Mungu akubariki nakazizako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
ndeko na biso ye moko, from Holland tolingi yo, Wewe ndo wakututosha aibu Congolese natural 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Pambe baba 😉😉😉😉
Aisee wakongomani wana bahati kubwa sana kutoka kwa Mungu, Wana uwezo wa kuimba mpaka singeli, Que Dieu te benisse mon grand frere. Nou sommes ensemble.
Watu wanajiulizaga kwa nini napondaga wasanii wengi wa bongo isipokuwa Christian bella.Ni kwa sababu nakubali anavyofanya na ninawish siku moja kufika halipo.Brother ana mziki ambao uko Unic
Pambe nayo on street kazi kwetu mashabiki now mpaka tunaona kizunguzungu mamiziki mazur mazur tu, Bela wew balaa nimependa umekuja na beats zilizo sokon now
Mungu akubariki nakazizako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mziki ndo huu
Hauna kiki
Na Unaeleweka
Sauti Ndo usiseme
Kama wewe Umekubali Like yako please!
kabisa hata ujakosea
Nyimbo kali big up christian bella
video kali nyimbo kali kama na ww umeielewa gonga like za kutosha
Nimekwelewa
Me nakupenda sana
Marioo ulitisha katika uandishi mno
marioooo uliandika ngoma kaliii
The cover song by Angella brought me here, wow I will be your big fun from now CB♥️. Love the original song more though 👋
same angella brought me here
Same to me here
Sure the cover was more than the original
Same😄
Akuna maswali mengi huyu jamaa kama hajawahi kukuangusha Kama Mimi ambavyo hajawahi kuniangusha like nyingi tafadhari
kama unamkubali bella weka like apa tuzd show love
ndeko na biso ye moko, from Holland tolingi yo, Wewe ndo wakututosha aibu Congolese natural 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Pambe baba 😉😉😉😉
Penda sana bella
Hujawahii kosea babangu ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💯the king 👑 of the best melody 🔥🔥😍
Tausi Ak safi sana
Duuuuh brooo uezikukosea ata kidogo siku moja moja simbaya ...ngoma kali sana mwana.
Unastahili king 👑 much respect king of the best melodies #bellachristian
Kama na ww ume mkubali king 👑 gonga like kwa ku mpongeza👑👑👑
Aisee wakongomani wana bahati kubwa sana kutoka kwa Mungu, Wana uwezo wa kuimba mpaka singeli, Que Dieu te benisse mon grand frere. Nou sommes ensemble.
Aseeeeee cjh nicomment nini vile nakukubali Bella,fundi ya melody,fundi ya music, maneno kuntu,location murua,haloooooh big up sana broda....
Ngoma iko makini mzee wa melody
gonga 👍 twende sawaaa #
Mfalume wa sauti 🇨🇩&🇹🇿.👏👏👏👏👏💪👏
Kizaz sana yaya
,kubugi kwetu Zaire ni mwiko
Tokoss
👏👏👏🔥🔥🔥💪💪💪 team Bella
No kiki
Wapi likes za Bella...+254 Mombasa
Cku Kuu kweli kikk Ber nakukubali San ume jitahid kweli saluti kwako kk l nakupu pongezi sana mwamba sana endelea kushusha vitu kama hivyo hivyo sana
nimekuba jamani kuwa ww ndo king of the best melody umetisha mbb nakukubali na nitaendelea kukubali mpk kufa tishaaaaaa
Kitoko ndeko mobali nangai namoni yo oyebi kitoko koyemba !Felécitation Christian Bella nalingi yo mingi
We jamaa unajua sana uko juu kama Juma sharobaro
MZIKI USHAITIKIA masikio kweli ushawasha moto humwaka wacha ipambe naibambe
huyu Youngkeyz Morento ni producer wa level za mbali sana, ipo siku mtamuelewa
2020 tuko wapi???
pambe nayo umetishaaaa belaa
Ngoma bomba sana. Kama kawaida yake Bella hafanyagi makosa
Kweli marioo hii ngoma aliandika aisee🔥🔥
Msanii anaejielewa...Kamwe Hajawahi kosea..Big up kwake
Wakimamanhanya,ni.kisambaa pure,hakika huu ni ubunifu mkubwa sana,
*BONGE LA PUMBU yaani bonge LA NDONGA.. nimelikubali pini*
Pambe pambe pambena urlasaki. love from africa
pourquoi cette chanson n'a pas plus de un million de vue? c'est vraiment injuste quoi...
Deah siku zote mimi na kukubali my brother bella
#BELLA hajawai kuwaangusha sisi shabiki wake....PAMBE haiwezi kumuacha mtu salama
kaka hata uimbe kwa kupiga madebe! me nakuelewa tuu. Kazi iko poa sana
Hahaha I'm so happy Nimekuwa nikiutafuta huu wimbo bila mafanikio but family today nimeupata. 💖
Kama umeupenda huu wimbo LIKE apa
Dah! Bonge la wimbo yap! watakuelewa tu.
