EXCLUSIVE: Utaratibu wa fedha ya TZ kutengenezwa ukoje? vipi kuhusu kuweka kiwanda

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 июл 2017
  • Kuna maswali mengi inawezekana umekuwa ukijiuliza kuhusu Utengenezaji wa fedha, utaratibu wake ukoje? usalama je? AyoTV imempata Afisa Mwandamizi Mkuu wa benki kuu ya Tanzania, Patrick Fata kwenye huu ufafanuzi

Комментарии • 45

  • @bernardmwenda5186
    @bernardmwenda5186 6 лет назад +10

    Kuna moja amesema yachapishwe mahela mengi ili vyuma vilegee, unafikiri kuwa na mahela mengi ndiyo uchumi? Ujue kuwa mahela yanavyozidi kuchapishwa mengi, na bidhaa nazo huzidi kupanda. Kukiwa na uwezekano wa kila mtu kuwa na milioni mojo mfukoni kirahisi basi ujue andazi moja litakuwa si chini ya laki nane au tisa. Sasa faida ya milioni ni nini? Cha msingi bidhaa ziongekeke kwa wingi sana hata watu wakinai kuziona. Mfano, kila mtu akiwa na gunia si chini ya tano za mahindi nyumbani mwake, basi unaweza kukuta gunia moja la mahindi linauzwa kwa shilingi elfu moja tu, kwa sababu hakuna anayehitaji; si kila mtu anayo?. Hiyo ndiyo hali ya thamani ya pesa, siyo kujaza tu mahela mengi wakati didhaa bado hazipatikani, bado utanunua kilo moja ya unga kwa shilingi milion moja, si una hela bwana, sasa faifa ya kuwa na hela yote hiyo iko wapi? Ninawaza tu.

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 6 лет назад +1

    Aliyeshinda kutengeneza Buku na ile Jero ya Noti..Khaaaaa sijui alikula maharage ya wapi..

  • @mwitachacha4467
    @mwitachacha4467 2 года назад

    Mungu atusaidie tuwe na tekinology ya kumiliki kiwanda chetu

  • @athumanigombera4385
    @athumanigombera4385 6 лет назад

    safi sana

  • @psj1564
    @psj1564 2 года назад

    Noti azina ubora tengenezi ziwe naubora ukihiisahu hukaifuriatu inachanika lakini noti zanchi za nje zina ubora kweli

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 6 лет назад +4

    kwa supeed ya JPM au the Bulldozer lazima ipo siku tuta chapisha wenyewe go go Tanzania

  • @motivationtv9958
    @motivationtv9958 6 лет назад

    dah kweli lazima tutoboe

  • @lakerswarsame9111
    @lakerswarsame9111 3 месяца назад

    huyo mjomba anachaji simu hapo analipa

  • @subramashs2236
    @subramashs2236 6 лет назад

    hatarii

  • @fredrickvituskebero5071
    @fredrickvituskebero5071 6 лет назад +6

    duuh..wanaotegenezaa hela wao wanalipwa nini ?...au unaweza waambia wachapishe 1000 then unachukua 500....jero nyingine unawalipa .....nipo nawaza tu..

  • @wazarendotv7966
    @wazarendotv7966 6 лет назад +2

    Hi na hi na hi kwa sababu hi na hi hana kwa hiyo tangeneza hi na hi hahaha

  • @saidyahya5662
    @saidyahya5662 6 лет назад

    hata mbuyu ulianza kama mchicha,One day yes na cc tutatengeneza 2

  • @giftdaniel3628
    @giftdaniel3628 6 лет назад

    Duuuh nchi yetu lazima tujue kutengeneza pesa zetu

  • @subramashs2236
    @subramashs2236 6 лет назад +1

    Tanzania inaharibika kwanini nnafanya hivyoooooo jamani uwii ii

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 лет назад +1

    mbona sijawahi waona hawa mahala popote

  • @hassansaid828
    @hassansaid828 6 лет назад +1

    ongela milidalyo

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 6 лет назад

    Jamani kenya ipo juu afrika mashariki ubishi tueke kando

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 6 лет назад +4

    Chapisha mengi mtugawie TUMECHOKA umaskini

  • @syliakuskagyabukamaseveria7039
    @syliakuskagyabukamaseveria7039 6 лет назад

    Hii sector nikikaa yaani kwetu masikini atakuwa kama bakhresa. Cjui sasa tajiri itakuwa vp!!

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 года назад

    Kumbe tungekuwa na mtaj wetu tungeishi kama ulaya

  • @moudymussa7646
    @moudymussa7646 6 лет назад +1

    Na hawa mnao wp tenda Mna wapa nn?
    Au nn mnachofanya juu ya malipo?

    • @ussiussi3413
      @ussiussi3413 3 года назад

      Natural resources & investment ndio tools za malipo kwa shughuli kama hizo.

  • @ajuxman9382
    @ajuxman9382 6 лет назад

    Pumbavu afrika mpaka lini mutatengezewa

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 6 лет назад

    Acheni blaa blaa tengenezeni fedha acheni utani kushinda kushinda! Tafuteni jinsi ya kutengeneza fedha acheneni na hayo mambo ya mashindano na mambo ya kuwasifia sifia wageni lini mtajiamini?

  • @subramashs2236
    @subramashs2236 6 лет назад +2

    kwanini mnatoa siri ya kutengeneza pesaa

  • @abubakarimwasumilwe7293
    @abubakarimwasumilwe7293 6 лет назад

    ujinga tu... siye tutashindwaje kuchapisha pesa zetu....? twawaachia makampun ya nje yanatuundia manoti mabovuuu...! yakitumika siku chache yamechakaaa.....!

  • @jozeytv8357
    @jozeytv8357 6 лет назад +2

    aliyeshinda tenda ya saivi n kilaza kabisa

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 года назад

    Aisee acheni ujinga. Tengenezeni mapesa maguni kwa magunia wacheni UTOPOLO 🐸

  • @t1910j
    @t1910j 6 лет назад

    Acheni upuuzi. Tumeshindwa kuchapisha pesa yetu.

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 6 лет назад

    Kwanini nyie hamshindi? Hamfikirii? Wengine tu ndio wanashinda tangu 1966.,duh! Fikirini namna ya kutengeneza mafwedha.

  • @fredymgaya7123
    @fredymgaya7123 6 лет назад

    NAAMINI AWAMU HII YA KAMANDA WETU MAGUFULI ITAWEZEKANA TU KUWA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZEA HELA HAPA HAPA TZ KWA KUWA CHUMA TUNACHO MADINI AINA MBALIMBALI YAPO UWEZEKANO UPO WA KUWA NA KIWANDA CHETU.

  • @manyangumashala466
    @manyangumashala466 6 лет назад +2

    Si mchapishe zingne jaman huku mtaAn vyuma vimek---,hahaha,,malizia umwone mag--hahaha

    • @simonsixbert2660
      @simonsixbert2660 6 лет назад

      manyangu mashala suala si kuchapisha tu, uchumi hauangalii hivyoo?

    • @manyangumashala466
      @manyangumashala466 6 лет назад

      +Simon Sixbert hivi kwann hauwezi kuchapisha zingne,,nieleweshe kidogo mkuu

    • @abbasboniphace5444
      @abbasboniphace5444 6 лет назад

      manyangu mashala maninuh

  • @athumanigombera4385
    @athumanigombera4385 6 лет назад

    safi sana