Jamani pols hamkupewa kazi ya kuua bali kulinda wananchi lei wanainch ndo tumekuwa wa kuuwawa kama ng'ombe timizen kaz zenu vizur mmekatsha ndoto ya maisha yakee mungu akutie nguvu mama polee sana hukutarajia kumpoteza mwanao kwanjia hiyoi aman itawalee🙏🙏🙏🙏🙏
Poleni sana kumpoteza mtoto ,ila tukubali kwamba hii ni kati ya tajiri(viongozi wa serikali) na wananchi masikini. Tumuombe Mungu atusaidie wananchi masikini
@@loserian-mj1gj Umesikia kabisa waliwapiga mabom yakaisha wakatumia risasi,Sasa nikuulize kama walikuwa na kibali chakuandamana Kwa Nini wapigwe mabom kazi Ya police ilikuwa kuwaongoza wafike walikotaka watoe KERO zao wasikilizwe wasikilizwe basi Tatizo police KAZI Yao kuvuruga maandamano tu sijui ikiwa kibali wanatoa wao?!
@@cheiknamouna2058 katika maandano atatokea tu mmoja ataanzisha fujo, kwa hiyo watu wote hawakuagi sawa Sasa ukirushia askari mawe na ujue askari nao wanakuaga waoga kwa hiyo ukiona hivo pia. Nao wanajaribu kuwatia woga
Inaumiza sana hivi tumefikia huku kweli jaman Imeniumiza sana serikali kemeeni hili jambo sisi siyo wanyama Tanzania ni nchi ya amani sasa mapolice wanataka kutuharibia aman ya nchi badala ya kutulinda wanatupiga risasi ukute masikin mtoto wa watu hakuwa hata maandamano Na maandamano yanatulizwa ki-diplomasia siyo risasi ndugu zangu tunaharibu taswira ya nchi yetu
Kiukweli hii inaumiza sana jaman Kiukweli kuna police wa hovyo sana hii siyo sawa huyo police aliyefanya unyama huu hakika hatoishi kwa amani, Hii damu iliyomwagika itamfuata mapolosi yasiyojiewa.
Mnaotumiwa vbaya na serikali nyie police si mtumie akili zenu kuepukana na hzi laana za kuuwa uwa watu hovyo kwani hamuone kuwa tunakoelekea si pazur.... Hatutaki kuona machafuko kwenye nchi yetu isiyo na alama nyekundu kwenye bendera yetu ya Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 police acheni kutumika kisiasa tendeni haki
Daaah inaumiza hii jmn hivi hawa polisi mbn wanafanya mambo ya Ajabu kabisa hivi kweli unatuliza taharuki unatumia lisasi tena za moto tena unalenga watu baadala ya kupiga Juu
Mama kaongea vizuri sana maandamano ni vita huwejua utarudi salama nijambo muhimu sana watuwengi wamekufa kwenye maandamano sio Tanzania TU ikiangalia nchi kama Kenya wamekufa watuwengi sana south Africa marekani Dunia nzima ndio inavyokiaga harafu chaajabu wale wanaowashawishi watu waandamene hawaendi wala hawafi nikweli kutetea haki yetu nijambo muhimu lakini tutete hakizetu kwa amani sio kurushiana mawe na police au kuharibu Mali zawatu pia ni muhimu kuangalia nikitugani unaandamania nasio kufuata mkumbo mfano kama wanavyo chochea viongozi wengine kwaajili ya uchuwamadaraka kwakweli inauma sana kijana mdogo alitegemewa na familia na jamii kupoteza maisha pia police na selikali tunaomba kuchukua hatua maramoja inapolipotiwa matokio maana hapa kilichotokea mpaka watu wakapatwa na hasira wakaanza kuandamana nikwasababu watu wamechoka kulipoti na hatua hazichukuliwi kwaharaka na kupuuziwa poleni sana wazazi wakina na ndugu kwaujumla 😢😢
Maana ya maandamano ni wengi wape ukiwanyima wanachukua kwa mikono yao hapa walikuwa hawaoni msaada wajeshi LA polisi wakaona watumie njia ya maandano ili serikali iwasikie iwaone na kuwasikiliza lakini matokeo ndiyo hayo wananchi wataendelea kunyong'onyeshwa kwa sababu kila inachoona kinafaa inafanya, hapo Lamadi kwa mahesabu yangu wamepoteza watu watatu kuna misiba mitatu waliotekwa ni wawili na aliyepigwa risasi ni mmoja
Mm nalia na mama SAMIA. Sheria ndio zipo lkn yakizidi hayataki kungoja sheria. U mm uckufanye kuonea huruma sn. Wenye kutaka kuchafua jina lk Allah hatocmama nao. Paza sauti mama! Tuokoe Tanzania yetu ya AMANI
Kwa hiyoo bora waendeleea kupotea watoto kisa tulikiandamana watoto watakufa Sasa si bora hata huyo mama mwanae kwamwona kuliko watoto wawili mpaka leo hawajulikani walipoo huyu mama hana akili angepotelewa mwanaye na angeenda kulalamika kituoni alfu wamuweke ndani angesema huo upuuzii hapo au kisa Waliotekwa hawakuwa watoto wake ila mtoto wake ndo mtoto sana si ashukuru hata mwili kauwona kuna watoto hawajulikani walipoo mpaka leo hii nchii haiko salama tuache kujitoa akili tuikomboe nchii yetu
Mama kasema kweli maandamo ya amani huwa yana kibali kikatiba. Hizo ni vurugu na siyo maandamano. Poleni sana wafiwa,Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu.
