CASSIAN AMUONYA JOELI RWAGA MZIKI WASHETANI EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 787

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Месяц назад +46

    Casian ,casian ,casian man of God , I have called you three times may God continue to enlight every day so that the truth continues

  • @marywilson5986
    @marywilson5986 26 дней назад +11

    Kiukweli mungu awasaidie sana watumishi,Joel nyimbo zake za kwanza zilikua na uwepo sana

  • @sofialinus8241
    @sofialinus8241 Месяц назад +36

    Yaani mm nampenda sana Joel na mziki wake, lkn huu wimbo sijawahi kuupenda Wala kuuelewa sikujua ni kwann

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад +1

      yan ata mm nashangaaa kwa sababu nyimbo zake nyingi ninazo tena zina nguvu.sijui anakwama wapi????

    • @LinahCasmir-c4b
      @LinahCasmir-c4b Месяц назад +1

      Hata Mimi sijapata hata nguvu ya kuu download kabisa

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 26 дней назад +2

      Huyu Joel Rwaga amenitoka kama vile Christina Shusho alinitoka si wahitaji katika kuijenga na kuilinda Imani yangu katika Kristo Yesu 🙏🙏🙏

    • @emmilianasalehe2853
      @emmilianasalehe2853 26 дней назад

      @@LinahCasmir-c4b same here yani nina album yake yote ila hii sijawahi hata kuwaza kwakweli🙌

    • @nishaabias5694
      @nishaabias5694 12 дней назад

      Tuko pamoja

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz Месяц назад +29

    Upo vzr mtumishi. Very powerful. Pengine umeitiwa haya

  • @mwlobedkibona1469
    @mwlobedkibona1469 Месяц назад +32

    We need wisdom sana , ajionae amesima,ajiangalie asije akunguka, hakuna mwanadamu mwenye kipimo Cha Utumishi, mwenye kipimo na ni Mungu pekee.

    • @MrKulanga
      @MrKulanga Месяц назад

      ruclips.net/video/73zXCfSuPZQ/видео.htmlsi=JkO6h5zNEYKTlp0C

    • @zuhuradanny6307
      @zuhuradanny6307 Месяц назад +2

      Ndo maana Kuna kukumbushana pale unapoona mwenzio anapotoka tunarejeshana, I respect cassian

    • @erickjuma2562
      @erickjuma2562 26 дней назад

      Nisawa kusema lakini tumsikilize kwanza roho mtakatifu ndani ya watumishi wake Mungu wa mbinguni na tuyatekeleze na kuyatenda mapenzi yake Baba yetu kwa jina la Yesu Kristo tutaokoka na kumshinda adui shetani 🙏🙏🙏

    • @WINIFRIDAMWASYIKA
      @WINIFRIDAMWASYIKA 25 дней назад

      Zipimeni kwanza hizo roho kama zatokana Mungu au la,,

    • @emmanueltango6437
      @emmanueltango6437 10 дней назад

      ​@@erickjuma2562Roho mtakatifu siyo roho 😢

  • @RachelPeter-cg1ql
    @RachelPeter-cg1ql Месяц назад +42

    Yani watu watasikia lakini hawaelewi, na wengi wataona lakini hawatambui, Mungu aturehem. Tuombe sana tusichanganye giza na nuru maana hivi viwili haviendani kamwe. Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu kwa kunena kweli.

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts Месяц назад

      Mimi namuelewaga sana huyu mtumishi, Mungu azidi kumtunza.
      Pamoja na yote nyimbo za injili kwa sasa nyingi ni za kibiashara zaidi,Mungu atusaidie.

  • @Eunyezekiel2710
    @Eunyezekiel2710 23 дня назад +4

    Barikiwa sana Paschal ishi maisha marefu unafanya kazi nzuri sana kufumbua watu macho yaani mm niliposikiliza nilisema hapa kwisha shetani anazidi kuteka watu Mungu atusaidie barikiwa sana naa roho atusaidie

  • @Dorahkimaro-v2s
    @Dorahkimaro-v2s Месяц назад +26

    Nilipousikiliza tu nikaona hauna kumtukuza Mungu wala jina la Yesu halitajwi kama mwokozi wake ila umekaaa kimipasho tu

  • @NeemaGrace123
    @NeemaGrace123 Месяц назад +35

    Waimbaji wengi wa Gospel wamesha toka kwenye uwepo wa mungu bila wao kujuwa ni huruma Sana
    Ubarikiwe mtumishi 🙏

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 Месяц назад +29

    Yaan mm ninaogopa sana sana , ninahisi kutetemeka kabisa navyoona watu hawapo serious na Mungu

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Месяц назад +1

      Kabisaaaaaa inaogopeshaaa

    • @franksalawa
      @franksalawa Месяц назад +1

      watu wasio kiroho watauona huu wimbo ni sahih, ila tunayoijua kweli, ukiusikiliza tuu huu wimbo utagundua hakuna roho wa MUNGU apo zaid tuu ni mapigo ya duniani,

  • @Min_abednego_fabiano
    @Min_abednego_fabiano Месяц назад +6

    Ubarikiwee sana Mtumishi wa Bwana... Kuna namna huwa tunafikili kuwa tumaweza kuwaendea watu na kuwahubiri kwa kujifananisha na wao hilo ni kosa kubwa sana. Yesu alikula nao lakini hakujifananisha nao. Ziko njia nyingi sana za kuwafikia watu hawa bila kufanana nao nje ya hapo ni janja janja ya Shetani kuwateka watu wa Mungu na badala ya kuwaokoa tunaowaendea sisi ndio tunaishia kuanguka. Mungu atusaidie sana kukimbia hila za shetani

  • @boazrubeni3048
    @boazrubeni3048 Месяц назад +15

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kazi yako ni njema sana

  • @paulsimon9871
    @paulsimon9871 Месяц назад +7

    Hakika Cassian nikikusikiliza huwa unanibariki sana
    Siku zinakuja shetani atawateka waimbaji wengi sana soku hizi hawaimbi kumtukuza Mungu nao wanajiona eti wasanii sawa tu na wasanii wa mataifa hakuna kipya Yesu yu karibu

