PASCHAL CASSIAN AKIWA MDONGO BONGO STA SEACHI. MSHINDI WA BSS 20009 ,)MADAM LITA AJIPE MOYO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @herrybethnziku
    @herrybethnziku Год назад +3

    Hasa kwenye wimbo wako wa dunia kwaheri. Wewe ni Pascal Cassian wa tofauti kabisa na waimbaji wengine naomba Mungu aendelee kukuinua ili tibarikiwe zaidi

  • @ibrahimmgimba6186
    @ibrahimmgimba6186 2 года назад +1

    I real appreciate you much servant of God keep it up

  • @kingmhondela
    @kingmhondela 3 года назад +2

    Songa mbele mtumishi wa MUNGU,nabarikiwa Sana na nyimbo zako.

  • @lukapastory
    @lukapastory 4 года назад +3

    Achana na BSS mseme Yesu sana, Ha! Mwombee kwa Mungu Madamu Rita aokoke

  • @PaulsenMgema
    @PaulsenMgema Год назад

    Wewe kweli una Mungu ndani yako ..maneno yako tu yanatokana na kinywa cha Mungu.

  • @damarisnyaata
    @damarisnyaata 9 месяцев назад

    Yesu anangalisha jameni
    Be blessed

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 4 года назад +1

    Ubarikiwe kaka nakufatilia tangu umepata ajari hadi sasa uko vzr sana kaka

  • @geofreyfreenielswila8844
    @geofreyfreenielswila8844 2 года назад

    Mtumishi MUNGU akubaliki sana kwamafundisho yako

  • @ezekiasengo9347
    @ezekiasengo9347 4 года назад

    Mtumish bwana asifiw mim ni mwimbaj wa nyimbo za injili natamani nifike mbali naomba sana sapoti yako kwa jina naitw Ezekia sengo

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 4 года назад +3

    Tuko pamoja kaka pall kassian nakufatilia sana

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Год назад

    Asante sanaa..kukumbuka ulikotoka.

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 4 года назад +1

    Ubarikiwe sana niliumizwa sana na ajali uliyopata lkn nimapito tuu

  • @officialjoakim3555
    @officialjoakim3555 2 года назад +1

    Ulitisha Kwenye hyo album Wanamuabudu ndo Inanibariki Sana.

  • @ZephaniaMelckiades
    @ZephaniaMelckiades Год назад

    Mimi kupitia wewe tunapona mtafute mungu tumpate mungu

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Leo ni mtumishi

  • @nuruelmada9570
    @nuruelmada9570 4 года назад

    Tunakupenda Mtumishi

  • @mc-vick-p4615
    @mc-vick-p4615 4 года назад +1

    Asante kwa mashauri.

  • @ntibashimamathiasimathiasi7564
    @ntibashimamathiasimathiasi7564 3 года назад

    Hahaha umetisha

  • @timothybilato3960
    @timothybilato3960 3 года назад

    Nikweli kabsa unalosema hii intavyu nimeipenda

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 4 года назад

    Fungua kanisa ubarikiwe sana

  • @hassankombo4475
    @hassankombo4475 4 года назад

    Wewe inawezekana ulipewa ila wengine hawakupewa kwanini unasema hamna aliezurumiwa huoni kama utakuwa unamitenda mungu wako zambi kwa kutetea uongo

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 4 года назад +1

    Chapa kazi MUNGU yunawe

  • @mariabasily115
    @mariabasily115 3 года назад

    Yaan mim ndio mara kwanz kuangalia bss 209 nilikuw form1

  • @jacquelinekahamba7872
    @jacquelinekahamba7872 2 года назад

    unaimba i see,

  • @lukapastory
    @lukapastory 4 года назад

    Skuelewi kwakweli pascal

  • @wesleyMacaris
    @wesleyMacaris 3 года назад

    Shukurani kabisaa kwa maelezo

  • @lukapastory
    @lukapastory 4 года назад

    Mm skuelewi

  • @blessingsgeneral93
    @blessingsgeneral93 4 года назад +1

    🖤❤💚💟👊🏿👏🏿

  • @janethmhini7461
    @janethmhini7461 3 года назад

    Mshindi wa BSS 20009 mmh?

  • @lizelizabeth6467
    @lizelizabeth6467 4 года назад +1

    Hahahahaaa watanzania mnachekesha ,😀😀😀 yaani hata 2009 mnashindwa kuandika?? Daaah makubwa

  • @lukapastory
    @lukapastory 4 года назад

    Mm kwakwel Skuelewi kaka Unateteaje BSS wakati wanaimba Uovu?

    • @zamdasalumu9740
      @zamdasalumu9740 3 года назад

      Kwan bss hakuna wanaomba Gospel?? Yeye anaeleza jinsi ilivyotumika kumtambulisha

    • @jamesjulieth7258
      @jamesjulieth7258 3 года назад +2

      Naomba nikuulize, Hivi unaweza kumsema vibaya mama au baba yako aliyekuzaa au kukulea? Hata wakiwa wadhambi? Chimbuko la kujulikana kwa Paschal sio BSS? Bila BSS hata mm na ww tusingemjua. Na kama tusingemjua tusingeona haja ya kumfuatilia. Hivyo Pascal yuko sahihi kabisa. Big up madam Ritha umefanyika daraja la mafanikio kwa vijana wengi. Mungu hawezi kukuacha kwasababu yeye si mwanadamu hata ahukumu kama mwanadamu. Big up master J na Salama kwa kunoa vipaji vya vijana wetu. MUNGU pamoja nanyi daima.

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 4 месяца назад

      Akn Walter chlambo wametokea uko, so nmasndno ambayo unaimb kla aina ya nynmbo

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 4 года назад

    Mimi naomba uwe unanitumia vidio WhatsApp niwe nashare kwa marafiki +96897087364

  • @Mtkpol
    @Mtkpol 4 года назад +1

    Kaka nmekufatiliaa tangu ueleze about kujitoa freemason.... 🔥🙏.
    Naomba unisaidie kupush hii kazii..
    ruclips.net/video/4YF2WEQKwss/видео.html

  • @geofreyfreenielswila8844
    @geofreyfreenielswila8844 2 года назад

    Mtumishi MUNGU akubaliki sana kwamafundisho yako