Ifike mahali tutambue suala la maandamano lolote laweza kutokea,,wakenya wangap wamekufa kwenye maandamano wananchi ndo waliumia hilo sio suala la familia ni la kitaifa kijana anajitambua na ndo maana alitaka afanye ivo ili kilio kisikike kufa vitani ni ushindi usitupe uoga tutakufa tukilitetea taifa letu, hatukati tamaa
Labda nisiwe hai na namuomba mungu sana na kila siku nisikutane na matukio mabaya maana nitakuwa hatari Tanzania na nchi za jirani polisi acheni mnayoyafanya mimi ni mjukuu wa hamza damu ya hamza haipotei hiyo
Dah magufuri wa mwaka 2060 kafariki. Nafikiri serikali iweke utaratibu wa askari kufanya mafunzo ya judo, kareti, na mafunzo mengine ya kujihami bila kutumia silaha. Kwa wale wananchi kulikuwa hakuna sababu ya kutumia risasi za moto. Mafunzo ya kujihami kwa mikono na miguu, ukipata vizuri mafunzo na ukawa unafanya mazoezi mara kwa mara, utajihami vizuri na kwa umakini mkubwa. Maana hutakua na woga hakika.
Bora uandamane mwili wako ndugu zako watauowana kuliko kukaa kimyaa ukipotea ndugu wanapiga kelele tu siku zinazidi kwenda kumbe mwili ulitupwa ukaliwa na fisi
ndg maandamano ndio njia pekee ya kudai haki.ndio maana katiba inaruhusu watu kuandamana kinachofanyika ni kusigina katiba kwasababu wengi wetu hatujui haki zetu kikatiba
@@samoredelavida3782unadhani ukikaa kimyaa ndo utapona na hao watoto walipotea sio watoto ila aliyekufa kwa ajili maandaamo ya kukataza upotevu watoto ndo mtoto huyu mama ana matatizo kichwani na huo ni ubinasfi angetekwa mtoto wake angesema wananchii wasiandamane
Ilo swal ndilo linalo sababisha watu kufa kwenye maandamano coz kwajins tunavyojiona weng ndio tunasababisha kutaka kuwazid nguvu na wenyewe kuokoa maisha yao inapelekea ad kutumia siraha za moto
Maana ayo maandamano ad police wanatumia siraha za moto ni baada ya raia kuwafata police na kutaka kuwachoma moto wakiwa ndan na wao waliingia ndan baada ya kuona raia wamekuwa wengi
We mama pole lakn walaumu polisi kwa kutumia risasi sio wananchi
IV Unazan huyo mama yupo Sawa Kwa sasa unaongea maneno haya
Poleni sana wafiwa. Polisi ndio wa kulaumiwa sana tu.
