UTAJIRI WA CLAM VEVO UNATISHA, KIJANA MDOGO PESA NYINGI, NDIE MRITHI WA KANUMBA ?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 июн 2023

Комментарии • 626

  • @cathyrobert6501
    @cathyrobert6501 11 месяцев назад +78

    Clam uko na roho ya kusaidia sana ndugu yangu, naomba Kama unaweza nisaidia maana Mimi ni mwimbaji wa gospel ambaye nimekwama kuendelea kurecord nyimbo juu ya kukosa pesa

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 10 месяцев назад +10

      Si ungeenda Makanisani ndg yangu wakafanya harambee? Ama ukaenda kumuona GeorDavi wa Arusha ambaye kazi yako ina mafundisho yanayo fanya na huduma zake?

    • @SAYFANMUSSA
      @SAYFANMUSSA 10 месяцев назад +4

      Yani watuwengine bwana🤣

    • @NsimbalugobiNdali-ty9ed
      @NsimbalugobiNdali-ty9ed 10 месяцев назад +2

      Cramu mm naomba unisaidie

    • @barnabarmwinuka721
      @barnabarmwinuka721 10 месяцев назад

      😅@@manilabonalumanula9210

    • @HadijaIssa-bu4ry
      @HadijaIssa-bu4ry 10 месяцев назад +2

      Makubwa haya kuna watu wanauhitaji mno siuwende makanisan

  • @shabanjuma7102
    @shabanjuma7102 11 месяцев назад +70

    Twende mbele turudi nyuma clam anajua sana na huko mbeleni wenye wivu wataanza kusema kuwa ni freemason

    • @Lil_Drake873
      @Lil_Drake873 11 месяцев назад +5

      Inawezekana basi nawewe ni mwanamemba wa Freemason 😅😅😅 ndo mana unamteteya search on google how many views is $1 on RUclips 😅😅😅 you’ll see the truth 😅😅😅😅

    • @elizabethkinyua5823
      @elizabethkinyua5823 11 месяцев назад +1

      Ukweli mtupu kabisaaaa,,,watasema Tu ni freemason,,waone watu WA wivu,,,,,😓😓

    • @Lil_Drake873
      @Lil_Drake873 11 месяцев назад +1

      @@elizabethkinyua5823 I live in USA 🇺🇸

    • @davidmangi3827
      @davidmangi3827 11 месяцев назад +3

      Kuwa freemason ni jambo la kawaida tu sasa hivi kama vile unavyoona watu kanisana au mskitini

    • @elizabethkinyua5823
      @elizabethkinyua5823 11 месяцев назад +1

      @@davidmangi3827 waaah ¡!kweli?? Apana,, usifananishe mambo ya freemasons na ya ndini bwana😓😓

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu 3 месяца назад +2

    Clamvevo u r so talented and keep the up the good work, napenda vile huwa unamweka Mungu mbele uko na utu na heshima na pia roho ya kusaidia barikiwa sana🙏🙏🙏naweza tembea Tz juu yako❤❤❤

  • @jacklinenoballa8946
    @jacklinenoballa8946 8 месяцев назад +10

    Mm namuombea huyu kijana sana kule aliko toka nimbali wasio mjuwa watasema mabaya ila mungu ni mwema 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤❤❤

  • @atibosumail7568
    @atibosumail7568 11 месяцев назад +59

    Namkubali sana mwamba sema tunawomba muendelezo wa big boss sehemo ya 5 kwenda mbele

    • @borntown6945
      @borntown6945 11 месяцев назад +1

      kalazwa nje na mama

  • @auntrich5016
    @auntrich5016 11 месяцев назад +28

    Nmependa unaongea vizur hautafuni majojo kama hao wapuuzi
    Pili hauchanganyi kingereza humo ndani safi unakitu utafika mbali

  • @ibutilehyila9146
    @ibutilehyila9146 9 месяцев назад +6

    Kazi nzuri sana Clam ILA acha kuonyesha pesa hadharani na usijitape kipesa utaisha mapema otherwise kazi nzuri tena👏👏👏🎊🎊🎊

  • @ShakiraMussa-rt6vu
    @ShakiraMussa-rt6vu 23 дня назад +1

    Clam allah akutangulie kwa kazi yako niyaviwango vyote baba mama mtoto wote wanaangalia bila tatizo .nakupenda saana

  • @JosephHancen
    @JosephHancen 5 месяцев назад +3

    Bro nakupenda sana, yani nakukubari , nazikubari swaga zako , yani napenda izo sera zako . Ira kinachonitatiza nikwamba kwanini wewe ufanane na mimi yani kivipi? mimi sielewi yani.

