Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wasichana wenye tabia kama za Maria wanafaa hivi hongera sana Felex
Felix kiboko yaho😂😂😂 nakupenda Felix aribu mambo 😊
Maana Awajierew
maria kaharb ndoa ya madevu huyoo
Siku moja tumpe sifa huyu kijana peter anaigiza bhana ana kitu atafika mbali
Macho yake sasa kama yananiita na kingine siwezi kuishi bila yeye
@@Neemakulata😂😂
Andika hapo piraa ni fire ni anajua
Sikudhani wa Nuru 🎉🎉🎉🎉yako dada kivuruge wewe Aisha ni mmoja tu
Uhm kapenda penda Anna. Uhm anajifany ataki kumb amesha kufa kaoza Uhm aibu 😊
Anna anapenda kuwa in control of her men.So anawakandamiza mentally ili wamnyenyekee ili apate nafasi ya kuwa control...shenzi type....
Ma feminist hawa ndio tabia zao
Mostly because ana kipato kikubwa kumliko
@@mayaz-e7fhapana ana wakatiwake devis alibugi mwenyew now kinamrambaaa maana Anna alikuwa asemikityu
Wangpi tunamchukia flex like apo
Mi nampenda sana ferix sipendi capo ya grory na pita na femi na luck 😂😂
Mimi simpendi huyu kijana na madevu watanifanya niache kuagaria juwa Kali
Ukiwa mpweke mausiono ya watu yanakera pole@@GrolykamolaMwakapangala
Namchukia felix😢
So madevu after kuskia maria yupo hospitali akaamua atume huko felix😂😂😂😂😂
Me sjafrah sjamuona leo Enzo jmn
Kabisa yan
Felix mim simpendi hata kidogo pamoj kile kimadevu
Jua ni kali Ahadi niden chanzo kivuli ninakubali tena turururuuuu😂😂😂😂biti langu tayari bd hao wakuwachanganya shikamoo maria safari hii hutoboi😊
Wakwanz niisubir san hii kitu❤
Jmn maria😂😂😂😂😂 unamaza mwak vibay😂😂😂😂😂
Hiyo mimba si itoke huyo midevuuu apoteze mana ananikeraa na huyo Felix
Kwani kwenye hiyo chemli hapo bar kwa kina davis na anna wameiwekea POPCORN kwa ndani amaa😂😂😂
😂😂😂😂
Jaman Anna na diba wachomane visu scene ziishe nimewachoka
😂😂😂😂😂
Davis I wish nikupige kofi huoni kama ana ni mke wa mtu na hakataagi mtu ?🤨🤨🤨
Hata wewe ni mtu
Hasara Kwa diba😂🎉🎉
nimecheka kwa nguvuu😂
Muache ana aenjoy jaman
Anna anajifanya bize si angebaki tu home sasa anajifanya dont care nn😏😏
Mbona comment chache 😅 Sha zoea na angalia jua kali uku nasoma comment 😅😅
Mm sasa mud imekata kupitia coment et leo Enzo ajaonekana au niishie njian😂😂😂
Unajua leo hakuna juma hakuna eva hakuna enzo hakuna hakuna glory hakuna diba wala wanyakyusa sasa lazima ipoe
maria anastail hayoo amewatesa sana huyo felix na baba yake na lukas hasa lukas mpk kamuitia mwizi lukas kapigwa balaaa maria anaroho mbayaa
Maria nae mjinga anashindwa kujua kama madevu yuko behind felix mbona iko wazi kabisa! Felix kajuaje kama yuko hospital
Amazing mariaaaaaaaaaaaaaaaa
Maria kwa Thomas uchomoki awamu hii😂😂😂...kila drama yako yumoo
Haswaa kazid na ana kiumbee wake
Ruby ioo nyimbo ya background naifeeel balaaa dah!😢
kama mimi tu, hivi inaitwaje maana naitafut sana
@@rojasmwakalinga2241 czan kam ameitoa aisee czn kam ipo kwnye platform
Ety bimkubwa ni mzungu. Nicheke kwanza😂😂
Anna alimpenda Denis kitambo,ila denis hukumjali kitu,sasa ni wakati wako Anna akuringie nawe
Nzur maria umekamatika
Afazali naangalia jua kal kwa utulivu hakuna sauti za coment
Mnao mchukia felx mkumbuke kalata yake alitakiwa acheze hivo sasa ww upo kumchukia utafilikil anatok kwenu🤣🤣🤣
😂😂😂kichambo tumekupokea
@@SittaMadua😂😂😂
Sasa uchungu wakujifungua afu apo apo usiku ukiingia muende nyumbani pumbavu
Anaemnyoa idd na Peter atakua mmoja
Ukistaajaabu Ya Enzo Utayaona Ya Davis KUMBAF
hivi kwenye hiyo opening scene ya leo, huo uwimbo ni nani kaimba
Ruby
@@ayoubballe8494 sorry, nyimbo inaitwaje?
Ana sauti huyu dada daah!🙌🏼
Anna naye mpuuzi sana
Felix banaaaa😂😂😂😂😂
Anna unampandisha na kumshusha davis wetu😂😂😂😊
ishara y upendo😂😂😂❤
Freck mwak uyu ni wako mupak uwe kicha ju ya fels😅😅😅
Mungu walinde Peter na Iddy hao wengine lolote liwakute
Jmny😅 ety hao wengne liwakute
😂😂😂Aky wewe sinimecheka mimi😂😂😂
😅😅😅😅
Felix unakera 😂
Anna acha uongo usingempenda usingekuja,sa kwa chiku uneenda hasira za nn?
Director kaishiwa story
Simupendi Anna anavyo jikasilisha wakati anamupnd kufa muno devis
Kwann diba na yeye asimfuate nyuma kama lebeka akamfumanie tuone
Huyu Felix simpendi 😏😏😏
Davies umekamatika mapenzi yanakufanya hadi hujielewi ila ana sijui kiburi hau ujinga siakubari ama akatae ili aache kumteza mtoto wa watu.
Ana anatupptezea mda kama alikuwa ataki kuongea si angebaki na mumewe
Lamata!lini diba ataona haya jamani,team diba tumechoka kulialia bwana tunakosa amani,tunataka furaha ya diba aseeee!!
Maria once again
Huyu ana ananuna nini sasa jaman☹️☹️
Maisha ya anna km yangu😭😭😭
Sas Anna unanuna wakat naww unamume wako
Jua kali ya leo mbaya 😏😏 Enzo ipo wapi??
🎉🎉🎉🎉🎉
Kwan magar hay wanayotgneza natembea kweli
Maria jua lako 😂😂😂😂
Felix na madevu pokea maua yenu
Ila Ferix na baba ako mnakera nae mtoto wa maria mgumu plukushani zote hizo ila bado amekomaa tu anataka amumbue manake
Maria ipo siku mutahumbuka
🎉🎉❤❤
Sasa wewe denis ,kama ulimacha Rebecca, basi Anna hajaachika bure,so msubiri diba afike hapo
Masikini kaka fule
Huyu ndo piraa😅😅😅
wa 3 leo 😂😂😂😂🎉
Karibia jua lianze kumuwakia Maria😂
😂😂 lisha muwakia
Device utakoma
😅😅😅😂
Kafupi
Anna una bore bhana
Ana mhjinga Sana anamzarau mme wake Ana kazi kuchukua wanaume wa wenzie Diba amka mpige Ana kisawa sawa
😂😂😂😂😂😂