#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 78

  • @jovinmbalikila15
    @jovinmbalikila15 Месяц назад +13

    Makolo ni watu wa makelele tu lakini hawana team kabisa kabisa, punguzeni mihemko makolo

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 Месяц назад +1

      Kwani wewe ulitakajee?

    • @mzongekibwana838
      @mzongekibwana838 Месяц назад

      😂😂😂😂mbona makasiriko 😂😂😂sasa walio toa sare ni simba nyiny nini kinawauma..

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm Месяц назад +5

    Wambie kaka Ambokile ukweli unauma💪😂😂😂😂

  • @PiusLaymond
    @PiusLaymond Месяц назад +3

    Bloo unaongea ukweli sana nakukubali sanaaaa

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 Месяц назад +2

    Mimi sio shabiki wa simba Ila ninachojua this week wapo wachambuzi wataumbuka,simba anaenda group stage na Mimi naona nafasi ya simba ni kubwa mnoo kama huamini tusubiri dk 90 zitasema

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 Месяц назад +7

    Umezungumza kweli Ambokile walipaki maroli na basi jana Simba walibebwa ile ilikuwa penati kabisa

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 Месяц назад +1

      Wewe shoga pelnati gani ilee mpira umetoka ulee

    • @frankmahenge5943
      @frankmahenge5943 Месяц назад

      ​@@hassansalum2572❤❤❤

    • @mzongekibwana838
      @mzongekibwana838 Месяц назад

      😂😂😂😂😂 mbona makasirko aya ni penati..umeridhika😂😂😂au bado

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 Месяц назад +2

    ACHA UPUMBAVU WEWE KUKOSA MAGOLI KITU CHA KAWAIDA SABA. TEAM IMESHINDA NA DUBE KAFUNGA

  • @birundula
    @birundula Месяц назад +2

    Ni kweli kabisa kama wachezaje wanafanya vibaya lazima waambiwe haiwezekani mchezaji unakosa magori halafu tukae kimya labda kama timu ni ndogo sawa

    • @msabahaissa6201
      @msabahaissa6201 Месяц назад

      Ibrahimu ambokile ni muongo sana,Simba wamecheza na Al ahly ya misri kwa mpira safi mpaka wakaongoza goli moja na wao Al ahly kisawazisha.
      Amecheza na Diagosto na kushinda goli 3

  • @mbarakashabani3574
    @mbarakashabani3574 Месяц назад +1

    Kweri kabisa kaka

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 Месяц назад +2

    Upo sahahi

  • @dinosiasa5600
    @dinosiasa5600 Месяц назад +4

    Leo kidg kma nimekuelewa iv, maana umeacha ushabiki wko wa utopolo

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 Месяц назад +3

      Kwani Ni Dhambi Kuwasifia Wanaocheza Vizuri?Wacha Wivu Wewe Kolo.🤣🤣🤣

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct Месяц назад +1

    Ambokile we hakiba ya maneno juz ulisema simba ananda libiya hatoboe leo ww bana😊

  • @AnthonySylvester-d5m
    @AnthonySylvester-d5m Месяц назад +1

    Unaongea point

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 Месяц назад +2

    Bonge la mchambuzi

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb Месяц назад +1

    Acheni hii stori ally pengine kamlenga mtu maalum tu

  • @GerardWagumba
    @GerardWagumba Месяц назад +1

    Ambokile uko vizuri pokea maua yako

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q Месяц назад

    Simba ikiwafunga mtasema nini tena

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian Месяц назад +1

    Uyu jamaa yuko sawa sana wachezaji wa yanga hawakucheza kwa kiwango kile.

  • @IddyMzuri
    @IddyMzuri Месяц назад

    KAMA NI PENART KAPIGE BAC

  • @jumaibrahim476
    @jumaibrahim476 Месяц назад +1

    Kidogo sasa unaadabika kwa sasa

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g Месяц назад +1

    waambie maduka hawena jipya

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale Месяц назад

    Kabisa usiunge mkono vitu vya hovyo, Yanga tulizingua Sana aiseee

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 Месяц назад

    Huyu mshenzi tu, mechi zinachezwa kulingana na mahitaji ya mechi

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 Месяц назад +1

    sifia basi waliotengeneza nafasi.

