WOMEN MATTERS :KUFUA BOXER ZA MUMEO (CHUPI) SIO LAZIMA NI UPENDO TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 300

  • @doreenkathure1799
    @doreenkathure1799 4 года назад +1

    Asante sana wana Dada.. Dadangu aliuliwa na mumewe kwa sababu alizaa watoto wa kike,moyo wangu umeumia sana kwa kumpoteza Dada yangu.

  • @leahndemanga2778
    @leahndemanga2778 4 года назад +1

    Anti sadaka nakukubali sana mama angu Mungu azidi kukupa uhai mrefu uzidi kutusaidia kwa karama yako uliyojaaliwa na Mungu.

  • @متعبالصيعري-ك2ي
    @متعبالصيعري-ك2ي 9 месяцев назад

    ❤❤❤❤jamani ivi kwanini mwanamuke anatoka kwenye ndoa yake mwenyewe alaf mwanamume anakamatana namwanamuke mingine inakuwaje je ivi nimapenzi ao

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад +1

    Jomon mie mume wangu ananipikia,ananikanda maji niktoka kuzaa.sasa must kumfulia boxer's.nakumbuka Kuna cku niltoka nkamuachia watoto,nmerud kawapikia na c mara moja..ntajitajidi kumfunza mtoto wangu wa kiume .....asanten SANA...msichome ped c nzuri.kufua ni kinyaa. Ped naitia kwa Dustibin kwa mfuko nafunga vzur natupa.ataeroga aroge...na nkifika hata kwa ndgu yangu kuna sehem sahihi ya kutupa dustbin natupa

  • @halimaabshiro1496
    @halimaabshiro1496 4 года назад +3

    You guys are right some man don't know how to cook for their wives when they are sick wallah is Crazy

  • @zaitunamran7146
    @zaitunamran7146 4 года назад +12

    Kufua sio lazima na wanaume wanatakiwa wafue lakn as a woman mwenye upendo na mume wako unatakiwa kufua ni kaz kama nyingine tu ni kama unavyofua nguo nyingine

  • @joycesanta9346
    @joycesanta9346 4 года назад +1

    Bibi ni msaidizi si mtumwa love u ladies wanaume wachanuke mie naongopa kuolewa kama ni kwenda kufanywa kichajazi. From Doha

  • @jacklineswallo3643
    @jacklineswallo3643 4 года назад +3

    Axanteni women matters team mada y Leo n nzuri mno....

  • @mangobase
    @mangobase 4 года назад +1

    Saa nyingine hata siwaelewi ..akina mama....fundisheni watoto wenu mnatumia muda mwingi hamuuwaandai watoto wenu na reality ...mnawapampa watoto wenu wa kiume hamfikirii kuwa mnaandaa waume

  • @stellandeka4739
    @stellandeka4739 4 года назад

    Mie namfulia vizuri, na zangu nkiloweka nae ananifulia sina khabari,

  • @tricemakau980
    @tricemakau980 4 года назад +29

    jmn lilian sikupendi kabisa kipind ni kizur ila kiherehere kimekuxid kukatisha maongez ya mtu na kujiongelesha wew tu kma wew ndio unajua kila kitu jmn kaaa punguza kiherehere

    • @mariamduge3494
      @mariamduge3494 4 года назад

      Trice Makau umeonaeeeeeeee hatamm ananikera vibaya anaongea sana

    • @cleverluwole6692
      @cleverluwole6692 4 года назад +2

      Wew huyo ndoo anandesha kipindi ndiomaana kinakua hivyo kuwa mwelewa akikaa kimyaa hakitaonekana hivyo.

    • @gwakisamwakabulutu4247
      @gwakisamwakabulutu4247 4 года назад

      @@cleverluwole6692 kweli kabsa

  • @floramakunda4835
    @floramakunda4835 4 года назад +1

    I wish in could read all other comments... Big up ladies

  • @gladnesschitama3073
    @gladnesschitama3073 4 года назад +3

    Hapa kuna upotoshwaji......Mungu awape hekima .

