Kitendo chakutetea wanyama uko sawa ila kwa personality unashida kubwa ni mtu anaeona yuko sawa kwa kila jambo,anamajigambo sana hawa watu huwa wanathamini wanyama sana kuliko binadamu anasifa nyingi mbwa anakula chipsi mwisho mletee mfupa na hao ni mbwa wa urembo
Mwandishi wa habari, mie nilijua atatumia ustaharabu kama mwandishi ila kafoka zaidi ya police😂😂😂😂 mbona uongeaji uliotumia haukuonyesha kama unamuomba bali unamfokea😂😂😂😂😂
Uko sahihi sana hata Mimi Huwa inaniuma sana hasa ninapokutana na mtu amening'iza kuku kichwa chini miguu juu. Kiujumla naomba tushirikiane kuwaokoa wanyama hawa.
Nilijua mheshimiwa kumbe kajamba Nan hahahaha..hongera kwa kutetea kuku ila unamisifa kinomaaa cjakupenda kwa kufokea watu vile..ongea kistaarabu sio kufoka kule nyau ww
Wanao kosea ni hao maafisa mifugo hao kuku wametoka mnadani na huwa wanalipiwa kutoka hapo mnadani sasa kwann wao wasiwape elimu na wasiwe wakali kusimamia haki
Una kuja kuona kuku una Kiki je Punda na Makisai (Animals power) wanao tumika every single day! Mbona usiende kutowa Elim maarifa uko vijijini Ambako uelewa wa Haki za wanyama zipo chini zaidi!
Sema umetengeneza kiki tu hamna kitu hapo yaaan ukae na media msimamishe gari gari isimame ufokee watu unavyotaka wewe then useme nyokonyokoo zako we sema uketengeneza contents tu
Tunasikiliza, tunasoma, tunatafakari na tunaelewa. Sarufi: Mwandishi amesema: Kuku zile... Mrejeshaji [mchangiaji] mmoja ameandika: Ng'ombe zinavofanyiwa... Nomino za *kuku* na *ng'ombe* umoja na wingi ni sawa. Lakini katika viambishi awali [prefixes] vyake ni kundi la ndege na wanyama, yaani, nomino za kundi la kwanza la ngeli: *m/wa*. Hivyo basi, Kiswahili sanifu ni *kuku wale* badala ya *kuku zile*; *ng'ombe wanavofanywa* badala ya *ng'ombe zinavofanywa*.
Wewe pia Hauko sawa Hakuna Neno Zinavo!! Hakuna kitabu hata kimoja kilichowahi kutumia Neno Zinavo!! Bali Ni ZINAVYO kwaiyo na wewe rudi shule kajifunze kiswahili
@@farajiwanted8257 Asante sana kwa kunisoma. Lakini sidhani kuwa ulisoma marejesho yote yaliyoandikwa. Kwa ufahamisho, ya kuku nilitumia maneno ya mwandishi wa AyoTV; na ya ng'ombe nilitumia maneno ya mrejeshaji [mchangiaji] *Irene Assey* akitoa mfano wa huko Zanzíbar. Sikupenda kusahihisha neno *zinavofanywa* kwa sababu ifuatayo: Wazanzibari wanapenda sana kusema na kuandika, kwa mifano, *onesha* badala ya *onyesha* na *alivofanya* badala ya *alivyofanya*. [Rejea marejesho yote yaliyotundikwa utagundua nilichonukuu. Nirudie kwa mkazo. Nilimnukuu mrejeshaji mmoja; kamwe neno hilo halikuwa langu na sikulizingatia kulisahihisha kwa sababu ya muktadha wa Wazanzibari. Na wewe nitajie kitabu chochote cha Sarufi ya Kiswahili chenye neno, *kwaiyo*! Rudi shule! Mwisho, chukua hoja yangu mbele ya mbobezi wa Kiswahili
Unatafuta kujulikana ili mama akiteue eti haki za wanyama haki za wanyama peleka kwa wazungu uko ndio nyote nyie mwisho wa siku mtakuja kusema mashoga pia wana haki zao
We ulitakiwa kuandika makala maalumu ukatumia jukwaa lako la uandishi watu wapate elimu ....kuna mamlaka zinazo husika zitatoa maelekezo si wewe makerere mengi ya nini
mnao mlaumu huyu kaka mnakosea sana,kisheria nikosa kubeba kuku kwenye keria ya gari bila kuwaweka kwenye tenga, inatakiwa uwabebe kwenye tenga,tena niafadhali kakutana nahuyo,kuna mtu mmoja alifanya hivyo akakytana na mwanajeshi alichofanyiwa nibalaa,nae alinin'ginizwa nayeye,nakichapo juu.
