UKOMO WA HUZUNI NA SONONA | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 83

  • @hongerakimbwala8650
    @hongerakimbwala8650 3 месяца назад +9

    Amina mchungaji wangu wanadamu tunapitia magumu sana na watesi we tu ni wanadamu..... Ila ipo siku yote yatapita....

  • @MariamLewis-t4x
    @MariamLewis-t4x 3 месяца назад +3

    Mungu akubariki Pastor, masomo Yako yanaganga mioyo ya wengi🙏🙏

  • @NiceMuro
    @NiceMuro 3 месяца назад +2

    Amen mtumishi,Nina imani na Mimi Sonona ninazopitia zitakwisha Kwa jina la yesu Kristo aliye hai

  • @edwinmariki8868
    @edwinmariki8868 3 месяца назад +2

    Baba MCH" Bwana Yesu asiifiwe! Mimi naitwa Edwin Mariki," Ninawiwa kumshukuru Sana Mungu" kwa jinsi anavyokutumia ipasavyo" hata na sisi tukapata, au kufundishwa
    Manenehaya ya Mungu kupitia wewe!! Ubarikiwesana Baba! Mungu akulinde ili nasisi tukufaidi zaidi!! Mimi nipo Moshi mjin.

  • @sarahkadugu4367
    @sarahkadugu4367 3 месяца назад +3

    Haleluyaaaaa 🙏 nimepokea kwa jina la Yesu! Hakutakuwepo sonona tena maishani mwangu leo 10/09/2024 mwishoooooi

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 3 месяца назад +2

    Amen Kwa jina la Yesu KRSTO Aliye Hai napokea 🙏🙏

  • @josephinendinda9065
    @josephinendinda9065 3 месяца назад +1

    Ameeeen en Ameeen🙏🙏🙏

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 3 месяца назад +1

    Haleluyaaaaaaaaaaa...Ukomo wa huzuni lazima ufike...

  • @francjose9596
    @francjose9596 3 месяца назад +1

    AMINA

  • @robertmahayu5978
    @robertmahayu5978 3 месяца назад +3

    Asante sana mchungaji kwa chakula cha neno la MUNGU ubarikiwe sana.

  • @divonakazimoto1491
    @divonakazimoto1491 3 месяца назад +1

    Amina Baba, Na iwe kwangu kama ulivyonena.

  • @annahmutinda1001
    @annahmutinda1001 3 месяца назад

    Haleluhya . Ee Mungu ni saidie nitoke katika sonona ya miaka mingi. Hiyo sonona na huzuni wa mda mrefu ikome kwa jina la Yesu.

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 3 месяца назад

    Ameeeeen...watajua kua hawajui....ukomo umefikaaaaa....aminaaaaaaaaa

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 3 месяца назад

    Amina amina hakika roho ya Mungu iko ndani yako Mchungaji Kimaro tumbo lililokubeba lipate kubarikiwa milele na milele

  • @cominathamchomvu2206
    @cominathamchomvu2206 2 месяца назад

    Ameeen hakika sonona hii na huzun ninayoipitiaa iishee kwa Jina la yesu kristooo amen

  • @LessaMaula
    @LessaMaula 3 месяца назад

    Amina Amina napokea Kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai

  • @JaclineMtunge
    @JaclineMtunge 3 месяца назад

    Aminaaaaa mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 3 месяца назад

    ❤Ameen Asnte kwa mafundisho haya Mungu simama nami

  • @SilaJeremiah
    @SilaJeremiah 3 месяца назад +1

    Ameni mtumishi, barikiwa sana

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 3 месяца назад +1

    AMEN AMEN AMEN, UBARIKIWE SANA BABA MCHUNGAJI.

  • @valenceEmanuel
    @valenceEmanuel 3 месяца назад +1

    nimebarikiwa sana na neno mungu anisaidie nitoke kwenye sonona ya mud mrefu inayonisumbuwa moyon mwangu

  • @silverisaac4202
    @silverisaac4202 3 месяца назад +2

    Ameeen👏🏽

  • @christinesulle5051
    @christinesulle5051 3 месяца назад +1

    Amina mchungaji wangu mimi Arusha na nakufuatilia sana online hili neno ni kwa ajili yangu Mungu akubariki baba .

  • @joycekayombo6999
    @joycekayombo6999 3 месяца назад

    Amina napokea kwa jina la Yesu

  • @tarsisiamwalongo6819
    @tarsisiamwalongo6819 3 месяца назад +1

    Ubarikiwe mno mtumishi

  • @MariamObote
    @MariamObote 3 месяца назад +1

    Ameeen🎉🎉

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 3 месяца назад

    Amen,kwa jina la Yesu

  • @bahatiiboma9034
    @bahatiiboma9034 3 месяца назад

    Amen Baba, be blessed 🙌

  • @EsterShehiza
    @EsterShehiza 3 месяца назад

    Sonona yangu imeisha kwa jina la Yesu Kristro..... Na iwe ukomo kwa nzia sasa........ Ameen🙏

