Lowasa atuma neno CHADEMA "Msiniwekee maneno mdomoni,nimerudi nyumbani basi"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 233

  • @isaacmgaya2067
    @isaacmgaya2067 5 лет назад +1

    Bado mzee SUMAYE. Rudi huku bwana. Usichelewe. Wakati ni huu.

  • @sir.josephmbeya7017
    @sir.josephmbeya7017 5 лет назад +4

    Umejidhalilisha sanaaaaa mzeee ni bora ungestafu siasa,umepungukiwa hekima.

  • @hermankassanga4645
    @hermankassanga4645 5 лет назад +15

    Wamasai wanatabia ya kuhama hama nilisoma form two nomadic pastoralism kwahiyo sishangai sana.

  • @Mike-yg7pb
    @Mike-yg7pb 5 лет назад

    Good lowasa, najua huko umepaona pakihuni tu, toka uende chadema hujawahi ongea hivi, lakini huku umejiachia uko huru, safi sana

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 5 лет назад

    Humphrey Polepole, unajisikiaje kuwa karibu na Mh.Lowasa. Ila ahsante sana mzee Lowasa unajua kusamehe, waliokubeza umewapalia mkaa vichwani mwao. I love you so much Lowasa. God bless you uncle, father......... I love you. Tabia yako ni tunu kwa wapendao AMANI. Nimetekewa sana.

    • @johnb1842
      @johnb1842 5 лет назад

      Lowasa ni mwanasiasa kama aliwasamehe akina lissu atashindwa je kusamehe Leo? Hana mhemuko, huongozwa na malengo siyo hisia. Ukisikia hiyo hotuba yake utajua kuwa yuko huru sana. Amekosoa hata ccm yenyewe juu ya kubagua upinzani

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 лет назад +2

    Safi mzee lowasa sema baba 💪💪💪💪

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 5 лет назад +4

    Karibu nyumbani Mzee.
    Ladha ya chakula aijuaye ni mpishi
    Mwenye macho haambiwi tazama.
    Nakutakia kila la kheri...

  • @mako331
    @mako331 5 лет назад

    Ahasante mzee una hekima, wazungu wanatuonea wivu wanataka madini na mafuta yetu, na wanatumia ujanja eti demokrasia kuleta vurugu

  • @shashikalua4299
    @shashikalua4299 5 лет назад

    Uyu mzee mavi kwelikweli.....na atakuja kufa jukwaani 👌tobo

  • @ramadhanspemba655
    @ramadhanspemba655 5 лет назад

    Jamani ebu angalieni vzr lowasa kazeeka jaman angalia maiki inavyo tetemeka

  • @gabrielmalecela3701
    @gabrielmalecela3701 5 лет назад

    Kila lakheriii mzee# harakatii za chadema huwez mzee maana hata kuongea unatetemaaaa....sisi tunaendeleza harakatii za ukombozi wa kweliii.......tutashiiiindaaaaa# tutaaashiiiiindaaaa# .....✌

  • @briannyiti208
    @briannyiti208 5 лет назад +7

    Unakera sana bora ukae kimya

  • @favouramos3538
    @favouramos3538 5 лет назад +7

    Mbona unatetemeka! !!

  • @condradedwin1088
    @condradedwin1088 5 лет назад

    mzee mungu atakuona, leo wamekuwa wazuri heeeeeeeee

  • @mwinjumaramadhani4797
    @mwinjumaramadhani4797 5 лет назад

    acha siasa mtumkie mungu acha maneno umri umekuacha ni hayo2

  • @davidngogo634
    @davidngogo634 5 лет назад +4

    " nawashukuru sana chadema" msikilize vizuri. walio mchafua ndiyo walio muosha!. Duuh Lowasa anasiasa za juu sana inahitaji wenye akili tu kumuelewa.

  • @NyumbaniHabariMedia
    @NyumbaniHabariMedia 5 лет назад

    Pole sana Mzee

  • @shukurunzenzule5963
    @shukurunzenzule5963 5 лет назад +12

    lowasa nyinyi ndo mliotufikisha hapa wamachinga kudaiwa elfu 20000/=pumbavu zenu

  • @amrumuhamadyamru6893
    @amrumuhamadyamru6893 5 лет назад +25

    Wanasiasa wana tabia ya umalaya malaya (lowasa ni malaya)

    • @humphreybilly3258
      @humphreybilly3258 5 лет назад

      amru muhamady Amru.hii niatali aise.

