Wachaneni na diamond juu munatafuta kiki orodha ya wasanii hawakwenda kwa show ni Marioo,Mobeto,Lavalava,Alikiba,Diamond, S2kezzy,Habah,Stamina,Nay wamitego nawengi tu Sasa mbona Diamon, diamond,diamond wacheni shobo
Namna nilikua nasubiri album, total disappointment. Wakati Diamond anasema hakuna wakumshusha hadi Mungu aseme mnaguna. DIAMOND iko huko nafanya ma collabo kubwa France, Komasava world hit,
Album zake zote zilibuma brooooo, tumieni nguvu sanaaaa mumusukume aende..... Ila harmo bado sanaaaaaa
Komasava ni kiboko yenu🔥🔥
konde boy umetisha mzee mpaka na president Obama yote umetisha sana baba ongera konde boy 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ooooe Mimi naona diamond akififia round hii,Hana Tena mdogo,na sai namuona sai uko sawa sawa na rayvanny sai
Ding'anosti 🔥🔥
Harmonize n msanii ambae anabusara zake saana
Good job m'y brown
Very true point ☝️
Bangi tuu akuna kitu wende kasikilize album zake za mama 😂😂😂 tuko busy na koma sava
me hapa naona diamond ndoo annasikika na kuongelewa kuliko album iliyotoka
Wachaneni na diamond juu munatafuta kiki orodha ya wasanii hawakwenda kwa show ni Marioo,Mobeto,Lavalava,Alikiba,Diamond, S2kezzy,Habah,Stamina,Nay wamitego nawengi tu Sasa mbona Diamon, diamond,diamond wacheni shobo
Mbona yeye ameona😅😅😅😅😅
Ukwr mtup
Diamond anatrend hata kuliko shugli yenu, na album yenyewe iko wapi, msanii anafanya vitu za ovyo mnasifu tu😂😂
Mbona sioni album ikisifiwa story tu ni diamond na harmonize
me hii nimefungua kwa vile ametajwa diamond. bila hivyoo nisingeplay😂 wao inawaunmma angeshiriki wasafi festival nas tungewafikilia😂
😂
Konde boy ndo habari ya mjini asaiv
Bangi tuu akuna kitu wende kasikilize album zake za mama 😂😂😂 tuko busy na koma sava
Komasava dingano
Simba it is fire🫡
We huna akili ding'ano
Sasa hiyo album yenyewe inapatikana platform gani acheni upuuzi kuchezea watu akili😬😬😬
😂😂😂😂😂😂
Diamond ni tunu ya taifa! Angalia wanaume wanvyolia lia kwa kutokuja kwake tu😂
Wewe ni mwehu
Alubam itoke umeiyona wap adi uwe na elaa
Akili zako haziko sawa wewe ukapimwe
Watu wako bsy ndugu
Tuliza pumbu ww ushoga unakusumbuwa san
Mama gani ww,yaani diamond atoke paris ili aje kwa album, pumbavu kbsa
Namna nilikua nasubiri album, total disappointment. Wakati Diamond anasema hakuna wakumshusha hadi Mungu aseme mnaguna. DIAMOND iko huko nafanya ma collabo kubwa France, Komasava world hit,
Kutrend nini nyanya yetu bi mkasi wewe, bro mondi ywang'ang'ana na soko la majuuu. Sahii jamaa ywajitafuta kimataifa, sio kibongobongo weweeeee
Tumekuzoea unauongo mkubha muno
Diamond ndo mzk wa tz akuna Kama diamond akika
kma umejua alivaa viatu😂 bac ulikuwa unamufwatilia😂😂
Una akili km iyo nyele zako pumbavu
Unatafuta kiki kenge wewe fala ww
Mbona haukuwalikwa wewe nafujo zako Kila siku
Shut up cuki zenu watanzaniya ni too mutch. Munamcukiya Diamond mno na inamuongezi sisi kumpenda hamupandi ata kidogo muko very cheep.
Mumakonde nimbwa kama wewe
Komasava ni kiboko yenu🔥🔥