@@maulidimsingwa3263 MWANA JESHI ANA HAKI GANI YA KUTESA RAIA??? HUU UJINGA UPO AFRICA 2 NCHI ZA WATU MWANA JESHI HANA HAKI YOYOTE URAIANI WALA KUPITA NA VIGWANDA VYAO
Huyo alitoa pesa ili ashoot video ya kumpa umarufu tu hizo kuku na mwenye kuku na yeye wanajuana tu pia kampadereva hela ili asimamishe gari kwa ninavyo wajua madereva wakosta za moshi na arusha walivyo na vichwa vibovu wanakimbiaga mpaka traffic akiwasimamisha waje wasimame kwa mvaa koti la suti kama huyo ..
Kwakuwa watu wamesha kujua Kuwawe ni muandishi wa habari usije kusimamisha tena utakuja kupigwa kijinga kabisa labda uwe na kazi nyingine tofauti vinginevyo utapigwa
Linda ndio hatari mpaka wamekuwa weusi kwa ajili ya kubeba mkaa njia ya mungu maji huku singida ni noma pikipiki ikibeba mkaa ata kimbizwa Kama kabeba magendo Ila punda toba
Uko Sahihi boss.
Jamaa anasifa tu
Mashallah Kwa Hakika Malipo Yake Ni Makubwa Mbele Ya Allah Kwa Kuthamini Viumbe Vyake
Ongea kwa heshima broo maisha yanabadilika ad unaweza shangaa heshimu watu ongea kwa staha
KAZI nzuri lakini Limbukeni tuu
Kweli kabisa
Watu wengi humu hawajui Kama Kuna haki za wanyama na Sheria zao Ni Kali sana aise
Nawaheshimu sana wanyama umefanya vyema Kaka hongera
Hongera kwa kazi nzuri bro
Safi sanaa wanyama uwa wanapata tabu sanaa, wewe umekua mtetezi wao, wausika wahiro awafanyi kazi hiyo.
Hongera sanaa doto kimsingi ulisimamia sheria za haki za wanyama vyema sana
Broo mimi naona uwo ni upuuzi mtupu unatetea kitu ambacho kinaenda kuchinjwa na kuliwa ajabu
Hiv hamnaga kazi za kufanya?
Ulitakiwa umwambie kwa Upole na sio kama Asikal polisi, ata ivyo ni kiki ya kuingia mjini
Ni sahihi ? Ila ni ubunifu wa kutafuta kiki !! Nadhani huenda umeshatoboa kupitia ayo tv
Kitendo chakutetea wanyama uko sawa ila kwa personality unashida kubwa ni mtu anaeona yuko sawa kwa kila jambo,anamajigambo sana hawa watu huwa wanathamini wanyama sana kuliko binadamu anasifa nyingi mbwa anakula chipsi mwisho mletee mfupa na hao ni mbwa wa urembo
Kanikera😢😢😢
Umeongea Facts kabisa, nakuunga mkono, na hapo kahojiwa na *Millard Ayo* kichwa kimezidi kuwa kikubwa 😂😂😂
Hongela mwandishi ujee uwakemee na huku kwetu wanatesa Ng,ombe Kwa kusombea tofali nyingi na kuwachapa vibaya sana naona Cy haki ya wanyama
Daah adi muandishi anacheka kimoyo moyo siyo kwakujieleza huko kabla ya swali
Anakela
😂😂😂😂 Tatizo sifa nyingi mno Alafu anaongea sana 😅
Nahis huyu ni mhaya aiseee
Kazi nzuri sana
so good ila sjakosea sana ni muhaya maana swali linalo ulizwa ni tofauti na majibu😁😁😁
Tumeelewa..wanyama pia wana haki zao,tuzangatie hili
Mwalimu wa Kiswahili njoo,Huyu Mwingine, Tuzingatie Yeye Ameandika TUZANGATIE 😂😂😂Fimbo Zinamuhusu🙏.