Watu wanajiulizaga kwa nini napondaga wasanii wengi wa bongo isipokuwa Christian bella.Ni kwa sababu nakubali anavyofanya na ninawish siku moja kufika halipo.Brother ana mziki ambao uko Unic
Kwan n mmbongo au mkongo nisaidie
Saa hivi ana uraia wa Tz
Farid Mob Ji pambana na hali yako huwezi kutoka maisha yako
kwani wewe ndio madam Rita au salama jabiri
bro hiyo kweli ajana nauyo sister nimnafki
Daaaahh ngom kali sanaaa🔥🔥🔥
Bro ngoma hii imetisha mpaka panda za USA, always comment from USA north Carolina.
Safi sana kijana Mungu azidi kubariki kazi za Mikono yako
Anjella brought me here. Huyu dem siana sauti kali😲🙏
nyimbooo hiii ni kaliii bela mpaka imenibore khaaa ongera saana brooo
Bella hii ngoma imetulia sana, umetengeneza harmony kati ya ala, mashairi na ujumbe. Naamini so far wewe ni Tanzania One kwenye Muziki.
Kiba, Christian Bella na Aslay... Ndio waimbaji, wengine wote wapiga kelele tu a.k.a Unga Unga mwana.
Big up sana bella
Hujawahi kosea mtu Wangu wanguvu
This song is nice please💝💝💝🇿🇲
Noma sana 👑👑🔥🔥🔥👑👑
ngoma Kali sana...Christian belaa
Huyu msela wimbo zake nimezikubali
Kunashida gani bana hii nyimbo haipat 1m viewers navoipenda duh
Napenda sana nyimbo zako,una sauti fulani hivi unapoimba..I can not explain...
christian bella plz mtafute papi kocha mfanye kaziiii...
Huyu jamaa ni fundi sana! But even for his standards hii ngoma KAUA! Love this song! too sad he doesn't get the views and likes he desrves!
King Of The Best Melody👏👏👏👏 Background vocals, Biti Imesetooo💪💪💪💪💪💪💪💪💪
nakukubali tokea safari sio kifo mpaka pambe
congratulations my bro kwa wimbo mzuri
huyu jamaa akijua kiswahili vizuri atakua balaa
Ngoma kubwa sana christian bella songa mbeleee
Vzr sana
Millady ayo bro huyu jamaa n tatizo lisilo na utatuzi ktk mziki wa tz...HESHIMA YAKE SANA.
Katisha sana
Millady ayo
mwana mboka nakati ya RD Congo ,tuka pande za USA tunakupata nice
Napenda nyimbo zako sanaa sana muda wote unatamani kusikiliza hazichoshi
Huyu jamaa anajua muziki sana. Media za bongo kama hazimpi sapoti ya kutosha
Wimbo una vielement vya tecno...kwa sisi tunaosikiliza muziki kwa makini..
Najiuliza,inakuwaje mziki mzuri kama huu, una viuwers wachache hivi ..
wooow King of the best melodies ngoma kali kinoma PAMBE
Huyo ndiye king of the best melody
Mzee wa sauti hataree sana BELLA
king him self ''awesome'' hujawahi kosea
Kumbe wewe ni mbongo wa kweli kabisa nime kuku bali hiyo kali ya zote
Pambe nayo on street kazi kwetu mashabiki now mpaka tunaona kizunguzungu mamiziki mazur mazur tu, Bela wew balaa nimependa umekuja na beats zilizo sokon now
D y ftuk
Uko vizuri sana Bella
JAMANI HUYU MKONGO TUMUOMBE ACHUKUE URAIA KWETU JAMANI HII TUNU MJUE
🔥🔥🔥🔥 bonge la nyimbo
I’ve looked for this song for 2 years since I first heard it !!!! the joy I've had after finding it. 😆😃😄😁💃🏽❤️❤️❤️
Says NOTI FLOW♥️♥️🇰🇪
Ujawai kukosea king
nakukubali ile mbaya ujawahi kuniangusha
Nimelike hata kabra sijaskilza aise Najua hujawah niangusha Bella
Nakukubali bro❤❤❤
daaah jamaa unajua sana aisee
i love everything in this song,video, audio on point,Bella,ur world is ammazing... Grrrrrrrreaaaaaat!!!
Asante Christiabela wimbo mzuri
Hatr saaana mzee wa kaziiio
Kitoko makasi waouwww !
wow hadi rahaaa jamaniii
Always on top king of the best melody unajua bro nimekusoma xana
#Bella unaweza sana endelea kukomaa akika unaweza KAKA
nice bro kali sana
Nakubali huu wimbo wow....
mmmmhhh ubuyu umekuwa staili Kwa wasaniii mala aslay tena Bella duuuu
Hakuna wimbo ulitoa sikuupenda
Nakukubali vi baya
ngoma Kali video ndo umeua Kali san
Bella wewe ni noma tena unatisha
nakupenda Sana.. naskia raha kiswahil chako kinaeleweka one love..
Wa 2020 tujuane kwa like hapa
Pambeeeeee....hatari sana
👏👏👏👍very nice hukoseagi wew
When i first Christian Bella it was the voice that attracted me....nice rhumba voice...nadhani we waweza fanya rhumba safi sana