NIMEKUTANA NAYO HAYO MAANDAMANO, LAKN MKUU WA MKOA MH PAUL.MAKONDA, AMEKUJA NA KUONGEA NA MANENO YA BUSARA YA MH MKUU WA MKOA WAMEKUBALIA KUONDOKA BARABARANI, BIG UP MKUU WA MKOA KWA MANENO YA BUSARA.
Kila siku watoto wanapotea wahusika wakubwa ni WAGANGA wa kienyeji na serekali inajua hili waganga wafuatiliwe kwa kushtukiza kuna kitu hapa sio bure Juzi mganga kakamatwa na mafuvu mwingine makaburi na yule mtoto aliyekutwa morogoro baada ya kupotea dar alisema alipelekwa kwa mganga ila sijaskia hukumu ya kifo wakati wao wanaua watu kwa nin serikali inawalinda kuna nini hapa
Mbon mnakaza mafuvu na kupandikizwa chuki za kijinga nyie, kupotea kwa mtu lazma awe polisi? Matukio mangap watu wanafanya kutokana na imani zao hamyaoni hayo au kisa cham cha siasa kimoja kimetumia hii ndio fursa kulitumia hili swala kisiasa na nyie mmejaa na kudanyanyika, tulia watu wafanye kazi zao msijikute wajuaji na kulet tafrani zisizo na maana
Kwani Nchi hii imepatwa na nini?. Watumishi turudi kwa Mungu wetu juu ya haya mabaya yanayo endelea katika taifa letu. Maana majbu mema juu ya haya . Amen. Inatisha sana.
Watumishi wamemuacha Mungu nawameacha kuomba wanao omba sass katika kweli niwatumishi waliopo vijijini walio mjini wanaomba iliwatu wawaone utaona wanaombea taifa wanajitangaza kwenye vyombo ili watawala wawaone na wanamualika mgeni rasmi ni mbuge au mwanasiasa yeyote awe mgeni rasimi sio Mungu kuwa mgeni rasmi, Mungu amekaa pembeni aone kuwa hao wana siasa wanamajibu, mpaka watawala wana piga simu kuongea nawaombaji katikati ya maombi anawapongeza hakika wamekwisha pata thawabu Yao; Mathayo 6:5_6
Hii nchi inatakiwa iongozwe na mwanaume km magufuli lkn mwanamke ni ngumu huu utekaji mauaji, ubakaji, ulawitiji vitazidi kuongezeka. Siku zote nyumba anayeweza kuongoza ni baba tu
Rais Samia mama yetu kipenzi tunakuomba tengua wasaidizi wako wanakuhujumu na uonekane mbaya Kwa wananchi Rais wetu tunakupenda sana chunguza wasaidizi wako kiongozi wetu Mama Samia
Mama samia tunakupenda sana na tunakukubali,ila mama umekua mpole sana,ndani ya serikali yako ku a watu wanakuhujumu ki uongozi.bebu amka mama utoe matamko mazito katika kila sehem panapolegalega mama
🇹🇿😭😭jamanii kipindi cha Magu hii ilipungua jamanii sii uko tuu ata uku uarabuni Jana Kuna mtoto kachukuliwa na na watu wasio julikana walikuja kama gari la shule wakabeba watoto mpaka Leo hawajulijani waliko Mungu tusaidie
Sitamani kurudi kulingana na ninayoyaskia na ninayoyaona sitamani niitwe mtanzania I wish ningekua na uwezo ningetafuta uraia wa hapa Kenya manake Tanzania kumenuka, namkumbuka Roma alisema bunge la Tanzania limenuka ngono na ndo maana wamemvukuza nchini kwao, Tanzania hakuna amani tena tangu mama aingie madarakani, JPM mwanga wa milele bwana akuangazie
Maoni yangu kukiwa na shida watu tusifunge barabar kwenye magari kuna wananchi wengine wanawahi wagonjwa wanauguza si sahihi...better muandamane kwenye ofisi za watendaji...
