🤣🤣🤣WAIMBAJI WAZAMANI V/S WAIMBAJI WASASA😂😂😂

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 314

  • @irenegerald-vl5op
    @irenegerald-vl5op Год назад +1

    Hahahaha,uje utoe semina kwa waimbaji,nimejikuta nacheka mwenyewe kwa nguvu

  • @AnnastaziaJOtama
    @AnnastaziaJOtama 2 года назад +1

    Haaaaaa nimechekaa sana ubarikiwe mtumishi Mungu atusaidie

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 2 года назад +1

    Jamani 😂😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa apostle mwenye sikio na asikie zamani ilikua Safi sana.

  • @robinermsigalla9341
    @robinermsigalla9341 2 года назад +3

    Ubarikiwe kwa BARAKA zote za BWANA YESU. Nakupenda mtumishi unasema ukweli ktk mafundisho Yako.
    Umenifurahisha sana

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 года назад +5

    Amen you have made my night WOW naimba kwa sauti watu wote wasikie nimwogope nani nimwogope Yesu

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 2 года назад +2

    Nampenda yesu wa galilaya ametenda makuu moyoni mwangu.🙏🙏 kupitia hii naona watajifunza kuimba vizuri

  • @simbafansofficial
    @simbafansofficial 2 года назад

    Nakukubali saana mtumish wa Mungu, naomba uongelee na kuusu mavazi potofu kwa vijana wa kiume na wa kike,
    ubarikiwe saana

  • @keymilemartin8539
    @keymilemartin8539 2 года назад

    Kazi nzuri Pastor Mola na akuzidishie

  • @simonwaswa5296
    @simonwaswa5296 2 года назад +1

    Ghaiiiii ohhh my goodness, God is happy,i love this,bleßsings

  • @Estherm309
    @Estherm309 2 года назад

    Amen Amen bwana ni gome yangu kimbilio langu nimwogope nani nimwogope nana

  • @ireneminja1721
    @ireneminja1721 2 года назад +2

    Hahhahahahhahahah dah nimejikuta nachek mwenyew chaa!!u made my day ...God bless u my apostle

  • @davidmwangome8692
    @davidmwangome8692 2 года назад +1

    Amen...🔥🔥🔥🔥 Napenda mafundisho yako🇰🇪🇰🇪

  • @alterkingo8453
    @alterkingo8453 2 года назад

    Ubarikiwe mtumishi niombee iina yered Andrew mashurano

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 2 года назад

    Ubarikiwe zaidi mtu wa Mungu

  • @lailatlasway2384
    @lailatlasway2384 2 года назад

    mashalah nakupendasana paster hata nikiwa na stress xinaondoka nikusikizapo

  • @dorothmsabi5867
    @dorothmsabi5867 2 года назад

    Yeisuuuu aaaaah upande huu akuakuuubaaaa.....nimechekaaaa sana

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 2 года назад

    Nakupendaga Mchungaji wangu😂😂😂😂😂

  • @othnielepiphanus9830
    @othnielepiphanus9830 2 года назад +1

    Hahahaha we mzee siku ukizeheka itakuwa ni kucheka mpaka basi,. Hapo hujazeheka tu mambo yenyewe ndio haya,.
    God bless you my father

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 2 года назад

    Nakupenda sana pastor na kukuelewa sana. Hakika utukufu uko juu yako...

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @MARBEH_DOXA
    @MARBEH_DOXA 2 года назад +2

    Utaishi maisha marefu saaaaaaaaana chief marefu sanaaaaa kwa jina la Yesu.

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @raychlucky2050
    @raychlucky2050 2 года назад

    Hahaha aki woyeee leo nimejaka yangu yote ubarikiwe sana pastor

  • @harriethkisese3945
    @harriethkisese3945 2 года назад

    Dah!! kama vile skuwepo kanisani siku hyo maana nimecheka sana Apostle Mungu akubariki sana

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 года назад

    Duhhhh nimecheka Sana pastor ww nomaaà

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 года назад

    Ubarikiwe sana kiboko ni mziki wao km wapo kwenye kumbi za starehe

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!
      Uwongo!

  • @kevinwafula1173
    @kevinwafula1173 2 года назад +1

    Waaaaah, Praise the Lord.
    Tunakukaribisha Kenya.
    Mungu ni Mkuu.

