HII FINAL SASA DR.SULLE AUWEKA UWAZI WA KWANINI WAISLAAM KUGOMBANA//CHANZO KIKUU HIKI HAPA//TUPO NAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 252

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 18 дней назад +13

    Namupenda mungu sana na mupenda mtume RAS'UL'LAH naipenda diniyangu alafu namupenda huyu cheikh saaana kabisa de sule mimi naishi Congo RDC GOMA kaabisa ingekuwa inawezekanaka kwakupunguza umri na ku muongezeya mwingine kweli ningeongezeyaka dr sule ila nawaza mungu amuongezeye umri cheikh wanguuyu allahuma Amin

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 18 дней назад

      hunampenda allah sio eti hunampenda Mungu no mungu wenu yuko makkah!

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 18 дней назад

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umenikosha ayo wajinga miungu yao ipo makkar inatiwa marash bado

    • @SwahibuAthuman-yv2mn
      @SwahibuAthuman-yv2mn 18 дней назад

      Amiina

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 17 дней назад

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qh Hujui kitu ndugu ktk Adam

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 17 дней назад

      Msiba

  • @ZawadiMusa-q9z
    @ZawadiMusa-q9z 18 дней назад +4

    Elimu inahitajika sanaa kuwaelewa hawa walimu maan tukikaa vibaya watatupoteza ndugu zangu tuwe makin sanaaaa

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 18 дней назад +4

    Bakwata ni tawi la kanisa, binafsi siwezi kuwachangia bakwata Sina Imani nao.

  • @Sobo740
    @Sobo740 18 дней назад +6

    Bakwata wakati wa magufuli ilionekana wameingiza magar mengi bandari alaf ukienda bakwata hamna HatA gari Moja izo pesa za Dili za ujanja ujanja walipeleka wp

  • @BennBenn-es5fi
    @BennBenn-es5fi 18 дней назад +6

    Eeh Jehovah Rafa tupigaie tulip waja wako tufundishe kukujua wewe ndie Mungu wa kweli tukuabudue. Mkono wako Mungu usituache tuokoe na maadui wote.

    • @AhmedMohamedMadaiMadai
      @AhmedMohamedMadaiMadai 17 дней назад +1

      Umeitoa wapi yehova acha pumba

    • @MgangaMalugu
      @MgangaMalugu 16 дней назад

      😂😂😂 sabuni kidogo povu jingi​@@AhmedMohamedMadaiMadai

  • @hasanisaidishabani3879
    @hasanisaidishabani3879 18 дней назад

    Nimekuelewa sana doctry sule sanaa tena sana natamani siku moja uje kwetu

  • @KhalidMbole-b7n
    @KhalidMbole-b7n 13 дней назад

    Umeongea manen maztoo sanaaa sheikh wanguu

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 День назад

      Huyu tapeli sio sheikh jahili hata kutamka matamshi ya kiarabu hajui

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 18 дней назад +2

    Siku zote AKILI kubwa inatawala AKILI ndogo ivyo Sulle kua mpole 😂

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 18 дней назад +2

    Wa'alykumssalaam,, sauti ni mbayaaa ,,,,,!! haina ushawishi. Hamuoni hao mayahudi//masalafi wavyotumia sauti kaaali kuwashawishi na kuwalaghai watu.

  • @FauzaBwambale-lp1wp
    @FauzaBwambale-lp1wp 12 дней назад

    Bro i trust you and you good knowledge

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Hizo pesa za Ubwabwa mpaka mnashindwa kula si mngenunua gari?

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    #Sulle waulize magari waliyo ingiza Bakwata yapo wapi? Pitia ripot ya serikali mamaia ya magari yaliingia kwa jina la Bakwata je magari yapo wapi?

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 18 дней назад +5

    Tatizo lenu Waislam wabinafsi alafu mnaumimi

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 18 дней назад

      Akili ikiwa haipo tayari kuujua ukweli ndio utaona ivyo.

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 19 дней назад +2

    assalaamalikum sheikh wangu nakukubali mnoo umepiga kwenye mshono Ila siku hizi hutaki kuongelea Tena kuhusu Ghaza

    • @YusufuMustafa-c5m
      @YusufuMustafa-c5m 18 дней назад

      Dr Sule mche mola wako,usitumie propaganda kuaminisha waislam maulidi sio bida'ah kama sio bida'ah Je sunna?au ni faradhi?
      Je mtume alifanya maulidi au maswahaba?
      Je ni nani alianzisha maulidi kama sio hawo mayahudi?
      Shekh mtume hajatufundisha kumsifia ila ametufundisha kumfuata.
      Allah katika Quran yake ametukumbusha mtume wetu rehma na amani ziwe juu yake ndio kiigizo na ndio mwalim wa dini ya kiislam.
      TUHIMIZANE KUMFUTA MTUME KWA KILA HALI NA NAMNA MAVAZI,MUONEKANO NA VITENDO KAMA TULIVYOFUNDISHWA KATIKA QUR AN NA SUNNAH PIA TUMUOMBE ALLAH ATUONGOZE.

