BALAA! KISHINDO CHA MAPOKEZI YA M/KITI WA BAVICHA TAIFA, KANGA ZATANDIKWA NJIA NZIMA KIJIJINI KWAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE RUclips Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии • 25

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 6 дней назад

    Hongera kijana Mahinyila, unakubalika nyumbani mpaka Taifani. Mungu akulinde, akutunze daima. Jitahidi hakikisha vijana wanajiunga na Chadema kwa ajili ya mapambano kupigania haki na kulikomboa Taifa hili kutoka mikono ya hawa majambazi watawala wasiyokuwa na huruma kwa wananchi maskini.

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 6 дней назад

    Hongera sana kamanda kwa mapokezi balaa, Mungu akulinde na hila zote za wale jamaa wasiotak kutenda hak(wezi), tuko pamoja nanyi na tunaendelea kuwaombea kwa Mungu viongoz wote wa CDM ili awalinde.

  • @evelina9621
    @evelina9621 7 дней назад +2

    Asante
    Berege.nifurahi
    Nikiwa.mbali
    Kama.niko.hapo
    Kijana.nilimona.tangu
    Uchaguzi.mlimani.wakichuana.pole.tangaza.sela
    Chadema.wimbo.tunakuja.kundi
    Kubwa

  • @FrankMusoma-n7b
    @FrankMusoma-n7b 7 дней назад +1

    Loveeee so much big up mwamba

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 дней назад +1

      Mungu akutunze na kukulinda daima. Kapige kazi

  • @NuruMwasabwite
    @NuruMwasabwite 7 дней назад +1

    Ongeleeni Sana wagogo kuwa kijana maarufu Kama huyo,Mungu amsaidie saaaaana pipoooooooz mpwampwa

  • @LenatussylivesterPetro
    @LenatussylivesterPetro 6 дней назад

    Mungu ibariki chadema

  • @JosephMasima-u1z
    @JosephMasima-u1z 7 дней назад +1

    Hongela kamanda mahinyila unakubakika toka nyumbani paka Taiga

  • @dokezoonline5781
    @dokezoonline5781 7 дней назад +1

    Such love

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 дней назад

      Even the youngest generations are taking pictures for future reference

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 7 дней назад +1

    Big love ❤️ Asanteni sana strong together 💪

  • @LenatussylivesterPetro
    @LenatussylivesterPetro 6 дней назад

    Chama chenye hofu ya Mungu chama kinacho penda haki

  • @natupe123
    @natupe123 7 дней назад +1

    Hapo nyumbani sasa😂😂😂

  • @fredyhatari2572
    @fredyhatari2572 7 дней назад +2

    Mbona ni zaidi ya mapokezi ya Wasira kule BUNDA

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 7 дней назад +1

    😂😂😂😂😂 awajalipwa hao Nimapenzi Yaotu Sy Cc Wasani Mia Asikali wote Naboda boda Kulipiwa Mafuta Cdm 4life

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 дней назад +1

    Chadema raha

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 7 дней назад +2

    ccm mpaka wachukuwe wasani

  • @AmanSabugo
    @AmanSabugo 6 дней назад

    Ni kijijini sana ila watu wameelimika

  • @sylvesterernest9582
    @sylvesterernest9582 7 дней назад +2

    dah

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 7 дней назад

    brg haijawahi poa

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 7 дней назад +1

    Kuna jamaa hapo mrefu kweli kuliko wote........iwe heri bro

  • @kuchimillionaire6683
    @kuchimillionaire6683 7 дней назад +1

    Chadema ins nguvu kuliko ccm hspa nchini

  • @bernadoMathias
    @bernadoMathias 5 дней назад

    Hogela kina

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 7 дней назад

    Kongole