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 5 лет назад

      Malaya mkubwa kwani ulivyoondoka uliga mbaka saa unarudi unasema mzee fala kabasa chadema ulifata ikulu pumbavu kabisa uyu

    • @haibasalehe3568
      @haibasalehe3568 5 лет назад

      Hahahaaaaaa

    • @sir.josephmbeya7017
      @sir.josephmbeya7017 5 лет назад

      amru muhamady Amru Aswaaah tena kubuuu hasiye na haya mtumzima hovyooo,ALFONCE MAWAZO KACHINJWA WAKATI WA HARAKATI ZA KUWEKA MAANDALIZI YA ULINZI KULINDA KURA ZAKE ZA URAIS
      Leo ana sahau damu isiyo na hatia iliyo mwagika na mtoto Precuos kabaki yatima.

    • @emmanuelmdage6939
      @emmanuelmdage6939 5 лет назад +1

      Anakaribia kufariki huyo ona anvyo vibrate jamani tumuonee huruma huyu mzee

  • @nichummputo516
    @nichummputo516 5 лет назад

    Wee huna tofaut na ndumi lakuwili huna sera

  • @michaelsongo8295
    @michaelsongo8295 5 лет назад

    tetema!!!!!!!!! mzee anatetemeka adi huruma daaaaa

    • @jaafarmkatta1336
      @jaafarmkatta1336 5 лет назад

      Hata kipindi cha kampeni 2015 alikuwa akitetema hivyo hivyo. Ni maumbile

  • @dominicnzai8256
    @dominicnzai8256 5 лет назад

    Watanzania Msishangae,...huku kwetu Kenya pia imetokea hiyo,...kwahiyo cha msingi na cha mhimu nikufanua kazi na kuipambania inchi yako na kuwa Mzalemdo...,#Africamoja,..#Africamasharikimoja,...

  • @shijakifuko3857
    @shijakifuko3857 5 лет назад +1

    Amur/Peter msimtusi huyo mzee alikuja kwenu lkn kakutana na genge la wahun kama msivyo na staha za midomo yenu wapnawap

  • @josephchaula7178
    @josephchaula7178 5 лет назад

    Ama kweli maneno aliyoongea nyerere yakua wanasiasa wanatabia ya umalaya malaya nikweli tunayaona sasa.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 лет назад +18

    Mzee muda wako mtumikie Mungu hizi siasa na propaganda hazitakusaidia siku ukirudi kwa Mungu

    • @wildlifeanimals6377
      @wildlifeanimals6377 5 лет назад

      Katika Maneno ambayo n ya dhamani sana duniani naya maana sana kwahyu mzee ni hayo Akipuuza bas,Mungu akubariki. Sana

    • @lucasabunuas4662
      @lucasabunuas4662 5 лет назад

      ushaur sahihi huo

    • @mohammedsalim6398
      @mohammedsalim6398 5 лет назад

      Edwin Alexander huyo ndie Mungu wake alikorudi,NI WANASIASA WACHACHE WANAOZEEKA WAKAMRUDIA MUNGU MWANASIASA YOYOTE HUWAZA KUWAONGOZA TU WENZIE NA AWAZIDI UWWZO ?HATA YULE ALIE ULAYA NA KUUMWA KWOOOTE ANAWAZA TU URAIS, WA TZ,

    • @sir.josephmbeya7017
      @sir.josephmbeya7017 5 лет назад

      Edwin Alexander Kweli ndugu umesema vyema

  • @hassansaid89
    @hassansaid89 5 лет назад

    Njaa ni mbaya sana

  • @afredyohana356
    @afredyohana356 5 лет назад

    Mungu ana kuona mzee

  • @buye5436
    @buye5436 5 лет назад +1

    Kupiga kura ni ungese
    Short and clear

  • @amosilameck9584
    @amosilameck9584 5 лет назад

    Sina chama siasa ni up

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 5 лет назад

    mkitangaza lissu ni raisi lazima lowassa akimbie,walipotangaza magufuli ni mgombea alikimbia..ana alergy na uraisi..

  • @eliusandrew3762
    @eliusandrew3762 5 лет назад +1

    Daaaah hakika nchi hii basi lakini sijui kama tutafika

  • @shephardsinkamba8716
    @shephardsinkamba8716 5 лет назад

    Uyu Mzee Bwana naona kabisa ana busara za uzeeni aise

  • @simonpetro7400
    @simonpetro7400 5 лет назад

    Haya

  • @maisaalawi5399
    @maisaalawi5399 5 лет назад +2

    Umenifurahishs uliposema nimerudi nyumbani, sikurudi Kwa jirani.