  • @emilykai7866
    @emilykai7866 4 года назад +1

    Jamani babyskay hana hata nafasi ya kuongea nyinyi mnashindana kuongea yeye anawacheki tu

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 года назад +1

    Yeeeeee sasa usipofua mwanamke nani amfulie ,khaaaa jaman kwa hilo nawapinga ,mke kwakuwa unafua zingne na hizo pia lazima zifuliwe

  • @natujwakijazi3243
    @natujwakijazi3243 4 года назад +2

    Kwa hili swala la kufua chupi kunahitaji upendo sana lakini kwa kweli tuwafundishe watoto wetu wa kiume

  • @junebeverly7218
    @junebeverly7218 4 года назад +2

    Aunty sadaka na debora nawapenda Sana tu yani nyinyi ni waukweli saana

  • @sophiabryson2735
    @sophiabryson2735 2 года назад

    🔥

  • @ladygood7384
    @ladygood7384 4 года назад

    Mama debora ni best sana

  • @edgarmwambene4261
    @edgarmwambene4261 4 года назад +1

    Aisee mi nanunua washing mashine, ibaki kugombana kwenye kuanika nguo.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 4 года назад +14

    Kwa miaka 30, ninazifua kwa furaha na Ninajisikia fahari kufanya hivyo! Mungu anasema YY NI MFANO WA UTUKUFU WA MUNGU, NI KICHWA CHA MIMI MKEWE. ......

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 года назад

      Deborah B Mkwidu wacha we!

  • @kyshinchelsea8463
    @kyshinchelsea8463 4 года назад +8

    Wangu nampenda hawezi fua labda,niwe mgonjwa basi atafua

  • @florangido202
    @florangido202 4 года назад

    Jaman si Mke ndiyo anatakiwa anunue nguo za Mme wake!
    Hata mama anatakiwa anunue nguo za ndani za Watoto wake wa Kike na Kiume,
    Mama ndiyo Mlezi wa Familia

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 года назад +19

    Nakubaliana kabisa na nyie yaani wanaume wnatuona km mtumwa wao kwamba ni lazima tufue nguo zao ndani na nilazima lakini wao hawawezi kutufulia wanawake

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 4 года назад

      mimi wala simfanyi mtumwa mpenzi wangu,ila Lilian kumbuka kabla hajakuoa ulikua husemi kama anakufanya mtumwa

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 4 года назад

      mimi wala simfanyi mtumwa mpenzi wangu,ila Lilian kumbuka kabla hajakuoa ulikua husemi kama anakufanya mtumwa

    • @beatricengalubutu7008
      @beatricengalubutu7008 4 года назад

      Dada mwenye kitenge jitahidi kuwaacha wenzio wamalize points zao usikasirike lakini ila una point nzur sema unaongea katikati ya wenzako

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 года назад

      Lazima umfulie jaman mumeo ndio kaz yako bhana weee

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 4 года назад +5

    Tupa kweye bin. And game over 😂🥱👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼 .

  • @muminmohamedahmed2453
    @muminmohamedahmed2453 4 года назад

    Nice point

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 года назад +4

    Nice

  • @lovenessdiva7132
    @lovenessdiva7132 4 года назад +1

    Asante Women

  • @yanayojiri1900
    @yanayojiri1900 4 года назад +7

    Hamko vizuri wote tafadhali acheni hio mada coz mnakosea.

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 года назад +21

    Nikipata mume nafuwa,kwanin Nisifuwe
    Bado hamjanip wazo. Hata kumuosha nitamuosha
    Mume huchombezwa wanawake gani nyinyi.