    • @DaudiMakaza
      @DaudiMakaza 18 дней назад

      Kwn ukiongea ndo utafany nn ujui Israel n taifa la mungu

    • @DaudiMakaza
      @DaudiMakaza 18 дней назад

      Hizo propaganda ni za watu waloshindwa na km mungu wen n mkubwa ko anashindwa na mayaud hkk din yesu n ya mapepo mpoken yesu mpate aman

    • @khamisathman7171
      @khamisathman7171 18 дней назад +1

      ​@@DaudiMakaza Mungu anaishi wapi pale Isreal? We vipi? Ati Taifa la Mungu😂 be serious bana

    • @ZawadiMusa-q9z
      @ZawadiMusa-q9z 18 дней назад

      ​@@khamisathman7171Uelewa n mdogo sana ndugu zang kwan nyie Misikit yen inapoangalia Msikiti mkuu Makka unadhani nn kinaendelea kweny Msikiti huko Makka hahahaha Allah wenu n jiwe jeusi ndo mnaliabudu huku Makka Mohamad alifanikiwa kukusanya masanam 300 nakumfanya Mungu mmoja elimu huna ndugu mnakaz ya kujitungia mambo yenu kwa msikiti tafuten vitabu viwasaidia achen dini za kurthi kutoka kwa wazaz wen

  • @KhalidMbole-b7n
    @KhalidMbole-b7n 13 дней назад

    Professor of tz ulamaaa Dr sule mung akbarkii tpeee elmuuu

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 День назад

      Ulamaa gani anavuruga kusoma Qur'an? Tena mjinga kabisa Qur'an anaivuruga

  • @Wastara001
    @Wastara001 18 дней назад +4

    Historia ya Mtume mbona inafunzwa kwenye sira madrasa sio maulidini

    • @rizikilukali1558
      @rizikilukali1558 6 дней назад

      Ni wangapi wamepata fursa hiyo ya kwenda madrasa. Na je kuna ubaya gani ikisomwa kwenye maulid

  • @Joh-j9s
    @Joh-j9s 17 дней назад +1

    Usisahau pia hiyo mashine unayoisifia nayo Ni ugunduzi wa MAYAUDI😅😅😅

    • @MuhabbeshAhmad
      @MuhabbeshAhmad 2 дня назад

      Unanjaa sana mayahudi wmegundua Mike soma historia

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 18 дней назад +3

    Kama mnapelekwa na wayahudi upo dar unapelekwa na wayahudi basi hamna akili

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Haya ndio mawaidha? Ama kweli waislam tumekwama sana
    Mtu anazungumza upuuzi tu mwanzo mwisho
    @Sulley

  • @hasanisaidishabani3879
    @hasanisaidishabani3879 18 дней назад

    Nakukubari sana shekh

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Bakwata wanamajumba mengi sana wakfu shule viwanja na mashamba je wanashindwa Bakwata kununua gari?

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Sulle mwenyewe unabomoa uislam unaunga fikra za kipagani za kidemocrasia na vyama vingi na unajua kama ni upagani

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 16 часов назад

    Muogope MUNGU usiwaonee Masheikh huyu sheikh ana kosa gani. Labda kama una la kwako. MUNGU hapendi hivyo.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 16 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Choko kweli , kwa huu utumbo eti kuna watu wako serious wanasikiliza ila bongo nyoso , nipo San Francisco USA , nawatafsilia wazungu na wachina wanacheka kinoma 😂😂😂 🇺🇸🇹🇿

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Kuweni wakweli je sheikh akifa gari hiyo itabakia ofisini au ni mali yake binafsi ? Acheni utapeli

  • @teddysanga1840
    @teddysanga1840 18 дней назад +1

    Hili jamaa jingaa sanaa elimu ndogo

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 18 дней назад +3

    Mahubiri yake huyu dr dulle ni ya kueneza chuki

  • @anwaralrawahi7673
    @anwaralrawahi7673 18 дней назад +1

    ndugu zangu waisilam naomba kuliza kwanini manabi namashalifu wanatokiya Tanzania tu sijasikiya inchizingine ebu tuwoneni aibu kidogo tunachekwa

    • @Pablolookman
      @Pablolookman 18 дней назад

      umesahau kuwa ndo itakuwa nchi ya kwanza kulaaniwa kutokana na matendo machafu wananchi wanaofanya

  • @mkizamrock1951
    @mkizamrock1951 18 дней назад +1

    Boss samahani tizama Oxford dictionary imeelezea kua news ni similar na Report ,Announcement just similar words alafu usidanganye please sio kweli news ni English words na juu yake ndio maana informative

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 18 дней назад

      @@mkizamrock1951 WEWE NAWE BOSS NI MUNGU PEKE YAKE ALIYEUMBA VITU VYOTE HUYO ANAUBOSS GANI??AU USHIRIKINA NA MAJINI??

