MWOKOZI WANGU NI MWAMBA BORA LYRICS WITH ENGLISH TRANSLATION 1 Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima - My Savior is an excellent rock, a promise like the mountains zaniletea amani tele, na mibaraka daima - may they bring me abundant peace, and blessings always Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu - In the rock is a great pleasure, abundant blessings from above Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever 2 Makimbilio ni mwamba huo katika teso lo lote - Refuge is the rock in all suffering Nisikimbie adui ‘kuu, nishinde katika vyote - I should not run away from the main enemy, I should win in everything Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki - If the whole world shakes, his promises do not diminish Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever 3 Nakaa mbali ya udhalimu, hatia, dhambi, hukumu - Stay away from injustice, guilt, sin, judgment Na kwa imani nikisimama, adui atakimbia - And if I stand by faith, the enemy will flee Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko - And thoughts of pure darkness will not find a place there Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever 4 Nafurahia baraka zote za ulimwengu wa roho - I enjoy all the blessings of the spirit world Karama hizo nalizipewa katika kufa kwa Yesu - Those gifts were given to me in the death of Jesus Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko - There is no fear and doubt, there will be no murmuring Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever
Thank you for the good morning blessing family, I love you, He's our living God, he's our walking stick, we're grateful always for the good gospels! It heals our souls. Love from Namibia
🇰🇪Kenya we officially adopted ur ministry,worship that you hear word by word,watching from Seattle Washington .wapi watu wa majuu listening to their worship 👋🏽
Mubarikiwe Dorcas ,papi na Merci;mwatujenga kweli. Wakenya wote muweke like hapo juu. Nani anacho kitabu nyumbani cya nyimbo hizi çya zamani?😂😂😂😂 Aweke like
Kutoka upande huu wa Ulimwengu ninakiri kuwa ninavutiwa na nyimbo zenu na huwa zinanibariki, naona Mungu halisi katika sifa na utukufu wa milele ukiwa juu yake. Ninakiri kama siyo kwa ukweli basi ni kwa dhati ya moyo mmoja ya kwamba myimbo zenu ni tulizo la fikra ya binadam na ufufuo wa tumaini ndani mwetu. Muwe na Baraka za Mungu sana
Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
I love how you guys are shining together in the lord..please teach kenyan the power of working together..every gospel singer in kenya want to shine Alone, building there little kingdoms.
Nyie watu MUNGU awabariki mnoooooooooooo, yaan mapenzi ya dhat ya YESU kwa kanisa lake, hakika yamewaimarisha hata nathubutu kusema yanaonekana kwenu pia. MUNGU awape miaka miiiiiiiiingiiiiiiii ili wengi wajifunze kwenu.
Thought u song of worship I was able to except that my loving mother has left me alone.But at de sometime u are de source of me getting back to Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MWOKOZI WANGU NI MWAMBA BORA
LYRICS WITH ENGLISH TRANSLATION
1
Mwokozi wangu ni mwamba bora, ahadi kama milima - My Savior is an excellent rock, a promise like the mountains
zaniletea amani tele, na mibaraka daima - may they bring me abundant peace, and blessings always
Katika mwamba ni raha kuu, baraka tele kutoka juu - In the rock is a great pleasure, abundant blessings from above
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever
2
Makimbilio ni mwamba huo katika teso lo lote - Refuge is the rock in all suffering
Nisikimbie adui ‘kuu, nishinde katika vyote - I should not run away from the main enemy, I should win in everything
Dunia yote ikitingika, ahadi zake hazipunguki - If the whole world shakes, his promises do not diminish
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever
3
Nakaa mbali ya udhalimu, hatia, dhambi, hukumu - Stay away from injustice, guilt, sin, judgment
Na kwa imani nikisimama, adui atakimbia - And if I stand by faith, the enemy will flee
Nayo mawazo ya giza tupu hayatapata nafasi huko - And thoughts of pure darkness will not find a place there
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever
4
Nafurahia baraka zote za ulimwengu wa roho - I enjoy all the blessings of the spirit world
Karama hizo nalizipewa katika kufa kwa Yesu - Those gifts were given to me in the death of Jesus
Hakuna woga na shaka huko, hayatakuwa manung’uniko - There is no fear and doubt, there will be no murmuring
Nakaa humo, ninastarehe, ni heri sana milele - I sit there, I am comfortable, it is very happy forever
Tanzania 🇹🇿
From kenya I feel blessed by your songs,keep on praising our God.