    • @zainabukassim9924
      @zainabukassim9924 4 года назад

      Namswaki tumpigishe shogaaaa

    • @raiye5621
      @raiye5621 4 года назад +1

      @@zainabukassim9924
      Niache mmi kumfulia boxer akafulie nje alafu nibaki jirani yangu ananiroga kumbe mjinga mmi 🤣🤣

    • @iamstivin.
      @iamstivin. 4 года назад +2

      ambia hawa nyau

    • @dequeen460
      @dequeen460 4 года назад +2

      Heheeeee halloooooo n.a. mgongoni nambeba,haswaaa

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 4 года назад +2

      @@zainabukassim9924 nini mswaki shogangu akipoop pia mtawaze 🤣🤣🤣 kha!

  • @thomasmerinyomollel3544
    @thomasmerinyomollel3544 3 года назад

    Kipimo cha kwanza cha mwanaume kua wewe wake ni kumfulia nguo za ndani kama haufui ujindae kua mwezio

  • @عبداللهالشيدي-ه2ج
    @عبداللهالشيدي-ه2ج 4 года назад +3

    Jaman wapendwa elewanen kwanza muonge mmoja moja hamueleweki mnabishana mno inakuwa kama mko mtaani jaman

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 4 года назад +1

    Ombi wanaume wasaidieni wake zenu tafadhar mnapunguza ashik za kuwapendeni pika hata mara moja kwa wiki au fua mara moja sasa uwo ubabe wake zenu wajisikie kupendwa

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 года назад +1

    Kwenye ndoa ni kufundishana mume anaweza asijue kila kitu na mke anaweza asijue kila kitu ni kusaidiana kufundishana kazi mfundishe mke wako na mfundishe mumeo kufua hizo chupi akikataa kuna maeneo ukute ni mzuri zaidi anafanya vizuri, mkumbushe kutandika kitanda na hizo kazikazi ndogo.

  • @belak999
    @belak999 4 года назад +1

    LILI PUNGUZA KIHEREHERE USIWAKATISHE WENZIO, HUWA WANAPOINT SANA, HASA AUNT SADAKA

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 4 года назад

    Mwanamke anayeona kumfulia nguo tu mume wake ni mzigo au ni utumwa ajitazame sana. Nimeishi na wazungu, wasrabu n wahindi ktk familia zao zilizostawi vyema sijaona mawazo kama haya. Cha ajabu sana ndoa za hawa wanajamvi utakuta ni za vita kama US na Iraq

  • @janem1137
    @janem1137 4 года назад +1

    Arrrrghh tht background sound yaaaudhiii....mmtu hawezi concentrate hata

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад

    Khasante sana Women matter.

  • @neemasamwel4458
    @neemasamwel4458 4 года назад +2

    Mwanaume bila mwanamke ajakamilika

  • @nurushukrannitajaribukitun2876
    @nurushukrannitajaribukitun2876 4 года назад +1

    Namsiogee kuhusu vijana wakiume tuu hata wakike pia wameleleka vibaya hatachup yake na always yake akivua chup anavua pamoja kutupa hawez nakufua chup anaAchia mfanyakaz jee hili mnalichukuliaje nanimdada kaolewa

  • @junebeverly7218
    @junebeverly7218 4 года назад +2

    Hawakulelewa hivyo.... Ni tabia.. Kipindi haukuaa Nani alikuwa anamfulia?....... Wanajifanya tu....

  • @nuranzubail8134
    @nuranzubail8134 4 года назад +4

    Mtoto wa kike halalewi tofauti ila ni nature mimi nina binti yangu lakin anapenda kufua au kupika na mipango yake ya siku jinsi anavyocheza anacheza huku akipika akilea midori akinyonyesha midori etc .

  • @jennifermsungu5650
    @jennifermsungu5650 4 года назад +3

    Jmn mpen nafas bby sky

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 года назад +1

    Alhamdulilah mume wangu anapenda kufua boxer zake pamoja na chupi zangu, nafrahi Sana

  • @nafisakhalfani2010
    @nafisakhalfani2010 4 года назад +2

    Love you Violet that's the spirit your dad will always hold that exclusive spot!