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 Месяц назад +11

    Tumwombe Mungu sana shetani yuko kazin kufananisha kanisa na Dunia kuondoka tofauti Mungu atusaidie

  • @mhelezijoackim-kl9vb
    @mhelezijoackim-kl9vb 25 дней назад +3

    Bwana hakosi kuwa na mabaki ktk kila uharibifu, asante mwinjiristi Pascal Casiani kwa ujumbe kwa waimbaji wa injiri, wengi huanza vizuri baadaye wanaharibikiwa

  • @Shngweadonias
    @Shngweadonias 25 дней назад +7

    Wewe hubiri Injili ya kweli tu
    Ayo mengine mwachie MUNGU mwenyewe
    Unatoa wapi courage ya kupoint figures kwa watu wengine lakini
    Iyo nyimbo ni kali sana🔥🔥🔥

  • @aloycestevensimba1942
    @aloycestevensimba1942 День назад

    Kaka pascal unajudge nyimbo za watumishi je, unajua maisha Yao nje ya injili nahisi icho ndo cha muhimu

  • @shedrackngaila383
    @shedrackngaila383 Месяц назад +130

    Sijui ni wangapi wanamuelewa huyu jamaaa jaman tujuane

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 Месяц назад +40

    Mwanadamu kwa kuhukumu namba Moja wimbo mkali hatari hongera Joel 🔥🔥🔥

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj Месяц назад +4

      Hii kuhukum ndio point pekee mko nayo. Ni hiyo tu.
      Hapa hukum iko wapi

    • @JulistaHillary
      @JulistaHillary Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @martnemlalasi6117
      @martnemlalasi6117 Месяц назад

      HU

    • @ZAIFICHARILTYOPENSCHOOLHOMESCH
      @ZAIFICHARILTYOPENSCHOOLHOMESCH Месяц назад +5

      Tofautisha sana kati ya kusema na kuhukuma. Huyu anasema yale anayoyaona katika Imani. Ndg yangu iwapo hakutakuwa na watu hawa basi imani yetu itapotea kabisa.

    • @BeatriceSamwel-p7u
      @BeatriceSamwel-p7u Месяц назад

      Biblia imeruhusu watakatifu waliopo duniani kuhukumu waovu

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 Месяц назад +16

    Dunia haiwezi fanana na kanisa, wala kanisa kufanana na dunia. Roho wa Mungu hachangamani na roho wa shetani.
    Wanaanza rohoni, wanamalizia mwilini.

    • @WINIFRIDAMWASYIKA
      @WINIFRIDAMWASYIKA 25 дней назад

      Asante Mtumishi ,asomae na ajue na kufaham pia,una akili njema sana,barikiwa

  • @witty-g8z
    @witty-g8z Месяц назад +15

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu ,you are one in a million umejitoa kuusema ukweli alie na skio na askie vile roho wa Mungu anavyo yaambia makanisa. ukweli utapingwa bali itabaki huo ndio ukweli. God bless you and may he protect you in every step from kenya.

    • @AmosiZakayo
      @AmosiZakayo 24 дня назад

      Bible inasema Kila neno lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuonya kwa hiyo ni wajibu wake kuonya akiona mtu aliyekosea. lkn cjw we ulikuwa unatakuelewa nn

  • @LovenessValerian
    @LovenessValerian 9 дней назад +1

    Amina sana mtumishi kazi ya nwinjilisti ni kukemea watu wanao enda kinyume na mapenzi ya mungu

  • @Evangelistic-z3j
    @Evangelistic-z3j 26 дней назад +2

    Ivi kuna mtu yeyote ana pumzi ya uhai na aelewi pascal cassian anazungumza nini..... let's go man of God....dhambi inapokuwq kubwa neema nayo inaongezeka

  • @fanuel96
    @fanuel96 Месяц назад +12

    Vitu vizuri vyote ni vya Mungu bhana. Ubaya ni namna wewe unavouchukulia moyoni kwako and not otherwise. Sioni ubaya wa aina ya music alioufanya sababu lengo ni kumtukuza Mungu. Hayo mengine umeyataka wewe mtumishi.

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire Месяц назад +39

    Walioumbiwa jehanamu ndio watakubali kushawishiwa na ufalme wa giza. Maana kwetu wakristo tunajua kwamba kuna wengine wanaabudu "COW" kama Mungu wao! Alafu iweje twambiwe tunaabudu Mungu mmoja huo ni upotovu. Mimi na Jua Yesu ndiye Mungu pekee... endelea kuwafungua waliofungwa na ibilisi wakisikia watamrudia Bwana awarehemu. Ubarikiwe sana mtumishi

    • @JafaryMdeluka
      @JafaryMdeluka Месяц назад +1

      Tuache ujuaji mwingi ndugu hakuna mtilifu,maana na udhaifu wako pia ni kusema pia yesu ni mungu pekee unaemjua 😢huo ni udhaifu mkubwa mno kwako

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire Месяц назад +6

      @JafaryMdeluka nenda kona zote za mbinguni utafute kama kuna Mungu mwingine utapata hakuna. Ni Yeye Yesu tu JEHOVAH Muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Huyo pekee ndiye nina mjua ni Mungu mwingine hakuna. You like it or you don't like that it.

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire Месяц назад +6

      @JafaryMdeluka Hivi nikuulize kuna Mungu wa ngapi unao wajua wewe? Mungu ni huyo mmoja Yesu ni kutokuelewa kwa watu ndio wanaona kuna mwingine. Kama sio Yeye Mungu na mkuu kuliko vyote duniani na mbinguni mbona anarudi kuwachukua watakatifu? Jiulize hilo swali?