    • @mkizamrock1951
      @mkizamrock1951 18 дней назад

      @@stevensosipita Nimemheshimu sie walio na iman ya kweli hatumzalau mtu ila naomba mungu amponye anaongopa sana sana Islam spread for sword islam had books of many option called quran Othman aliwahi kamata waandishi wenzie akawaua na akachoma vitabu vingine wakabakisha kimoja iko quran then the same book kwenye injir maana ake huwez kua muislam bila injili ya na vtabu vyake ni luka mether john etc ukivisoma injili ya john wote wanaikataa na hio hio ndio wanaichukua kua yesu alimtabili mfuasi wake ambaye ni mtume ....someni jaman somen alafu nenden mwiaho wa quran kitabu hili kiliandikwa kwa ajili ya nani utakuta wa 1 n jin wa pil 2 binadamu somen sana sana Quran ukisoma mwanzo mwisho hakuna Sehem ambayo ina zungumzia namna ya kusilimu ile Ashahadu Allah ila ilala ashahadu ana mohamad lasululah please read ila huwez kua muislam adi ushahadie quran inasema m2me aliombea Umma wake usiingie moton lakin huo huo wazaze wake mtume wako moton taften source mtajua so Sule fanya yote ila nawaambia kua Quran ilisema mesia atarudi na ni yesu na wakat anakuja kila goat litapigwa kwa ajili ya injili Anae sujudiwa ni mwenyezi mungu

  • @RamadanSemlingwa
    @RamadanSemlingwa 13 дней назад

    Dr sule mche Allah wew,acha mambo ya ajabu

  • @abdulazizkassim775
    @abdulazizkassim775 18 дней назад

    Millioni 40 si amini
    Millioni 40 ni karibu dollars 14000$ siyo mchezo ,hata America hupati MTU wakukupa hizo mara moja

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Na wewe Sulle fikra zako za kiganga nizakiyahudi
    Mtume hakuwa mganga wa majini kama ulivyo wewe

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    #BAKWATA mnahusika sana na kuangamiza uislamu kwanini mjinga huyu mnampa majukwaa? tapeli huyu anaye tukanisha uislamu kwamba uislam umefundisha uchawi wa majini

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 18 дней назад +2

    Dokta suleiman wewe tajiri unamali majumba vitega uchumi kwa nini usinunuwe ukasaidiya?

    • @abdulazizkassim775
      @abdulazizkassim775 18 дней назад

      Tajiri WA Africa hawezi kusayidiya anawogopa umasikini .😂😂

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 18 дней назад +1

    Achana wayahudi jp awamtaki yesu baadhi yao wanampend yesu hao ndo kl ktu

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Sulle unagari zaidi ya tatu unashindwa kutoa moja? Hao wanao changia sio wazima

  • @ramadhaniamani1146
    @ramadhaniamani1146 15 дней назад

    Ni sahihi kabisa

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Ndio mwislam atapinga gari ya sheikh wa Bakwata kwani wao ni watumishi wa serikali wapewe magari na serikali
    Bakwata imesema wazi wao ni serikali
    Kwanini serikali isiwanunulie magari?

  • @Wastara001
    @Wastara001 18 дней назад

    Hakuna mtu ambaye amesema kuwa KILA KITU NI BID'A.
    Hotuba zote za Mtume kwenye mimbar ijumaa ilikuwa lazima aonye watu kuhusu Bid'a.

  • @HuseynDaudi
    @HuseynDaudi 17 дней назад

    Na mengine mengi muyafanyayo katika hiyo bid’aa

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 18 дней назад +1

    Nampenda hyu sheikh mpk bc yn japo watu wanamsema mshilikina rkn mm cjaona ushilikina wke shida yke to msema kwel ndomana anachukiwa Allah akutunze sheikh wngu wa nguvu ❤

    • @sharrifidris3422
      @sharrifidris3422 18 дней назад +1

      Wewe ujaona ushirikina wke sababu hujui chochote katika dini au uwe mmoja wao.hivyo ndivyo wanavyosema Hao washirikina eti wanachukiwa kwa sababu ya kusema kweli.ukweli Gani kwenye Pete ya mvuto..