  • @ibrahimmusau8942
    @ibrahimmusau8942 2 года назад

    Hapo hapo Mtumishi wa Mungu.. music aimed at worshipping God sio sarakasi zigine zinafanywa kwa makanisa.
    Ibra from KenyA

  • @calvingao7966
    @calvingao7966 2 года назад

    Amen apostle sema kanisa lipone baba

  • @danielmabula2154
    @danielmabula2154 2 года назад

    Ha ha ha dah mtumishi umenikumbusha mbali sana... Ila kweli sasa hivi ni usanii mtupu

  • @philisterkahindi5122
    @philisterkahindi5122 2 года назад

    Hahaaa nikweli kabisa siku hizi kuna sarakasi nyingi

  • @elvisbeloved2263
    @elvisbeloved2263 2 года назад

    Hallelujah song zazamani zilikuwa na mafuta lakini wakisasa kunawale wana compos song hazina upako

  • @MakeupTutorialsForBeginners
    @MakeupTutorialsForBeginners 2 года назад

    Wacheza musiki nao pia wamalekafunga kweli!!!! 🔥 👌👌👌
    🌿 musiki ina Phd hii
    Iyeeeeee

  • @elizabethmtweve1458
    @elizabethmtweve1458 2 года назад

    Yaan hatamm nimeipenda Sanaa ,kucheza Kuna raha yake ,ukicheza viungo vinanyooka Safi🤣🤣

  • @bahatizuberi9265
    @bahatizuberi9265 2 года назад +1

    Nampenda Yesu wa Galilaya...
    Nimekumbuka secondary school 2002. Tukimaliza huu tunaimba
    Mungu yu mwema ametenda mema moyo wangu umtukuze Bwana
    T

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 2 года назад +4

    Napenda sana mafundisho yako yamenipa tumaini na nimeinuka kiimani balikiweni sana always tuned from saudia Arabia asantii saaaaaaana apostle mutalemwa mungu akuinue zaidi leo nimefurahi sana💞👏🙏🙏🙏

    • @johnsendeyo4558
      @johnsendeyo4558 2 года назад

      Ameeen

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!
      Mafundisho urongo!

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 2 года назад +5

    😂😂 Apostle 🙌🏿
    current ministers 🙌🏿... May Lord God proceed lifting your ministry higher than highest I am blessed with it

  • @laurencyndosy5702
    @laurencyndosy5702 2 года назад

    Namkubali Sana huyu mtumishi nimkweli na hafichi mambo

  • @deborahdelly6254
    @deborahdelly6254 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥Apostle umejua kunifurahisha ubarikiwe mnoooo

  • @mariamahenge1409
    @mariamahenge1409 2 года назад

    Napenda mafundisho yako baba hongera sana sijui kanisa lako lipo wapi

  • @erickbenjamini8154
    @erickbenjamini8154 2 года назад

    Mungu akuzidishie mafuta prophet mtalemwa

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!
      Mafuta ya MOTONI??

  • @devothasimbi1055
    @devothasimbi1055 2 года назад

    Ubarikiwe sana nimeangua kicheko UKo sawa kabisa

  • @sifasylvie3941
    @sifasylvie3941 2 года назад +1

    Shalom baba mungu akuongezee maisha marefu naamini kwamba siku moja ndafika tanzania na tutaonana nakufuataka kila wakati kutoka canada vancouver bc mafundisho yenye unafundishaka kwa kweli yaligeuza maisha yangu na nika amuwa kumufuata yesu asante ila muwe natuombea na sisi wenyi kuwa mbali na nyinyi.

  • @DoctorInnocent
    @DoctorInnocent 2 года назад +5

    I love you Chief Apostle,
    May Yahweh keep you for many years ahead to Impact the World with the Kingdom influence🙏🇹🇿

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 года назад

    Bushiri wewe kiboko 🤣🤣🤣🤣 mbavu zanguuuuuuuu miyeee😂😂😂😂😂.

  • @doricelema2591
    @doricelema2591 2 года назад +6

    😂😂😂😂😂😂 I thank God, I have laughed enough 😂😂😂 a merry heart is a good medicine.

