapenda sana kupania yanga, Uchawi wao wanaoufanya dhidi ya Yanga umewarudia wenyewe.Thank you god for your protect my team Younger African, Amen Amen🎉❤❤❤❤

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 2 месяца назад +12

    Azam naa nyie ifike kipindi muche ushamba TUWEKEEN LIVE RUclips ISIYO NA MASHARITI BHNA KWANI SI TUNATUMIA MB ZETU NANYIE MNAPATA FAIDA YA VIEWER AU🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @Shebe_traLove
      @Shebe_traLove 2 месяца назад

      Kbs uko sahihi sijuwi kwa nini wako ivo chinchii za Waarabu wana weka live you tube

    • @TheGreatPerson1
      @TheGreatPerson1 2 месяца назад

      Nafikiri Wako kibiashara zaidi kwani wakifanya hivyo itaathiri soko lao la visimbuzi bro

    • @Almas120
      @Almas120 2 месяца назад +1

      Ni biashara kuna azam max online mnaweza angalia huko

    • @SamDevo-wy1cx
      @SamDevo-wy1cx 2 месяца назад

      Hap nakubar uko sahihi

    • @Tee-King
      @Tee-King 2 месяца назад

      Maisha ayako hvyo ligi inalipiwa kuuza matangazo na azam na sio RUclips ulisha ona wap dunian mpira live unaonyeshwa RUclips. Watu watalipaje ving'amuz labda ingekuwa ni mpira uzaminiwe na serikali.

  • @qflavreeds
    @qflavreeds 2 месяца назад +8

    Any South African here watching 👀?

    • @jabu7338
      @jabu7338 2 месяца назад

      Mfethu Clement Mzize and Pacome ZouZou yho😮😮Top players

  • @yuppiesherman5213
    @yuppiesherman5213 2 месяца назад +1

    Mzize is the best player

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 2 месяца назад +3

    Kweli uchawi upo kwenye mpira, sio kwa kukosa huku kwa Dube.😂

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 2 месяца назад

      Kwani alipokuwa Azam ilikuwaje, si hivyo hivyo.

  • @hansimwamwezi3717
    @hansimwamwezi3717 2 месяца назад +3

    Hi mechi ilikuwa ya kushinda goli 7 mmezingua sana

    • @jamesmartin7026
      @jamesmartin7026 2 месяца назад

      Kipa wao ni man of the match. Aliwaokoa sana

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 2 месяца назад +1

    Mzize niliwa kusema ya kua ukiweza kutumia nafasi tu hakuna kwa sasa mshambuliaji Africa nzima anaweza akakusogelea ni hilo tu nafasi Tatu mbili tumia utakuja kuona jiweke busy kwenye ufungaji na sasa unaona ulivokua hutupi nafasi safi sana mwana

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 2 месяца назад +3

    Mzinze kaliamsha dude ana mwambia dube ubaya ubwela

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah 2 месяца назад +2

    Wananchiiii 💚💛💚💛💚

  • @ishengomankoko8292
    @ishengomankoko8292 2 месяца назад +3

    Mzize ni mtu na nusu aisee

  • @UmmyMsafiri
    @UmmyMsafiri 2 месяца назад +4

    Kila kitu ni riziki tuwaombee wasipoteze mechi badi

  • @AishaNajib-n1f
    @AishaNajib-n1f 2 месяца назад +3

    Kagera hongera watitegemea watafunga 6 lakin kimewalamba kwa mbili

    • @GracieTyno
      @GracieTyno 2 месяца назад

      Kwahiyo unawaonea wivu wenzio kupigwa tano kama wewe😂😂😂😂

  • @pettermollel2531
    @pettermollel2531 2 месяца назад

    Mzize ❤ on 🔥

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 2 месяца назад +3

    Mmmmh huyu Dube Leo kawa debe tupu sio kwa kukosa nafasi za wazi hivi harafu 3 zote daaah

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 2 месяца назад +3

    Kwa wana kigoma mwijaku atuhambiye muyo bozi iko wapi

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 месяца назад +1

    Mimi nimeona wamecheza vizuri sana wote. Ila Dube kidooogo leo katuangusha. Inabidi azidi kutulia.

  • @juster5478
    @juster5478 2 месяца назад +4

    Amjui izi timu ndogo zinavotupaniaga sasa cha msingi tuna point 3mkononi

  • @NuruChristopher-z1w
    @NuruChristopher-z1w 2 месяца назад

    Mashabiki wa yanga tuwe tunaridhika,tulichokua tunahitaji zaidi ni point 3,intosha,hongereni wachezaji na mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya kushinda mechi zinazofuata 9:26 9:26

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 2 месяца назад +4

    Mzize nimeanza kumuelewa

  • @Mathamayaka
    @Mathamayaka 2 месяца назад +4

    Magori mengi tutapata mechi zingine tukumbuke kiwanja Cha Kagera kigumu Sana tushukuru tumepata point tatu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 2 месяца назад +2

      Halafu tungewafunga 8 MAKOLO wangesema tumenunua

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 месяца назад +1

      Team la makolo bovu.. kuna kolo anasema kagera wamedhaminiwa na GSM@@ismailmasoud6001

  • @sakuvedoh_3696
    @sakuvedoh_3696 2 месяца назад +1

    Wamaliziaji shida.. first half...