Thank you for the good morning blessing family, I love you, He's our living God, he's our walking stick, we're grateful always for the good gospels! It heals our souls. Love from Namibia
So wonderful song
Mwambwiye iyi ndirimbo ariyakangahe mu gitabo kyikinyarwanda, please 🙏
🇰🇪Kenya we officially adopted ur ministry,worship that you hear word by word,watching from Seattle Washington .wapi watu wa majuu listening to their worship 👋🏽
🙌👏🔥
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumebarikiwa pamoja
Ooo yesss,awesome music that you feel blessed. I listen to them day ans night. You feel the spirit in the songs.More blessings brethren. 🙌
All the way from kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤
❤❤❤❤❤
Much love from Kenya
🥺🥺🥺🥺🥺
Kama umpenda wimbo huyu naomba like
Since u came to JCM church u gained viewer and subscribe .wapi like za bazuu mwenyewe
Bwana Yesu awabariki. Dr Muriithi John from EMBU KENYA
Mwakozi wangu kbs Imana ikomeze kubaha imigisha myinshi ndabakunda cyane❤
Mubarikiwe Dorcas ,papi na Merci;mwatujenga kweli.
Wakenya wote muweke like hapo juu.
Nani anacho kitabu nyumbani cya nyimbo hizi çya zamani?😂😂😂😂
Aweke like
All the way 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪well represented
Right from the heart of Kenya🇰🇪,Nairobi,,,have became a top fan ,,the songs are Soo heavenly,,,keep praising and worshiping our almighty God🙏
Mkenya mwenzako hapa pia Mimi nimependa sana nyimbo za Hawa watatu. Mbarikiwe sana kwa kazi zuri mnayoifanya kuhubiri kwa nyimbo
Mkenya mwenzako hapa pia Mimi nimependa sana nyimbo za Hawa watatu. Mbarikiwe sana kwa kazi zuri mnayoifanya kuhubiri kwa nyimbo
Amen
Here from the capital city of Africa
Amen
Mie nimebarikiw🇰🇪🇰🇪
Kenyan living in 🇺🇸 represented.
wapi likes za team kenya
From Kenya, we have officially stolen you... Your Kenyan names will be Ciku, Otis, and Kip. God bless you🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. kitu cool ipewe likes.
Merci ndiye Otis, aki wewe 😁
@@JoyceDan-l8f Dorokathi nake ni Ciku
Weee more love from Kenya 🇰🇪
Deep love from Kenya ❤
I think your the best in Africa, thrive with Gods grace
The love of Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...is unpredictable
Congratulations team Kenya
Let's shower these guys with love flowers, for they're a blessing to us... 💐🎉🎉💜
T urabishimiye mpwemu w Imana akomeze kubayobora.karibu mu butumwa bwiza ku mavuko yacu. Amen.
Kenya inn our Rev Ben Sasa Tiktok lazima hii❤❤❤❤❤
Mbarikiwe mnoo watumishiii wa MUNGU kazi iendelee
One of my favorite song🤲🏾🥰❤ be blessed
Mnanibariki. Mbarikiwe pia 🥰😘💗💗
From 🇰🇪 watching you really bless us
MUNGU AWABARIKI SANA 🙏🎊🙏🎊🙏🎊
Mujya mfasha nshuti
I'm find myself crying while listening to this song really tauched me. May God bless you guys 🇰🇪🇰🇪
may God uplift u higher and higher❤❤big love 🇰🇪
❤❤❤❤ Yesu awabariki sana
Wonderful songs for morning devotion
Glory be to God.Iam blessed .
🇰🇪🇰🇪 tamu hii
Guys ❤ishini Kwa mungu from Kenya
......ahadi zake hazipunguki....
God blss u , u r doing respectful good work.
Hallelujah, amen, twaritubakumbuye
T❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nakaa huko nikastarehe ni heri sana mileleeeee..... Yesu akuje twende mbinguni!!!!!!!