Nimegundua watu wengi hawajui kama kuna haki za Wanyama na nikali sana zikifanyiwa kazi mana Wabongo wengi mtapotelea huko Magerezani
Uislam unajua mno haki za wanyama😊
Wazungu ndo wanajua haki za wanyam ila watu weusi😅😅😅😅😅
Mama akoo kausomesha kwa mchango wa kanisa na na pombe ya mtaanii mpaka leo hujajipeleka polic mana alivunja sheria nyingi brow
Lp
Huyu jamaa tatizo lake ana misifa sana, kuna siku kidogo apigwe makofi mahali. Ana kiherehere sana. Mara ukutane naye anaendesha kigari chake rafu.
Hahahaha kwel ana sifa sio kidogo
Kweli ni mpenda sifa za kipumbavu
Ukimwangali tu alivyo anaonekana kweli anakihelehele,🤣🤣🤣🤣
Hiyo ndio shida mnaacha vitu vya msingi mnajali mambo ya mtu binafsi Hivi hijui ka kuna haki za wanyama
@@fahadfaraj6474 Tatizo ye mwenyewe sio mstaarabu. Atakuja kuumia siku moja. We humjui huyo hewa...
Wengi wanamlaumu lakini yupo sahihi
Mwandishi wa habari, mie nilijua atatumia ustaharabu kama mwandishi ila kafoka zaidi ya police😂😂😂😂 mbona uongeaji uliotumia haukuonyesha kama unamuomba bali unamfokea😂😂😂😂😂
Ni kweli huo ni unyanyasaji wa wanyama! Lakini misifa imezidi!
SASA mbona uongelei kuku?? Unajielezea UPUUZII weweee??
Huyu kabila gani
Mana Hana Hata bureki za mdomo
Ttz unavimba sana bro acha hizo kiki
Wewe unatafuta kk tu mwishowe utasema wapewe siti
Kweli kabisa,...Tz watu hawajali kabisa wanyama,..ukitaka kujua wanyama wnataabishwa, kwenye USAFIRISHAJI na MACHINJIONI..!
Mm nilikuelewa sawa boss ila uliwanyoosha jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
tnajua kazi yako sio uwandishi tunakuelewa
ningekuwa mimi kweny hiyo gari na makofi Angekula watu wanaharaka zao wamechoka na safari hausiki na maswala ya barabarani
mtoto mdogo sana huyo
siku hizi wengine ni matapel kwa kutumia uandishi wa habar
Huyu atakuwa Muhaya au Mnyakyusa
@@francismsuta7815 ungempiga kweli au unachangamsha soga tu hapa 😅😅
Kumbe huyu jamaa ule ulikua mpango wao kuanzia Dereva mpaka anaejiita mwenye kuku ilikua kutafuta kiki ili ajitambulishe mpaka nyumbani kwake
Uko sahihi sana hata Mimi Huwa inaniuma sana hasa ninapokutana na mtu amening'iza kuku kichwa chini miguu juu. Kiujumla naomba tushirikiane kuwaokoa wanyama hawa.
Alafu tuna wachinja(kuwaua) na kuwala...🤣
Nilijua mheshimiwa kumbe kajamba Nan hahahaha..hongera kwa kutetea kuku ila unamisifa kinomaaa cjakupenda kwa kufokea watu vile..ongea kistaarabu sio kufoka kule nyau ww
Hahahaha profesa majalala
Nimeikubaliii
Mbona hujawatetea KUKU wa mayai wanaofugwa kwenye Keg au hujajua kama nao wanafanyiwa ukatili. Ulikua sahi lakini ulikua unatafta kunulikana
Mbona hii kama iliandaliwa sijaona abilia kwenye gar na hata maojiano yake ayako poa
Good job
Huyu kilaza mbwa gani Anakula kalanga na epoo
Ww ndio umesikia Leo karanga wa mbwaa upo tz hiii hiii au
Anasifa sio powa 😂😂😂
Uyu anataka kazi utumishi wa umma, sio kwa sifa hii 😅
Tatizo wabongo hawana utaratibu wa kuhoji na ni waoga wa kuonesha msimamo.