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 18 дней назад

      MH kwa lipi ? kwa kuwa amesema Matajiri hawawapi Magari Mashekh? Mh taratibu utafahamu tu, Binafsi nilikuwa nampenda sana Huyu Sh. kwani kwa ujumla wao Mihadahara yao Enzi zile ilinipelekea Faraja ya kuingia KTK Uislam familia yangu. lakini DINI si Mapenzi ya Mtu Bali ni maandiko Sheria na Taratibu, Kuna mazonge mengi sana kwa hao wanaoitwa mashekh na usidhani hao matajiri hawewezi kutoa , bali kunashida tena kunashida. Taratibu utafahamu tu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 18 дней назад +1

      ​@@sharrifidris3422nyinyi ndiyo miliopandikizwa mabalaa kwenye vichwa vyenu ili mvurugane na waislam wenzenu.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 18 дней назад

      Inamaana unaona bora waisilam wengi waangamie kwenye shirki kwa kutokujua kuliko kuambiwa ukweli anaepoteza watu wengine wakanusurika?

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад +1

      Huwezi kuujua ushirikina wake mpaka ukae chini uusome uislam wako kwa watu sahihi

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 18 дней назад +2

    Waisilam naomba mnisaidie sio kutusi, Hizo rehema na baraka mnazo omba zimfikie huyo mnamuita mtukufu wa daraja 1 mnamuombea kwa kosa gani alilolifanya mpaka mnamwombea mpaka leo na kesho?
    2 je hamjui mtu akifa matendo yake anafatana nayo?

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад +1

      Hii ni amri kutoka kwa mola mwenyewe sisi letu ni kutwii amri tu

    • @saidisaidi4502
      @saidisaidi4502 18 дней назад

      Tutakujibu kwanza ww tujibu kwann mmeua mungu wenu

  • @richardsalala9147
    @richardsalala9147 18 дней назад +4

    Elimu kwa hawa ndugu zetu bado sana 🤣🤣 yani huyu ndiye msomi wao chochote akiongea wanakenua meno

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Wewe si nikafir makafir ndivyo mlivyo

  • @charlesjohn8843
    @charlesjohn8843 18 дней назад +1

    Ety waislamu wafike 65% Tanzania tangu lini 😂😂😂😂

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Makafir mnatabu

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад

      Waulize viongozi wakuu wa ukafiri ndio wanaojua data hizi

    • @josephatadam727
      @josephatadam727 16 дней назад

      ​@@abuubilal2646 we nae kama kuma

  • @michaelbachubira7197
    @michaelbachubira7197 18 дней назад +2

    Apo wayaudi wanaingiaje?

    • @ramakizito4934
      @ramakizito4934 18 дней назад

      Kasome kwanza

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 18 дней назад

      Kaa kitako chini Tenga umri WA miaka kumi u some elimu za dini tatu Ukristo Uyahudi na Uislaam kwa kina.ili uelewe weka chuki pembeni hafu kwenye mijadala utaongea kiufasaha.

  • @hassanjapan3687
    @hassanjapan3687 16 дней назад

    Uislam ni dini ya Allhaa alio iridhia ,,,,,,,sasa tambua kuwa ina mafunzo ya haq,,,dini hii sio ya kuzusha zusha ,,,,mnajisikia sana mkishiba wali wa maulidi mnsema sana ,,,,, mtume ametahadharisha kuhusu uzushi katika nyinyi mnahimiza watu wazame kwenye uzushi wallai ni mtihani,,,,,angalia hata unayo zungumza na kuhusu ,, pesa. ,,,, kula,,,,na kujifakhary. Acheni uzushi

  • @mohammedmeja6211
    @mohammedmeja6211 18 дней назад

    Waambie doctor sule

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    Nyie watu wa media mtajibu siku ya qiyama kurusha video za tapeli huyu kwani ni kumkuza tapeli huyu
    Jitu hata lafdh katika muqadima anakosea halafu anajifanya sheikh

  • @joezeno8
    @joezeno8 18 дней назад +1

    Tatizo ya baadhi ya Waislamu wanaamini,kila Matatizo ya Waislamu mnatupia lawama, Serikali, Wakristo au Wayahudi, badala ya kutatuwa!
    If you run away from your problems you are going create more problems.

    • @saidisaidi4502
      @saidisaidi4502 18 дней назад

      Mlisoma nyinyi mungu baba + mungu mtoto + mungi Roho = mungu mmoja, kuhusu matatizo ya waislam wewe kamalize yako kwanza waislam tuko vizur tu 80% ya matajiri TZ ni waislam

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 18 дней назад +3

    Acha propaganda za kushindwa kwn uwz usingizie wayahud wal n wateule taifa la mungu watu wa kale

    • @zebuubane5353
      @zebuubane5353 16 дней назад +1

      we ni mteule wa nani sasa kama wale NI wateule wa mungu, hii dunia si ya kumuamini yoyote zaidi ya kuamini mungu yupo inatosha uko kwingine utopata majibu mpk unakufa

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 18 дней назад +1

    Badala ya kuongea kuhusu michango, wewe unaongelea wakristo na wazayuni, 😅 mpo obsessed na wakristo

    • @ThekraJanga
      @ThekraJanga 18 дней назад

      Unataka uchangie?!

