Kinana Afunguka Maridhiano CCM na CHADEMA: 400 Waliachiwa, Ruzuku Bilioni 2.7, Kesi 9 Zilimalizwa.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 16

  • @johnkitoka9632
    @johnkitoka9632 9 месяцев назад +4

    Hivi hawa wazee huwa wana akili au wanajua wanaongea nini??...mara nyingine naelewa kwanini Magufuli alikuwa anawashughulikia.

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 9 месяцев назад +2

    Hivi Kinana bado uko madarakani ? Daah ! hakiamungu hii nchi ndio mana imechakaa, sasa mtu kama huyu jamani ataleta jipya Gani la kuipeleka nchi mbele ? Yaani mama mizigo yote ambayo mzee baba JPM' aliipiga chini mama ameirudisha sasa unategemea nini ? - RIP. JPM.

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 9 месяцев назад +2

    Hii haiwezi kuwa dawa dawa ni malidhiano kama yatashindikana hiii kitu itakuwa mbaya sana huko mbele ya safari

  • @immanuelinvocavith1498
    @immanuelinvocavith1498 9 месяцев назад +2

    Utengeneze tatizo na unajua ulichofanya makusudi halafu unataka mtu aje akueleze tatizo ulilolifanya makusidi

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 9 месяцев назад +1

    Mzee rais siyo Mungu ya unapiga watu unanyanyaza watu unapoteza watu alfu unaona uko sawa

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx 9 месяцев назад

    Mzee kinana Mungu anakuona Acha kunugunika Rais kafanya vizuri tuambie wa chadema si Watanzania? ccm niwatanzania . Mungu akusamehe.

  • @SelfathumanMisere-te6kg
    @SelfathumanMisere-te6kg 9 месяцев назад

    Mimi sijajua maoni gani kwa serikali ya ccm iliwahi kukubaliana na maoni ya wananchi naomba munijibu watz wenzangu

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 9 месяцев назад

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 9 месяцев назад

    Mzee please siasa hizi hazikufai. Kuwa mkweli na Mungu anasikia.

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 9 месяцев назад

    Sasa Mzee kinana kama Raisi anaweza kupuuza Sheria huoni kama ni muda umefika wa kubadilisha katiba. Maana ata wee kipindi Cha mwendazake ulipata shida sana ila umeshasahau duu😮😮😮

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 9 месяцев назад

    Hivi Kinana kama umechoka acha kuropoka ropoka na nyie mnao elezwa maneno haya akili zenu kama zina ukakasi bado.mmejifunika blangeti la kudanganywa kama watoto wadogo mkimaliza mnapewa elfu sita safi sana

  • @HemediHemedimikole-ez8lc
    @HemediHemedimikole-ez8lc 8 месяцев назад

    Tumewachoka ccm inch imewashinda waachen na wenzenu waongoze hii nchi ya wote sio ya ccm

  • @burtonmwashubila1968
    @burtonmwashubila1968 9 месяцев назад

    Hivi kama mtu una njaa, anakuja mtu aliyeshiba na anajua una njaa, halafu anakuuliza , " una njaa" anategemea umjibu Nini?