  • @mammyiddah1685
    @mammyiddah1685 6 месяцев назад +9

    You deserve it clam,enjoy your life

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 11 месяцев назад +24

    Hongera sana VEVO unajua 🎉

  • @user-cf5bv2yq6n
    @user-cf5bv2yq6n 10 месяцев назад +12

    Ni kweli Clam ni bonge la Artist 🎉But sister punguza uchawa !!

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 11 месяцев назад +8

    Woyoooo kofiaaa kaivuaaaaaaa weweee hapo mtangazaj umenikosha! Yani dem Bomba kabisa mtt mzur ila ile kofia hapana silipendi 👏👏👏👏👏👏

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 11 месяцев назад +22

    Handsome Clamo Mola aendelee kukulipa maishani

  • @WalesDastan
    @WalesDastan 11 месяцев назад +4

    Acha ale matunda yake vijana tuna takiwa tujitahidi kutafuta ili nasi tupate clam alianza kama mjinga lkn alikaza mpaka sasa yupo juu anakula matunda yake tusibweteke vijana tutapambane good life broo clam

  • @gentilleamin2974
    @gentilleamin2974 8 месяцев назад +3

    Mungu akushindiye akucunge sana wanadamu siwazuli niwenyewivu wana anza kusema uko kanumba wanatamuuwa? Waendekule mimi napendasana clam vevo ananiflahisha sana

  • @jonahjackson2593
    @jonahjackson2593 9 месяцев назад +3

    Banah me nakupa big up sana kamanda japo wengi watasema
    Mabaya Juu yako

  • @lilymbiva9998
    @lilymbiva9998 8 месяцев назад +3

    hio Movie ya big boss skua naiamini cz nilidhani utakua na ile mchezo yako ya ticktock kuuumbe ni nzuuri ivoo congrats bro🥰🥰🥰🥰

  • @user-ll9pq3pk1w
    @user-ll9pq3pk1w 11 месяцев назад +12

    Clam unajuwa sana mungu akubariki

  • @mwikalimusili4452
    @mwikalimusili4452 6 месяцев назад +1

    Congratulations clam🙏🙏may God bless you and we are waiting for you kenya

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 11 месяцев назад +22

    Anafanya kazi kwa bidii kupata pesa kawaida....anapaswa kufanikiwa zaidi hapo

  • @user-jh6ov6jg2r
    @user-jh6ov6jg2r 9 месяцев назад +3

    Sawa hongera yako uko vizuri ongeza zaidi nazaidi tena

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +18

    Nimekuwa wa kwnz leo nakukubali sana clam👏👏👏

  • @user-el9rg9kq8m
    @user-el9rg9kq8m 11 месяцев назад +13

    Clam ishi na huyo mtoto yko poa ,sana❤

  • @user-ir3by6rx4c
    @user-ir3by6rx4c 11 месяцев назад +6

    Congratulations to clam vevo , He always make me to😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😆😆😆😆😆

  • @DenisChacha-se8nm
    @DenisChacha-se8nm 10 месяцев назад +4

    Big up clam VEVO,,, nakuamini na kukutolea kofia uko sawa keep it up ❤

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 11 месяцев назад +26

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉 nakubali kazi yako vevo tunaomba muendelez wa big boss❤❤❤❤

  • @shahazadlovelymarshal178
    @shahazadlovelymarshal178 11 месяцев назад +6

    Napenda chapati na maharage🤣🤣naeda nyumbani 🤣🤣big up from saudi

    • @chichiKapiesh-kj8fw
      @chichiKapiesh-kj8fw 10 месяцев назад +1

      Kube tuko wengi tunaumia wi-fi ya waiguru vizuri😂😂😂😂

  • @lewismwiti2048
    @lewismwiti2048 10 месяцев назад +1

    I'm from Kenya 🇰🇪 bat l like vevo god bless you bro

  • @musanestory4410
    @musanestory4410 11 месяцев назад +15

    Uko vzur clam nakuomba ukaze usibweteke na utafka mbal sana!