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Makafir atuwapend ndio mana

  • @partsonchundwa2287
    @partsonchundwa2287 17 дней назад

    Kila malalamiko mayahudi na ma aswara duh waisliam hamna chenu

  • @salimhm1314
    @salimhm1314 18 дней назад

    Kweli mkuu

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 18 дней назад +2

    Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu..

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 18 дней назад

      Yesu hajafa ila akifa tunakubali maana Muislamu mwenzetu

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 дней назад

      @@seifabdulwahid4579 huyo ni yesu mwingine..... mlojitungia feki siku zote huwa inatakq kufanana na original..

    • @AzizSalumu
      @AzizSalumu 18 дней назад

      18 20ezekiel alafu uongee kasome

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 дней назад

      @@seifabdulwahid4579 Huyo ni yesu mwingine mlojitungia...

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 дней назад

      @@AzizSalumu Hicho kifungu kinazungumzia wanadamu ambao wote ni wenye dhambi....Yesu sio mwanadamu tu pia ni Mungu(full man,full God)...Ndo maana ni yeye pekee hakutenda dhambi..

  • @amirimohamed8013
    @amirimohamed8013 19 дней назад +1

    Hayo kweli

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 дня назад

    wanaofuata myahudi na wanaswara ni wale wanaotamani kuishi kama wao wanavyoishi!!wenye tamaa na mali za dunia,hawaangalii watazichuma vipi!!wameingiia kwenye kuwarapeli waislam wasikuwa na elimu sahihi ya dini yao!(awamu nnasi)

  • @salisali3738
    @salisali3738 18 дней назад

    Kwa hiyo na ww Sule una mazayuni wanao kupa pete za tajiri wa majini

  • @musarashid3482
    @musarashid3482 18 дней назад

    Sheikh kusema kila chuo cha kidin wapo sio kwel vyuo vya kishia amn ao wapuuz labda wasome kwa kununuliwa kwa malengo yao.

  • @AthmanMbwana-v3r
    @AthmanMbwana-v3r 18 дней назад

    Doctor Sule elimu yako finyu toka zama za mtume makafiri ni matajiri Mtume kiongozi wa waislamu Ali itwa mtume njaa kumbusha watu kuhusu ahera achana na Dunia Mtume hakutaka utajiri lkn ange utaka utajiri bwana Mtume angekua tajiri duniani

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 15 дней назад

    Wewe wadanganye tu hayo mafarakano ya,waislamu,yanatokana,na tafasri tofauti tofauti za korouani zenu je
    hizo tafasri,zinazo hitirafiana za,koruani zimeandikwa na mazayuni?!!!! Embu acheni uzushi mtajikuta mnakufuru bure!!

  • @Giovanni-f8n
    @Giovanni-f8n 17 дней назад

    Waislam sio kuchambuwa uongo😅😅😅

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 19 дней назад +1

    Nikweli

  • @FatumaRashid-db6cc
    @FatumaRashid-db6cc 15 дней назад

    Upo ok

  • @deluxermahyono5290
    @deluxermahyono5290 16 дней назад

    Sule kuna haja gani ya kuchangisha ilhali kuna mapete na majini yanaweza kutuletea magari? Bakwata hupenda kuwatumia Washirikina ili kufanikisha mambo yao

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 18 дней назад

    Dk ni msanii kijanja.

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 15 дней назад

    Wewe Sule kasome dini ya Uislam hakuna wala huna unacho kijua kuhusu Uislam. Hakuna mwislamu anaye pinga kuswaliwa Mtume rehma na amani ziwe juu yake,bali tunapinga mfumo mnao utumia. Wewe unataka uonekane tu

  • @saedmohamed9262
    @saedmohamed9262 18 дней назад +13

    Nenda kwenye OXFORD DICTIONARY imetafsiri hilo neno NEWS kwa ufasaha.... mambo mengine msipende kumsikiliza sana huyu Dr Sule mana anajiona kama kila kitu anakijua kama MUNGU... shame on U

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 18 дней назад +1

      Huyu Ni muongo

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 18 дней назад +2

      Tuwache uhasidi.Mungu akikupa kakupa.Basi toa hoja za kumpinga.

