DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Oktoba 02, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 14

  • @daudikombo3541
    @daudikombo3541 Месяц назад +2

    Mbona hamsemi hasara zilizo tokea kwenye mashambuliz ya iran

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack Месяц назад +1

    Israel Watashinda kwa kishindo KIZITO Mungu simama upande wa ISRAEL

    • @GIRIKIARSENAL
      @GIRIKIARSENAL Месяц назад

      Irani nao wanamuomba mungu huyo huyo

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c Месяц назад

    Bora marekani awepo kwenye mazungumzo ya jibu la Israel maana Israel akijipangia mwenyewe anaweza kumsakanya khamenei hadi ampate na hapo vita rasmi itakuwa imeanza

  • @YassinYassinkassim
    @YassinYassinkassim Месяц назад +1

    😂😂😂 hawatangazi aibu walio ipata lakin kufa watakufa hata wasipo tangaza walivyo uwa watoto na wamama gaza hawasemi wana simamisha mapigano lakin jana wameuliwa ulaya nzima tumbo joto wataka kusimamisha mapigano ina kuaje mungu ipe nguvu irani

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 Месяц назад

      Jaribu kujiuliza Israel 🇮🇱 ikishambuliwa huwa mnashangilia sana kwa nini

  • @hamedyahya9291
    @hamedyahya9291 Месяц назад

    ujermani haitendi haki wameuliwa watoto na kina mama na wazee gaza hakusema kitu hao sio bin Adam

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Месяц назад

      Wewe pumbafu wa akili iliona israel alienda ku muchokoza ezbola ama ezbola ndiye aliye kuya ku chokoza israel naku kimbiliya uko kwaho aho hote akuna anaye kuwa na nguvu kuliko israel wana mujuwa sana zaidi kuliko wewe aliipiga ichi saba kwa wiki moja

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki Месяц назад +1

    Mbona hamtangazi madhara yaliyotokea ,au mpaka mpangiwe taarifa za kusema na hao mashoga,ninasikia wamekufa kuku tu za mfugaji mmoja huko TelAviv

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf Месяц назад

      Hao hawasemi izrael akifa mmoja tu hasara kwao Lkn kwa makombora Ayo wasije tudanganya Irani baba mtetezi wa Palestine 🎉

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 Месяц назад

      Hata kama hayapo waseme??tafuteni source zingine ziseme

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w Месяц назад

    Wanasdunia wenye akili timam hawawezi kukubaliana na mawazo ya USA na umoja wa ulaya, yani anapopigwa Israel na ukiukwaji wa haki za binadam, lakin wanapouliwa wanawake na watoto wa ghaza ni sawa!!!!.

    • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
      @IsmailBagayabakwe-bb1pl Месяц назад

      Wewe pumbafu wa akili nani aliku ambiya israel alipigwa ali chokozwa tu

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w Месяц назад

      @@IsmailBagayabakwe-bb1pl we hujui kitu kakojoe ukalale, endeleeni kuaminishwa na propaganda za ulaya kua marekani ndio super power na Israel ni taifa la mungu!!. Wewe taifa lako sijui ni la shetani!!??.