  • @DayatiMwadini-i5o
    @DayatiMwadini-i5o Месяц назад +1

    Kwani ww unapongeza team ambayo haikuxhinda ugenini kwaiy wakijakupgwa uku kwao jee

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 Месяц назад +5

    SIMBA hakujilinda alishikilia BOMBA🤣🤣🤣

  • @stevensosipita
    @stevensosipita Месяц назад

    WAAMBIE UKWELI MAKOLO AKA SANDA MANENO MENGI VITENDO 😱 😱

  • @godwinmsakwa373
    @godwinmsakwa373 Месяц назад +2

    Wambie ukweli simba away hawezi

  • @JumaJuma-g5e
    @JumaJuma-g5e Месяц назад +1

    Tatizo. Makolo. Wanapendwa. Kudanganywa. Kilasiku. Na. Kujifanya. Wamuzi. Sanna. Wachambuzi. Wabongo. Wanawasema. Kuwa. Ni. Wazoefu. Wakubwa. Kimataifa. Ila. Komber. Au. Musu. Fainali. Yaguju. Sijuwi. Ukubwa. Upi. Uwo.

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 Месяц назад +1

    Huyu wala sijawahi kumuelewa hata kidogo. Kwanza ni mshabiki wa timu ya utopolo fc.

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g Месяц назад

      na huwezi kumuelewe maana anawaambia

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 Месяц назад +1

    ww nani? hata kama hautaki kukubali.

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 Месяц назад +1

    😂😂😂😂 uyu ni msambaa wawapi

  • @MussaLilombo-e8o
    @MussaLilombo-e8o Месяц назад

    Chuma cha Mjerumani

  • @ScolaGidion
    @ScolaGidion Месяц назад

    Kolo bana😂😂

  • @RevocatusLusolanya
    @RevocatusLusolanya Месяц назад

    Hovyo San ww

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад +1

    Huyu Mshamba kwelikweli. Kaja mjin na Rungwe. Penalt kaiona yeye na wasafwa we nzie.

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 Месяц назад +1

      Shida yenu hamtaki kuambiwa ukweli ili mjirekebishe mnapenda kusifiwa basi nyie ni wazuri mna kikosi kizuri umeridhika?

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад

      ​@@sweetbertrwiza5982 Muhaya na mpira wapi na wapi? Huyu chizi katoka Bara kama wewe tu. Simba kacheza kimbinu zaidi. Kama wao walikua Bora wange ifungua basi Difens ya Simba. Kama hawa kuifungua Difens ya Simba . Maana yake mbinu za Simba zili fanikiwa Mbinu za tripol zili feli. Mwenzie Hans kabong'oa Mabuluu kamdharililisha. Huyu choko tu anapiga lamri hajui kitu. Bw wenu akikojolewa ajitokeze kuongea haya.

  • @maryaernest3554
    @maryaernest3554 Месяц назад +1

    Ww mchambuzi umetumwa na waarabu kusema ss simba tumebebwa wapi eti ilikuwa penati mbona ss tumefanyiwa mazambi hatulalamiki kama ww unajua kucheza nenda uwanjani tukuone sio unapiga porojo tu hapo baada ya kuiombea timu yetu ishinde

  • @MohamedMoa-rl5zj
    @MohamedMoa-rl5zj Месяц назад +1

    iv unafkiria mashabk Wa simba wanaakilii wale mazuzu

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn Месяц назад +5

    Acheni kumtukana anawaambia makosa waliyoyafanya uwanjani.