Shida sana hii nchi haya sasa wanasiasa mnatusaidiaje haya mambo!?hebu watanzania tusaidiane haya mbambo kila mmoja awe mlizi wetu chadema acheni kuchochea maandamo tunataka mtuhizize wote tusimame pamoja kupapamba na majangili
Hiii serekali inakosaje majibu kuhusu kutekwa kwa watoto hakuna ulinzi wa kuzibiti haya matukio tunaiomba serekali ishugulikie hili swuala kwa haraka kunusuru watoto
Naikumbuka cku Ile rais wa Tanzania alisema kuwa wakitekwa wanatolewa Figo nlishangaa sana baadae akasema kifo n kifo tu haijalishi amekufeje nlimshangaa sana rais wa nchi hii!! Kwa kweli rais hatuna tunamuomba mama ajiuzuru mana 2napoelekea nchi inamshinda xaxa!
Nafuu arusha tunasikiaa watot wawil simiyu meatu ni hatar watot wanatolewa figo na gar zinatembea bil hata plate namba n watu wanapotea wakubwa kwa watoto tunasikis
Hawawasikilizi nyie maana mnaaiabudu sana ccm kama Mungu mtu wenu na wanajua hata wasipowasaidia bado mtawachagua tu hiyo ndiyo shida yenu kubwa msipojitambua mkabadilika bado hali itazid kuwa mbaya polen😢
Sema viongozi tulio pewa na mwenda zake sio mlio wachagua na hii ndo shida ya watoto.wa masikini tu ndo wanaumizwa mbona kijana alie potelea mlimani serikali inafanya garama kubwa kumtafuta ila watoto wetu tunapambana wenyewe
Sasa watoto wamepotea mateso wanapata wengine inahusu nini kupotea na kufunga barabara? Serikali huu wimbo wa chadema mkichekanao angalieni mtatufikisha pabaya,mnaishi na maushirikina kutafuta mali mnaisingizia serikali upumbavu upumbavu tu
NIMEKUTANA NAYO HAYO MAANDAMANO, LAKN MKUU WA MKOA MH PAUL.MAKONDA, AMEKUJA NA KUONGEA NA MANENO YA BUSARA YA MH MKUU WA MKOA WAMEKUBALIA KUONDOKA BARABARANI, BIG UP MKUU WA MKOA KWA MANENO YA BUSARA.
Mh makonda mfano wa kuigwa juu ya speech yake namna alivyo tumia wadhifa wake vema congratulations mh Paul makonda your the best dc
Tembo akiuawa wanafika mala Moja ila binadamu hana thamani😢😢😢😢😢😢 r I p tanzania
aise ni kweli
Samia must go
Kila siku watoto wanapotea wahusika wakubwa ni WAGANGA wa kienyeji na serekali inajua hili waganga wafuatiliwe kwa kushtukiza kuna kitu hapa sio bure
Juzi mganga kakamatwa na mafuvu mwingine makaburi na yule mtoto aliyekutwa morogoro baada ya kupotea dar alisema alipelekwa kwa mganga ila sijaskia hukumu ya kifo wakati wao wanaua watu kwa nin serikali inawalinda kuna nini hapa
Mama jiuzuru nchi imekushinda Kila cku utekaji na haufanyi chochote!! Unawapa watekaji kibur!!!😭😭😭😭
MSENGE kwel wew😂
@@rajabukipara3008msenge mwenyewe hujielew nyangau kubwa
Umekosa hoja mpka utukane?@@rajabukipara3008
Mama anahusika nn
We ni KENGE mama anahusika vipi
Intelligencia kubwa aliyosema mama samia hawa wanapotea ingejulikana ni nani kukomeshwa
Intellegencia iliyozungumziwa sio Kwa ajili ya watekaji au watu wanaopotea intellegencia iyo ni kwaajili ya chadema
Mbon mnakaza mafuvu na kupandikizwa chuki za kijinga nyie, kupotea kwa mtu lazma awe polisi? Matukio mangap watu wanafanya kutokana na imani zao hamyaoni hayo au kisa cham cha siasa kimoja kimetumia hii ndio fursa kulitumia hili swala kisiasa na nyie mmejaa na kudanyanyika, tulia watu wafanye kazi zao msijikute wajuaji na kulet tafrani zisizo na maana
Hivi Watanzania Mbona hatuoneani huruma.Unaua mtoto wa mwenzako,wa kwako yupo hai.Mungu kisikie kilio chetu.