Kuanzia saivi sitokaa nimsaidie police hata kama yuko kwenye hali gani😢
😂😂😂😂😂😂
😢😢Omba yasikukute haya maumivu😢😢
Jamani wananchi msipige kula ccm.watatumaliza
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Jaman maandamano cio mazr m ata iweje ctokuja andamana maisha yangu yote .kuna kipindi niliandamana tulipigwa htr...pole mama
Poleni sana wafiwa na alieuwa hatakaa na Amani milele inauma sana 😢😢😢
Jamani baba pole mungu awape nguvu kwa kipindi hichi kigumu duuuh 😢😢
Mungu ondoa hii sumu inayopandwa na serikali taratibu taratibu ndani ya wananchi
Amen
Jamani pols hamkupewa kazi ya kuua bali kulinda wananchi lei wanainch ndo tumekuwa wa kuuwawa kama ng'ombe timizen kaz zenu vizur mmekatsha ndoto ya maisha yakee mungu akutie nguvu mama polee sana hukutarajia kumpoteza mwanao kwanjia hiyoi aman itawalee🙏🙏🙏🙏🙏
Poleni sana kumpoteza mtoto ,ila tukubali kwamba hii ni kati ya tajiri(viongozi wa serikali) na wananchi masikini.
Tumuombe Mungu atusaidie wananchi masikini
Mapolice kumanishaaa Nini kutumia chombo cha moto kwenye umatiii wa watuuuu chenziiiii sanaaaaa
Tanzania🇹🇿
Where are you going Tanzania🇹🇿?
Sad😭😭😭😭😭😭😭
Hii ndio serikali ya........ Mana Sasa sijui tutakimbilia wapi kila Kona majanga kutekwa harafu watu wanasema anaupiga mwingi 😃😃😃😃
Mungu wangu nchi yetu haipo salama hata kidogo
Kabisa machawa tu ndio wapo salama lakini sisi maskini ndio tutakoma
Jeshi la tanzania ndio jeshi la hovyo kabisa duniani
Kile kitendo cha kushambulia viongozi nadhani kiliongeza hasira. Poleni sana wafiwa.
Jaman ccm wanatumaliza amkeni
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwa kweli😢😢😢
Jaman my chair Mungu na awafarij sana family yako tutakumic sana chair wetu
Wamefanya mapema sana kutumia lisisa any way alie mpiga huyo dogo nazani saivii atakua ana aman anajisifia kwa mama Yao we Did it ok
Ningekuwa mchawi police mngesha isha mbona wote😢
Jaya machoz mama samia yatafika mezani kwa mu gu hakika mungu ainguile kati maana sai, nchi hii aman haipo kabisa mpka watanzania tunaogopa kabisa
Tanzania,Tanzania nchi yangu mbona hivi jaman😢😢😢😢
Poleeni Sana wazazi. Mungu awape nguvu
Mandamani ni hakiyo wanamchi lakini selekali bovu tu hiyo wanauwa sana lakini mungu yupo anayana hayo atatujibia mwenyezi mungu
Kama wanaona wanaokula ikulu huko Pakistan ni utani serekali iendele na huu ujinga
Jamani nimeumia sana sikua najua ndo nimeambiwa saiv nipo kenya poleni sans tena ni jirani yetu kabisha pumzika kwa amani meshack 😢😢
HII INCHI SIO SALAMA KABISA NDUGU ZANGU.
Congo tuu ndio salama au Sudan
Pole sana mzaz mwenzangu
Duuh jaman same time busara iwe inatumika kuliko kutumia nguvu
Jaman Mungu naomba utusaidie uwiiiii
Pole kwakweli
Pole sana.
Poleni Sana Wana lamdi
Kuna mijitu inasema maandamano siyo mazuri hebu ambieni serekali iache kutumia police wengine hawana uweledi na silaha
Mlitaka kuchoma kituo cha police wao wangefanyaje
@@loserian-mj1gj Umesikia kabisa waliwapiga mabom yakaisha wakatumia risasi,Sasa nikuulize kama walikuwa na kibali chakuandamana Kwa Nini wapigwe mabom kazi Ya police ilikuwa kuwaongoza wafike walikotaka watoe KERO zao wasikilizwe wasikilizwe basi Tatizo police KAZI Yao kuvuruga maandamano tu sijui ikiwa kibali wanatoa wao?!
