DIVA NA NIFFER WAANDIKA BARUA KUOMBA MSAMAHA/ JANGA LA KARIAKOO / SASA TUMEJIFUNZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 10

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 52 минуты назад +1

    Kuchangisha sio kosa kosa hujafuata Sheria za kuchangisha huku tulipo tuna ishi kukitokea msiba tuna changishana tu

  • @TonnyJimmy-z5c
    @TonnyJimmy-z5c 6 минут назад

    Hizo pesa walizochangisha tuambiwe pia Hatima yake nini,Au ndo zimetaifishwa😂😂😂😂

  • @Masokabya08
    @Masokabya08 2 часа назад +1

    serekali zetu za african zina mapungufu kwa sababu sheriya niza wana hichi lakini wanahichi wana zeeka awajuwi sheriya zahichi yao ni uruma sana chakushangaza kuliko kuwahelekeza moja kwa moja munawahingiza dani hiyo siyohaki ,tujifuze sana wa african.

  • @Deboramartin-z2m
    @Deboramartin-z2m 3 часа назад +2

    Mwalimu wa mwandiko wa Diva akamatwe popote alipo apelekwe police sasaiv

  • @TatuAlly-e2s
    @TatuAlly-e2s 4 часа назад

    Nijambo la kujifunza

  • @dorothyrugumyamheto1369
    @dorothyrugumyamheto1369 4 часа назад

    Hata sielewi mbona michago ya arusi na misiba mingine huwa watu wanachangisha?

    • @thamani5842
      @thamani5842 4 часа назад

      Ww uwe na harusi halafu atokee mtu tu achangishe kwenye harusi yako bila utaratibu mlojiwekea utakubali?

    • @AbcAbc-h9o8c
      @AbcAbc-h9o8c 3 часа назад +1

      Ww Usielewe hivyo hivyo! 😂😂😂😂

    • @ntambisamwel4436
      @ntambisamwel4436 59 минут назад +1

      Wewe kichwa chako nikigumu kuelewa