DR CONGO AMANI YA NCHI YAO NI JUKUMU LAO KUMALIZA TOFAUTI ZA NDANI YA NCHI YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • WAKOLONI walioitawala AFRIKA HAWAPENDI AFRIKA IWE NA AMANI YA KUDUMU YA AFRIKA. AMANI YA KUDUMU YA AFRIKA MAANA YAKE WAKOLONI HAWAWEZI KULINYONYA BARA HILO TENA.
    #mwalimugoogletv
    #elimikausiwemsomi

Комментарии • 47

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 9 часов назад +1

    Good news Asante thanks you I'm from Burundi 🇧🇮 Lives in cape Town 👏 ❤❤❤💪💪🫶

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 18 часов назад +5

    Mungu amlinde TRAORE

  • @AsumaniOmari-o7p
    @AsumaniOmari-o7p 13 часов назад +2

    Mzee huyu anahifahamu hali halisi ya siasa za Congo. Huo ni ukweli mtupu. Ongera sana mzee wangu!

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 18 часов назад +6

    Ndio maana traore ajakuja Tanzania kwasababu Tanzania ni masinichi

  • @JulesAyameda
    @JulesAyameda 8 часов назад

    Aah kweli kabisa 😂😂😂

  • @Jehhus_06
    @Jehhus_06 17 часов назад

    Thank uuuu

  • @AllyRahisi
    @AllyRahisi 19 часов назад +2

    Uko vizur sana mwalimu wetu

  • @akilikarafura6791
    @akilikarafura6791 15 часов назад

    Iyo ni kweli kabisa.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 18 часов назад +1

    UKO SAHII KABISA MWALIMU,

  • @bodiSwaibu-p9s
    @bodiSwaibu-p9s 18 часов назад +2

    TANGAZO
    mim nafanya usafi kwenye nyumba napalilia majani nakata majani nassfisha uwanja utakavyo karibu

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 9 часов назад

    Mbona tshekedi ni kama nilimuona eti??

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 17 часов назад

    Bro nimeongea haya mambo siku 3 congo kugawanyika. Bro. Umecheki kwenye crystal ball anyway take care ya self

  • @BensonTegambwageDecordesign
    @BensonTegambwageDecordesign 11 часов назад

    Kwa nini waafrika bado tunabeba lugha za mabara ya watu wakati tunaweza kuongea lugha zetu na tukaelewana kwani nani hapo hajui kiswahili katika hao walioudhuria mkutano???

  • @AbasiNazo
    @AbasiNazo 16 часов назад

    Je mwenye ataitisha hicho kikao hayupo

  • @JumaAjali-u5f
    @JumaAjali-u5f 17 часов назад

    Siusishi dini apa lakini Uislamu nimeuelewa kiukweli

  • @AbasiNazo
    @AbasiNazo 16 часов назад

    Sasa kikao cha wacongo kukaa chini i watafute suluisho kinasubili nini hadi watu wafe sana

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 14 часов назад

    Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote

  • @jawabyamungukwibe9743
    @jawabyamungukwibe9743 10 часов назад

    Tatizo ww hunahogeatuu haawezikwelewa shinda yacongo nauliza ww hunawaza wacongomani wameshindwa huliza hudanani joohutajuwa shinda yacongo tx

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 18 часов назад

    Ote wezi awa ote wachochezi awa

  • @JumaAjali-u5f
    @JumaAjali-u5f 17 часов назад +1

    Uko sawa
    Wakongo wasipo guswa na huruma wa watu wao na uzakendo hayatokwishwa.
    Maana watawala na waasi wote wanatumika

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 14 часов назад

    Ndungu mimi naona kama maigizo tu kwa viondozi wangu wa African kwa kikao hicho ndugu mwenyezi MUNGU azidi kua pamoja nawe

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 16 часов назад

    Siasa za ZANZIBAR umesahau... Emeka Anyauku unamkumbuka??? alikuja kusuluhisha....

  • @zuzubonye5243
    @zuzubonye5243 19 часов назад

    Ww jamaa unaakir sana

  • @hassanmlawa-o6s
    @hassanmlawa-o6s 18 часов назад +1

    Tatzo la congo mpaka vijana wa kiume wanapaka mkorogo

    • @Jehhus_06
      @Jehhus_06 17 часов назад

      Paka na wewe

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 17 часов назад

      ​@@Jehhus_06true wajinga sana baada ya kuungana wanaleta ufala

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 9 часов назад

      😂😅😂

  • @abimohammed7473
    @abimohammed7473 18 часов назад

    Kunakaz kubwa kuwafany wa congo wawe kitu kimoja

  • @Fredymwanzo
    @Fredymwanzo 18 часов назад

    kwani wafrica watakuja wanishi kwa ichi kidongo kidongo

  • @SADICKDABALY
    @SADICKDABALY 19 часов назад

    Wa kwanza leooo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 часов назад

    Kum b e ni ujinga tu.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 часов назад

    Sudan ya kusini ina mafuta kibao

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 часов назад

    Wakongo i n abidi kuelewa n a kati yao

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 17 часов назад

      Akili Gani hiyo mwehu

  • @KiyovuHumure
    @KiyovuHumure 17 часов назад

    Nakushkuru sana mwalim, ila nakuomba unisaidie kwa hili, unasema wacongo wenyewe, je wewe unakubali m23 ipo? Na kama wapo nao ni wacongo? Ama kweli ni Rwanda wanao pigana Congo? Tafadhali tupe mwanga.

    • @mwalimugoogletv3738
      @mwalimugoogletv3738  16 часов назад

      Wahaya ni waganda WANAOishi Tanzania na kufuata Sheria za Tanzania JE unaamiilo

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 15 часов назад

      M23 ni wakongomani jiulize wamakonde ni watanzania au siyo watanzania ukipata hilo jibu utajua m23 ni wakongo au siyo wakongo

    • @alaminramadhan7241
      @alaminramadhan7241 15 часов назад

      Wakongo na wanyarwanda wote ni sawa hivyo mnatakiwa muishi kwa amani maendeleo yasiishie kanda ya maghrib yaje hadi kanda ya masharik

  • @amosbigirimana5469
    @amosbigirimana5469 16 часов назад

    Uyo naye Kuja na kuanza kutukana watu umu siyo ustarabu. Wewe kama unaona uelewi acha kusikiliza. Ulazimishwi kusikiliza. Ushauri nibure kilicho baki cheza na akili zako. Siyo matusi

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 17 часов назад

    Tatua wewe Sasa mbona kelele nyingi kakojoe ulale bweha

    • @fatumajohn703
      @fatumajohn703 16 часов назад

      Josefu Swali wewe ni MSENGE nenda kwenye channel za WASENGE Toka HAPA. MKUNDU MKUBWAAA

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 18 часов назад

    Vitaya kongo ni kagame utambue rwanda haina lasilimali unaonauchumi waburundi ndivyoivyo

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 14 часов назад

    Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote