AIC MAKONGORO CHOIR-KUTANIKENI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 133

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 5 лет назад +8

    MUNGU awabariki waimbaji wote mlioshiriki katika kazi hii ya kumtukuza MUNGU katika ROHO na kweli! Nakumbuka miaka hiyo ya 1980 nilikuwa Mtoto mwenye miaka 15 bado nikiwa Sunday school katika kanisa la ISANGA MORAVIAN CHURCH-MBEYA, hizi ilikuwa moja Kati ya nyimbo zenu zilizonipa msisimko mkubwa Sana Ndani ya moyo wangu wa kumuimbia na kumtumikia MUNGU katika maisha yangu, zaidi kwa kuimba kwenu kwa matendo ambako kulinipa umaarufu mkubwa tokea nikiwa mdogo, Hadi Leo hii ambapo MUNGU kwa uwezo na uaminifu wake mkubwa ameweza kunilinda maisha yangu Hadi kuweza kumaliza kwa ushindi mkubwa lile kusudi lake nililoitiwa chini ya mbingu!!
    MUNGU awabariki Sana wote mlioshiriki ambao mko hai Hadi Leo hii na hata waliotangulia mbinguni kwa Baba yetu kwani kazi yao ama kazi yenu hakika ilikuwa ni njema sana duniani zaidi kwangu Mimi binafsi kutokana na ile safari ndefu na ngumu Sana iliyokuwa imeandaliwa mbele yangu japo katika Hali ya utoto wangu sikuijua lakini kutokana na kazi yenu hii njema ya uimbaji huu wa kimbingu yote yamewezekana na kazi ya mbinguni imemalizika kwa ushindi mkuu na Hali bado moyoni kiu ya kumuimbia na kumtukuza MUNGU imesimama pale pale na inazidi kuwaka Ndani yangu siku Hadi siku zaidi kila saa na wakati ninapozisikiliza nyimbo zenu!
    MUNGU Awabariki sana na kanisa la LUTHERAN IBADA ya KISWAHILI ya hapa LONDON pamoja na kikundi cha FURAHA kwaya ambacho tumezitumia kwa asilimia kubwa Sana nyimbo zenu ktk kuendelea kumtukuza MUNGU wetu katika nchi ya kigeni wote wanawasalimia sana!
    Endapo kuna yoyote yule aliyeshiriki kuimba ama kushiriki katika kikundi hiki kwa njia moja ama nyingine tafadhali nitashukuru Sana endapo tunaweza kuwasiliana kwa email address yangu cshonga2000@yahoo.co.uk ama hata whtasap kwa namba yangu ya simu +447904548221 japo hata kusema NENO moja tu kuwa "ASANTE" kwani hakika ni kwa sababu ya nyimbo zenu zilizonihamasisha Sana maisha yangu kumuimbia MUNGU na Hadi Leo hii naweza kusimama na kujipiga kifua kumshukuru MUNGU kwa kuweza kunipa ushindi wa kuimaliza kazi yake duniani iliyokuwa ndefu, ngumu, yenye miiba mikali na wanyama wakali na yenye maumivu makubwa sana! Na yote haya yamewezekana kutokana na hii juhudi yenu ambayo naweza kusema hata kwenu pia haikuwa rahisi kuifanya na yote ilikuwa ni kwa uwezo wake MUNGU wetu aliyeipenda Sana nchi yetu Hadi kuwaleta duniani watu kama nyinyi ambao kwa hii sadaka yenu Leo hii nchi yetu ina AMANI ya milele .
    Naomba kusema tena MUNGU awabariki Sana!
    CHRISTOPHER ELIAH SHONGA

    • @clairejunior5978
      @clairejunior5978 Год назад

      Most of them are very old now and may not have phone

    • @CarolineAronya
      @CarolineAronya 5 месяцев назад

      Kumbe sikuwa nimezaliwa,😂mm niliisikua 1999 ,mm mkenya lakini napenda kusikiza nyimbo za zama Zina mafuzo sana,mungu azidi kuwapa ufunuo zaidi kwa kazi zuri❤

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 года назад +3

    Mungu awabariki nyote,kwa njia ya nyimbo tumepata ujumbe mzuri wa kweli,mungu atalipa mara mbili muda wenu.29/5/2021kutoka Haydom-manyara.

