Siri ya kifimbo cha mwalimu Nyerere yawekwa wazi na aliyempatia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 окт 2024
  • Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameacha alama nyingi zinazodumu, moja wapo ikiwa ni kifimbo ambacho mara kwa mara alikuwa akitembea nacho kiasi cha kumpa umaarufu na kikaitwa kifimbo cha Mwalimu.
    Inawezekana mwalimu alikuwa na vi-fimbo vingi alivyokuwa akitumia lakini msanii maarufu wa uchongaji vinyago na uchoraji mzee Omary Mwariko mkazi wa mjini Moshi amesema alimpatia mwalimu kifimbo hicho mwaka 1967 alipotembelea mjini Moshi.

Комментарии • 18