  • @tsumiduwe1406
    @tsumiduwe1406 11 месяцев назад +18

    CLAM THIS MAN HI IS VERY SPECIAL

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 11 месяцев назад +14

    Mwanangu nakukubar sana ila kuonyesha hivyo vi noti umezngua umeonekana MSHAMBAAAAA

  • @carolinejuma7191
    @carolinejuma7191 6 месяцев назад +1

    Clam big boss big up bro much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 11 месяцев назад +6

    Heeeee kijana wa. Juzi tu huyu akamilik Mali zote hiz awashinde waanzilish heee soon tu msje shangaa mkaambiwa mwamba FREEMASON

  • @user-sc1pv6wq7d
    @user-sc1pv6wq7d 8 месяцев назад +4

    Big up brother unaweza❤❤

  • @ellymtz6886
    @ellymtz6886 11 месяцев назад +7

    Big up mwamba unajua..🙋

  • @user-fx5ww4lo2x
    @user-fx5ww4lo2x 6 месяцев назад +1

    Wonderfully artist clam

  • @Dapeopletz7
    @Dapeopletz7 11 месяцев назад +5

    Mdogo wng unapaswa kufanikiwa Sana umepambana kitambo tangu enzi zile unachukua Crip mtongani pale kwa cm

  • @merinaemmanuel3593
    @merinaemmanuel3593 9 месяцев назад +10

    Big up Clam.

  • @elizabethkinyua5823
    @elizabethkinyua5823 11 месяцев назад +4

    Clam wachana na watu ,, watching from Kenya,, ukitajirika watasema ni ushirikina,, ukiwa masikini, wanasema umerogwa ,,watu walimshida Musa ,,

  • @user-lm1xs3rr6u
    @user-lm1xs3rr6u 9 месяцев назад +3

    Clam mungu akubariki uzidi kufika mbali ❤❤❤🤲

  • @user-wm1dl6zq1f
    @user-wm1dl6zq1f 11 месяцев назад +5

    CLam tunangoja mwendereza big boss 7

  • @EsperanceNzeyimana-wu8ks
    @EsperanceNzeyimana-wu8ks 11 месяцев назад +18

    Big boss part 5 tunaisubiri

  • @user-xy8vg4wh7i
    @user-xy8vg4wh7i 6 месяцев назад +1

    Cram unaupiga mwing sana ipo siku nitakua levo yako big up man

  • @user-eb7zd5sv2y
    @user-eb7zd5sv2y 11 месяцев назад +4

    Keep up the good work

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 11 месяцев назад +21

    Claim uko na roho safi sana much love from Kenya series zako tunapenda

  • @berthajacob3433
    @berthajacob3433 7 месяцев назад

    wow! clam 😍🥰 U.... unatisha kwa kwel mungu aendelee kukubarki piaa muendelezo wa big boss please 😇

  • @user-ug6jb4gc3x
    @user-ug6jb4gc3x 10 месяцев назад +1

    Clam vevo unatisha kabisa, wewe ni kanumba ajaye bila Shaka😊😊😍😍😍🥰🥰🥰

  • @polepoletv666
    @polepoletv666 11 месяцев назад +3

    Nampenda sana I'm ur fan kutoka Rwanda Kigali ❤❤

  • @johnchitete
    @johnchitete 11 месяцев назад +5

    I like the journalist 🥰

    • @joshuamuro9494
      @joshuamuro9494 11 месяцев назад

      She knows so much,, I wish one day she will be employed at big station brand

  • @denotheactor
    @denotheactor 11 месяцев назад +5

    Nice content 🥰

  • @honestmasawe5853
    @honestmasawe5853 10 месяцев назад +1

    Dada unaweza sanaa huchanganyi na kiingereza utafka mbali

  • @SirAlube-ik6jf
    @SirAlube-ik6jf 7 месяцев назад +1

    Clam big up sana watching from kenya nakupenda sana

  • @patrickosambula9377
    @patrickosambula9377 11 месяцев назад +5

    Napenda clam Sana, napenda vituko zake

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 11 месяцев назад +4

    Nakushauri kaka clam usipende kutaja hela unazotembeya nazo kaka ni husda

  • @johnmaky9383
    @johnmaky9383 Месяц назад

    Le monsieur en question se colle STEVE KANUMBA courage monsieur

  • @Mjzanzibarstory
    @Mjzanzibarstory 10 месяцев назад +1

    mm nimemkubali sana Sister mtangazaji et karembo

  • @vedastinawillium4458
    @vedastinawillium4458 5 месяцев назад

    Upo vizur sana ...Mungu akusaidie ufike unapotak kufika, ila mi ni shabki yako tangu unatengeneza love story km wanafunzi.

  • @bramwelsituma6375
    @bramwelsituma6375 10 месяцев назад +1

    Clam hongera ,,,good job.