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24

  • @anyangojesinter5888
    @anyangojesinter5888 2 года назад

    nikueli 🤣🤣🤣🤣aki nakupenda bure

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 года назад +10

    Through your teachings you makes to smile even if I was not on a mood to laugh

    • @modestmorgan4359
      @modestmorgan4359 2 года назад +1

      Ni kweli kabisa ,,vijana Leo wamepoteza ,,japo wanasema ni generation yao ,Mambo yamebadilika ,,hakuna kilicho badilika nyimbo hizi tuliziimba tukiwa pia vijana ,wazee walizipenda sana ,hata Sasa kanisani kwangu wanazipenda sana ,Mimi mwenyewe mtu hanibandui

  • @mkalawaefraimmkalawa552
    @mkalawaefraimmkalawa552 2 года назад

    Umetisha sana

  • @patelmpene3650
    @patelmpene3650 2 года назад

    😂😂😂😂 hiii ya kustop ndyo imenmalza

  • @polinekilengelu9163
    @polinekilengelu9163 2 года назад +1

    Nimecheka yangu yote nikiwa ofisini hapa Kenya.waaah! Man of God..... Umesema ukweriii!!!

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @stellahokworo6561
    @stellahokworo6561 2 года назад +2

    Surely I can never get tired of watching you man of God 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aki Wewe Mungu akuongezee uishi maisha marefu

    • @isaacvtv547
      @isaacvtv547 2 года назад

      Nisawa kusema ila pamoja nayote mtu akijikuta hajaingia mbinguni hapo ndo kasheshe.

  • @majumamasinde1953
    @majumamasinde1953 2 года назад +4

    Hallelujah hallelujah glory glory to God apostle you make my day God bless you

    • @jimmykalumuna8483
      @jimmykalumuna8483 2 года назад

      I want to know where is this church exactly I Wana visit pr mtalemwa

  • @franciscaaugustino4305
    @franciscaaugustino4305 2 года назад

    Mbavu zangu Mimi . Hongera papa

  • @davidmwangome8692
    @davidmwangome8692 2 года назад

    😂😂😂😂😂umenitengenezea kwa kicheko Apostle

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 года назад

    Hahahhaa nimecheka Sana, brother upo pouwa be blessed,

  • @happyngulo4722
    @happyngulo4722 2 года назад +1

    Nampenda yesu wagalilaya amendenda makuu moyon 👏

  • @zawadijoel7516
    @zawadijoel7516 2 года назад

    😂😂 ubarikiwe sana. Umenichekesha sana. Na nina kikoho basi tena.

  • @mariselilekibalunye5933
    @mariselilekibalunye5933 Год назад

    Mtumishi Wacha kudramatize madhabahu ya mungu , ebu hubiri mantiki hapo sio vituko show .

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 года назад

    Kweli tupu mpakwa mafuta Mutalemwa
    MUNGU BABA ALIYEHAI akubariki sana

  • @bigjohndeliveranceworship6606
    @bigjohndeliveranceworship6606 2 года назад

    Wewe mtume yaani sijui una nini nfani yako unafundisha hatari kilakitu unachokiongea kimejaa hakili za hatari Mungu akuinue zaidi uzidi kutubariki hadi mwisho wamaisha yetu

  • @clausychedy9324
    @clausychedy9324 2 года назад +1

    Chief Apostle....10G... nakupenda Sana...you are so Amazing.... anything you teach is real....you show the way.....Be blessed always with God of Major1.❤️

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24

  • @nancyakinyiotieno744
    @nancyakinyiotieno744 2 года назад

    I love that first song

  • @saramuna1173
    @saramuna1173 2 года назад

    Haki Mtumishi nakupenda nimecheka sana... God bless you 🙏🙏

  • @naomsblessedhairstyles
    @naomsblessedhairstyles 2 года назад +1

    I love you.....you are such a fun to watch and listen to....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @edwardthegreat8700
    @edwardthegreat8700 2 года назад

    Nakupenda mchungaji..uko sahihi

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @mariamahenge1409
    @mariamahenge1409 2 года назад

    😃😃ni kweli baba hata nyimbo hazieleweki

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 2 года назад +1

    Nimecheka uimbaji wa sasa😆😆😆😆😆😆

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад

    Nampenda Yesu anetenda makuu moyoni mwangu ,unanikimbusha semina babati ilikua safi sana

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 года назад

    😅😅 Asante nimecheka nami

  • @davidosiemo8633
    @davidosiemo8633 2 года назад

    I love your teaching pastor iam watching from Dubai

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 2 года назад +1

    Woooow nice I wish one Day to attend your service be blessed.