  • @keyla3641
    @keyla3641 4 года назад +2

    Love u lilian kip it up

  • @zaitunamran7146
    @zaitunamran7146 4 года назад +7

    Wakat naolewa mume wangu alikua anafua na wala hajawahi kulazimisha nifue nilimwambia aache niwe nafua na sikuona ni tatizo bali ni upendo

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 года назад +1

    Iiliy mjinga wewe eti Nawashwa mimi hpa Nawashwa....NAKUPENDA lilian Mwasha..

  • @hassanabdalla7644
    @hassanabdalla7644 4 года назад +9

    Ww usifue jifanye unawasikiliza Hawa wanawake house girls yupo atakusaidia

    • @aisatahaisatah2612
      @aisatahaisatah2612 4 года назад

      Hahaahah

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 года назад +2

      sifui na house girl afue poa tu na mimi nitasaidiwa na house boy....hapo vipi?? kushindwa kufua ni uboya tu nao...love is free..awwwiii i love my lovelife raha sana….hahaaaa

    • @alicenapokoli9665
      @alicenapokoli9665 4 года назад +1

      Shame ,Malezi mbovu

    • @queen.christelle1
      @queen.christelle1 4 года назад

      🤣🤣🤣😅😅😅kabisa tell them waambie usisahau kuogea sauti

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 4 года назад

      Kabisa dia

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 года назад +1

    hapo kwa watoto mumeongea ukweli njoòni warabuni muyaone.kulea mtoto aleleke niujikaze

  • @Mvamba
    @Mvamba 4 года назад +10

    KAMA NAMUONA MAMA MKWE WANGU HAPO

  • @azizakwileka1686
    @azizakwileka1686 4 года назад +1

    Tunajifunza mabint kupitia hiki kipindi

  • @mariaibrahim3753
    @mariaibrahim3753 4 года назад +1

    Kila siku najifunza mapya mbalikiwe jmni

  • @marymamntine1909
    @marymamntine1909 4 года назад +2

    Sijuh ni macho yangu etiiii anataka kufanana na Aunt Ezekiel

  • @halimaabshiro1496
    @halimaabshiro1496 4 года назад +1

    Real they need to learn how to love and help

  • @fatimaharoon8218
    @fatimaharoon8218 4 года назад

    😂😂😂😂Sijafika uko kufua vichupi na Tena vinikome🙄🙄🙄

  • @afrarugakingira3983
    @afrarugakingira3983 4 года назад +1

    Mewapenda.ila.peaneni muda.Wa kuongea jamani.mnaharibu kipind

  • @simonjoseph5597
    @simonjoseph5597 4 года назад +1

    Mmeamua kutuwekea kikao sio

  • @valentinopancho8686
    @valentinopancho8686 4 года назад +3

    Hizi ndo madaa nzur zenye mvutano w hoja safii wasafiii

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 4 года назад +13

    Mimi sijaolewa Ila nikija kuolewa nitamfulia mume wangu nguo za ndani...

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 4 года назад +11

    Nyie wadanganyeni wanawake wenzenu waachwe

  • @crelincharles9358
    @crelincharles9358 4 года назад

    Lily ww ni hostress tulia hoja zisemwe aunty sadaka ni mkubwa kwako na ww ndo umemkalibisha kwenye kipindi ko punguza kuingilia hoja zinapotolewa unatuboa watazamaji kiherehere kingi khaaa lily

  • @aminaikopoasanayasin3094
    @aminaikopoasanayasin3094 4 года назад +5

    Yani apo kwenye uchafu nipenyewe. Kabisa wanasubili. Mpaka. Mwana mke. Wake a mwambie badilishana. Iyo. Nguo

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 4 года назад +1

    Mpeane nafasi kila mtu aongee sio mtu mmoja tu anasikizwa.

