Utaipenda !!! Mchanganuo Mtaji & Faida "Mradi mdogo wa Nguruwe na wakisasa" Mtaji 2.8 M Faida..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 ноя 2024

Комментарии • 9

  • @virgilkirero6557
    @virgilkirero6557 3 года назад +4

    Hello .
    Nimesikiliza.
    Tatizo kubwa ni ipatikanaji wa mbegu bora.
    Nimewah kununua nguruwe kwa wanasemaje wana mbegu Bora.. eti miezi 3 afikoshe kilo 90.
    Si kweli..walanhafikii kilo hizo.
    Katika aina zote za mbegu kutoka sehemu tofauti..na nalisha vizuri mchanganyiko unaotakiwa nguruwe anafikisha kilo 90 kwa kipindi cha mwaka...pamoja..
    Mo naomba kama kweli ipo mbegu ya kufikisha kilo 90 kwa miezi 3... nipo tayar kuchukua. Tafadhali nijibu kama unajua na una uhakika wa ubora huu.

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 года назад

      Tunaweza kuwasiliana 0764148221

  • @muhojadamaris
    @muhojadamaris 3 месяца назад

    Mboma huonyeshi mabanda halisia,ningependa
    Banda la bei rahisi la kuanxia Banda la nguruwe watatu

  • @muskrilcardo9372
    @muskrilcardo9372 2 года назад +2

    Si uweke pictures /videos za mabanda na nguruwe uki present.

  • @rhoidajonas3568
    @rhoidajonas3568 3 года назад

    Tusaidie group LA telegram plz utupe ujuzi mkuu

  • @samsonzablon9956
    @samsonzablon9956 2 года назад

    Nahitaji nguruwe majike mbegu Bora wa kufuga nawapataki mm nipo Pwani miono

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  2 года назад

      , Wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi 0764148221

  • @daudisumai5803
    @daudisumai5803 3 года назад

    Nipatie no yako tuwasiliane