    • @HalimaBane-l4k
      @HalimaBane-l4k Месяц назад +4

      Mungu aku bariki YESU KRISTO NDIYE MUNGU

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire Месяц назад

      @HalimaBane-l4k tubarikiwe pamoja mteule

  • @johnson20176
    @johnson20176 Месяц назад +22

    Nasema kitu kimoja, hii nyimbo ni kubwa alafu time hit Kila Kona na hiki ndicho tunachofurahi watu wa mungu kwamba ujumbe umefika vizuri ndomana unapendwa,. Bado tunasubiri album yake ngoma zote ni Kali kwasababu zinatugusa kwenye maisha yetu...Joel lwaga piga KAZI baba wataongea waache waongee saivi wewe ni wajuu kama ulivyoimba sasa haya mengine ni wivu na chuki..
    Ndomana hua nasemaga sana Hawa watu wanaojifanya wanamjua mungu ndio watu wabaya na wenye roho mbaya hata kwenye maisha yao ya Kila siku hawafiki mafanikio kwasababu ya chuki na roho mbaya wafailieni alafu mtagundua ninachosema. Hawa Hawa wamesema vitu vingi kuhusu watumishi wa mungu wengine. Imani zao ni ndogo sana kumtumikia mungu

    • @imeldamduda4694
      @imeldamduda4694 Месяц назад +6

      Usipojua kutofautisha mambo ya Mungu wa kweli na miungu ya dunia hii hutakaa uone tofauti yoyote utaona kila kitu sawa Yesu alisema mtawatambua kwa matendo sasa wewe kama huna Yesu moyoni utaonaje utofauti wa mambo yanayotokea kwa nyakati hizi?

    • @JoshuaAniseth
      @JoshuaAniseth Месяц назад +5

      Mi sinungani na wewe blo neno la mngu halijipingii acha mawazo ya ujinga wa rohoni tuko jioni ya Dunia huo mziki sio sawaa lkini kumbuka mngu hulituma neno kbla ya maangamizo ili kuwaponya watu joer arudi upande wakee sio huko aliko

    • @Ernestirene195
      @Ernestirene195 Месяц назад +1

      Huu ni ushetani kaishatekwa

    • @michaelmbilinyi4042
      @michaelmbilinyi4042 Месяц назад +1

      Afu anaimbia nani? Kuna muimbaji mmoja alisema ukiona muimbaji hataji Yesu huyo anaimba nyimbo zake sio Yesu wetu huyu. Watu wamuimbe kristo Sasa hii kaimva nini?

    • @WaliNdulu
      @WaliNdulu Месяц назад +1

      Nilijua mm Nina shida asee kila nikiplay wimbo Haina nguvu kabisa Wala utukufu wowote barikiwa mchungaji hakika Mungu atufungue ufahamu wetu😢

  • @SarahPeter-q4y
    @SarahPeter-q4y Месяц назад +13

    Kak Joel jaribu kutunga nyimbo zenye utukifu waungu acha kutafuta kule kusema nataka iwe navaibu,, nyimbo huwa nirahisi sana kuwafikia watu kwa urahisii sanaaa kuliko hata mahubiri,,, so make sure nyimbo unayo imba iwe na utukifu ambayo itaponya moyo iliyo umizwa na kufariji nahata kuponya na Mungu akusaidie Joel.

    • @athibertfungo
      @athibertfungo 22 дня назад

      Alisema anataka ku make profit na kukuza mziki😆ila sio kukomboa watu na kutufunza

  • @BGHaule
    @BGHaule Месяц назад +28

    Tutazidi kuhukumiana lakini Mungu ndio mtoa hukumu wa mwisho

    • @williammussa5621
      @williammussa5621 Месяц назад +4

      Hakuna alicho hukumu apo ,,anaeleza jinsi mambo yalivo ,, #Asikiae na afahamu

    • @Bright4Grammy-Awards
      @Bright4Grammy-Awards Месяц назад

      You are doing such a great job by not learning the difference between correction and judgment go to school and learn again read the Bible and learn again. Bible says give your child a advice so when they all they can help them correct your kid when they’re so young, when they grow up, they don’t know what’s wrong and the right Difference between judgment❤

    • @estermihambo
      @estermihambo Месяц назад

      Jina la Yesu halitajwi

    • @estermihambo
      @estermihambo Месяц назад

      Cjui Kwa nn yani

  • @yohanamp-ec7im
    @yohanamp-ec7im Месяц назад +5

    Hakika mtumishi paschal Mungu anakutumia kusema na wanaokengeuka

  • @lusajolamsonmgala6184
    @lusajolamsonmgala6184 Месяц назад +9

    Mungu akubariki sanaa mtumishi
    Aliye na sikio asikie❤

  • @itikamlagalila1911
    @itikamlagalila1911 Месяц назад +18

    Huyu mtu SIJAWAHI kumwelewa.
    Si urushe mafundisho yako mbona kutwa unashughulika na watumishi wengine???????!
    Kaka Joel kazi nzuri sana sana.keep it up.

    • @paulii4202
      @paulii4202 Месяц назад +2

      Bila kusema wenzie haendi😂
      Amwache Joel aendelee na kazi zake

    • @franksalawa
      @franksalawa Месяц назад +6

      watu kama huyu mwinj Cassian nwamuhimu muno dunian, maana huwa shape watu warudi kutoka upotofu, shukuru sana kuwa na watu wakosoaji kama hawa, paspo na watu kama hawa unaweza jidhania uko sahh kumbe ushapotea,, ukwelu nikwamba kwa mtu ambaye ashawah ona nuru ya roho mtakatifu utakubariana nami kuwa.ukiusikiliza huu wimbo utaona waz unachoshuhudiwa ndan ni sio za kiroho bari ni mapigo tuu ya duniani, trust me , ila kama huna nuru ya kiroho huwez gundua hiki