    • @pettyjongera1295
      @pettyjongera1295 4 года назад

      Kweli,,,,,maana inatupa shida kuwaelewa mapema

  • @aliciadas5050
    @aliciadas5050 4 года назад +2

    Auntie sadaka love you honey

  • @ibrahimmohamed5104
    @ibrahimmohamed5104 4 года назад +6

    Muongoza kipindi anakatisha sana maongezi ya mzungumzaji

    • @daimavlog
      @daimavlog 4 года назад +1

      Inabidi asome comments maana naona kila sehemu anaambiwa hili

  • @Rylee_kerrueche
    @Rylee_kerrueche 4 года назад +6

    😂😂😂😂😂wanaume mmepanic balaaa

  • @abromo1
    @abromo1 4 года назад +6

    Danganyaneni mkirudi nyumbani vyombo vinawasubiri

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 года назад

    hiyo ya kulea watt kira kitu dd wakazi tunakumbuna nayo uku ugaibuni yani mtt ata akila chakula anachindwa kutoa sahani kupeleka jikoni mm leo nimemwambia mtt atoe uchafu juu ya meza akatupe akawa anakataa akanijibu kwani ww kazi nn siumekuja kufanyakazi mm nikamjibu sijaja kukufanyia ww nimekuja kwa bibi ako kufanya kazi maana wanakujaga tu hapa kwetu yani wajiuli watt wa kiarabu hira mm tunapelekana kibabe

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 4 года назад +1

    Aisee hapo umeongeya,point, kweli wazazi wengi mtoto wake akiongeya kingeleza anaona anaakili sana, wakati mtoto hata kikombe alichonyeya chai hawezi kutowa

  • @jibabahbah5188
    @jibabahbah5188 4 года назад

    Mwasha na unty sadaka liv uuu mwaaaaah

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 года назад +2

    Ukweli unaumaaaa wambieeeee

  • @michaelsylvestre8475
    @michaelsylvestre8475 4 года назад +3

    Hapo wote yawezekana hawajaolewa bado.

  • @halimamusa2797
    @halimamusa2797 4 года назад +5

    Acheni kuongea kwa wakat mmoja peaneni nafasi

  • @KiT.KaT.Cute.
    @KiT.KaT.Cute. 4 года назад +11

    Muwe munaonge umoja umoja, ili tuwaelewe vizuri

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 года назад

    That’s when mchepuko comes in you don’t wanna do it someone else will , wengi wataachwa after watching this .... my gf washed mine and she is happy about it , and I love her 😍

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 года назад +3

    Babysky nilikumiss ucheke tu

  • @mavelimathayo6426
    @mavelimathayo6426 4 года назад +1

    Wanaume wa aina hii ni wapolini waovyo hovyo hovyo

  • @bibimzee7880
    @bibimzee7880 4 года назад

    Nikweli kazi za nyumbani nizamwanamke kumfulia yeye aende kuteka maji wewe uko nyumbani huna faida utawachwa

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 4 года назад

    Upende wa wanaume.nikukosa amani huruma naupendo kamahana utaumia mwanamke

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 4 года назад +1

    Baby sky unamimba

  • @vevo3130
    @vevo3130 4 года назад

    wanaume wengine maboya tu na wao…..hamna raha kama kujitegemea na kuwa na free love...ukweli nampenda sana Mume wangu and am proud sana kumpata yeye….yaani baba nakupendaaaa...he is a man and a full man....mapenzi free raha sanaaaa sanaaa...tunafanyaga vitu kwa mapenzi na sio lazima….natusipojisikia it is fine hamna mjadala ni kupumzika tutafanya baadae...ladies nakuombeeni mpate magentleman kama wangu..sema AMEEEN