Kwani Nchi hii imepatwa na nini?. Watumishi turudi kwa Mungu wetu juu ya haya mabaya yanayo endelea katika taifa letu. Maana majbu mema juu ya haya . Amen. Inatisha sana.
Watumishi wamemuacha Mungu nawameacha kuomba wanao omba sass katika kweli niwatumishi waliopo vijijini walio mjini wanaomba iliwatu wawaone utaona wanaombea taifa wanajitangaza kwenye vyombo ili watawala wawaone na wanamualika mgeni rasmi ni mbuge au mwanasiasa yeyote awe mgeni rasimi sio Mungu kuwa mgeni rasmi, Mungu amekaa pembeni aone kuwa hao wana siasa wanamajibu, mpaka watawala wana piga simu kuongea nawaombaji katikati ya maombi anawapongeza hakika wamekwisha pata thawabu Yao; Mathayo 6:5_6
Hii nchi inatakiwa iongozwe na mwanaume km magufuli lkn mwanamke ni ngumu huu utekaji mauaji, ubakaji, ulawitiji vitazidi kuongezeka. Siku zote nyumba anayeweza kuongoza ni baba tu
SI dhani kama ni sababu
Ni kweli kbisa mwanaume ni kiongozi Kwa mwanamke
Hii serekali imepoteza muelekeo hapo mbeleni patakua noma
Hali inatisha
Lkn nyie mna shida kichwani,au ndio mnataka kusema wametekwa?
daa nchi hii Ina mijitu mijinga sana,,Linda mtoto wako usisubiri serikali ikulindie mtoto
Rais Samia mama yetu kipenzi tunakuomba tengua wasaidizi wako wanakuhujumu na uonekane mbaya Kwa wananchi Rais wetu tunakupenda sana chunguza wasaidizi wako kiongozi wetu Mama Samia
Inaumiza hii kitendo😢😢😢😢 mungu tuonekanie
Wamasai wako vizuri sana wanajitambua Tz hatuna polis, mbaya zaidi hawawezi kutulinda lakini na wao wanajiingiza kwenye utekaji
Wazo Maombi nisilaa tosha kwanini tusifunge sikutatu tuwaombee walewote wanao wekaroho zawengi jujuu Mungu tukiamini atatenda chapu
@@HildaMmary-p7h kweli kbsa Amin barikiwa kwa wazo hilo tumlilie mungu??
Pole jombaa, nimeona pia waandishi wakizuiwa na wamezuia kweli😮😮
Hii Sasa inafanya watu kuishi bila amani ndugu
Mama samia tunakupenda sana na tunakukubali,ila mama umekua mpole sana,ndani ya serikali yako ku a watu wanakuhujumu ki uongozi.bebu amka mama utoe matamko mazito katika kila sehem panapolegalega mama
😅we unachekesha kweli… she doesn’t care😂😂😂
Umesemaje😅
Et 😅
Kufa kupo tu mama arisema
mungu ibariki tanzania
Hizi ni nyakati za mwisho tena mwisho kabisa,,,,wanadamu tumekosa huruma tumekuwa wakatili sana
Jamani simba iacheni mpaka ulaya wanawahusudu tulienu watu watanyam----
Duuu hv hawa watoto jamn wanapelekwag wapii lakin mbn kam tunatexan hviii
yan watoto kwa wakubwa wanapotea alaf hakuna msaada ni noma xana
Najaribu kuwaza mtoto anavyouma .plz watekaji.Naomba muwaache watoto hawana hatia.
Jamani watoto wetu wanaisha jamani
Mungu aingilie kati.
Yan hii kesho inatakiwa kuwa kubwa mana sasa bila kutoa sauti tutapoteza watu wengi
Kupotea kwa watoto ni utamaduni mpua
MAMA AMEISHINDWA NCHI
Wanawatowa😢fijo mungu tunusuru waja wako
Hii inasikitisha sana 😢
Wewe 😢😢wema sema wame kuvunjia camare na ww wame kupiga😢pole ayo
m kiukweli sijui tunaelekea wapi
Jamani, 😱😱 imefika huku kwetu tena😢😢,mungu tusaidie😭😭
Watu wawajibike tumechoshwa na huu ujinga wazili wa mambo ya ndani Masauni kaz yako nini! Wambura vip hiv mnamsaidia kweli rais au ndo mnafanya yenu?