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 18 дней назад

      Mbona ww mulishindawa kutafsiri ss ndiyo midomo ni mengi

    • @ThekraJanga
      @ThekraJanga 18 дней назад +1

      Hyo dictionary we si uliisoma..tupatie maana sio utuelekeze! Zaid ya hapo ni story

    • @Lky589
      @Lky589 18 дней назад

      Sasa s utuambie au chuk t

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 18 дней назад +3

    No RESEARCH No Right to SPEAK!

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 18 дней назад

    Kweli shekhe ata kishk alitakiwa atazame nn athar ya atakacho kicema wakristo wao wana mitihan ming makosa meng but huitana then huwekana sawa na c malumbano mtandaon izi ni cfa na ni bidaa kwan ukimuona mwenzio anakosea muite la mtumie ujumbe na kuandaa khutuba ya kusengenya c mafundisho ya mtume tuache cfa za mabango

    • @Mohd-i9j
      @Mohd-i9j 18 дней назад +1

      Haiwezekani waitwe pembeni , maana wao wanapoteza watu hadharani na mitandaoni
      Inabidi na wao wakosolewe hadharani

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 18 дней назад

      WOTE NI WANAFIKI WASHIRIKINA TUNAJUANA TUNAISHI NAO MASHEKHE KIBAO WASHIRIKINA WANAFIKI WAONGO WWADHINIFU HAYA MLIOWATEGEMEA LEO WAMEWASALITI WAKINA MAZINGE SHEKHE MWAIPOPO SHEKHE SULE SHEKHE MAJINI SHEKHE SHARIFU JE NYINYI MKO UPANDE GANI?UPANDE WA KISHKI AU WAKINA MAZINGE 😂😂😂

    • @AzizSalumu
      @AzizSalumu 18 дней назад

      @@Mohd-i9j ckia din haijaacha kitu Kuna Sheria zake na hukum zake so mwislaam haswa hatakiwi kwenda kwa kutafuta sifa or matakwa na mawazo yawatu Bali ni kwa mneno ya mungu na mafundisho ya mtume so tunatazama mafundisho na c maelekezo na ushabiki wa makafiri au mapenz kwa mtu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 18 дней назад

      ​@@stevensosipitaKwanza, mazinge , sule na Shariff MAJINI, sio masheikh wanaojiita tu hao elimu Ni ndogo kwenye dini tauhiid hamna ndio wamedumbukia kwenye SHIRKI

    • @Mohd-i9j
      @Mohd-i9j 18 дней назад

      @@AzizSalumu kwaiyo uyo Sharifu muongo angeitwa pembeni angelikubali, yuko kwa ajili ya pesa zaidi huyo
      Pesa inabadilisha imani ikiwa hutokuwa mkn nayo

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 18 дней назад +1

    Mayahudi wamekufanya nini😂😂😂?

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад

      Wanataka kuharibu akili za waislam kama walivyofanikiwa kuharibu akili za wakiristo

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 14 дней назад

    Ukikatazwa ushirikina na bidaa ndo uyahudi? Acha ujinga sule

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 17 дней назад

    Hapo unatudanganya bwana Sule! Hatuwezi kusoma historia kutoka kwenye hizo barazanji zenye maneno yasiyo na ushahidi wa ayaa wala hadith.
    Vitabu vyenye taarikh sahihi ya uislam na hatuvisomi wewe unatuambia tujifunze historia ya Mtume kwenye maulid na sisi tunaozipenda hizo maulid hatufaidiki nazo badala yake tumeishia kuimba na hata msikitini tunakuja kwa kutaka wenyewe!!

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 День назад

    We sulle uadui wa mayahudi sio masheikh kutokuwa na magari bali ni kuwa na watu kama nyie mmegeuza dini biashara

  • @bahatihamissi1161
    @bahatihamissi1161 16 дней назад

    Hiyo BAKWATA yenyewe imeundwa na mayahudi

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba 18 дней назад

    Mawahabi wanatumika na myahudi kukataza mtume asitangazee

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 18 дней назад

      Washirikina nyiyi mnakataa ukweli na nafsi zenu zinajua

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 18 дней назад

    Hiyo sensa ya kuwahesabu watu ulifanya lini

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 дня назад

    wewe mwenyewe ni kirusi ktk uislam,umeingia ktk ushitikana,BID'A na kusifia BID'A zako ukidhania upo ktk UISLAM!!
    mtume hakufundisha huo uisalam ulionao,wala wale wema waliofuata baada yake walikuwa na tabia zenu hizo!!

  • @SuleymanMadaha
    @SuleymanMadaha 19 дней назад

    Duu ukwelihuwo jaman

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 18 дней назад +1

    TUPISHENI TUPITE WANAFIKI WAKUBWA WEWE SULE UNAPETE NA UNAFUGA MAJINI LAKINI MIJITU IPO TU OO TUNAKUELEWA MNAMUELEWA KWA LIPI??

