MBUNGE GETELE ATIKISA BUNGE ATAKA BOOM LIONDOLEWE "WANAFUNZI HAWASOMI, WANANIDHAMU MBAYA, WANALEWA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 78

  • @luludot8341
    @luludot8341 8 месяцев назад +14

    Mwenye shibe hajui kama Kuna watu Wana njaa, Kwavile yy anaweza kuwasomesha watt wake Kwa pesa za Kodi za wananchi basi anahisi familia zote zinaweza kuwa support watoto wao mashuleni ifikie mahara kama hawana chakuongea wakae kimya tu

    • @bakarseif9622
      @bakarseif9622 8 месяцев назад +4

      Like

    • @RayAlly-hy4ug
      @RayAlly-hy4ug 8 месяцев назад +2

      Na posho laki tatu kila kikao bungeni itolewe😮😮

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 8 месяцев назад +6

    Mishahara ya wabunge ipunguzwe walipwe laki nne kwa mwezi, posho iwe elfu ishirini kwa siku. Wabunge mmelewa mshahara wa kodi zetu.

  • @PhabianNdeji
    @PhabianNdeji 8 месяцев назад +6

    ninavyojua huyu mbuge hata mipango hajasoma anadaganya tu maana darasa la saba mwaka 1983 alifeli na ana watoto watatu wa kwanza kafeli form four wa pili yupo form one na mwigne la kwanza ndio maana hajui maana ya boom anaongea tu kwa kweli anadhani kila mwanafuz alie chuo ana wazazi au hao wazazi wanauwezo wa hata kumpa tu pesa ya matumizi kiukweli unaweza kuongea kitu mbele ya watu na ukaonekana huna akili.....

  • @PhinessUtago-fr4of
    @PhinessUtago-fr4of 8 месяцев назад +6

    Hajui wengine boom ndio hela ya kuongezea ada

  • @AlbertKombe-u8b
    @AlbertKombe-u8b 8 месяцев назад +6

    Si tuliwatuma bungeni mka ongee ayo 2na wasubri mwakani

  • @MasanjangwesaJiganga
    @MasanjangwesaJiganga 8 месяцев назад +2

    Kaongea vizuri Ila kwenye boom hapoo jifikilieni wabunge na viongozi ndiyo mtauwa elimu MTU atasomaje bila accomodations huyu katoka familia ya kifahari wengine wametoka family ngumu

  • @ThomasThomas-lk8ez
    @ThomasThomas-lk8ez 8 месяцев назад

    Huyu ndo mbunge sasa daah boom tena😂😂

  • @YohanaNkango
    @YohanaNkango 8 месяцев назад

    Huyo mbunge akamatwe auliwe kabisa... Na posho za wabunge ziondolewe

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 8 месяцев назад +4

    Anajisaidije anavojua? Boom kwa wanachuo ni muhimu Sana, huwezi kuwanyima eti watajua,sio sawa,hii haifundishi, ni kumkomoa kijana,
    matokeo yake ataingia vishawishi na ulevi wa dawa za kulevya na kujiuza,acha watoto wahudumiwe

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 8 месяцев назад

    Upuuz mtupu Sayans GANA ya mwanafunz kumfundisha mwanafunz au unataka tuwe na wasom vilaza kwanza sijawaona wanasayans mm kupata juis mpaka mzungu aje😂😂

  • @trendingworld7613
    @trendingworld7613 8 месяцев назад

    mm nakubari kabisa inabidi boom litolewe arafu ada serikari ilipe full hata kwa ambao walikuwa hawapati ili wapate mkopo ✍️✍️

  • @nyamwerukahata6589
    @nyamwerukahata6589 8 месяцев назад

    Boom kuna watu wametumia vizr na leo wanaishi kwa boom
    Mh.Getele pls think twice 🎉

  • @AMOSKAMUGISHA-uu8st
    @AMOSKAMUGISHA-uu8st 8 месяцев назад

    Mwaka kesho sio mbali.

  • @bakarikasimu-gn8xj
    @bakarikasimu-gn8xj 8 месяцев назад

    Muheshiwa ninyi wabunge hizo posho zetu hamzitumii vibaya!

  • @EnockaMasulubu-ud2mi
    @EnockaMasulubu-ud2mi 8 месяцев назад

    wabunge ndio mnapanga budget kipind inapitisha wote mlikubali ...nahisi hata wabunge wezie wanashangaaa

  • @SalimHabibu-dk4il
    @SalimHabibu-dk4il 8 месяцев назад +3

    Na wabunge na wao waondolewe posho weng wao wanalala bungeni

    • @ladislausmoris9638
      @ladislausmoris9638 8 месяцев назад

      Tena wabunge wengi ni mafisadivhatua gan mnafanyiwa

    • @MasanjangwesaJiganga
      @MasanjangwesaJiganga 8 месяцев назад

      Kabisa yaaani umeongea kitu muhimu

    • @bakarseif9622
      @bakarseif9622 8 месяцев назад

      Naunga mkono hoja kawa asilimia 100

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 8 месяцев назад

      Na wabunge wasipewe posho maana wengi ni walevi na hawahudhulii bungeni

  • @Xyz-dc3yq
    @Xyz-dc3yq 8 месяцев назад +3

    Wabunge hawana nidhamu wanalala bungeni na kulewa tu. Tuondoe posho zao

  • @SamsonCharles-rx9ks
    @SamsonCharles-rx9ks 8 месяцев назад

    hajielewii uoo

  • @EnockaMasulubu-ud2mi
    @EnockaMasulubu-ud2mi 8 месяцев назад

    kufatia statement hiyo ..basi wabunge wapenguziwe posho kama sio kuondoa kabisa, pia mishahara yao ,