  • @davidweston2352
    @davidweston2352 2 месяца назад +4

    Simba kutoka kileleni mtasubiri sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 2 месяца назад +2

    Leo yanga chini ya kiwango

  • @harunichambo4658
    @harunichambo4658 2 месяца назад +5

    Wakwanza apaaah likes za kutosha tafadhali😂😂 kwaniaba ya super sub Mzizeeeeee😂😂😂

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 месяца назад +2

    Aziz na dube Leo hawakua vizuri kiviile tulivyowazoea ila alhamudulilah tumeokota point 3 hivi asisit ya goli la max ni ya pacome ama naona vibaya??

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 месяца назад

      Si kweli Ki aziz amekuwa bora sema yale magoal aliiokosa pakome ,dube three goals ndio shida

  • @klinsmann7627
    @klinsmann7627 2 месяца назад +4

    Ila sioni shida na dube ....zote shot on target

    • @pappilonfar
      @pappilonfar 2 месяца назад

      Yes kwel kbs n bahat mbaya tu ya game moj moj

  • @BilaliBilaliamri
    @BilaliBilaliamri 2 месяца назад +2

    Namba 6 imetuangushag sana aucho leo amezidiwa kwa kiwango kikubwa mno, yaan ameshindwa kuchezesha team hata ile sab ya mudathir ilifanyika kimakosa aloetakiwa kutoka ni aucho, ilitakiwa aingie abuya au aziz andambwile,

  • @AlexMbena-z8s
    @AlexMbena-z8s 2 месяца назад +1

    Sema Azam tv kidgo mke zoom camera .naona iko mbli kidgo

  • @luganopondo1763
    @luganopondo1763 2 месяца назад +2

    Best player maxi nzengel

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 месяца назад +3

    Nimeamn uchaw upo sy kwa magoli hayo yaliyokoswa😂😂

    • @Prince7850.
      @Prince7850. 2 месяца назад

      Kwa yanga mnasema uchawi kwa simba mnasema timu mbovu

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 месяца назад +3

    Sijafurahiwa na matikeo kabisa, maan kushinda kwetu goal 2 ni mambo ambayo sijazoey Mimi

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 2 месяца назад

      syo kla mara nkushnda t kna mda walfeli

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 2 месяца назад

      Kafunge ww uwanjani kwako kama hujafurahia ww kufikisha mbili mpk mchuzi wa pweza unaanzaje kusema hvy?😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад

      😂😂😂😂bd hujasema asaa na utasema

  • @LAFAELYPATA
    @LAFAELYPATA 2 месяца назад

    Yanga juuu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 месяца назад +2

    Kweli Mpira sio NYAU, Yaani tumekosa goli 8 za wazi..duh

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 2 месяца назад +2

    Kagera wamekuwa na zali tuu zilikuwa kamba kama 5 au 6 hivi

  • @subiramussa1428
    @subiramussa1428 2 месяца назад +2

    Leo kama tumefungwa😢

  • @SaidiJuma-u5r
    @SaidiJuma-u5r Месяц назад

    Mazee yanyukooo mbwaww mazee mwenyewe

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 месяца назад +2

    Hawana furaha

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 2 месяца назад +2

    Da aisee dube magoli aliyokosa Leo ni balaa

    • @jamesmartin7026
      @jamesmartin7026 2 месяца назад

      Kakosa lakini kipa wao alicheza vizuri sana. Goli 2 si haba

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 2 месяца назад +1

    Yanga kichwa kila wakat

  • @danken4153
    @danken4153 2 месяца назад +5

    uyu dube arudi Azam

    • @SimoniEdwadi
      @SimoniEdwadi 2 месяца назад

      Watakiwa umsifie kipi nasio kumlaumu debe

    • @SimoniEdwadi
      @SimoniEdwadi 2 месяца назад

      Kipa amefanya kazi yak

  • @ahmedsalehe9489
    @ahmedsalehe9489 2 месяца назад

    Yanga iliuza mechi kwenye kampuni ya kubeti ya Sport bet na Betpawa. Na kuoa fixed odd 0-2.

  • @Abuu-gs1yi
    @Abuu-gs1yi 2 месяца назад

    Matokeo ni mazuri sana maana hata mechi ya mwisho hapo Kaitaba tulitoka sare

  • @LevoBadiboyBernard
    @LevoBadiboyBernard 2 месяца назад +4

    We huogopi

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 месяца назад +1

    Hongera kabombe ---- Hata hivyo,natamani kujua utaratibu wa nani atangaze mechi gani --- Huwa mnaomba au mnapangiwa? Kama mnapangiwa, kuna uhusiano gani na wewe kutangaza mechi nyingi za Yanga na Mpenja kutangaza za Simba " mnatuboa "

  • @MauBonde
    @MauBonde Месяц назад

    Mzize aendelee kukaza njumu namuona mbali kwa waarabu simshauri hela atapata ila mpira ndio unakua mwisho ,timu za wamanga fitna nyingi hela utapewa.