  • @soudsadique2049
    @soudsadique2049 Месяц назад +2

    Ambokile mie nipo naye 100% wachezaji wetu wa YANGA wamezingua sana. Sipendi kumtaja mchezaji mmoja mmoja ila kwa walopata nafasi za wazi ninawalaumu sana

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 Месяц назад

    Ambokile lini uliiamini Simba,wewe hutupi shida tuwachie Simba yetu,wewe endelea na Uto yako

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 Месяц назад +1

    Sijawahi kuona timu inafungwa gori moja harafu mashabiki wakafurahi kua eti timu yetu ni nzuri kichefu chefu cha soka la bongo mashabiki hatuujui mpora ispokua tunamuhemko wa mpira nakuskiliza kaka kwa umakini sana karibu katoro geita

    • @MalulaMgasa
      @MalulaMgasa Месяц назад

      Kuma ya mama yako mchambuzi wa mchongo.

    • @MajibuCredit
      @MajibuCredit Месяц назад

      Kwahiyo unataka kutuaminisha alietoa sare away ni Bora kuliko yule alieshinda goli 1 away 😂😂 Amka ndugu utakojoa ww😅

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt Месяц назад

      Hivi goli moja lina point ngapi na goli tano zinapoint ngapi😊

  • @Mahembeka
    @Mahembeka Месяц назад +1

    Wewe nimwehu mpumbuvu hunalolote

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g Месяц назад

      huu mchezo hauhitaji hasira kolokolo

  • @JumaSaid-t1s
    @JumaSaid-t1s Месяц назад +1

    we badomjingatu ktk uchambuzi

  • @JosephJangama
    @JosephJangama Месяц назад +6

    Chuma Cha mjerumani mm akuelewa sn kwny ukwl

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад

    Huyu mnyakyusa kweli ametoka ufyele juzi. Ni bora tu ange izungumzia Tukuyu Stars au Mecco. Anajitia Mimba mwenyewe akiwa mwezini. Simba pale Mohamed wa 5 iligeuka Msikiti mwaka Juzi. Wydad anaomba mpira uishe. Huyu mnyakyusa sijui aliku Eda ?

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад

      Acha uchizi wewe. Anakwambia Simba hajawahi kucheza mchezo mzuri away ​@Prosperkaluta wakati Mohamedi wa 5 wydad alipo geuza uwanja msikiti wanaomba mpira uishe pale Msimu uliopita Alikua ajazaliwa? Au. Huyu mshamba kama wewe tu.

  • @JumaSaid-t1s
    @JumaSaid-t1s Месяц назад +2

    uyomchambuzi msenge ahaly wakitoka kwao tuambie ilifunguka wap

    • @HussenAdam-z6b
      @HussenAdam-z6b Месяц назад

      Matus yann kaka

    • @erasmuskwayu5643
      @erasmuskwayu5643 Месяц назад

      Gorimahia ya Kenya kala 3-0 Nairobi hapo ,Makolo mlikula 3-0 Mkapa mbele ya Raja ,mlipigwa na Al Ahaly hapo Mkapa kwenye African Football League au huna kumbukumbu ..mlipigwa hapo Galax - MAKIKIRI

    • @erasmuskwayu5643
      @erasmuskwayu5643 Месяц назад

      Waliwapiga 1-0 hapo kwa Mkapa na Al Ahaly kwenye AFL ..miipigwa 3-0 na Raja ..mlipigwa 3-1 na MAKIKIRI

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 Месяц назад

    We ni mjinga kama wajinga wengine

  • @optatusndikwege6250
    @optatusndikwege6250 Месяц назад

    Hunaakili wewe

  • @JumaSaid-t1s
    @JumaSaid-t1s Месяц назад +1

    sasa wewe ulitakanyuma aweke matakoyako

  • @DayatiMwadini-i5o
    @DayatiMwadini-i5o Месяц назад +1

    Kwani ww unapongeza team ambayo haikuxhinda ugenini kwaiy wakijakupgwa uku kwao jee

  • @MussaLilombo-e8o
    @MussaLilombo-e8o Месяц назад

    Chuma cha Mjerumani