  • @eugenemimbi1330
    @eugenemimbi1330 2 года назад

    Nmecheka sana yesu wa nazarethi

  • @leahtimothy7273
    @leahtimothy7273 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🔥🔥weww apostle 🇰🇪🇰🇪

  • @juliaswankuru8474
    @juliaswankuru8474 Год назад

    Hakika mahali hapo Kuna upako na nguvu ya Mungu nabarikiwa Sana

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 года назад

    Ubarikiwe Sana kwa mafundisho Yako 🙏🙏🙏

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @magassajerome7828
    @magassajerome7828 2 года назад

    Nakupa kutoka Kenya Daddy Apostle

  • @emanuelanderson6771
    @emanuelanderson6771 2 года назад

    Ayayayayaya may God bless you chief mtalemwa

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @emmasidi9446
    @emmasidi9446 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣Amen Amen ubarikiwe mtumishi apostle

  • @nicholausalois6387
    @nicholausalois6387 2 года назад

    Huyu mtumishinimpenda sana

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 года назад

    Aa, hahaaaa Mtumishi Wachekesha

  • @christinahaggai
    @christinahaggai 2 года назад +1

    😂😂😂😂But baba baba baba Mungu akutunze

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 2 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 I love you Man of God

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 2 года назад

    Dah maombi mengine

  • @msakamaboga5712
    @msakamaboga5712 2 года назад

    I wish to meet with you especially in your service

  • @victordidace3317
    @victordidace3317 2 года назад

    Chief nusu nipasuke nimecheka mpaka basi

  • @vestinaneema5008
    @vestinaneema5008 2 года назад

    Nimecheka mbavu sina😂unafundisha kwa vitendo mtumishi

  • @gzakayo
    @gzakayo 2 года назад +1

    Sindano imepenya hiyo chief😂😂😂😂😂

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 2 года назад +1

    Ahahahah ila Apostle jamani hahahaah 🙌🏼🙌🏼.
    Umesema kweli Chief wa watu👏🏽

  • @ednakynadongowi4755
    @ednakynadongowi4755 2 года назад

    😂😂😂😂😂.......Chief Mungu akupe maisha marefuuu saaana kwa ajili ya kanisa Lake

  • @victormshindi9636
    @victormshindi9636 2 года назад

    Ahaaaaa...... nimeipenda

  • @rubenmedia2973
    @rubenmedia2973 2 года назад

    Asante Sanaa kwa ukwelii huuu

  • @viplianemmbone8040
    @viplianemmbone8040 2 года назад +1

    Thanks for making a smile, you are already blessed man of God live long 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @gabrielewest5403
    @gabrielewest5403 2 года назад

    Hapa ata ka hutaki kucheka itabidi umecheka🤣

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 2 года назад +1

    Hakika kwa Sisi waimbaji umeikosha mioyo yetu.barikiwa Sana kwa ujumbe mzuri
    Hakika kila atakae sikia ujumbe huu Kama NI mwimbaji lazima ukaguse moyo wake

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 2 года назад

    Amen kanisa limechangamka.

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 года назад

    Hallelujah hallelujah 🔥 unapendeza🇰🇪🇰🇪.

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!

  • @bonniekk73
    @bonniekk73 2 года назад

    Haha mafunzo yako sana from kenya

  • @simonmwanandenje662
    @simonmwanandenje662 2 года назад +1

    Daaaaa! Umenena vyema apostle 🖐️🖐️🖐️😆😆

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад

    Mungu akubariki sana kweli hii ni service

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 года назад

      Ofcourse the Bible has set protocols! And these protocols FORBID singing, dancing and Pastors shouting and talking in strange voices, possed by Satan!
      Here are the protocols, my friend:...
      This guy is making a Monkey out of you! Vimbo ime katazwa kanisani Isaiah 23:16!
      Amos 5:23 pia imekataza Vimbo.
      Kwani Yesu alikuwa ana Band? Yesu alikuwa ana ruka rukaka kama huyuthumbiri katika Kanisa?
      Huyu ni False prophet, Mathew 24:23-24
      Talking as if possesed, Mathew 6:7!
      These Pastors are puttingupa Show so that yoou can give them MONEY, this is not for free!
      The Bible recognises these GREEDY False APOSTLES in Isaiah 56:10-12!
      Ni uwongo tupu

  • @rehemamkumbo2082
    @rehemamkumbo2082 2 года назад

    Hahahaaaaaa Amen mtumishi

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 2 года назад

    Nabii unaniuwa,😂😂😂😂