Very deep message.Glory be to God.much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏 to God be the glory 🇰🇪
Kaze iwacu mu gihugu c amata n ubuki🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amen amen watumishi wa Mungu, tutawapenda saaana Bujumbura ,tunabarikiwa saaana❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Philipo from Dar Es salaam Tanzania ,Napenda kazi yenu nafarijika sana Nawapenda sanaa
Good🎉music bless my morning day🎉🎉much love from Kenya🇰🇪
(Halleluyaaaa) halleluyaaa❤❤
More blessings family 👪
Kutoka upande huu wa Ulimwengu ninakiri kuwa ninavutiwa na nyimbo zenu na huwa zinanibariki, naona Mungu halisi katika sifa na utukufu wa milele ukiwa juu yake. Ninakiri kama siyo kwa ukweli basi ni kwa dhati ya moyo mmoja ya kwamba myimbo zenu ni tulizo la fikra ya binadam na ufufuo wa tumaini ndani mwetu. Muwe na Baraka za Mungu sana
Muzakore iyitwa msingi bora ni yesu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

All blessings from Kenya ❤🙏🏼
Neema ya Mungu iwatoshe wapendwa🇰🇪🇰🇪
Amen muhezagirwe bantu bimana
Paster Ben your people have done it again
It's not Pastors, it's God's power!!
I love how you guys are shining together in the lord..please teach kenyan the power of working together..every gospel singer in kenya want to shine Alone, building there little kingdoms.
Amen 🎉🎉Ame n
From Nairobi Kenya, God bless you guys ,and may he uplift you, you are my favourite, I love your voices both
This is touching, well done ❤❤
Pianist merci your amazing. Passion in you.
May the Grace of our Lord be with you brethrens. Glory to God. Much love from kanya🇰🇪🇰🇪
Team Kenya likes zenu please 👍👍
Ahadi zake hazipunguki.
Dear lord bless every family praying for a rainbow baby
Hii imeenda hii
Wa kenya tuna wapenda 🇰🇪 ❤
I love your worship. from Kenya
Nina wapenda mubarikiwe ❤❤from Congo 🇨🇩 Kinshasa
Parfect job,am full of joy and blessings kuskia nyimbo tamu kama hii ❤❤❤❤❤mbarikiwe na mungu
Please continue serving Jesus in song .be blessed.shalom
Merci is always jovial I like how he feels The song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May God uplift you more nd more
Much love from🇰🇪
Amen, Mbarikiwe sanaaaa,toka Tanzania
I'm in love with the song!
Much love for you guys all the way from Kenya. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏! Nawapenda sana ! Greetings from Uganda kampala
Again another great hymn
Good lyrics with flow
Let the gospel spread
Kukaa kwa Mungu kweli Kuna Raha. Neema zaidi.
You people you are blessings to us from God. ...your songs always touches my heart#💖💖💖💖nimeokoka
Nyie watu MUNGU awabariki mnoooooooooooo, yaan mapenzi ya dhat ya YESU kwa kanisa lake, hakika yamewaimarisha hata nathubutu kusema yanaonekana kwenu pia. MUNGU awape miaka miiiiiiiiingiiiiiiii ili wengi wajifunze kwenu.
Wow sauti 🎉zapendeza neema iwatoshe
wow! this is fantastic ❤
🇰🇪... powerful powerful 💪🙏..mokozi ni mwema siku zote
Lovely song ❤️🔥❤️🔥❤️🔥 congratulations 🎉🎉🎉
Glory to God,a very uplifting song.barikiweni sana🇰🇪🇰🇪
Wow good song at this moments of my life nitakaa humo nistarehe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🇰🇪
Proud of ny fellow Kenyans for showing this kind of love to our brothers in Christ be blessed and more grace Papi and your team you are going far ❤❤❤
❤
Halleluya
😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Thought u song of worship I was able to except that my loving mother has left me alone.But at de sometime u are de source of me getting back to Christ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Very nice songs Papi Clever and Dorcas.keep it up all the way.
❤ Dunia yote ikitingika ahadi zake ni za milele. Ni mwamba wenye imara kweli.❤
HAllelujh HAllelujh. Jésus-Christ..much love❤❤❤from 🇸🇦🇸🇦
The way the Lady dresses is amazing,thank you for the great hyms may God bless you all
Hymns*
Much love from kenya 🇰🇪
From Kenya....This song blesses/naurishes a lot...
Nice worship brethrens..nalia nikiimba huu wimbo
Thank you so much 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nyimbo zenyu zinanibaliki mungu awatie nguvu zaidi in jesus name
Nyimbo za kupendeza jameni,nataka kujiunga.
What a song!I feel blessed by you guys.
Blessed from 🇰🇪
Shalom brethren, God awainue kwa kiwango
cha juu sana, nationally and internationally,be blessed.kenya❤
Another nice one be blessed nawapenda sanaa
Beautiful song Papi and your wife❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
GOD BLESS YOU....KENYANS Don't we all love this team..❤
My all time favorite ❤️❤️🇰🇪👏👏
Much love from Kenya
Wow nice song congrats... all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