  • @Jovahn_company
    @Jovahn_company 8 месяцев назад

    Basi hapo kaona kuchangia masikini sasa huyu ndo achaguliwe kutetea masilahi ya nchi. Daaahhh MUNGU ikumbuke Tanzania ata Watu tunawategemea wanachangia mawazo ya kishetani tuu 😢😢😢😢

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 8 месяцев назад

    Yaani hiii nchi mtu. Kama huyu anaroho mbaya hizo posho zigeuzwe zipelekwe kwenye huduma nyingine

  • @innocensiapius
    @innocensiapius 8 месяцев назад +3

    Wapi tena huko ambako hakuna madarasa.
    Walimu wapo mitaani mkawaajili.
    Huko nako hamna akili.
    Shule mpya ni nyingi mama kujenga.

  • @JumanneShambi
    @JumanneShambi 8 месяцев назад +1

    Boom is typing....

  • @Monthbongohit
    @Monthbongohit 8 месяцев назад

    Uyo mbunge kajifkilia kwel anachosema
    Kina point kasema
    “kama mtoto hawez kuji saidia ajisaidie anavyo jua yeye”
    Mnaenda kuzalisha tanzania ya malaya na wezi
    Niko palee mtaniambia

  • @LilianMponda-bp3qu
    @LilianMponda-bp3qu 8 месяцев назад

    Unauhakika ni wote

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 8 месяцев назад

    Mmeona nadhara ya wabunge ambao hawajachaguliwa na wananchi.. mshahara kwa mwez mbunge mil 13/18

  • @FabianDickson-bg5ch
    @FabianDickson-bg5ch 8 месяцев назад

    mi ningependekeza watoe posho ya wabunge

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 7 месяцев назад

    Huyu mbunge mpuuzi walimu wake inten ,madactari inten huyu mbunge c jui yukoje Hawa ndo wanaoitia uzito elimu yy aliekewa inten

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 8 месяцев назад

    Tubadilishane…yeye achukue bumu Mimi nichukue mshahara wake…si anaona wanafunzi Wana enjoy

  • @SARAFINAPIUS-kp4up
    @SARAFINAPIUS-kp4up 8 месяцев назад

    Mheshimiwa samahan tuliowengi tunatokea kwenye familia za kimaskin, kwahiyo tunategemea maboom, mkifanya hivo hatutasoma kwasabab ya changamoto za kiuchumi

  • @yohanabnd
    @yohanabnd 8 месяцев назад

    Posho zipelekwe shuleni bunda 😂 na nyingine waongeze kwenye boom ifike mpaka 750000

  • @hakambashe8421
    @hakambashe8421 8 месяцев назад +2

    Tatzo ni Boom sio pesa Karo, ndomaan Boom ni kubwa kuliko karo

  • @alanusmlelwa1755
    @alanusmlelwa1755 8 месяцев назад

    Ubunge wako mwisho mwakani posho zimekulewesha

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 7 месяцев назад

    Huyu tumemtuma aje atutetee lkn anatukandamiza tukutane 2025

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 7 месяцев назад

    Tukupeleke we ukafundishe wapate A wengi

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 8 месяцев назад

    Hawa Wabunge Tunawasubiri hata kama si mpiga kura wake nitaenda kumchafua huyu😊

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 8 месяцев назад +1

    Mishahara ya wabunge ipunguzwe hiyo ni shibe inaongea.

  • @ALISTIDESSTAPHOLD
    @ALISTIDESSTAPHOLD 8 месяцев назад

    Basi na wanachuo waombe wambunge wabunguzwe mshahara asilimia 10%

  • @DeniceMahanga
    @DeniceMahanga 8 месяцев назад

    Au huyu mbunge yeye ndio amelewa

  • @wilsonmsemwa
    @wilsonmsemwa 8 месяцев назад

    Huyu 2025 akipita uchaguzi basi naamini uchawi, rushwa zinafanya kazi....