Samia must goo
Mtoto anapotea lkn mama samia ndo analaumiwa.
Ndio wamama ndo wenye kujua thamani ya mtoto 😭😭
Wachungaji maombi maombi maombi tusitafute majibu kwa wanadam hatutapata majibu kila mtu aingie magotini achen kuhamasisha maandamano
Kwahuyu jamazi anaeongoza nchi mavijakaxi wake yanzania hi aman haitokuwepo mpaka aondoke
HII NCHI TUNAKWENDA PABAYA SANA..😢
Au na hizi ni drama au basi😢😢
Acha tuu
🇹🇿😭😭jamanii kipindi cha Magu hii ilipungua jamanii sii uko tuu ata uku uarabuni Jana Kuna mtoto kachukuliwa na na watu wasio julikana walikuja kama gari la shule wakabeba watoto mpaka Leo hawajulijani waliko Mungu tusaidie
Wazazi tulinde watoto wetu jamani tuwachunge hasa
Suleimani
Jamani serikali iko wap jeshi lapolisi limejaa kwanin haya yanaendelea
Kwan makonda zile kelele zote ziko wp😢😢
Waume zenu wanatafuta utajili na ndio maana wanaume zenu hawana ushirikiano na ninyi
Ushirikina umezidi tanzania watoto wanachukuliwa makafara
Ushauri tuwalinde watoto wetu maana hii hali imekuwa mbaya
Bado nauliza Tena Tanzania vp jaman
Sitamani kurudi kulingana na ninayoyaskia na ninayoyaona sitamani niitwe mtanzania I wish ningekua na uwezo ningetafuta uraia wa hapa Kenya manake Tanzania kumenuka, namkumbuka Roma alisema bunge la Tanzania limenuka ngono na ndo maana wamemvukuza nchini kwao, Tanzania hakuna amani tena tangu mama aingie madarakani, JPM mwanga wa milele bwana akuangazie
Wa mama kwel nikiumb jasil
Maoni yangu kukiwa na shida watu tusifunge barabar kwenye magari kuna wananchi wengine wanawahi wagonjwa wanauguza si sahihi...better muandamane kwenye ofisi za watendaji...
Kwanini kwenye utawara wa mama tu ata kama mauaji yapo lkn imezidi😢😢
Af samia ata vaa Brazil aanze kusema wanafanya kaz matako kabisa
Hatari sana
Ila arusha jamani matukio mbn hayaishi kila day
Haki uhinua taifa
Kuna muda moyo una choka kuvulia selikali ingalie hii
Shida sana hii nchi haya sasa wanasiasa mnatusaidiaje haya mambo!?hebu watanzania tusaidiane haya mbambo kila mmoja awe mlizi wetu chadema acheni kuchochea maandamo tunataka mtuhizize wote tusimame pamoja kupapamba na majangili
Tarh 23 maandamano haya yote yatajulikana
CCM inachangia sana, ingawaje tumefunga ndoa na CCM, wacha waisome namba mbele kwa mbele
Uko makuyuni nakujua wanysma njenje mtasema serekali kumbe ni wanysma wanauwa
Duu sasa Tanzania inatisha
Hiii serekali inakosaje majibu kuhusu kutekwa kwa watoto hakuna ulinzi wa kuzibiti haya matukio tunaiomba serekali ishugulikie hili swuala kwa haraka kunusuru watoto
Rais kashasema ni swala la kawaida tu kupotea au kufa ni kawaida tumpeni kura tena mambo yataisha
Mwaka wa uchaguzi tutaona mengi ..Kafara za uchaguzi
Naikumbuka cku Ile rais wa Tanzania alisema kuwa wakitekwa wanatolewa Figo nlishangaa sana baadae akasema kifo n kifo tu haijalishi amekufeje nlimshangaa sana rais wa nchi hii!! Kwa kweli rais hatuna tunamuomba mama ajiuzuru mana 2napoelekea nchi inamshinda xaxa!