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 4 года назад +3

    MWANAMKE ALIVYOUMBWA NA MUNGU AMEUMBWA KWA AJIRI YA MSAADA KWA MWANAUME ... MWANAUME AMEUMBWA KUONGOZA NA SIO KUONGOZWA... NIFUE CHUPI YA PERIOD MIM CHIZI HIYO NEVER HATAKI SEPA WANAWAKE WENGI KILA MTU ANA SERIKALI YAKE KWENY MAHUSIANO

    • @agnesvintan1538
      @agnesvintan1538 4 года назад

      Martin francis chupi ya period ina nini kwani

    • @martinfrancis9808
      @martinfrancis9808 4 года назад

      @@agnesvintan1538 Aaaah niache kidogo

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 4 года назад +3

      Unachekesha eti hufui chupi yenye period wkt panapotoka period unapang'ang'ania huwezi kupakosa na kelele za utamu unazitoa unapasifia mpk unasahau km panatoka period pole yako sema na ww mzigo tu.nampa pole mkeo au atakaekuwa mkeo lol namuona atavogeuzwa dada wa kazi lol.

    • @martinfrancis9808
      @martinfrancis9808 4 года назад

      @@shamsahaji6202 Nani ananga'ng'nia Mimi huwa nng'ang'ania kazi inayonipatia riziki... Mimi. Naendekeza ujinga mim... Yani kuhusu kufua Yani Sifui bora nikaichome..

    • @martinfrancis9808
      @martinfrancis9808 4 года назад

      Yani mm nikufulia vichupi vyako booo heee Kama s ia kazi bora nikahubiri neno la mungu

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 4 года назад +3

    MKO VIZURI SANA....na nawapongeza sana...ILA WAULIZENI WANAUME WANAOANZA WAO KUFUA " NGUO ZA NDANI " za wapenzi wao...Tatizo sio TU KWA WANAUME.... HATA SISI WANAUME TUNAPOONYESHA MAPENZI NA KUFIKIA KUFUA " KUFULI " za wapenzi wetu...basi MALIPO YAKE NI MWANAMKE KUONA KUWA SISI NI MABWEGE... badala ya kukubali kwamba ni sehemu ya MAPENZI... TUKIANZA TU KUWAFULIA..... BASI MNAFUA ZENU MBILI NA KUTUACHIA KUMI TUWAFULIE...Ha ha ha haaaa.....tuwe makini pale tunapojadili mapenzi ..kwa kuwa mapenzi ni ya WAWILI na hata katika kujadili penzi hilo ni LAZIMA KUWEPO NA UIANO KATIKA MAJADILIANO... nakubali kwamba kipindi kinaitwa WOMEN MATTERS... lakini bila kumzungumzia mwanaume.....??? HAKUNA LADHA YA KIPINDI... KUFUA NGUO ZA NDANI NI " MAPENZI " na sio LAZIMA.....

  • @habibtyomar6895
    @habibtyomar6895 4 года назад

    Habari na shikamooni madada zangu. Mimi napenda sana kipindi chenu kwasabu kinanielimisha. Sasa katika kusikiliza muliongelea kuhusu kumpenda mkwe. Unamfanyia kila kitu hadi pia kutoa zawadi lkni hana shukrani unafanyaje? Pili mume wangu ni mtu wamteremko kila kitu nifanye mie. Tukiangalia upande wa ndugu ndio huko kuchekeana kiunafki ukushaondoka yatasemwa yaliopo na yasiokuwepo cha ajabu wanaropokwa tu hadi zile hbri nazipata. Sasa mimi nimeamua ni kae kimya niangalie hamsini zngu je ni sahihi? Au nifanye nini?