Take home zinakua ni nyembamba 😂
Kusema kweli kuku wanateka sana wakisafilishwa
Una kazi ya mbili doyi
Watanzania kwa kutafuta umaarufu
Brooo God nataman kupata namba za huyu jamaa Kani furahisha sana
Siku nikukute unamkumbatia mnyama hivyo utanieleza mahusiano yenu yakoje 😂😂😎
Hahaaa
🤣🤣
Punguza kiherere bro ...hapa ni tz
Huku singida ndio haki za wanyama aswa kuku ni noma wanazalishwa Sana kuku wizara ya mifugo aijali na wala haioni
Mwandishi? Mbona Don
Inaonyesha ana PESA ndefu
Huyu ni dikteta .
Angeenda zanzibar akaona ngo'ombe zinavo fanywa angechoka😂
😂😂😂
We vimba tu watakuja wakutoe upepo 😂😂
spiker vollyball
Unamaliza bando
Hizi haki ndio zimepelekea mashoga kudai haki zao
😂
Kwa wa nyama sawa ila ayo mengine ata Allah apendi
Mama Samia waziri wa mifugo huyo umeshampata
Umetengeneza iyo video hakuna kitu Kama hicho .fanya vitu kwa uhalisia
Punguza ukari wa maneno ikitokea ukapewa ukuu wa mkoa si utakojolea watu?
Si haba lkn yuko sahihi
Watu kama hawa ndio wanahitajika kuwa kiongozi japo nadhani jamaa ni askari pia
Sasa umbwaa kama hii anaeza mnkataa Nani labda kinyanya Mzee 😂😂
Nilijua ni traffic kumbe ni muhun tu
Kwani alishindwa kuongeaa tu kwa utaratibu mpka atuonyeshe yeye nani
ongea kwa adabu una kiburi broo
Siyo kibri umemjaji vibaya huyu kaka Ana ujasiri uliopitiliza tunaita over confidence safi sana
mshamba huyo
Huyu ni mhaya au mbona anajikuta sana
Mbona jmaa kma H.polepole kuongea had kufanana
Tembelea maeneo ya Tengeru yote ,ufungaji wa kamba kwa ng'ombe wanafunga chuma puani.Jambo hili linaniumiza mno linaniumiza sana
Chuma puani sio tatizo ni km muhuri wa moto
Wanao kosea ni hao maafisa mifugo hao kuku wametoka mnadani na huwa wanalipiwa kutoka hapo mnadani sasa kwann wao wasiwape elimu na wasiwe wakali kusimamia haki
Bado kuna watu wanawatesa sana wanyama,hasa Punda wanapigwa
Aende masaini simanjiro 😂😂
Watu kama hawa wanatakiwa sana
Anakazi mbilihuyo
Una kuja kuona kuku una Kiki je Punda na Makisai (Animals power) wanao tumika every single day! Mbona usiende kutowa Elim maarifa uko vijijini Ambako uelewa wa Haki za wanyama zipo chini zaidi!
Aje simanjiro tumgeuze na yeye punda😂😂
Sema umetengeneza kiki tu hamna kitu hapo yaaan ukae na media msimamishe gari gari isimame ufokee watu unavyotaka wewe then useme nyokonyokoo zako we sema uketengeneza contents tu
Tunasikiliza, tunasoma, tunatafakari na tunaelewa.
Sarufi:
Mwandishi amesema:
Kuku zile...
Mrejeshaji [mchangiaji] mmoja ameandika:
Ng'ombe zinavofanyiwa...
Nomino za *kuku* na *ng'ombe* umoja na wingi ni sawa. Lakini katika viambishi awali [prefixes] vyake ni kundi la ndege na wanyama, yaani, nomino za kundi la kwanza la ngeli: *m/wa*.
Hivyo basi, Kiswahili sanifu ni *kuku wale* badala ya *kuku zile*; *ng'ombe wanavofanywa* badala ya *ng'ombe zinavofanywa*.
Wewe pia Hauko sawa Hakuna Neno Zinavo!! Hakuna kitabu hata kimoja kilichowahi kutumia Neno Zinavo!! Bali Ni ZINAVYO kwaiyo na wewe rudi shule kajifunze kiswahili
@@farajiwanted8257 🤣🤣🤣 umemshushua hahahaa
@@farajiwanted8257 Asante sana kwa kunisoma. Lakini sidhani kuwa ulisoma marejesho yote yaliyoandikwa.
Kwa ufahamisho, ya kuku nilitumia maneno ya mwandishi wa AyoTV; na ya ng'ombe nilitumia maneno ya mrejeshaji [mchangiaji] *Irene Assey* akitoa mfano wa huko Zanzíbar.