Ko rais ND Anatela WATOTO
We Faraah 😂
Hatuna raisi pale
Nafuu arusha tunasikiaa watot wawil simiyu meatu ni hatar watot wanatolewa figo na gar zinatembea bil hata plate namba n watu wanapotea wakubwa kwa watoto tunasikis
Mh
Hiii nayo kwenyee mbaya ni mbaya tuuuu
Kwa nini haya yanatokea kipndi cha uchaguzi
Kina mama hongereni,alaf nyie wababa,au bas
Mkuu wa polisi na waziri husika wangefanya uungwana na kujiuzulu tu
Serikali inalifumbia macho ili suala,
Hawawasikilizi nyie maana mnaaiabudu sana ccm kama Mungu mtu wenu na wanajua hata wasipowasaidia bado mtawachagua tu hiyo ndiyo shida yenu kubwa msipojitambua mkabadilika bado hali itazid kuwa mbaya polen😢
Ikataeni ccm uko Arusha sio chama icho
Subhannallh 😢😢😢😢
Poleni
Arusha tena
Sema viongozi tulio pewa na mwenda zake sio mlio wachagua na hii ndo shida ya watoto.wa masikini tu ndo wanaumizwa mbona kijana alie potelea mlimani serikali inafanya garama kubwa kumtafuta ila watoto wetu tunapambana wenyewe
Kunasiku Tanzania nzima itaingoa barabarani bila sauti ya chadema watu tumechoka na hayaatukio
Huo uchadema unatoka wapi hapa.....watu hawana hofu ya Mungu Waganga nao wanatafuta maisha......Hii mihemko mingine ya kisiasa tu
Pole sana.. kijana naona ujawajua wana siasa..
Kwan Tanzania vipi mbona potea potea imezidi jamani 😢😢😢
Acheni roho mbaya sasa mama anahusikaje apo
Nyinyi Kila kitu munamlaumu tu rais acheni izo bana
Kuma wewe kwahiyo huyo mama wewe una muelewaga
Kuma Yako ya nyuma
Sasa serekali apo inaingiaje jameni
Aondoke nchi imemshinda
Ss huo si uchawi
Kwaniniwewekamamzaziusiangaliemtotowako
Aiseee
Duh
Sasamamasamiaanahusikanininikunamkuuwamkoa
mzee umekula magimbi eti
Asa watoto wenu wanapotea muanashndwa kujilinda munalaum serekal sas endelean kuandaman mpaka kesho fungen barabara
Muda mwingine inabidi tufikiri ' utekaji upo kati ya vyama hivi vya Sasa ' kwasababu ya kutafuta properganda za kuzungumza
MTASEMA SERIKAL NDO IMEWATEKA EM KAMA JAMII TUNAPASWA KUBADILIKA MAKE HAYA MATUKIO YANAFANYWA NA WATU TUNAO ISHI NAO
Ishu sio serekeli kuwateka. Ishi ni ajira tuliowapa hao askari yaani kutulinda na mali zetu.
@@exaverysimon1064 ww nakuona ni nyumbu sasa ngja atekwe baba yko au mama yko au mtoto wko ndo utajua umhimu wa serikali
@@marrymacha4531ulinzi anaanzia ngazi ya familia kijiji mpaka juu
@@exaverysimon1064 wew simiyu gari zinatembea unaambiwa bila plate namba n polis wanaon jeee hapo tunaish nao Kwan rais wetu hatoi tamko
@@dancerboy2686 hahahaha kweli hiy imeend ikikukuta nd utajua
Sasa watoto wamepotea mateso wanapata wengine inahusu nini kupotea na kufunga barabara? Serikali huu wimbo wa chadema mkichekanao angalieni mtatufikisha pabaya,mnaishi na maushirikina kutafuta mali mnaisingizia serikali upumbavu upumbavu tu
Hauna mtoto ndyo maana unaandika utumbo, subiri wako atolewe kafara ndyo utakuwa uchungu wake
Nani kasema hao wamama ni chadema, acha siasa kuwa na utu
Duh
Acheni roho mbaya sasa mama anahusikaje apo
Nyinyi Kila kitu munamlaumu tu rais acheni izo bana
Mama yetu kipenzi ndyo mwenye Dola police wanasubiri kupewa amri na yeye