    • @VisionTvM1
      @VisionTvM1 Месяц назад +2

      Mungu akulehemu wewe dadaa

    • @paulii4202
      @paulii4202 Месяц назад +5

      @@franksalawa Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo zakamvuka, unadhan ilikuwa midundo ya aina gani? Zingekuwa nyimbo za huzuni angechezaje mpak zimvuke? Mziki umeumbwa na Mungu na wala hatujui huko wanapiga melody zipi ila tuko busy kuhukumu wengine as if nyie ni watakatifu wa Bwana mmeiona mbingu🚮🚮

    • @JulistaHillary
      @JulistaHillary Месяц назад

      😅😅😅😅😅😅

  • @JoelKihoza
    @JoelKihoza 27 дней назад +1

    Mathayo7:1,ila msijisumbue na mambo yanayoonekana bali fuateni neno la Mungu hatujui ukwel ni upi tumjue Mungu zaidi ila pia huduma za watumishi wa Mungu zizidi kukua

  • @suleman_rogers
    @suleman_rogers 29 дней назад +1

    Hubiri injili ya kweli,acha kukosoa na kuhukumu watu ,mwenye kuhukumu ni Mungu Pekee

  • @MoureenAtonga
    @MoureenAtonga Месяц назад +1

    The first time niliskiza huu wimbo nilihisi uzito sana nikaanza kulia mungu tusaidie waimbaji sijui kwa nini nko na uzito nayo

    • @RwachiryoraWema
      @RwachiryoraWema 13 дней назад

      Your over thinking nothing with this song kama ni hiyo olodumare hiyo ni yuruba kusema creator of all the most supreme...basi kama wengine upungufu wao ni mbaya basi fanyeni nyie bila kosa ndo msiwe na uzito.

  • @oscarmasanja9657
    @oscarmasanja9657 25 дней назад +1

    OLUDUMARE ni mungu Kwa Imani ya kiyoruba Kule Nigeria.

  • @ZachaliaElizabeth
    @ZachaliaElizabeth Месяц назад +1

    Hii nyimbo ni kweli haina utukufu kabisa harafu mi niljua kaimba msanii wa dunia kumbe Joel duuu

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz Месяц назад +28

    Haina uhusiano wowote na ibada zaidi ya kuburudisha jamii

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Месяц назад

    Mungu azidi kutusaidia ,Mungu awabariki watumishi wote wanaosimama kwa ujasiri kuutetea Ukristo.,wanaosimama ktk kweli.
    Huo wimbo mimi sijausikia,ila nyimbo nyingi za injili siku hizi zinalenga zaidi biashara,kuwafurahisha wanadamu, nimesema kwa asilimia kubwa , sio zote.

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 Месяц назад +20

    Ni kweli nyimbo inasikilizika LKn Haina uwepo Haina roho wa Mungu....

    • @Mrtwiga
      @Mrtwiga Месяц назад

      Weka

    • @EsterNangonga
      @EsterNangonga Месяц назад

      Kweli kabisa

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 22 дня назад

      Wimbo kuwa na Roho wa Mungu ni kuimba taratibu kumbe😅,hivi ni sehemu gani kwenye Biblia wameweka aina ya mziki unaotakiwa?

  • @gideonkalinga
    @gideonkalinga 28 дней назад +1

    Watumishi wa Mungu aliye juu mfano mwalimu Mwakasege hawana ujinga huu ulionao ww kaa jitafakari

  • @RebecaMbegu
    @RebecaMbegu 22 дня назад

    Daah Mungu azidi kukuwezesha na unataji yako mbinguni mm nakupenda sana na nakuelewa man unatujenga vijana na kuelewa kipindi tulicho nacho

  • @FanyJimmy
    @FanyJimmy Месяц назад +2

    Ubarikiwe sanaaa Mtumishi 🙏🏽🙏🏽 ukweli ni kwamba waimbaji wetu wa gospel sasa hivi nyimbo zao hazina uvuvio wa ROHO MTAKATIFU na nuru na giza havichangamani wapendwa angalia na uvaaji wao yani wapo fake vibaya Mno

  • @PhimoniMwakalili
    @PhimoniMwakalili Месяц назад +1

    MTUMISHI MMOJA ALISEMA KUWA SIKU MTU AKIFA NDO ATAJUA KUWA KATIKA VITU VIZURIII DUNIANI NA CHA THAMANI KATIKA VYOTE NI WOKOVU WA KWELIII.nyimbo zote stairi za kiduniaaa ni mpango wa aduiii kuwapoza watu kirohoooo.mwisho wa siku mtu mzim kimwiliii kiroho ni maitiii.jamani tuwavute watu kwa Yesu nasio siiisi tuvutwe

  • @YeseJephta
    @YeseJephta 21 день назад

    Mtumish hongera sana tena zidi kuwa kumbusha walioacha njia sahh...amen

  • @godchila8013
    @godchila8013 8 дней назад

    Sasa mtumishi watu wameupenda tayari asilimia 80 wamependa nikiwepo namimii ni hit watu tunateseka ikipatikana hit kama hii tunasuuzika sio lazima nyimbo ya dini iwe ya huzuni zingine zinakuwa banger ndo maisha hayo.. sasa mtumishi watu wanaburudika tatizo ninii hamna giza wala siku za mwisho tuishi tu vizuri basi tutafute hela tufurah kuhus Joel kuimba ivyo haihusiani na shetanii apo unataka joel akasilike akujibu vibaya mtumishi fundisha tuu sema na ww ndo liziki unatafuta sio mbayaa nakuelewa ...