@@cheiknamouna2058 katika maandano atatokea tu mmoja ataanzisha fujo, kwa hiyo watu wote hawakuagi sawa Sasa ukirushia askari mawe na ujue askari nao wanakuaga waoga kwa hiyo ukiona hivo pia. Nao wanajaribu kuwatia woga
Inaumiza sana hivi tumefikia huku kweli jaman
Imeniumiza sana serikali kemeeni hili jambo sisi siyo wanyama Tanzania ni nchi ya amani sasa mapolice wanataka kutuharibia aman ya nchi badala ya kutulinda wanatupiga risasi ukute masikin mtoto wa watu hakuwa hata maandamano
Na maandamano yanatulizwa ki-diplomasia siyo risasi ndugu zangu tunaharibu taswira ya nchi yetu
Msiseme maandamo sio mazurii ilaumuni serikali watu wanaandamaana kwa amani watu wanapiga risasi maana ake nn police ndo washenziii
Kwa amani gani wakati walichoma moto kituo cha polisi na kufunga barabara waliyataka hayo na wewe kaandamane ufe mbele
@ halima. Chunga mdomo.
Ifike mahala kesho la polisi liadhibiwe kwa ualifu wanaofanya kwa raia" haki iko wapi sasa" wakati tunajua haki iko polisi""polisii wauwaji !!
Kiukweli hii inaumiza sana jaman
Kiukweli kuna police wa hovyo sana hii siyo sawa huyo police aliyefanya unyama huu hakika hatoishi kwa amani,
Hii damu iliyomwagika itamfuata mapolosi yasiyojiewa.
Mnaotumiwa vbaya na serikali nyie police si mtumie akili zenu kuepukana na hzi laana za kuuwa uwa watu hovyo kwani hamuone kuwa tunakoelekea si pazur.... Hatutaki kuona machafuko kwenye nchi yetu isiyo na alama nyekundu kwenye bendera yetu ya Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 police acheni kutumika kisiasa tendeni haki
Hivi tutarajie nini kutoka katika serikali inayoendeshwa kiswahili na kwa ubabaishaji kama serikali ya awamu ya sita?
Mtu ana jiwe we unapigana nae kwa risasi
Wewe mama hujitambwi hata kidogo. Kwani hayo maandamano yalikuwa yaamani au ya kivita? Huyo police naye auwawe.
Polic acheni kutumia bunduki kwenye mambo madogo hiyo chuki mnayotengeneza kwenye jamii .
Wewe mama mpumbavu sana yani badala ya kuwalaumu polisi walio muua mwanao afu inaonekana wewe mama ni ccm ndio maana una mambo ya ki ccm ccm
Jamanii Kwa nn mnandamanaa tu jifunze kupitia apa jamani
Tanzania tanzania TANZANIA amani iko wap??
Hatari ee Mungu rehemu nchi hii.wanataka.nini hawa wauwaji....
Poleni sana
Daaah inaumiza hii jmn hivi hawa polisi mbn wanafanya mambo ya Ajabu kabisa hivi kweli unatuliza taharuki unatumia lisasi tena za moto tena unalenga watu baadala ya kupiga Juu
Poleni 😂😂😂 CCM watatumaliza
Imetosha Sasa, Bora tuamke tufe watu 50,000/ Kwa Saa Moja tuokoe nafsi za wengine.imetosha
So sad😢😢
Mmh msiba mzito saaana.kiatu chako baba hakimtoshi yyte.