  • @lilianmuange2933
    @lilianmuange2933 4 года назад +1

    Malkia

  • @aliciadas5050
    @aliciadas5050 4 года назад +1

    Napenda kipindi cenu for real

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 4 года назад +1

    Hakuna kitu kinacho niuzi km mwanaume kuvua nguo suruwali nachupi yake jamani sipendi kabisa

    • @tausihasheem5051
      @tausihasheem5051 4 года назад

      😄😄😄👋👋ujue nimecheka sanaaa yaan surual imejionganisha na chupi noumaa

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 4 года назад +1

      @@tausihasheem5051 wafikili. Uwango kweri hara hanawasiwasi ukikutanae mtaani unasema da kaka msaarabu huyu doo nenda chumbani kwake ss

    • @tausihasheem5051
      @tausihasheem5051 4 года назад

      @@fatmakiruwasha2378 kwa kwel kumbe n wachafuu htriii

    • @azizakwileka1686
      @azizakwileka1686 4 года назад

      😂😂

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 4 года назад

    Palipo na mapenzi ya kweli Hilo ni jambo Dogo sana..........

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 года назад +1

    Tukubali tukatae wanaume wameoza.ivi mwanaume jobbless anaweza akamfulia mke wa PHD chupi No so yeye ni

    • @yusufally6853
      @yusufally6853 4 года назад +1

      Maria James wanafua baadhi yetu tunafua

    • @aminawaziri6307
      @aminawaziri6307 4 года назад

      Mbona kipindi kizuri ilamnaongea kama mmefungwa kengele

    • @bukurunestory3540
      @bukurunestory3540 4 года назад +1

      Wewe ndio umeongea point, wanawake magumegume kama hawa huolewa na macheck boob wasio na nyuma wala mbele...wenyewe huitwa masuga mummy. Mwanaume yuko bize kama Mo, Dewj, diamond anapata wapi muda wa kufua machupi?? Mwanaume wa hivyo ujue hana hela

  • @amanizacharyson5070
    @amanizacharyson5070 4 года назад +5

    tafuten mada za kuwafundisha mabinti zenu kuish kwenye ndoa sio mnajadili vitu distractive...yaan mpaka issue za majina mnadiscuss, kwani akibadilisha anaathirika kitu gani? thats our culture...wanawake mnataka kugeuka kuwa wabomoaji wa famil;ia na jamii zetu kwa mikono yenu na vinywa vyenu wenyewe, ujuaji mwingi utaharibyu, wewe kama unaishi hivyo na mumeo pambana ndani huko mwenyewe...angalien sana

  • @joachimsamwel812
    @joachimsamwel812 4 года назад

    Hapo mnafail sana

  • @Mvamba
    @Mvamba 4 года назад +3

    MTUACHE JAMANI NA WATOTO WENU TUNAISHI NAO VIZURI MBONA NA WANATUPENDA WENYEWE NA TUNA ENJOY NAO VIZURI

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад +1

      😂😂😂😂 jisemee wewe sio wote, wengine malezi mabaya wananyanyasa wake zao

  • @neemahussein1825
    @neemahussein1825 4 года назад

    Alhamdulillah for my husband

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 года назад +4

    Hawa wanaongea HVO kwa sabab wamewakinai waume zao,,mungu nipe mume sahihi ntamfanyia kila kitu ,,ntampa yote ,,mixer kunyonya pumbu

  • @teahmtoro225
    @teahmtoro225 4 года назад +3

    Usipofua ww mke atafuliwa na mchepuko. Fanya kile unachojaaliwa kufanya.

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 4 года назад +4

    Wanaume gani hao wa kufua boxer???

  • @abdalahasssni4759
    @abdalahasssni4759 4 года назад +1

    Kipindi kizuri kweri

  • @makaaya_3449
    @makaaya_3449 4 года назад +1

    lily acha kiherere

  • @ibrahimmohamed5104
    @ibrahimmohamed5104 4 года назад +4

    Kipindi kizur ila hakina utaratibu wa maongezi

    • @flomaje1J
      @flomaje1J 4 года назад

      Moderator ampe kila mtu nafasi ya kuongea. Hapa kuna mmoja anatawala maongezi yote wengine wanapitisha neno moja hapa na pale