Ama kweli kama kuna mojawepo ya wasanii wakongwe wa Bongo naowadhamini kwa sana mojawao atakuwa huyu Temba. hii nyimbo naikumbuka vizuri tu, nikiwa pale Primary School, nilipenda saana kusikiza nyimbo hii. Hivi Temba kapotelea wapiii?
Majani still the best hawa chokoraa wengine wana copy paste na Ku sample beat za watu old producers had limited equipments and they still made it big up majani without forgetting mika mwamba
Collabo ya Mh Temba na Q chilla 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯 Raspeka from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimeacha comment ndio mtu aki like napata notification Naja kuskiza huu wimbo...
Hii ngoma bado ni kali kuliko ngoma nyingi za siku hizi. The beats, rap, vocals. Love from kenya
nice beat vocal rap amaizing sijui walitumia kitu gan cha tofauti we sayy living song
Mweshimiwa Temba is one of my big stars in bongo, now hii sasa ndo bongo halisi watu wangu 🇰🇪
Watching from Dubai.. Old is gold it's 2024
Hii Ni Goma Kali Sanaaaa weh hata usiseme
Dahh home kipind hicho sin hta familia sas hv nimeoa na na watoto4 dahhh long time aisseeeee miak inatembeaa
2024
Still listening 🎧
Temba 🔥🔥🔥
Ameua Io Beat
Whoever did this beat... Dope!
P Funck Majani
".....Mara akageuka Rashidi, ikabidi Side atoke guest uchi" hio line hinikill all the time. 😂😂😂
Mimi line yakugeuka ngamia inanibowa kama live kabsa kukula kama sombe sombe ❤
Sema wa zamani tumefaidi sana mziki mzuri aisee.
2019, na bado huu wimbo ni baadhi ya zile nyimbo za bongo sitawahi acha kusikiza.
If you mention Tanzania to me.I first think of the great TEMBA.....!!!You just can't hate this guy......!!!
Chris Sunday true
Chris Sunday amekomaa kwer
One of the best song ever🙌🙌🙌
The pure Bongo flava🇹🇿
Nyimbo ihi kama jana kabsa
Dah jmn ❤ kitambo san
Ama kweli kama kuna mojawepo ya wasanii wakongwe wa Bongo naowadhamini kwa sana mojawao atakuwa huyu Temba. hii nyimbo naikumbuka vizuri tu, nikiwa pale Primary School, nilipenda saana kusikiza nyimbo hii. Hivi Temba kapotelea wapiii?
Enzi sana
Zamani beat kali, verse kali
Nani anakubali hii vibe kali
Majani still the best hawa chokoraa wengine wana copy paste na Ku sample beat za watu old producers had limited equipments and they still made it big up majani without forgetting mika mwamba
Bror This Song Imepikwa na Master Jay
Mj Records (2006)
Na sio Majani
MJ Records io
Ukweli kabisa. Majani na p funk
@@chotarawakingoni8148 beat ni majani
Ma2mizi yake kwa siku yanazidi laki😀😀😀😀 2018/September
Hii goma linanikumbusha chuo cha cha ufundi veta tanga 2005.....2006 boding tulikua tuligonga sana enzi hizo
2019-04-21 gonga like twende p1
Mmh p funk umetishaa mzee
Sio Majani hii nyimbo Imepikwa
MJ RECORDs (2006) na Master Jay
Daaaaah huyo side 2019
nice kaka?
Majani ni noma aiseeee!
No sio majani ni Master J, MJ RECORD
@@danielmathias160 bro fatilia vizuri hii beat aligongo majani
@@silvanandezherman7362BEAT YA MASTER JAY Hii Ndani ya MJ RECORDs na ipo kwenye Album ya PAMOJA NDANI YA GAME..!
Back in the days. Q chilla kwa corus alikuwa anatisha
Dah indeed Old is Gold... huu wimbo hatari sana. Enzi izoooo
Hata sasa
Japo huu wimbo hauna video hadi leo kama wimbo wa taifa ila bado tunaucheki 2020 na hii corona📣📣📣📣📣
Love this song respect to you mh.temba
Side mnyamwezi Heshima zako mh temba ft Qchila leo tr7-11-2020 mungu asante kwa afya na uzima unao endelea kunipa
I Love this gai:100℅🇿🇲
Mzee wa kibosi bosi.
September 2019 I still listening to this song of all the time
MHemishimiwa Temba
2020 Corona deh!...Bongo original
This is the original bongo flavor
Straight up nigga point taken booom
Mj records master j ni fund
Album ya PAMOJA NDANI YA GAME ndio unakutana na hii ngoma ikipigwa MJ RECORDs na MASTER JAY. Baada ya hapo akastaafu mziki
a nyc one from temba and q chief
Sichoki kuskiza nyimbo za mh temba nazizimia kinoma
+2540721981078
You can not hate this song
Qchillah we wajua kaka saut hatar
Old is GOLD
Heat
Noma kilo kumi
enzi hizo wimbo mtamu
2023 nmekuj kumskiliza mh temba hili dude duuuuuhh
Dah! Mh,Temba where are you my friend? I'misng your song
Dar watu waivi we jaa kichiz
Wakati huo nipo Ziwani primary School
13 years now but still good music bt sahii bongo Flava imekua kama bongo movie
best Heavy beat ever
2019 twende sawa
Demu popote utakapo mfikisha lazima atalianzisha... wah temba achana nae.
This was the real bongo fleva
M.h temba....amekomaaa
Old is gold
Kweli
2020 🦅🦅🦅🦅
Side kama side😄😄
tembaa ni mzito kamakawa
Wow izo nyakati
amekoma kikweli....
2018 bado inapigwa
2019 Bado Inapigwa🔥
Anayoyafany jamaa nahic ametmwa na shetan amekma 2018november
Majani hvyo vinanda ni hatari
Mtu aminya kinanda mpka heshima
Sio Majani hii nyimbo ni Imepikwa
MJ RECORDs na Master Jay 2006
2020 nakubali aisee
2020 bado ni dude tuu
"Akang'oa shoga akenda kula kiboga bila uoga"
Lo zama zileee
2019???
Beat inasound poa sana kwa home theatre
2021 Kenya. Bongo love
beat✋️
Heshima kwko majaneee
2020🔥🔥🔥🔥
majani noma asee
Sio Majani kaka
Hii nyimbo Imepikwa na Master Jay
Mi Records 2006
temba now anacheza kikapu tu mzk umeshamshinda
2021 October, still ✅✅✅✅
2024❤
I'm here in 2021,who is listening to this now
Niko hapa 17Oct2024-------->
Side alikoma aisee balaa
hawa ndo walikuwa wasanii sasa
2020 niko hapa
2022🎉❤
Wapi Video kamili ya wimbo huu!
Did Mheshimiwa Temba ever release it.
2020
Huyu Side Kweli Ni Fisi, Anapita Mpaka Na Mtoto Wa Dadake(His Niece)... Wah! 😂😂😂
@Mo Jamal hahahaha...watu kama awa wapo wengi saana cku izi ila wajua kiama kinakuja
😂😂😂
Pepo iliyomuadhiri Sidi imenipata pia, lakini nitakoma kweli?
Hii beat ilikuwa ya majani ama vipi?
No under Master J, MJ RECORD
Majanii mzee mm pia nilikua nafikiri kagonga master j ila kwa kinywa cha tembe mwenyewe alisema kangonga p funk
2021
this song doesn't have a video?
Lots of guys have that behavior
2020 twenzetu
30.04.2020
04/12/2022
🇧🇮🇧🇮🎺🎵🎺🎻🎤🎶
majani noma asee