  • @EsterShehiza
    @EsterShehiza 3 месяца назад

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 3 месяца назад

    Amina mtumishi wa mungu. Ina ukomo wake kwa Jina la Yesu kristo. Amen amen amen nimepokea historia

  • @francjose9596
    @francjose9596 3 месяца назад +1

    shalom

  • @chrisymanje4063
    @chrisymanje4063 18 дней назад

    Amen pastor najua pia ukomo wa huzuni nilio nao utafika mwisho 1:18
    1:24

  • @MariamLewis-t4x
    @MariamLewis-t4x 3 месяца назад +1

    Ameeeen🙌🙌🙌🙌

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 3 месяца назад

    Amen, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,ninatoka leo kwa jina la Yesu na hakuna atakaenizuia hapa nikiwa kenya samburu county

  • @DevothaMgina
    @DevothaMgina 3 месяца назад +2

    Amina

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 3 месяца назад

    Huzuni yangu imefika kwa Mwisho kwa.jina l Yesu

  • @nasiekutarishi3292
    @nasiekutarishi3292 3 месяца назад

    Mungu wangu naomba unikumbuke

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 3 месяца назад

    Ameen...lazima nitoke....

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 месяца назад

    Ni kweli mchungaji.Amen

  • @MashaSigulu-xf7ro
    @MashaSigulu-xf7ro 3 месяца назад

    Amina mtumishi

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 3 месяца назад

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @pamelasabugo3710
    @pamelasabugo3710 3 месяца назад

    Amina mchungaji nimefarika sana mama leo sijalala nilikuwa na maumivu sana

  • @siegfriedsakaya2977
    @siegfriedsakaya2977 3 месяца назад +1

    Amen

  • @ElizaMchilo-ks7gk
    @ElizaMchilo-ks7gk 3 месяца назад +1

    Amina

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 месяца назад

    Amen Amen🎉

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 3 месяца назад

    Heeeee mchungaji asante

  • @Humble-n9h
    @Humble-n9h 3 месяца назад

    Amen 🙏🙏

  • @ValentineCherotich-bw1nz
    @ValentineCherotich-bw1nz 3 месяца назад

    Amina amina

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 3 месяца назад +1

    Aminaaaaaaaaaa 👋

  • @LyimoMhagama
    @LyimoMhagama 3 месяца назад +1

    Ameen

  • @saramwinyikondo2878
    @saramwinyikondo2878 3 месяца назад

    Amen amen amen.

  • @dinahk.7622
    @dinahk.7622 3 месяца назад

    Hallelujah

  • @priscamagori9071
    @priscamagori9071 3 месяца назад +1

    Ameeeeen

  • @happinessuronu9089
    @happinessuronu9089 3 месяца назад

    AMEEEN!

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 месяца назад

    😊😊😊, watu wa kutuma mesg za kebehi wakome kabisa,

  • @pamelasabugo3710
    @pamelasabugo3710 3 месяца назад

    Aminaaa

  • @GraceJovit
    @GraceJovit 3 месяца назад

    Amiiiiiiinaaaaaaa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 месяца назад

    10.9 24 Ukomo wa Sonona. AaaMen

  • @francjose9596
    @francjose9596 3 месяца назад +1

    AMINA

  • @annahmutinda1001
    @annahmutinda1001 3 месяца назад

    Haleluhya . Ee Mungu ni saidie nitoke katika sonona ya miaka mingi. Hiyo sonona na huzuni wa mda mrefu ikome kwa jina la Yesu.

  • @francjose9596
    @francjose9596 3 месяца назад +1

    AMIN

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 3 месяца назад

    Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mariawandiba6736
    @mariawandiba6736 3 месяца назад

    Amina

  • @lilianmshumbusi5403
    @lilianmshumbusi5403 3 месяца назад

    Amen🙏🙏

  • @marieeduu3741
    @marieeduu3741 2 месяца назад

    Aminaa

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 3 месяца назад

    AMEN AMEN AMEEN

  • @fridamassawe7367
    @fridamassawe7367 3 месяца назад

    Ameeeen

  • @francjose9596
    @francjose9596 3 месяца назад +1

    AMINA

  • @Crusader9717
    @Crusader9717 3 месяца назад

    Amina

  • @Norisi-c6u
    @Norisi-c6u 3 месяца назад

    Amen

  • @yvonnerichard2936
    @yvonnerichard2936 3 месяца назад

    Amen

  • @fridamassawe7367
    @fridamassawe7367 3 месяца назад

    Ameeeen

  • @shukranimarco7733
    @shukranimarco7733 3 месяца назад

    Amina

  • @fridamassawe7367
    @fridamassawe7367 3 месяца назад

    Amen

  • @JescaSilas-qo8si
    @JescaSilas-qo8si 2 месяца назад

    Amina

  • @atuganile08
    @atuganile08 3 месяца назад

    Amen

  • @user-lv2nh4ev1h
    @user-lv2nh4ev1h 3 месяца назад

    Amen

  • @AsumtaAgripa
    @AsumtaAgripa 3 месяца назад

    Amen

  • @BeatriceChendela
    @BeatriceChendela 12 дней назад +1

    Amen

  • @MecoMathew
    @MecoMathew 2 месяца назад

    Amen