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 5 лет назад

    Mzee umeishiwa nasiasaa

  • @gamayamasunga7173
    @gamayamasunga7173 5 лет назад +4

    umeamua kuwasaliti wazungu walioanza kupenya nchini kupitia chadomo, hongera sana unaijua vzr Tanzania na ccm

  • @abuuanwar0076
    @abuuanwar0076 5 лет назад +1

    Mzee umejitoa muda muafaka, huu ni muda wa Mh. Tundu Lissu. Hakuna kujuta kwani uliwahamisha wanachama wengi sana na kuwahamishia Chadema.
    Na wewe jaribu kupumzika sasa, kwani ni dhahir unaumwa.

  • @abdalahngilisho7433
    @abdalahngilisho7433 5 лет назад

    Nikweli nchi inaenda lakini upande wa elimu bado mambo hayana mweleleo wenye tija kwa nchi hii. Mshaurini rais juu ya hilo kwani bila maarifa hakuna zuri la kutarajia. Tujue aina ya elimu tunayohitaji na changamoto zake katka kila mazingira ya nchi.

  • @maisaalawi5399
    @maisaalawi5399 5 лет назад

    Hongera.

  • @frankafraelpallangyo1644
    @frankafraelpallangyo1644 5 лет назад

    unatetemeka sana 7bu ya tabia zako za tamaa

  • @ahamadmakumbuly7689
    @ahamadmakumbuly7689 5 лет назад

    Hata pachelewe lowassa mungu lazima akuonyeshe mateso yeyote ambayo watanzania tutakushuhudia jins utakavyoteseka ,kumbuka umeua watu kutumia uchaguzi wako uliopta , mungu sio asumani lazima utaiona zambi uliotutendea wana ukawa?

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 11 месяцев назад

    Mwizi kaludi

  • @athumanimgamo6467
    @athumanimgamo6467 5 лет назад

    Baba wa taifaa alisemaga wanasiasa wana tabia ya umalayaalayaaaaaa

  • @angelaignas5863
    @angelaignas5863 5 лет назад +1

    Mi sina mengi nimerudi kwa YESU tuu..

  • @familylove5417
    @familylove5417 5 лет назад

    😂😂😂😂😂😂 maskn unawezaa kufaaa kwenye jukwaaa pumzikaaa nyumbani baba muachie magufuli hatuelewi hta unachosema

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 5 лет назад +5

    Wewe mzee MUNGU anakuona ujue

    • @bekaamezzy742
      @bekaamezzy742 5 лет назад

      Peter Kisanga unataka amuone nan et kwan ww anae kuona nnan

    • @magejaphet9473
      @magejaphet9473 5 лет назад

      We na pepo afadhali pepo maana litatolewa kwa jina la yesu,huna jipya

  • @peterfrancinsshelukindo9215
    @peterfrancinsshelukindo9215 5 лет назад

    Mzee Lowasa karibu nyumbani hekima zako zinahitajika maamuzi, yako niyabusara hata maneno yako yanadhihilisha kilichopo ndani yako kuwa umzee wahekima malizia uzee wako katika chama kubwa linalo tetea wanyonge Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

  • @JohnJohn-ec5wz
    @JohnJohn-ec5wz 5 лет назад

    Mzee wa kaz MBONA kama unachokiongea ni tofaut na kilichop moyon mwako. Umelud nyumbn bac kwn zaman uliondk bac

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 5 лет назад

    Ulijinyea tukakusitiri kweli

  • @SQaedSharaffSQS
    @SQaedSharaffSQS 5 лет назад

    Mh.Lowassa kuweka na kutunza heshima yako, tumekuelewa,mengine yawake moyoni, wasije kukuchafua.

  • @javisskagali1226
    @javisskagali1226 5 лет назад

    CCM si mama yangu wala si baba yangu daaaah leo umeludi kwa mama yako na baba yako yaaani nyumbani sawa bana hakuna noma mzee umeshinda

  • @alfredinamsimami7678
    @alfredinamsimami7678 5 лет назад

    🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @lilomo6713
    @lilomo6713 5 лет назад +1

    CCM Raha sana mzee anasura yenye nuru na tabasam mwanana,kule mzee wangekuvutisha bangi

    • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
      @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 лет назад

      Osman Mussa 😃😃😃😃

    • @lucasabunuas4662
      @lucasabunuas4662 5 лет назад

      kweli wange mvutisha bangi lakin siku mbili tu hiz mme mnywesha gongo anatetema kinyama

    • @vinehots3114
      @vinehots3114 5 лет назад

      Yanı kana kwamba hıı nı chı ya ccm tuu wengine hawana hakı

  • @neemajohn6086
    @neemajohn6086 5 лет назад +6

    ccm oyyyyeeeeeeeee

  • @elliudmichael5487
    @elliudmichael5487 5 лет назад

    Wew huna mpya, upo kama mwanamke anaeolewa nakuachika achika,,,,,

  • @jofreyisack7382
    @jofreyisack7382 5 лет назад

    Yaan wee mzee unamaudhi mnoo yaan unakera,unazeka vibaya ww

  • @davoo2555
    @davoo2555 5 лет назад +3

    Sio kila mzee ana hekima, busara au maono, wazee wengine ni wahuni tu.