    • @AbuuSumayyah
      @AbuuSumayyah 18 дней назад

      Washenzi wenzake ndio wanamuelewa sio sisi waislamu wasomi tulioelimika.

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 18 дней назад

      POLENI SANA IMANI YENU NI HABA NILISEMA KIPINDI CHA MIHADHARA YA KINA MAZINGE SHEKHE MWAIPOPO SHEKHE SULE SHEKHE MAJINI SHEKHE SHARIFU WOTE WASHIRIKINA NA WANAFIKI NIKAAMBIWA MIMI KAFIRI KIKO WAPI NA BADO MUNGU ATAWAUMBUA WOTE KULENI UPAKO

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Makafir amuwez kumuelewa sule

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 18 дней назад

      ​@@stevensosipitaNi kweli Ni washirikina lakini Ni wao Uislamu haina chembe ya DOA ,

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 18 дней назад

      @sharfumbarouk6168 AAHA KUMBE JIBU MNALO YAKUWA DINI INAWEZA KUTIWA DOA NA WATU NASIDINI YENYEWE??

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 17 дней назад

    Dr sure ni mkweli

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB 19 дней назад +2

    Kuna kipenzi chawatu 😂😂😂😂 YESU tu njo kipenzi chawatu

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 19 дней назад +3

      @BURUNDIB umemsikia mzee wa Upako alivyo sema kuhusu Yesu 😅😅😅kaa utulie tuwachie kelele za kisenge.

    • @BURUNDIB
      @BURUNDIB 19 дней назад

      @@nakundwamkubwe7823 ni tatizo kufata malaya kweli mutu kaowa mutoto uyo si mutumishi wa mungu

    • @SaidSeif-d4y
      @SaidSeif-d4y 18 дней назад

      Mwisho wake wakamtundika kwa mti walouita msalaba​@@nakundwamkubwe7823

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Kipenz cha makafir

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад

      Sio kipenzi cha watu ni kipenzi cha wajinga wasiojitambua

  • @AthmanMbwana-v3r
    @AthmanMbwana-v3r 18 дней назад

    Danganya watu shule hawa kwenda ata ni upumbavu ku skiza

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 18 дней назад +1

    Tatizo shule waislam wengi hamjasoma bhama huo ndio ukweli. Pia uislam sio dini ya amani. Mnawaza fitma sn. Hampo up to date mnakariri sn. Yaani kipofu hawez kumuongaza.... Wataingia shimoni. Swali Je, mnae mfuata alikuwa na elimu au la ? Tafakur hiyo..

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 18 дней назад

      Wewe uliemfuata alikuwa amesoma? kunamtu anataka elimu yako ?wacha ujinga swala la kiislam halikuhusu ww mkristo kashfa za nini hatujakuomba ushauri

    • @HusseinKitogo
      @HusseinKitogo 18 дней назад

      ​Wwe una chuki nadini yetu mpumbavu ww

    • @HusseinKitogo
      @HusseinKitogo 18 дней назад

      Wwe una chuki nadini yetu mpumbavu ww weunaona ukilisto din sidin bal shamba labib

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 18 дней назад

      Shamba la bangi😊​@@HusseinKitogo

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 18 дней назад

      Kwa taarifa yako weye usio na elimu waislamu wamesoma kuliko nyie makafiri upo hujielewi nyama bora unyamaze tu

  • @SAtt-lz1wl
    @SAtt-lz1wl 19 дней назад

    Nihivyo

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o 18 дней назад

    Yaani nyie waisilam mko nyuma sana mnamuombea mtume muhamad wakati Yuko peponi

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 18 дней назад +5

    Kama hawa ndio wahadhiri wanaotegemewa..!
    Basi Wa islam wanadanganywa sana
    Sheikh hajui maana ya
    1.Mossad
    2.News
    3.Asilimia za Wa Islam na wa Kristo Tanzania

    • @AbuuSumayyah
      @AbuuSumayyah 18 дней назад

      Labda waislamu mbumbumbu ndio wataongozwa na wahadhiri kama hawa. Hawa ni wajinga tu wanaouharibu Uislam.

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 16 дней назад

    Kaanza vizuri kakojoa vita ya wayahudi inahusikaje kwa mchango wa gari la waislamu nyie ni wajinga tu

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 18 дней назад +2

    Ukafiri ni uislamu 😂😂😂

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 18 дней назад +2

      Umepata wapi kusikia muisilam akiabudu anaekwenda haja km yy🤪

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 18 дней назад

      ​@@Fear_Allah394Mungu haumbwi Bali aumba

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 18 дней назад +1

    Mungu wa kweli atakuja kuwafagia siku.. jidanganyeni na vitabu vyenu....

