MZEE KASONSO YANGA AFICHUA SIRI! MAGOMA HAKUWA KUSHINDA KESI / WAMTAJA ALIYEPO NYUMA YA KESI HII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 17

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 Месяц назад

    Mzee tunawaomba wafichueni hao waliopo nyuma ya Magoma ili Serikali iwajue na kuwashughulikia.
    Pia Mahakama zetu zisiwe kichaka cha kuchochea migogoro wao ni wapatanishi. Laana hii ilimpata hata Pilato ambaye kwa hila alimkabidhi Yesu kwa Mayahudi na Yuda Iskariote mwishowe alijinyonga na ni dhairi yupo ahera.

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 Месяц назад

    Kuna watu wanafuraha kumbe watapigwa nyingi sisi ndo yanga

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 Месяц назад

    OFISI YA R....S IMETAJWA.....

  • @asifznz
    @asifznz Месяц назад

    Hawa WATANGAZAJI NAO NI KINYONGA LEO WAPO NA MAGOKUM.........KESHO NA NYIE HAWA NDIYO WANACHOCHEA

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga Месяц назад

    Kwa hiyo huyo mzee kassonso analingana na baba yako?.

  • @RashidJumanne-hb1lm
    @RashidJumanne-hb1lm Месяц назад +3

    Ahmed huyo Kasonso siyo Mzee uyo ni ugomvi tu anauleta hapo mie nasema Magoma ndo Mzee pale Yanga kuliko yye

  • @abdiyjaaz8180
    @abdiyjaaz8180 Месяц назад +1

    Magoma qurjuwaina musimsumbue