  • @NickolasNkeza
    @NickolasNkeza 2 месяца назад +3

    Mimi huyu mtangazaji simpendi akitangaza mech huwa haiwi na magoli mengi anagundu

  • @gidionkitaula6184
    @gidionkitaula6184 2 месяца назад

    ligi yetu inakuwa sana

  • @jellysazaina8491
    @jellysazaina8491 2 месяца назад +2

    Kiwango ndo mwisho apo usishangae ndug yetu

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 месяца назад +1

    Leo dube hatrick angeondoka nayo kocha akae nae nikama kiwewe Cha kutaka kufunga Kila muda imeanza kumuingia akiwa hivi atajitafutia tu presha😢😢

  • @YohanaMwàkifuna
    @YohanaMwàkifuna 2 месяца назад +2

    Dule leo katuua maana atujamzoea ivo

  • @SiloohMirro55
    @SiloohMirro55 2 месяца назад

    Pascal kabombe ajisemea yeye tu.. DAKIKA ZA JIOOOOOOOOOOOOOOONNNIIII😄😄😄 huna baya Kaka (Under17 wa kudumu) 👏👏👏
    #azamtvmiaka10Damdam.

  • @WellnessJosephatMakusanya
    @WellnessJosephatMakusanya 2 месяца назад +1

    Kwa nini simba amehangaika kutafuta wa kucheza nae mechi ya kirafiki hadi Sudan hakuwaona Yanga au ndio kutafuta mnyonge hata hivo kashindwa kupata matokeo

  • @IsayaKesseni
    @IsayaKesseni 2 месяца назад +1

    Kachomekeaa na mwiko tena😂😂

  • @pascalkalima7541
    @pascalkalima7541 2 месяца назад +1

    Walikania Sugar na Wananchi walichukulia rahisi. Ni kupiga kama unaua!!

  • @mmewaswida
    @mmewaswida 2 месяца назад +1

    Kweli. Wamekosa goli nyingi

  • @BazirBernard
    @BazirBernard 2 месяца назад +1

    Tulizoea Kono la nyani sawa mawili kama atujafunga

  • @SalimuomaryMashaka
    @SalimuomaryMashaka 2 месяца назад +5

    Kama ww ni mwananchi pigs makofi na likes nyingi hapa

  • @mkariwanyota5222
    @mkariwanyota5222 2 месяца назад

    👊👊👊👊👊👊👍👍👍

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 2 месяца назад +1

    Yanga hii utaifungaje😅😅

  • @Masengo-su3mf
    @Masengo-su3mf 2 месяца назад +1

    Kwaki onekana mzize ana pendwa nawa congomani ata maye na mijisifa alihwahi mpenda

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 месяца назад +2

    Ilikuwa suala la muda tu hatimaye wamekaa

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 месяца назад +7

    UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA TIMU NYIE

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 2 месяца назад +1

      YAANI MAVI MATUPU

    • @Mobmob2013
      @Mobmob2013 2 месяца назад +1

      Kolo Kama kolo unateseka Ukiwa wapi? Kila mtu ashinde match zake

    • @latifamangula6798
      @latifamangula6798 2 месяца назад

      Tafuta yako iliokuwa nzuri pambana na hal yako

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 2 месяца назад

      @@salamSalehhhhh Leo kagera alikua na bahati ya mpra kipind cha kwanza tu angefungwa goli zaidi ya nne

    • @GIRIKIARSENAL
      @GIRIKIARSENAL 2 месяца назад

      Mmeshindwaje ngao ya jamii?

  • @leomika8473
    @leomika8473 2 месяца назад +1

    Chama Ana jipya

  • @soudyruge-fi9xv
    @soudyruge-fi9xv 2 месяца назад +3

    Hii yanga inanifanya nisahau kutafuta hata mpenzi

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 2 месяца назад +1

      Wameshinda lakini hawana furaha timu imecheza hovyo semeni ukweli

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 2 месяца назад

      ​@@MchungajiNzelanina nyiye kagera c ndo huwa mnafungwa nae

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 2 месяца назад

      @@MchungajiNzelani tunakosa furaha kwa kuwa wamekosa magoli mengi sio wamecheza vibaya

  • @Java-king255
    @Java-king255 2 месяца назад +1

    Dakika za Jiooooooooooooooooooooon😅😅

  • @ZenaIbrahim-c5d
    @ZenaIbrahim-c5d 2 месяца назад +3

    Yanga najua apo ni 5

  • @OmaryAbdallah-f1s
    @OmaryAbdallah-f1s 2 месяца назад +1

    Wamezingua mda ule, yan kat walikuwa awapiti, daah tulishikwa

  • @erickmsaki9383
    @erickmsaki9383 2 месяца назад +3

    Dk za jioooooooooooooooooooooooooooooooooooooni