Mama kaongea vizuri sana maandamano ni vita huwejua utarudi salama nijambo muhimu sana watuwengi wamekufa kwenye maandamano sio Tanzania TU ikiangalia nchi kama Kenya wamekufa watuwengi sana south Africa marekani Dunia nzima ndio inavyokiaga harafu chaajabu wale wanaowashawishi watu waandamene hawaendi wala hawafi nikweli kutetea haki yetu nijambo muhimu lakini tutete hakizetu kwa amani sio kurushiana mawe na police au kuharibu Mali zawatu pia ni muhimu kuangalia nikitugani unaandamania nasio kufuata mkumbo mfano kama wanavyo chochea viongozi wengine kwaajili ya uchuwamadaraka kwakweli inauma sana kijana mdogo alitegemewa na familia na jamii kupoteza maisha pia police na selikali tunaomba kuchukua hatua maramoja inapolipotiwa matokio maana hapa kilichotokea mpaka watu wakapatwa na hasira wakaanza kuandamana nikwasababu watu wamechoka kulipoti na hatua hazichukuliwi kwaharaka na kupuuziwa poleni sana wazazi wakina na ndugu kwaujumla 😢😢
Maana ya maandamano ni wengi wape ukiwanyima wanachukua kwa mikono yao hapa walikuwa hawaoni msaada wajeshi LA polisi wakaona watumie njia ya maandano ili serikali iwasikie iwaone na kuwasikiliza lakini matokeo ndiyo hayo wananchi wataendelea kunyong'onyeshwa kwa sababu kila inachoona kinafaa inafanya, hapo Lamadi kwa mahesabu yangu wamepoteza watu watatu kuna misiba mitatu waliotekwa ni wawili na aliyepigwa risasi ni mmoja
Mm nalia na mama SAMIA. Sheria ndio zipo lkn yakizidi hayataki kungoja sheria. U mm uckufanye kuonea huruma sn. Wenye kutaka kuchafua jina lk Allah hatocmama nao. Paza sauti mama! Tuokoe Tanzania yetu ya AMANI
Kwa hiyoo bora waendeleea kupotea watoto kisa tulikiandamana watoto watakufa Sasa si bora hata huyo mama mwanae kwamwona kuliko watoto wawili mpaka leo hawajulikani walipoo huyu mama hana akili angepotelewa mwanaye na angeenda kulalamika kituoni alfu wamuweke ndani angesema huo upuuzii hapo au kisa Waliotekwa hawakuwa watoto wake ila mtoto wake ndo mtoto sana si ashukuru hata mwili kauwona kuna watoto hawajulikani walipoo mpaka leo hii nchii haiko salama tuache kujitoa akili tuikomboe nchii yetu
Analaumu maandamano😭
Huyu Mama hajuhi kuwa maandamano ni haki yake kikatiba..shida ni ukiukwaji wa katiba na nguvu kupita kiasi kwenye mambo ya kawaida...ila poleni sana
Mather kafiwa lakini hajielewi.
Ni kweli, changamoto yetu waTanzania ni waoga kudai haki na kusema ukweli, mama anakosea kulaumu waandamanaji Kwa kweli
Anazingua sna kulaumu waandamanaji, huwezi kukaa na kuangalia unaburuzwa tu kisa uoga
Mama kasema kweli maandamo ya amani huwa yana kibali kikatiba.
Hizo ni vurugu na siyo maandamano.
Poleni sana wafiwa,Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu.
Baada ya mabomu ya machozi kuisha ilibidi askari kujitetea. Bahati mbaya wamezima ndoto za kijana wetu
Kama nipolice mgambo sijuwi nani kama nikionyeshwa tu muhusika lazima tugawane majengo.
Huyu anaonekana ana roho mbayaa sanaa
tumepokea taarifa hii kwa uchungu xana r.i.p brother
pole
Hii nchi yetu jamani huwezi kupata haki daima ni uonevu tu
Daaahh
Duuh poleni sana
Hii nchi Mungu aiiwekee mkono tu, Hakuna usalama.
Huyu mama mjinga kweli. Unaacha kulaumu wauwaji unalaumu wauwaaji
Maandamano yanalindwa kwasababu ni haki na sio uhaini. Silaha za moto sio njia halali kutumika kuua raia,wala Mungu hatanyamaza...
We mwandishi ni fara sana hata kama shuleni alikua uwezo wake ni mdg ndoo anahaki ya kuuawa au!Jifunzeni kuhoji maswari ya msingi.
Pumzika kwa Amani shujaa, tutafika tu, mama waandamanaji ni wadai haki kwa wema, ni haki yao walikuwa wanatafuta, kulaumu waandamanaji siyo sawa
Polisi ya sasa inaogopesha ubakaji wao kuua kwa risasi waoo nadhani kuna tatizo tunakoelekea sio salama
Nchi tumekabidhi watu baki,hawajali,mbaya zaidi nchi tumekabidhi mwanamke ,ss tuyaone wenyewe.
Jaman so sad 😢
Tunaomba samia ajiudulu kumala mama ake yan maana hana chochote meshack daudi amekufa kiume wengine tupo nyumayake
Aah hii nchi sasa ndio nn hiki afu hata hao Chadema hawasemi kitu kuhusu hili.