  • @patrickmuteti6892
    @patrickmuteti6892 5 лет назад +3

    Waimbaji wa makongoro mungu awabariki Sana na pia mwenye kuduga hixi nyimbo abarikiwe pia napeda choir ya makongoro aic xana

  • @jeanbaptistebenecigwerheme6144
    @jeanbaptistebenecigwerheme6144 Месяц назад

    Ici la musique sacrée était naturellement scandé pour la gloire de Dieu❤ mubarikiwe kabisa wanakwaya

  • @rulindavicent859
    @rulindavicent859 6 лет назад +6

    Kwakweri wakati moja nasikia nyimbo hi machozi akatoka, nyimbo za zamani zinahubiri sana, asante sana kwa makongoro choir

  • @florencembuu2036
    @florencembuu2036 4 года назад +5

    Old is gold nazipenda sana nyimbo za zama.

  • @musinawambua4263
    @musinawambua4263 4 года назад +5

    This reminds me the days of Rev.Kamau of Biblia Usema Kijabe!

  • @stephenwaita7510
    @stephenwaita7510 9 лет назад +6

    mnanibariki sna makogoro hio choir bado iko na mko wapi nkuje niwatebelee na munichezee hizo nyibo la sivyo 2takutana heaven.

    • @gilebertlwiza4971
      @gilebertlwiza4971 4 года назад

      Wako mwanza airport road ambayo inaitwa makongoro road karibu kwetu

    • @catenjeri7770
      @catenjeri7770 4 года назад

      Ningependa mawasiliano na mwalimu wa makongoro choir

    • @gilebertlwiza4971
      @gilebertlwiza4971 4 года назад

      Cate njeri sipo mwanza muda huu ila ntakutafutia contact za kanisani pale then you will express yourself

    • @catenjeri7770
      @catenjeri7770 4 года назад

      @@gilebertlwiza4971 nitashukuru sana ndugu yangu. Ubarikiwe.

    • @gilebertlwiza4971
      @gilebertlwiza4971 4 года назад

      Cate njeri tuko pamoja ahsante pia

  • @vincentmutiso2772
    @vincentmutiso2772 6 лет назад +2

    Nyimbo zilizo na ujumbe kamili,
    Mungu na hawabariki sana sana wana makongoro choir,
    Taji LA uzima limo : Amina

  • @MaurineCheptoo-jm4wj
    @MaurineCheptoo-jm4wj 2 месяца назад +1

    Woow it's a favourite song indeed😢 it reminds me my grandparents they used to listen this makongoro songs😢

  • @steveswakei3943
    @steveswakei3943 9 лет назад +8

    nyimbo halisi za kumsifu mokozi Yesu, I believe tutaimba wimbo wa makongoro huko mbinguni, i dont see why these songs should not be sang in heaven, zanirudishaa nyuma miaka ya utotoni babangu akizicheza usiku na mchana hapo narok kenya,

  • @ElizabethMuthui-k5g
    @ElizabethMuthui-k5g 21 день назад

    Congratulations all mungu azidi kuwabariki na kuwainuwa katika hii safari ya ki Imani 👏🙏👏❤❤❤,,

  • @paulojoseph4983
    @paulojoseph4983 Год назад +1

    Mungu awabariki kwa sauti yenu nzuri

  • @dottydoroo9384
    @dottydoroo9384 3 месяца назад +3

    nani ako hapa 2024 😊🙏

  • @nancybwonda
    @nancybwonda 2 месяца назад

    Hata me nafurahia hizi nyimbo sana zinanihubiria Hadi naokoka

  • @richardthiongo653
    @richardthiongo653 6 лет назад +9

    Old is Gold.. I love This choir.