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm Месяц назад +7

    kiukwel hii nyimbo ipo kidunia. inamaneno yakiswahili

    • @Mofrajah
      @Mofrajah Месяц назад +2

      Nitajie wimbo mmoja tu wa mbinguni

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 Месяц назад +1

      ​@@Mofrajahanakuja yesu,kwamba mwamba

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs Месяц назад

      ​@@Mofrajah Yesu Kristo ni Mungu Mkuu ndio wimbo wa mbinguni

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      izo ni stairi za kidunia na zina mvuto.kwan yeye ameacha kuimba stail yake anaiga za duniani ili auze nyimbo

    • @Mofrajah
      @Mofrajah Месяц назад

      @@PhimoniMwakalili Mimi sielewi inamaana Beat ndo Yakidunia au Maneno ya Wimbo Wake kati ya Ivyo viwili ni Kipi Mnachokiita cha Kidunia

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv Месяц назад +1

    Mungu na akubariki mnoo! Mwenzako akinyolewa zako tia maji....Tunakushukuru sana Mungu amekuweka katika taifa letu kwa makusudi yake ...naakupe neema ya kulitimiza kusudi lake Mtumishii

  • @BeatriceJohn-c2i
    @BeatriceJohn-c2i Месяц назад +3

    Tunajifunza kupitia kwa Yesu mwenyew aliketi na wenye dhambi aliwapa hadi miguu yake waipake mafuta hakuwatenga kwanini nyie mnatengeneza mipaka ya ajabu kama ni najisi basi hata Yesu asingethubutu kuingia kwa mtoza ushuru na kula chakula wapendwa Mungu hana mipaka na hachunguziki Joel kapambana nyimbo tumeisikia sio rahisi inabid tumshukuru Mungu na sio kujaji ( hakuna aliye kamilika)

    • @servantofgod4340
      @servantofgod4340 Месяц назад

      Ndugu yangu uelewe NENO usiangamie. YESU ALIENDA NA KUKAA NA WENYE DHAMBI ILI AWABADILISHE. NA WOTE WALIBADILIKA WAKAUACHA UOVU WAKAMFATA, KWANZIA ZAKAYO MPAKA KAHABA, YESU HAKUKAA NAO AKAFANYA DHAMBI ZAO, YESU ALIWABADILISHA WENYE DHAMBI KUFANYA MAPENZI YA MUNGU, WENYE DHAMBI HAWAKUMBADILISHA YESU ATENDE DHAMBI KAMA WAO. SASA HAWA WAIMBA INJILI WANAKAA. NA WENYE DHAMBI NA WANABADILISHWA NA WENYE DHAMBI WANAFANYA KAMA WADUNIA. ILITAKIWA HUYO JOEL LWAGA AMBADILISHE DAIMOND SIO DIAMOND AMBADILISHE JOEL LWAGA. SASA ELEWA UKITAKA KUHUBIRI INJILI WATU WAOKOKE UTAWAFUATA AMBAO HAWAJAOKOKA ILI WAOKOLEWE, NDICHO ALICHOKIFANYA YESU,

    • @gregorybakuza5796
      @gregorybakuza5796 Месяц назад

      Yesu aliketi na wenye dhambi na hakuwatenga lakini hakufanya waliyofanya wenye dhambi. Ni yeye aliyewavuta wenye dhambi kuja kwake ila now days watu wa Mungu wanavutwa na wenye dhambi kwenda kwao! Kinachojadiliwa hapa siyo kuchangamana na wenye dhambi No! ila ni kutoshiriki wafanyanyayo wenye dhambi

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      ​@@gregorybakuza5796kweliii kabisa

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      ​@@gregorybakuza5796yeye ilitakiwa awavute wasaniii waje kwa Yesu.sasa yeye ametumbukia tena hukohuko...

  • @Noelaotaigocharles
    @Noelaotaigocharles Месяц назад +4

    😊 walioimba tenzi wakizisikia nyimbo zako na midundo ya nyimbo zako watashangaa sana unachokisema 😅😅

  • @JanuariaNyigu
    @JanuariaNyigu 15 дней назад

    Mungu ndy anajuaa mwanadamu hauna mamlaka ya kuhukumu maanaa naww utahukumiwa usijihesabie haki kilicho baki ni kuwaoambea tu mungu awasaidie

  • @EsterMathayoMollel
    @EsterMathayoMollel Месяц назад +19

    Kiukweli mwenye jicho la tatu ndiye atakaekuelewa, haya mambo ni ya rohoni

    • @monicasimpilu6257
      @monicasimpilu6257 Месяц назад +2

      Hivi jicho la tatu hua na maana gani? Maana naona watu wa Freemason wanatumia jicho la tu naomba nieleweshwe

    • @salima2658
      @salima2658 Месяц назад

      ​@@monicasimpilu6257maana yake ya jicho la tatu ni kuona mambo au vitu ambavyo Kwa macho haya ya mwilini huwezi kuviona au kuvijua mpaka mungu akufunulie uone au ujue ndo jicho la tatu

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale Месяц назад

      Ukimwengu wa roho ndo hicho la tatu​@@monicasimpilu6257

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 Месяц назад

      Kabisaaa

    • @christopherchisuligwe512
      @christopherchisuligwe512 Месяц назад

      Soma Biblia muombe Roho Mtakatifu afumbue macho yako ya rohoni

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire Месяц назад +7

    Shetani ashatawala patakatifu, tangu lini mtu wa gospel akaenda kuambiwa la kufanya na mtu wa dunia. Huyo naye apotelee mbali...Waimbaji wengi wametekwa nyara! Eeeh Mungu wangu wakumbuke uwanasue. Wamesahau Muumba wanamtukuza ibilisi wakijua kabisa. Mungu atusaidie sana mahali tumefikia kweli Yesu akija atapata watu wa ngapi? Na ndio maana laitwa kundi ndogo.

    • @solomonmichael9735
      @solomonmichael9735 Месяц назад

      Shetani hawezi kutawala patakatifu, maana hapo ni mahali pa Mungu Mwenyezi......hao ni wanaopotea kwa sababu ya fahari ya dunia hii. Wewe simama na imani yako, kila mtu atahukumiwa.

    • @MGALILAYABillionaire
      @MGALILAYABillionaire Месяц назад

      @solomonmichael9735 shetani anatawala kwa kuvaa mwili hilo ndilo haulijui. Unapomchukia mtu mwingine, kumtukana , wivu, uongo shetani kashatawala mlango ya moyo wako.
      Haya njoo kwa jinsi ya nje sasa katika kanisa madhabau kila mtu ameruhusiwa awe mchafu au msafi hakuna anayejali. Watu wameruhusu shetani kuwatawa.
      Bibilia inasema utakapoona chukizo la uharibifu limesimama katika patakatifu asomaye na afahamu.
      Moyo wa mtu ndio madhabau kuu ya kwanza unaporuhusu ibilisi moyoni bila shaka na nje tutakuona umebadilika.