Bwana ametoa bwana ametwaa jinalake lihimidiwe😢😢😢😢
Mungu awape wepesi jamani😮
cheti cha form four cha kijana anamzid mpaka IGP asikari ni wapumbavu sana tutaandamana kwa bunduki na sisi wala musiulize zimetoka wapi
Ifike mahali tutambue suala la maandamano lolote laweza kutokea,,wakenya wangap wamekufa kwenye maandamano wananchi ndo waliumia hilo sio suala la familia ni la kitaifa kijana anajitambua na ndo maana alitaka afanye ivo ili kilio kisikike kufa vitani ni ushindi usitupe uoga tutakufa tukilitetea taifa letu, hatukati tamaa
Uwiiii 😢😢
Utanipeleka wapi tanzania ninalia
Labda nisiwe hai na namuomba mungu sana na kila siku nisikutane na matukio mabaya maana nitakuwa hatari Tanzania na nchi za jirani polisi acheni mnayoyafanya mimi ni mjukuu wa hamza damu ya hamza haipotei hiyo
Mama pamoja na kufiwa hajui hata wa kumlaum ni nani,mama mwanaccm kwelikweli.
Maandamano ni muhimu ila huwezi zimisha maandamano kwa risasi za moto
Nani ataiokoa Tanzania inakoelekea?
Dah magufuri wa mwaka 2060 kafariki. Nafikiri serikali iweke utaratibu wa askari kufanya mafunzo ya judo, kareti, na mafunzo mengine ya kujihami bila kutumia silaha. Kwa wale wananchi kulikuwa hakuna sababu ya kutumia risasi za moto. Mafunzo ya kujihami kwa mikono na miguu, ukipata vizuri mafunzo na ukawa unafanya mazoezi mara kwa mara, utajihami vizuri na kwa umakini mkubwa. Maana hutakua na woga hakika.
Mama hao walioandamana nao wapendwa wao wamepotea kwanza ni watoto wao kama wewe.
Alafu isitoshe walipenda kupiga ripoti mara ya pili wakatiwa ndani ndio maana wananchi wakalipuka
Daaaaaaaaaaah jaman hv hii kwel Tanzania 😢😢😢😢😢
Ndio ya mama😢😢
@@user13375 ,😢😢
😢😢
😮watanzania tumgeukie Mungu zaidi kipind hiki shetani ameikamia nchi yetu sasa,data z
Polen sana…wahuni wanabadli roho
Namkuu wa wilaya nae hafai kwasababu hao watu wana maumivu sana,nakauli yake Dc sio yakuleta amani nikutengeneza chuki
Kwahiyo alikwenda kuripoti kupotea wanae aliwekwa lock up
Hebu fikiria nchi mbaya hii kwa raia wa hali ya chini
Hizi ndizo athali.za maandamano,haya ni lazima yatokee .usitarajie msaada ws serikali,wala waliokutuma. Huu ndy ukweli.
Bora uandamane mwili wako ndugu zako watauowana kuliko kukaa kimyaa ukipotea ndugu wanapiga kelele tu siku zinazidi kwenda kumbe mwili ulitupwa ukaliwa na fisi
Kusema kweri hawa polisi hawafai kabisa
R.I.P poleni sana wafiwa
Maandamano sio njia nzuri ya kudai haki. Ni bora tu kama hatuna nguvu yoyote ya kuishawishi serikali tukae kwa kutulia
ndg maandamano ndio njia pekee ya kudai haki.ndio maana katiba inaruhusu watu kuandamana kinachofanyika ni kusigina katiba kwasababu wengi wetu hatujui haki zetu kikatiba
@@samoredelavida3782unadhani ukikaa kimyaa ndo utapona na hao watoto walipotea sio watoto ila aliyekufa kwa ajili maandaamo ya kukataza upotevu watoto ndo mtoto huyu mama ana matatizo kichwani na huo ni ubinasfi angetekwa mtoto wake angesema wananchii wasiandamane
Daah inauma😢😢😢
Hivi hawa askari huwa wanajiona ni wengi kuliko wananchi?
Ilo swal ndilo linalo sababisha watu kufa kwenye maandamano coz kwajins tunavyojiona weng ndio tunasababisha kutaka kuwazid nguvu na wenyewe kuokoa maisha yao inapelekea ad kutumia siraha za moto
Maana ayo maandamano ad police wanatumia siraha za moto ni baada ya raia kuwafata police na kutaka kuwachoma moto wakiwa ndan na wao waliingia ndan baada ya kuona raia wamekuwa wengi
Waache ujinga kuandamana wataisha walahi🤔
Polisi oyeeee hatuwapendiiiii mnatumia nguvu nyingi bila akili