  • @neemayusuph5323
    @neemayusuph5323 2 года назад +3

    God bless you makongoro choir

  • @jonathanmtm3159
    @jonathanmtm3159 4 года назад +9

    Am in short of words to say about these singers, yaani those days salvation was salvation I tell you. May GOD bless them abudantly.

  • @samuelmokaya5574
    @samuelmokaya5574 10 месяцев назад +1

    Hiring nyimbo za Sama nyimbo za kuvutia Sana sana

  • @mutemafrankline3810
    @mutemafrankline3810 Месяц назад

    Bado hizi ushika vizuri. Ujumbe mkuu tangu utotoni wangu. Bibilia usema - Kijabe Bado Iko?

  • @josephinemutua9334
    @josephinemutua9334 3 года назад +1

    Nyimbo Za injili Tosha love it

  • @AnthonyKimosop
    @AnthonyKimosop 10 лет назад +8

    Joyous songs and may God Bless you Makongoro

  • @alexmulonzya4989
    @alexmulonzya4989 2 года назад +1

    Oh my God!! What a good Sunday mood after listening to well balanced instrument vs the softiest voices ever

  • @Davidyego-tl3vm
    @Davidyego-tl3vm 4 месяца назад

    Mungu awaongoze mutoe nyimbo nyingi Tami na yenye mafunzo Kama hii

  • @monicahwanjira9038
    @monicahwanjira9038 5 лет назад +1

    Zatuvuta karibu na Mungu na kutufundisha kumjua zaidi.

  • @joshuamulei8215
    @joshuamulei8215 4 года назад +4

    Always spiritually fresh and lifting.......i have loved the songs since my teenage days to-date

    • @gidraphmwangigakobia9258
      @gidraphmwangigakobia9258 2 года назад +1

      I have loved this songs since my child hood days....may God inject them with new blood...

  • @vincentmutiso2772
    @vincentmutiso2772 6 лет назад +6

    Instruments & voices well balanced.
    Be blessed guys as you keep on blessings so many souls

  • @mbeyawuerttemberg758
    @mbeyawuerttemberg758 5 лет назад +9

    My best song at our time in 80s!

  • @petermutua6011
    @petermutua6011 7 лет назад +5

    Soothing songs.God bless you makongoro choir.

  • @belito1270
    @belito1270 8 лет назад +2

    Shukran saana .....mziki mtaamu kabisa wa zama unaobariki

  • @joelbwana5532
    @joelbwana5532 7 лет назад +7

    Am I wrong to say OLD IS GOLD?Happy new year to all.

  • @jameskooya6732
    @jameskooya6732 5 лет назад +3

    ninafurahia Sana hizi nyimbo za kusifu bwana

  • @burtonmbedule236
    @burtonmbedule236 8 лет назад +5

    Thanks a lot for the good hymns.

  • @damarismatheka2308
    @damarismatheka2308 3 года назад +2

    Best choir ever,God bless you,

  • @wilsonyegon495
    @wilsonyegon495 2 года назад +2

    spiritual touching song . God bless you and enlarge your territories

  • @peterndungu1698
    @peterndungu1698 4 года назад +3

    Wow wow wow. This song was and is just wow

  • @vincentsibo2439
    @vincentsibo2439 3 года назад +1

    Mubarikiwe sana ninawapenda na ninawakumbuka

  • @davidkitiku5412
    @davidkitiku5412 5 лет назад +5

    Abarikiwe mtunzi wa nyimbo hizi za wamakongoro

  • @nicholaskayere6260
    @nicholaskayere6260 4 года назад +2

    The 80s aclassic that is still spiritually refreshing.

  • @abrahamabuutena517
    @abrahamabuutena517 2 года назад

    Loving this songs much...very blessing to me

  • @ebbyogwero9526
    @ebbyogwero9526 5 лет назад +3

    Nyimbo hizi ni za kutuliza roho nazienzi sana

  • @jarednyamora8614
    @jarednyamora8614 4 года назад +4

    But you shall receive power when the Holy Spirit has come upon you and you shall be witnesses of Me in Jerusalem, Judea, Samaria and to the end of the earth. Brethren let’s meet with one accord spiritual and fulfill the commission of making disciples of all nations before the second coming of our lord Jesus Christ Amen.