Sikupenda kusahihisha neno *zinavofanywa* kwa sababu ifuatayo: Wazanzibari wanapenda sana kusema na kuandika, kwa mifano, *onesha* badala ya *onyesha* na *alivofanya* badala ya *alivyofanya*. [Rejea marejesho yote yaliyotundikwa utagundua nilichonukuu.
Nirudie kwa mkazo. Nilimnukuu mrejeshaji mmoja; kamwe neno hilo halikuwa langu na sikulizingatia kulisahihisha kwa sababu ya muktadha wa Wazanzibari.
Na wewe nitajie kitabu chochote cha Sarufi ya Kiswahili chenye neno, *kwaiyo*! Rudi shule!
Mwisho, chukua hoja yangu mbele ya mbobezi wa Kiswahili
Longolongo kibao alafu point haieleweki
Makofi kwako anaejali lugha yake itakuwa amekuelewa hongera ila nahis kaonglea kuhuni zaid kusema kuku zile au ng'ombe ila vzr umetuelemisha
Unatafuta kujulikana ili mama akiteue eti haki za wanyama haki za wanyama peleka kwa wazungu uko ndio nyote nyie mwisho wa siku mtakuja kusema mashoga pia wana haki zao
Haki gani Wakati nawala kuku kila siku
Hahaaa
We ulitakiwa kuandika makala maalumu ukatumia jukwaa lako la uandishi watu wapate elimu ....kuna mamlaka zinazo husika zitatoa maelekezo si wewe makerere mengi ya nini
Huyu akipewa cheo cha ukuu wa mkoa Dar watu watanyooka
jamaa uyu ali chochote cha nyama.
Kiki hio alihtj kutrend kam hvo ndomn akaanda na kamera kbs ili ipostiwe
nilianza kufuga kuku sababu wanavyobebwa na wauzaj naonaga km kuwastir wanyama wanachukuliwa km hawanaga maumivu
Dotto
mnao mlaumu huyu kaka mnakosea sana,kisheria nikosa kubeba kuku kwenye keria ya gari bila kuwaweka kwenye tenga, inatakiwa uwabebe kwenye tenga,tena niafadhali kakutana nahuyo,kuna mtu mmoja alifanya hivyo akakytana na mwanajeshi alichofanyiwa nibalaa,nae alinin'ginizwa nayeye,nakichapo juu.
@@maulidimsingwa3263 MWANA JESHI ANA HAKI GANI YA KUTESA RAIA??? HUU UJINGA UPO AFRICA 2 NCHI ZA WATU MWANA JESHI HANA HAKI YOYOTE URAIANI WALA KUPITA NA VIGWANDA VYAO
Aya nenda simanjiro punda anabebeshwa Mizigo km kuni😂😂
Kavaa tait
Huyo alitoa pesa ili ashoot video ya kumpa umarufu tu hizo kuku na mwenye kuku na yeye wanajuana tu pia kampadereva hela ili asimamishe gari kwa ninavyo wajua madereva wakosta za moshi na arusha walivyo na vichwa vibovu wanakimbiaga mpaka traffic akiwasimamisha waje wasimame kwa mvaa koti la suti kama huyo ..
Kwakuwa watu wamesha kujua Kuwawe ni muandishi wa habari usije kusimamisha tena utakuja kupigwa kijinga kabisa labda uwe na kazi nyingine tofauti vinginevyo utapigwa
🫡🫡💯
Kweli watu huwa wanawatesa kuku Sana Mara utakuta kawafunga kwenye pikpik miguu juu vichwa chini paka huruma
Muda ukiwa umekamata kidari rost unakuwaga na huruma Mr🤷
Linda ndio hatari mpaka wamekuwa weusi kwa ajili ya kubeba mkaa njia ya mungu maji huku singida ni noma pikipiki ikibeba mkaa ata kimbizwa Kama kabeba magendo Ila punda toba
Kiki za kijinga tu
Ila wewe jamaa bado ni mshamba wa Elimu na una sifa za kijinga sana yaani unajikia sana
Mi sion cha msingi hapo, ni sifa tu. Mnyama unambeba kama mtoto? Hiyo ndo haki ya mnyama?
Hizi haki ni za kijinga sana, ndio zimeleta ushoga Duniani.
DUUU....AKILI KISODA
Kivipi?