  • @hdmtanzania2617
    @hdmtanzania2617 5 лет назад +3

    Mh Magufuli ana muono wa mbali nikweli

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 5 лет назад +1

    hakuna kauli unayoweza kutumia kutuaminisha sisi kumuunga mkono huyo,na suala la ubaguzi ccm ndio wa kwanza na itaenda hivyo mpaka mwisho

  • @parasuminazi4403
    @parasuminazi4403 5 лет назад

    Siasa bhana siifahamu ilanaona wanasiasa wamelaaniwa

  • @yanayojirimitaaniTV
    @yanayojirimitaaniTV 5 лет назад

    ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV uone BARAKA MAGUFULI AKIHUTUBIA MKUTANO

  • @sylvesterkameo5412
    @sylvesterkameo5412 5 лет назад

    Hivi waliokutangaza kwamba unaugonjwa wa kuchajichafua huko jukwaani Kahama walikuwekea maneno sehemu gani hata uwatahadharishe CHADEMA walikuwekea maneno kinywani. Nafikiri Mheshimiwa Msukuma aliyoyasema juu yako Yana ukweli. ulipokuwa CHADEMA uliwaonya CCM walikuwekea maneno kinywani leo uko CCM unawambia CHADEMA walikuwekea maneno kinywani, tabia ya upopo!

  • @salmamasuod1472
    @salmamasuod1472 5 лет назад

    rais anafanya kazi kweli na atawanyoosha watu kama nyinyi umelud mwenyewe na uliwaacha kipind kigumu ccm imepigana na tunaona matunda leo unalud uoni ata aibu unauroho wa madaraka mzee

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 лет назад +8

    Lowassa nime kudharau, mtu mzima ovyo

  • @tanzanitegemsculturaltourism
    @tanzanitegemsculturaltourism 5 лет назад

    Wanasiasa kweli ni Malaya ila hamphrey ulimwita mzee malaya so nawe umeshiriki kumpokea malaya

  • @annaelia5743
    @annaelia5743 5 лет назад +4

    mmmm leo wamekuwa wazuri si ulikuwa unawaponda sana ww

  • @honestshirima7054
    @honestshirima7054 5 лет назад

    Kama umegundua mzee lowasa anatetemeka mikono piga nduruuu

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 5 лет назад +9

    Kidumu chama Cha mapinduzi...

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 5 лет назад

    Ulipoambiwa una mpango wa kurudi ccm ulikana ukasema wasiniwekee maneno mdomoni...sasa unarudia tena wasikuwekee maneno mdomoni...unajua wenyewe unacholenga.

  • @jacksonsendama296
    @jacksonsendama296 5 лет назад

    pumzika sasa acha uzee

  • @georgerichard6951
    @georgerichard6951 5 лет назад

    Kurudi ni sawa ila mna tu changanya

  • @jumamzonge1750
    @jumamzonge1750 5 лет назад

    tabia za "kimalayamalaya" nyerere aliwaona hawa miaka takribani 50 iliyopita.

  • @wiseriziki2433
    @wiseriziki2433 5 лет назад

    Mzee nadhani muda umefika uachane na siasa pumzika maana mikono inatikisika sana bila shaka afya sio nzuri. Hao watu wanakutumia kama punda kwa faida yao wakati umefika wa kustaafu waachie vijana wenye nguvu.

  • @ramamashoto507
    @ramamashoto507 5 лет назад +1

    mzee lowassa mungu anakuna ujue

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 лет назад

    Huyu jamaa uzee ushakuingia vibaya!! Umekiri Magufuri a livyokushinikiza!! Wala si kwa hoja!!!!?? Lowassa basi alikuwa na bahati ya kupendwa lakini nahisi huwezo wake wakufiri umepungua sana kama si stress za maisha!!!

  • @josephagustino2173
    @josephagustino2173 5 лет назад

    Mzee mamuzi yako hayako pouw ila sawa 2

  • @hosianaelfuraha9949
    @hosianaelfuraha9949 5 лет назад

    Kafiye mbele uko mbona unatetemeka kama unakata moto....