  • @kipkemoienock7902
    @kipkemoienock7902 7 месяцев назад

    Nyimbo za zama zile ukiletewa nae mchungaji Mwinzi kimeu BHB Kijabe

  • @stephenshikuku2229
    @stephenshikuku2229 Год назад

    Gold is not old , Good sauti kutoka magongoro choir be blessed

  • @njugunamuigai3515
    @njugunamuigai3515 7 лет назад +3

    The song popular on wimbo ni upendao programme , the programme was recorded in kijabe studios then aired by v.o.k

  • @nicholasshijinga-qx5rp
    @nicholasshijinga-qx5rp Год назад

    When gospel was gospel,when you listen to ,you can't forget that you are in church

  • @njaarajoseph6675
    @njaarajoseph6675 9 лет назад +6

    I like them all ad I don't feel tired watching ad listening

  • @ruthwanjiku6924
    @ruthwanjiku6924 3 года назад

    Am listening to this old time song am really blessed 🙏 may God bless this singers I used to listen to this songs when I was 10 yrs

  • @paulngugi2363
    @paulngugi2363 6 месяцев назад

    Wimbo mzuri. Sauti zimepangwa vizuri

  • @johnpere7766
    @johnpere7766 6 лет назад +2

    napenda Sana nyimbo saa samani yana masito ya hukweli

  • @collinsbaya5046
    @collinsbaya5046 3 года назад +2

    Them days when Christianity was not religion. God bless you

  • @lemmymburu9390
    @lemmymburu9390 7 лет назад +5

    blessings choir song may God bless you all.

  • @damaryelius941
    @damaryelius941 5 лет назад +3

    Ujumbe mzur unajenga kiroho

  • @johnwambu9805
    @johnwambu9805 8 лет назад +5

    zani bariki tu kongole makongoro choir

  • @mutevewambua5408
    @mutevewambua5408 9 лет назад +4

    Nyimbo hizi zanifanya nijihisi kama niko Mbinguni.

  • @adamson4534
    @adamson4534 3 месяца назад

    😢❤❤ mungu awabariki sana

  • @jane.ardon.4683
    @jane.ardon.4683 2 года назад +1

    They so beautiful good job

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 года назад

    True worship Amen mubarikiwe sana.

  • @Only-r2f
    @Only-r2f Год назад

    When we sing this song in our church it really bless the church

  • @marynight7878
    @marynight7878 4 года назад +2

    I like this song,I need to download it

  • @emmahmuthoni3778
    @emmahmuthoni3778 2 месяца назад

    ❤Mungu a wabariki sana

  • @bellingtonekimanzi7504
    @bellingtonekimanzi7504 2 года назад +1

    Upload more songs please,,, so blessings

  • @edwintadeo8548
    @edwintadeo8548 2 года назад

    Congratulation makongoro choir

  • @justuskimeu5879
    @justuskimeu5879 Год назад

    very good very nais song, how I love it!

  • @millicentmarok
    @millicentmarok 10 месяцев назад

    Nyimbi hizi sa makongoro ni za utukufu mwingi.