  • @YohanaNkango
    @YohanaNkango 8 месяцев назад

    Huyo mbunge akamatwe auliwe kabisa ....anaongea ujinga alaf wafute posho za wabunge

  • @Fuzuh
    @Fuzuh 8 месяцев назад +1

    Watu webye mchango mdogo kwa taifa

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 8 месяцев назад

    Huyu kiongoz apimwe akili, kama Bungeni kuna wabunge wanalewa na hawana msaada wwte, kwamba bunge tulifute? Ata wanafunzi hao wanaolewa sio sababu ya bum wengiwao kwao kupo njema. Kuondoa bumu ni kuwanyima elimu masikini

  • @RAJABUMRISHO-jh3rj
    @RAJABUMRISHO-jh3rj 8 месяцев назад

    Wee mbunge kaliwe huko unatakata tulee kweeenu mamae

  • @EMMANUELJOELLUHERA-lh6um
    @EMMANUELJOELLUHERA-lh6um 8 месяцев назад

    Tatizo ukiryan kuna msosi unaitwa kichuri ndo shida🤫🤫🤫

  • @DicksonKimoso-ds4xw
    @DicksonKimoso-ds4xw 8 месяцев назад

    Njoo soma wewe na pia boom ilo upewe wewe maan unaona kila mmoja wako sawa na wewe kimaisha, Na mungu aseme na wewe

  • @GodfreyMathias-bx1xo
    @GodfreyMathias-bx1xo 7 месяцев назад

    Unabahati siku ya uchaguzi sikusome vizuri majina yako nikashtukia nimetick kwako bila kujua.

  • @IsayaJuliusPambe-sg2mx
    @IsayaJuliusPambe-sg2mx 8 месяцев назад +1

    Kumbuka wapiga kura ndo wanufaika wa boom mwakan cyo mbali

  • @HaruniTitho
    @HaruniTitho 8 месяцев назад

    posho za wabunge ziondolewe ., wanaongea ambayo hatujawatuma

    • @DeoEmmanuel-tq7zl
      @DeoEmmanuel-tq7zl 8 месяцев назад +1

      Kwa namna hiyo hapatakuwepo mbunge mwingine atakayegombea siku za usoni. Tz tutakosa bunge,bunge ni chombo cha dola,bunge liheshimike , watanzania tuishi kwa amani ,wanafunzi tupewe mikopo ikiwezekana hadi tutakapo maliza kuwepo na mikopo hii itusaidie kuwa na biashara,hivyo uchumi wa Tanzania ukue mara dufu 💪💪

  • @davidmakwabula5882
    @davidmakwabula5882 8 месяцев назад

    Mbn wabunge hawasemi wanaotumia posho...au fedha za maendeleo..vibaya

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 8 месяцев назад

    Kabla Ata Sijamsikiliza Kwa Kusoma Iki Kichwa Cha Habar Tu Huyu Jamaa Ni Mlevi Na Kichwa Chake Kina Mchaanga Kidogo

  • @agnesiluoga
    @agnesiluoga 8 месяцев назад

    Jamani watoto hawasimamiwi vyema toka wanaanza awali hasa shule zetu za selikali mtoto anamaliza lasaba hajui kusoma kweli mmmmh

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 8 месяцев назад

    Anadhalilisha familia ya IRDP

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 8 месяцев назад

    Mbona hasemi posho za wabunge liondolewe?

  • @GodfreyMathias-bx1xo
    @GodfreyMathias-bx1xo 7 месяцев назад

    Nafatilia majina yako yote matatu, ili mwaka kesho tusilaumiane

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 8 месяцев назад

    Huyu anabwataaa sanaaa

  • @yohanachacha8890
    @yohanachacha8890 8 месяцев назад

    kiongozi kumbuka boom litakapotolewa watakaoumia ni majority maan wengi wametoka katika familia maskini, wewe yawezekana unapendekeza boom litolewe kwasababu watoto wako ambao labda wapo chuo kikuuu unaweza kuwasomesha, si una pesa na unalipwa posho, sasavipi kuhusiana na wale wanafunzi wanaotoka katika mazingira magumu wataishije?

  • @charlesmsemelwa5183
    @charlesmsemelwa5183 8 месяцев назад

    Ongea, baba . Kwa kuwa wwe umeshiba posho zitokazo kwa wananchi. ikiwezekana ata boom lote upewe wwe... mkuu

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 8 месяцев назад

    Suti imekuponza ww😢

  • @Niika870
    @Niika870 8 месяцев назад

    Hivi huyu Kenge anatokea mto gani au ziwa gani, Toa posho za wabunge sio boom inatusadia sisi wa chini, wewe Rudi ziwani hujui unaongea bila facts unapayuka t brother,unapayuka payuka tu

  • @Elediathadeo
    @Elediathadeo 8 месяцев назад

    Mungu anamuona, na akumbuke kuwa hana guarantee ya uhai wake, atazame na kesho ya watoto wake lolote likitokea. Anamosa sana

  • @MasoudJuma-i1j
    @MasoudJuma-i1j 8 месяцев назад

    Tatzo mbunge umeangalia negative impact ya boom tuuh.... lkni hujaangalia inatusaidia kwa mangapi hiyo pesa
    Ifike hatua mtu afanye utafiti kwa kuangalia impact zoteeee. .....asiangalie upande mmmoja tuhh anatoa hoja ambbayo inaweza ikatu athiri wengi......
    Ni mbunge wa hovyo kabsa

  • @JosephMariki-bl1pj
    @JosephMariki-bl1pj 8 месяцев назад

    Perfect huyu jamaa anajua sana

  • @YohanaNkango
    @YohanaNkango 8 месяцев назад

    Huyo mbunge akamatwe auliwe kabisa... Na posho za wabunge ziondolewe