  • @yuajakabombwe2
    @yuajakabombwe2 Месяц назад

    Shetani anaharibu sana waimbaji wa mungu tuwe makin sana na yesu yote nikwakua waimbji wameacha neno na maombi yaani kuutafuta uso wa mungu wameacha yesu wasaidie waimbaji wote

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 26 дней назад

    Wapo wengi sana wanaoimba mambo yasiyomtukuza Mungu na hatujui . Tuendelee kumwomba na kumwabudu Mungu

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 23 дня назад

    Unasema.kweli Mtumishi- Kuna mtu nilimuambia sijaelewa huu wimbo kila nikisikiliza sielewi - akanishangaa- huu wimbo hajaupata toka kwa Roho Mtakatifu na hautukuzi Mungu.
    olodumare Ni mungu ( miungu) wa Yorabu- je kwanini aimbe lugha za wengine na mungu wao badala ya kutumia maneno ya kwetu kumtukuza Mungu wetu

  • @erickjuma2562
    @erickjuma2562 26 дней назад

    Wana masikio hawata sikia Wana macho hawataona unaheri ww Usha lisikia na kuliishi Hilo uzima unao tele 🙏🙏🙏

  • @jjtheactorir.4447
    @jjtheactorir.4447 26 дней назад

    Niliwahi ongea kuhusu huyu jamaa Joel kwamba hii sio gospel ya mwenyezi Mungu tunae muabudu watu wakazusha. Mtumishi upo sawa na mwenyezi Mungu aendelee kukulinda.

  • @RachelNgailo
    @RachelNgailo Месяц назад

    Mimi nafurahi kuona Kuna watu wapo tayari kusema ukweli na kuonya Tanzania hii. Joel rwaga inabidi atafakari vizuri kabla hajaanza kuwalaumu watu juu ya wimbo wake huu mpya. Binafsi nauona huu wimbo ni mzuri na unatamanika kuusikiliza kimwili, ila kiroho naona shida kidogo, Yani umekosa spiritual discipline, Hivyo inaonyesha ni dalili mbaya kwa aliyeimba kuwa either ameanza kuporomoka kiroho(kuanguka) au ameshaporomoka kitambo ila kwasababu sisi ni binadam hatujui. Mungu atusaidie kujua ukuu wake na utakatifu wake ili tujue namna njema ya kumwendea kwa njia ya maombi au nyimbo nyimbo tunazomwimbia.

  • @Jaxmusic-dr9uu
    @Jaxmusic-dr9uu 22 дня назад

    Ila binadam bhna hamkosagi jambo Mungu tusaidie asee🙏🙏🙏

  • @OsbonMusa
    @OsbonMusa 28 дней назад +1

    Wivu wivu mama wivu sicheki na wowote naulinda wangu moyo
    K
    Nyie akina pasical ndo mmefanya niache kusali maana mnanichanganya

  • @upendokiza6061
    @upendokiza6061 Месяц назад +10

    Unachoongea ni sahii mtumishi wa Mungu.

  • @JoramMudenya
    @JoramMudenya Месяц назад +6

    Mtumishi barikiwa huyu si aliyeimba wimbo sitabaki kama nilivyo, iwapo ni yy basi tunaitaji maombi sababu waimbaji wa Mungu wanapotoka kila kukicha

  • @hyasintkisika8848
    @hyasintkisika8848 18 дней назад

    Naomba nikaisikilize hiyo takataka,
    Maana sijawahi kuwa serious na nyimbo za huyo Joel

  • @RahabuMoshi
    @RahabuMoshi 8 дней назад

    Unanifundisha mambo mengi mtumishi ubarikiwe sana na anaesikia na asikie

  • @JoashMbwelwa
    @JoashMbwelwa Месяц назад +1

    This hymner is approaching to negatively !weneed the high grace & mercy of Allmighty God

  • @tunujoshua2516
    @tunujoshua2516 Месяц назад +8

    Ebu mtangaze Kristo wewe acha maneno mengi kila wanachofanya wenzako unakosoa

    • @davidjoseph1143
      @davidjoseph1143 Месяц назад

      Km hkijanyooka afanyje kasome neno acha polojo

    • @Ezdan_tz
      @Ezdan_tz 25 дней назад

      Asante

    • @Ezdan_tz
      @Ezdan_tz 25 дней назад

      MZEEE KUHISI JAMBO SIO TATZO UJAKOSEA, LAKINI UHALISIA UTABAKI MUNGU NI MUNGU TU, JOEL KAIMBA WIMBO MZURI SANA, KAWAVUTA MBAKA WASIO IPENDA INJILI, ILE NI GOSPEL ILIYOENDELEA TOFAUTI NI ALA 2,ZMEBORESHWA, AMEMSIFU MUNGU, NAKUMTUKUZA AKISEMA SINA KINGINE NAJIVUNIA ZAIDI YAKO BABA, KARAHISISHA GOSPEL NI SAWA NA YOUNG LUNYA KWENYE RAP YA SASA,,,,,, WATANZANIA MNATAKA TUBAKI NYUMAAA, ACHENI KUJIFANYA MWAMJUA MUNGU SANA,,, MTUKUZE MUABUDU NA TUMSIFU,,, OLODUMALE NI SAUTI YA KUMTANGAZA MUNGU KIMATAIFA NA NDANI YA MIOYO YA KILA MWANADAM ATA WASIO WAKRISTO,,,MUNGU WW N MKUU

  • @HappyAbeid
    @HappyAbeid Месяц назад +1

    lakin mtumish casian labda wewe mungu amekuwek kuwa msemaji sw ila du hay maan mungu ndo kakuchagua siy nan i

  • @asaphmwinukaministry33
    @asaphmwinukaministry33 25 дней назад +1

    Unatafuta kick tu humu,,Kaz kuzungumzia watu,Mungu akurehemu

  • @SimbaLionfamily
    @SimbaLionfamily Месяц назад

    MUNGU uleta watu wake kwa wakati,sahizi Tanzania tupo na watumishi makamanda wa Imani,wewe na mbarikiwa.Mungu awashike mkono zaidi.