    • @angle3600
      @angle3600 18 дней назад

      Bidaa bidaa hata kuvaa bidaa mmh wako moto kweli,mbona mpigane vita waislamu kwa waislamu,badala ya kwenda kuwahubiria wale wanao abundu Ng'ombe,wanaoabudu ,Nyoka. Hata wengine hawamini ikiwa kuna Mungu, kukicha ni malumbano tu.

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 18 дней назад

      ​@@angle3600Mtafagiwa nyie takataka

    • @MrNuurofficial
      @MrNuurofficial 18 дней назад

      Ungekua unajua kama lile jiwe jeusi ambalo lipo makka lilikuwepo kipindi Cha nowa lakini mungu Na sunami yote ile mungu hakulitowa mpaka sasa

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 дней назад

      @@angle3600 Hata hivyo neno mungu mmoja sio kesi ...Hata sanamu mmoja hivi anaweza kuwa/kuitwa mungu mmoja...Yupo Mungu wa kweli ndani ya biblia tu...

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 18 дней назад

      @@seifabdulwahid4579 Yesu Kristo alitukanwa kwa ajili yako..

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v 18 дней назад

    Kaaa na ukristooo wakoo malayaaa mkubwa wewe kama ukiwa una elimuu ungesoma biblia hakuna sehemu imeandikwa ukristooo ni dinii ilaa ukiulizwa etiii dini yanguuu ukristoo
    Nyoooooooo

  • @BoboManya
    @BoboManya 18 дней назад +1

    Wisalamu ni dini ya vitæ akuna ukweli Rudi kwa yesu mpate ukweli amusomi munabakiliya
    Maneno maneno tu uyo shehee iko pumbafu sana yesu diye jiya ukweli Na uzima bila yéyé mutakufaa mpaka basi

    • @AbdullKizu
      @AbdullKizu 18 дней назад

      Wanao amin yesu atabeba zamb zawatu niwajinga awajielewi

    • @SyedPopo
      @SyedPopo 18 дней назад

      Watafia wapi unapopajua.

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 18 дней назад

      Hakuna Taifa la waislam ata Moja lililotoka kwake kwenda kuanzisha vita jengine tafauti na kuvamiwa mataifa Yao na mataifa ya makafiri na kujitetea kwenye nchi zao.Labda km una ushahidi WA unachokizungumza tuthibishie.

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 18 дней назад

      Tatizo mnabrain washed na vyombo vya habari vya kimagharibi kuwajaza propaganda kuwa waislam ni magaidi wakati ayo mataifa ya Ushoga ya wazungu ndio yanayosababisha vurugu na vita Duniani watu wakijitetea nchi zao wanawaaminisha muwaite magaidi wakati mnajuwa haki ni ya nani ila ukafiri ndio unaowatafuna cancer ya ubongo ata haki hamuioni mmefanywa vipofu.

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 18 дней назад +1

    Nyie Endeleeni kubaki kwenye upofu mkuu na kudanganya mzidi kupotea. Saa inakuja mtatamani hata sekunde moja ili mmwamini Mwana wa adamu Ila mtakua mmchelewa na mtamlaumu Muhamad milele na milele kwa kuwadanganya

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 18 дней назад

      Na ww Subiri mpaka Mungu wako aje mgombanie choo

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 18 дней назад

      Usije ukasema hukuambiwa kuhusu muhammad siku utakapo iona jehanamu mbele yako

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 18 дней назад

      Mimi simtaki mungu allah asiesikia Wala kujibu amewayelekeza watu wake uko Gaza na Lebanon dhidi ya wayahudi. Mimi namtaka Mungu wa Ibrahim, isaka na yakobo anayejibu kwa Moto asiyetetewa na wanadamu anajitetea mwenyewe. Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo na Mokozi aliyejitoa kwa damu yake ya thamani akamiokoa kutoka dhambini. Huyo allah bakini nae na mapete yenu ya mashatani

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 18 дней назад

      ​@@joshuajohn8533huyo Allah unayemkataa ndie aliyekuumba ww na mm na vitu vyote mbinguni na ardhini na huyo unaesema Ni Mungu ameumwa na Allah mtukufu

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 18 дней назад

      @@sharfumbarouk6168 Ndio ulivyokaririshwa simtaki allah Mimi Bali namtaka Mungu wa Ibrahim isaka na yakobo elewa hivo enyi nyoka Wana wa majoka. Kuna utofauti mkubwa Mungu aliyefunuliwa na Biblia na mungu Quran. Wa Biblia haufungamani na Wala Hana urafiki na majini Ila wa Quran ana ushirika na majini.