  • @peterkariuki1960
    @peterkariuki1960 2 года назад

    Wana abudu Mungu vizuri

  • @simonkitheka7030
    @simonkitheka7030 4 года назад +1

    Excellent gospel music

  • @RuthMwongeli-tj1ms
    @RuthMwongeli-tj1ms Год назад

    Mungu awabariki sana

  • @shedracknzioka5397
    @shedracknzioka5397 6 лет назад +6

    They sound as if hv been sung yesterday

  • @luusakalolli5280
    @luusakalolli5280 3 года назад +1

    Good.song.Save.keep.your.talents

  • @chegemaggie3597
    @chegemaggie3597 3 года назад +2

    Blessed songs

  • @KuntaiKetere
    @KuntaiKetere Год назад

    Lots of effort to produce such classic songs

  • @henrysalala8818
    @henrysalala8818 3 года назад +2

    Salvation at our doorsteps

  • @bennykomingoi2570
    @bennykomingoi2570 2 года назад +2

    Song still inspiring to me and a blessing to me

  • @musyokakalei4862
    @musyokakalei4862 2 года назад +1

    May the living God be glorified

  • @jane.ardon.4683
    @jane.ardon.4683 2 года назад +1

    They are a good people

  • @JosephOnyiego-nw5jm
    @JosephOnyiego-nw5jm 5 месяцев назад

    Nyimbo za kuleta furaha

  • @mokayamdwesley7441
    @mokayamdwesley7441 6 лет назад +2

    I wish you did not perform the dancing.the song itsef is too good and perfect.makongoro,God bless you.here in Kenya, you know we don't have gospel music.pls keep up the good work.reduce dancing and give us More we can't have enough of your rich songs

  • @joshuamulei8215
    @joshuamulei8215 3 года назад +1

    My favorite song's

  • @orrelawrence2202
    @orrelawrence2202 8 лет назад +10

    great song for spiritual nourishiment.. cnt just stop from listening it..

  • @geoffreynyandoche8827
    @geoffreynyandoche8827 Год назад

    Nice songs indeed today I am blessed alot

  • @salowawooomwebalekuyimbaro8556
    @salowawooomwebalekuyimbaro8556 5 лет назад +1

    Nice voice asant sana all

  • @collinskisanya2374
    @collinskisanya2374 4 года назад +3

    This are the song to listen again and again without being bored.

  • @menchiedurtere2160
    @menchiedurtere2160 10 лет назад +3

    Amazingly songs.

    • @Moses-hh6nd
      @Moses-hh6nd 7 лет назад +1

      Menchie Durtere MARION ATOLI NGONG

    • @Moses-hh6nd
      @Moses-hh6nd 7 лет назад +1

      MARION ATOLI NGONG.

  • @josephmacharia-um8xb
    @josephmacharia-um8xb Год назад

    Na mwenyenzi mungu,awabariki Sana.....

  • @evansomwenga5659
    @evansomwenga5659 5 лет назад +1

    kweri wimbo msuri unatamani kusikia tena na tena God bless

    • @nancybwonda
      @nancybwonda 2 месяца назад

      Naki oigwete amatera ayio erwoti

  • @emmanuelmabala4224
    @emmanuelmabala4224 3 года назад +1

    Chiza Sana!!!

  • @manamordef1214
    @manamordef1214 Месяц назад

    🙌🙌🙌

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 8 лет назад +2

    ameeeeeen

  • @joelkamau5995
    @joelkamau5995 8 месяцев назад

    very nice.lyrics please

  • @kenyanews7639
    @kenyanews7639 4 года назад

    2020 nani yuko ndani

  • @musyokimutinda63
    @musyokimutinda63 6 лет назад +1

    blessing songs

  • @jonathanparkinyaro1794
    @jonathanparkinyaro1794 4 года назад +1

    May God bless you all.

  • @simonngugi7916
    @simonngugi7916 Год назад

    Spiritual touching song

  • @boscowambua-wu8zg
    @boscowambua-wu8zg Год назад

    makongoro

  • @edwardlekakeny5820
    @edwardlekakeny5820 8 лет назад +2

    toeni nyingine

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 8 месяцев назад

    Leo kwaya hiii ipo hadi sasa? Mbona tulisikiaka kwamba walikufaka kwa hajali ya kuzama? Nikweli ama laaa?

  • @mwandujohn1322
    @mwandujohn1322 2 года назад

    mlugwanza

  • @richardkitonyi4682
    @richardkitonyi4682 4 года назад

    Fine

  • @jamesmugo7441
    @jamesmugo7441 2 года назад

    Kiamanyaki