  • @HamidaMkwizu
    @HamidaMkwizu 28 дней назад

    Huyu paschal kassian nakuelewa sana maana nilimpigia nakura 2009bss but kilichomtokea mungu ndio alimtoakwenye mikono ya shetani na kapitia magumu kama sio magu na makonda tungesha msahau Mungu kampigania sana so anaongea fact sana

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 Месяц назад +1

    Sijawaigi kumuelewa Joel zaidi ya wimbo mmoja tu aloimba na Paul Ile nyimbo ya ni neema

  • @NelsonMwigullu
    @NelsonMwigullu 7 дней назад

    Paschal cassian nakuelewa sana MUNGU akutunze kabisa

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 Месяц назад +5

    Huo wimbo mi sijaukobali kabisaaa,ni udunia %105

  • @AnthonyWilliam-n2w
    @AnthonyWilliam-n2w Месяц назад +4

    Limekuws ni jambo la kawaida kwa watu wengi, baada ya kuinuliwa na Mungu, wanamwacha na kuzifuata akili na hisia zao wenyewe, hivyo
    Mungu huwaacha na mwisho wao Huwa ni mbaya mno. Barikiwa sana Mtumish wa Mungu aliye hai.

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      jamani mnakumbuka kuwa shetani aliwahi kumwambia Yesu kuwa ukianguka kunisukudia nitakupa milki........ina maana kwamba katika hii dunia kuna watu wengi tu wanainuliwana shetanii juuuu.ko tusijisumbue sanaaaa.maana kuna watu wanamsujudia ibilisi kama mungu wao

  • @pena_tz
    @pena_tz Месяц назад +4

    Zamani wengi walianza kanisani na kwenye kaswida wakahamia bongo flevani , siku hizi wengi ambao bongo flevani wamekwama wanahamia gospo.. wanachungulia fursa... ukiwafatilia walikuwa wanashinda studio wanapiga cover za akina mondi wakabadilika kutokana na fursa

    • @Jurbeg
      @Jurbeg Месяц назад

      Kweli umejuaje 😢

  • @annakletayohana4561
    @annakletayohana4561 Месяц назад +1

    We nae ya kuzimu yote unayajua tena sana kuliko hata ya nuruni maana hata we ni mmoja wao achana na watu wewe hadi jasho linakutoka mi sioni hata ambacho huwa unakifanya kwa ajili ya kuujenga ufalme wa Mungu, hata siku moja huwezi kuwa safi kwa kumchafua mwenzio

    • @BithiaSizimwe-l2o
      @BithiaSizimwe-l2o Месяц назад +1

      Ndugu, hongera pia na wewe kujua ya kuzimuni kupitia kwa mtumishi huyu ili ujue namna ya kujinasua

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 Месяц назад

      Jitahidi kupunguza makasiriko utamwelewa

  • @shedrackkessy8883
    @shedrackkessy8883 Месяц назад

    Unasema kweli mtumishi wa Mungu ,, tumwombe Mungu atupe macho ya rohoni tujue kinachoendelea duniani

  • @CatherineRespick
    @CatherineRespick 25 дней назад

    Naamini ameimba nyimbo ya kumtukuza MUNGU. Amina

  • @PiliShija-td3yr
    @PiliShija-td3yr 28 дней назад

    Mimi namwelewa paschal waimbaji wainjili mnapotea kalibia wote MUNGU tu atu saidie msiwe mnashawishiwa. Jamani sio lwaga tu wapo zaidi walio potea

  • @exodusforex1984
    @exodusforex1984 24 дня назад

    He makes a lot of sense, God Bless you keep us enlighten 🙏🙏

  • @GEOFLEYFREENIELLUKA-id7tl
    @GEOFLEYFREENIELLUKA-id7tl Месяц назад +4

    Aaaaaaa amefikia hatuwa basiiiiii mtumishi mungu akubaliki sana kwaktufunulia hayo

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 Месяц назад +1

    Nyie mwacheni Mungu nafasi ya kuhukumu

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 5 дней назад

    sedekia angekuwepo angekusaidia pia.MUNGU akubarki sana

  • @IanBenaya-z6g
    @IanBenaya-z6g Месяц назад

    Shetani yupo kasi sana, Mungu asipokuwa makini anaweza akapungukiwa wafwasi, na hivi maisha yamekua magumu, mungu atapoteza wengi sana

    • @PhimoniMwakalili
      @PhimoniMwakalili Месяц назад

      Mungu ni MUNGU TU NA ATABAKI KUWA MUNGU.hana cha kupungukiwa kama wao wanamkataaa huku wanamjua watavuna walichopanda

    • @IreneBarukwatamu
      @IreneBarukwatamu Месяц назад

      Mungu hapungukiwi maana yeye ni juu ya vyote suala la wokovu ni hiari ndo maana anasema tazama nimeweka mbele Yako uzima na mauti chagua Leo ko uchaguzi ni wa mwanadamu ila mwisho wa pambano kuu Yesu ataketi juu ya kiti Cha enzi .

  • @nurianmakumbi9627
    @nurianmakumbi9627 Месяц назад +4

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @mwalimulucas3522
    @mwalimulucas3522 26 дней назад

    Hakuna kitu kibaya duniani kama Dini.... Bold in the Kingdom...

