Highlights | Simba 1-0 Yanga | ASFC Final 25/07/2021

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Goli pekee la Taddeo Lwanga limeipa Simba ubingwa wa pili mfululizo kwenye wa michuano ya Azam Sports Federation Cup kwa kuwachapa watani wao wa jadi, Yanga bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Комментарии • 693