  • @kinandamahaza342
    @kinandamahaza342 5 лет назад +1

    Hata Mungu angelikuwa anawaadhibu watu siku hiyo hiyo bc mzee usingebaki...tangu siku unahama.

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 5 лет назад +1

      Toka enzi za Nyerere wewe haukubaliki. Ulijinyea enze za Malimu sembuse leo hii. Tabia za Kimalaya Malaya tu.

    • @magwinaalimasi505
      @magwinaalimasi505 5 лет назад

      Kinanda Mahaza du

    • @marthakambona4809
      @marthakambona4809 5 лет назад

      Ndo siasa hizo baba ahukumiwi mtu hapo

  • @omarykinyama8044
    @omarykinyama8044 5 лет назад

    Kwel siasa ni siasan uyo polepole alisem lowasa alikuwa sio mwadilifu leo wapo wote

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 лет назад +1

    Rafiki anatetemeka mwacheni anaumwa msimtaabishe kwa maneno

  • @sir.josephmbeya7017
    @sir.josephmbeya7017 5 лет назад

    Kwajinsi polepole alivyo kuchambuwa na ccm kwa ujumla sasa nimezidi kuamini ccm ahina NIA NJEMA bali ni boroja za kuendelea kukandamiza wanyonge.

  • @danielnjau372
    @danielnjau372 5 лет назад

    Kweli wewe sio mwaminifu kura milioni sita unageuka wananchi .kweli

  • @terrylowery910
    @terrylowery910 5 лет назад

    wabunge mazezeta wamejaa ccm chadema hakuna lofa najua njaa lowasa ila washaulin vingozi nchi haijengwi kwa lisasi pumbavu

  • @thabitmohamed8744
    @thabitmohamed8744 5 лет назад

    Hukurudi kwa upendo wa chama ila ulishawashiwa,umalaya

  • @yusufmdoe4384
    @yusufmdoe4384 5 лет назад

    Chefu

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 5 лет назад

    Nenda kafanye toba achana na siasa

  • @hurumamwakiluma5485
    @hurumamwakiluma5485 5 лет назад

    Iam Mwakiluma I will Be Me Forever.

  • @annamdedeannamdede6404
    @annamdedeannamdede6404 5 лет назад

    We mzee ni kama baamed tu kesho analala na huyu kesho na huyu

  • @jofreyisack7382
    @jofreyisack7382 5 лет назад

    Wanaosema nywere nyeupe ni busara ni uongo sio kwel zingine ni upungufu wa homon

  • @ameirameir4930
    @ameirameir4930 5 лет назад +3

    Wewe ndie kiongoz unaejielewa unahitaj kuona maendeleo sio maneno pumba ya wapinzani majukwaani

  • @greyfive_tzt3861
    @greyfive_tzt3861 5 лет назад

    Nenda zako huko unatamaa ya madalaka hufai tena sikupendi tena!

  • @Wastara001
    @Wastara001 5 лет назад

    lowasa ameona mbele. amejua kuwa iwapo atapata kiti cha urais, hadi 2035. kwa hivyo acha ale mafao yake ya uwaziri mkuu.

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 5 лет назад +3

    Magufuli ni visionary leader. Msiniwekee maneno mdomoni. Ubaguzi wa aina zote tuache. Mungu akubariki kwa busara mzee wetu.

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 5 лет назад

    sina chama lakin uyu baba ni mpumbavu borq angetulia na familia yake kuliko kuhangaika na masaisa

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 лет назад +7

    Malaya wewe mzee mala huku mala kule.

  • @umarsaid9912
    @umarsaid9912 5 лет назад

    Lowasa weee

  • @nichummputo516
    @nichummputo516 5 лет назад

    Acha unafki wee mzee

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 5 лет назад

    Mzee mm ataka ule mkakati wako wa kuwatetea masheikh uuendeleze.. sasa naamini huko ulipo sasa ni rahisi kueza kuwatetea.

  • @deoshine777
    @deoshine777 5 лет назад +1

    wewe mzee mungu apendi kauli zako utaenda kujibu mini ukifika uko

    • @bekaamezzy742
      @bekaamezzy742 5 лет назад

      Deo Shine kwan ww ukienda uko utajbu nn

    • @badenbensoni7516
      @badenbensoni7516 5 лет назад

      Deo Shine, makandokando ya ufisadi umeyasafisha?

  • @frankafraelpallangyo1644
    @frankafraelpallangyo1644 5 лет назад

    mzee unamalizia kwa ahibu 7bu ya tamaa zako