  • @hxbbxb-g7i
    @hxbbxb-g7i 27 дней назад

    Waooo 2kohapa jaman tunamuelewa huyu m2mish Sana mngu amfunike 2,kwadam ya yesu

    • @hxbbxb-g7i
      @hxbbxb-g7i 27 дней назад

      Nikiwa oman mtumishi nakufatilia

  • @NancyMusa-z6e
    @NancyMusa-z6e Месяц назад

    Mungu akubariki na azidi kunitumia ili kutufungua natumjue mungu wa kweli nabwana mungu akulinde

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 Месяц назад +9

    Mungu nisaidie safari ya mbinguni inahitaji utakatifu wa hali ya juu sana

  • @NeemaMandele-wi3pw
    @NeemaMandele-wi3pw Месяц назад

    Mungu atupee neema ya kumjua yeye zaidii ya tunavomjua
    Mungu hana vibe yaan kama wimbo unautukufu wa Una utukufu tuu uwe umechangamka au lah!!!! Hebh tutafakari nyimbo za abiudi misholi zimetulia sana na zina utukufu wa hali ya juuu ,,

  • @FaithNdekezi
    @FaithNdekezi Месяц назад

    Just imagine ata waimbaji wa bongo freva wanacheza na kumtaja Mungu kawaida tu, lakin tutambue kuwa chochote unachofanya kwa ajili ya utukufu wa Mungu lazima imuinue mtu rohoni sio kuchana kama wengine kufurahisha watu tu

  • @Titomtumishi
    @Titomtumishi Месяц назад +1

    Mungu utupe mwisho mwema, tuna macho lakin hatuoni tuna maskio lakin hatuskiii tunaomba msaada wako mungu tupo nyakati za mwisho

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc Месяц назад

    Kuna wakati sikuelewi kabisaa ila kwa hili la huu wimbo haki nakuunga mkono Mtumishi huu wimbo ni wa kuzimu asilimia 100 kabisa ni uchafu ni ushenzi unaimbwa na wengi hawajui kuchuja kipi kina Roho Mtakatifu ndani ake bali ni mashabiki tu huu wimbo ni janga kubwa sana nimeongea kwa uchungu na huzuni na hasira kuu ndani angu

    • @FairAfrica
      @FairAfrica 28 дней назад

      Pole sana dada Jane 😂

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 Месяц назад +1

    Mwinue Yesu Kristo juu acha kuhubiri watu

  • @T.a.s.i.o.n
    @T.a.s.i.o.n Месяц назад +3

    Nyie wote mnao sem sijui amefany makosa hamjui music mkae kimya2 music about fussion akiimba hat singeli ujumbe umewafikia kelele kibaoo kila m2 Ana njia yake ya kutafuta alicho jaaliw na mung kam hujui k2 ukae2 kwa kutulia na wish round hii aimbe hata amapiano ili awafikishie ujumbe huko walipo joeli kiwashe tupo na wew❤❤❤

    • @Suleishy99
      @Suleishy99 Месяц назад +2

      Huna akili we nawe ni walewale tu wa kidunia

    • @GEORGEIZENGO
      @GEORGEIZENGO Месяц назад

      Mponae mpaka wapi😀

    • @NoelChambo
      @NoelChambo Месяц назад

      Nenda zako shetani

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj Месяц назад

      Mi sitakucheka. Ila nimecheka ulichokiandika kuwa hajui kitu Cassian. Nikaone nisome yamjuaji... Heeeeee😂😂😂😂 nikajikuta nakucheka hata kama nilisema sikucheki. Olodumare IS A DEITY sio GOD YEHOVA.

    • @MmMm-tt1wi
      @MmMm-tt1wi Месяц назад

      ​@@Suleishy99😂😂😂

  • @MarcoNM100
    @MarcoNM100 Месяц назад

    Kwanza ckujuaga kama ni gospel hiyo nyimbo na skujua kama kaimba joel aisee

  • @nicanoryerasto4310
    @nicanoryerasto4310 Месяц назад +1

    sikubaliani kabisa ko watu wa Mungu tuwe duni lazma ulimwengu ujue na sisi tuna Nguvu Injili lazma ienee kilakona lazma watu waisikie watu naona mambo ya rohoni hawajayaelewa vyema rudi tena na soma vyema na usihukumu kabla hujahukumiwa @Joel keep it up wacha Mungu atukuzwe kwakupitia ww

    • @bhahehistudio3492
      @bhahehistudio3492 Месяц назад

      Utakufa vibaya wew nakuhurumia

    • @LodvolaLameck-jl5vs
      @LodvolaLameck-jl5vs Месяц назад

      Hujui unenalo

    • @nicanoryerasto4310
      @nicanoryerasto4310 Месяц назад

      Ntakufa vipi maana yatupasa kuinena injili ya Mungu na sio kubezana au kukosoana pambana katika karama yako ifanye kwa bidii zote na itumikie mengine weke pembenj

    • @bhahehistudio3492
      @bhahehistudio3492 Месяц назад

      @@nicanoryerasto4310 sijui umetumia andiko gani kutafasili post lakin nakukumbusha tu njia ya kwenda wokovuni Ni nyembamba Sana nayo imesongwa songwa Sana na na niwachache wanaoipiti lakin njia ya upotevuni ni Pana Sana Tena waipitiao Ni wengi sana haya Sasa akili kichwan Kama yesu alisema hivi alidanganya utajaza Ila kama alisema kwell utajiongeza ukiona kitu Cha kiimani kwa nyakat hiz tulizo nazo mtu akikifanya kikapokelewa na watu wakimataifa kwa Kasi Sana kataa hicho siyo sahii katika kumtukuza mungu

  • @successplatformtv1823
    @successplatformtv1823 Месяц назад +1

    Acha watu waishi maisha yao bhana...only God can judge him

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Месяц назад +2

    Mwacheni aende huko anako taka ,
    Jen Misso nayeye alienda kwa hamonaizi kilicho mpata alijuta, Nuru ni Nuru. giza ni giza. Havichangamani kamwe

  • @selinajakoyo7320
    @selinajakoyo7320 Месяц назад +1

    Baba na mimi nawaza hvyo hvyo, but soon nakuja na wimbo wa TUMUOMBEE RAIS niombee