  • @user-kp9sf9pj5v
    @user-kp9sf9pj5v 9 месяцев назад +1

    Kaka yup vzur kiukwel Mungu akufkixhe mbali

  • @zuhrakhamis6508
    @zuhrakhamis6508 6 месяцев назад

    Mashaallh mungu akuzidishie tunakupenda😊

  • @HasanHamadi-cg5kw
    @HasanHamadi-cg5kw 9 месяцев назад +2

    Oi kaka nakubali sana BIG BOSS

  • @asfdfarfe9588
    @asfdfarfe9588 11 месяцев назад +7

    Big boss mashalla mungu akubariki sn ❤

    • @MwanaiddMasoud-qk4hb
      @MwanaiddMasoud-qk4hb 10 месяцев назад

      Wèw mja usije ukaigia kweye utajili wa majini utajipoiteze sana maana uanaza kama kanumba Sasa utawatesa wazazi wako wew

  • @user-mc9mk9kp5q
    @user-mc9mk9kp5q 11 месяцев назад +1

    Kaka tuna suburi Big Boss kk

  • @user-li5ol8yo5l
    @user-li5ol8yo5l 5 месяцев назад +2

    Congratulations 👏👏👏

  • @sobanukirwaibyoutaruzi
    @sobanukirwaibyoutaruzi 11 месяцев назад +5

    😂😂naenda nyumbanii😂😂,sija pendaa😂clam number uno🇷🇼

  • @issakellykalonji6059
    @issakellykalonji6059 8 месяцев назад +2

    SEMA CLAM ANAJIKUTA MO 🤣😂😂😂 DAAAH UNYAMA MZEE WANGU PIGA PESA ACHA KUBISHANA NA WATOTO WADOGO

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 11 месяцев назад +2

    Nmkubali saaana mwanangu huyu jmn 😂wakenya wapi like zangu kwa clam mwenye wivu aseme n freemason maumbea nyinyi

  • @PaulIzaki
    @PaulIzaki 11 месяцев назад +11

    pambana kaka maisha ni kupambania siyo kuchesea

  • @WillyWillyTZ-kw5ff
    @WillyWillyTZ-kw5ff 11 месяцев назад +3

    Hakika huyu no kanumba ajae cyo pw🤝👊👊

  • @Kid4reign
    @Kid4reign 9 месяцев назад +2

    If you know you know

  • @user-sx2cm2kk8z
    @user-sx2cm2kk8z 9 месяцев назад +2

    clamu nakupenda sana ,nisaidiye namimi nicheze nawewe nisaidiye

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 11 месяцев назад +5

    Clam ww unajua sana ,hongeza bidii zaid na endelea kuwabunifu hvo hvo

    • @MhagamaShadrack-bk2ll
      @MhagamaShadrack-bk2ll 2 месяца назад

      ❤❤ hizo pesa jaman mungu wangu. Sijawai kushika dollar. by ashura

  • @pittypritty3094
    @pittypritty3094 6 месяцев назад +1

    Mimi naomba anigaiye maana katika hao wanaotaka kupewa misaada mimi namba moja clam vevo jaman😢

  • @germainnonstressbahati
    @germainnonstressbahati 11 месяцев назад

    Good bleS you m'y best Star game boy

  • @especherathuman2693
    @especherathuman2693 5 месяцев назад +1

    Nakupenda saana clam❤❤❤ ufanikiwe uje unioe bebe

  • @FaithWawira-zq4eb
    @FaithWawira-zq4eb Месяц назад

    Napenda unavyojituma kibroo,,na muendeleze BIGBOSS!

  • @VerohKavata
    @VerohKavata 11 месяцев назад +2

    Congratulations bro

  • @SAIMONNDILA
    @SAIMONNDILA 5 месяцев назад

    I clam unafanya vizuri Sana mungu akutangulie ila Kama kweri unasaidia nisaidie namimi ata pesa kidogo Mimi shabikiyako Niko Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮napenda Sana kazi yako.

    • @philimonkitosi8604
      @philimonkitosi8604 5 месяцев назад

      Acheni umasikini wakuomba pesa yamwezako tafuteni zakwenu

  • @CarolineMbuwa-fk2zs
    @CarolineMbuwa-fk2zs 11 месяцев назад

    Hi 5 from this side 🇰🇪🇰🇪 tunakutabua clam

  • @user-jn2gu6hq5o
    @user-jn2gu6hq5o 7 месяцев назад

    Unaweza vevo mungu akulinde🎉🎉

  • @DanieliPhiri
    @DanieliPhiri 11 месяцев назад +3

    Clam vevo big up bro

  • @KennethNtongai
    @KennethNtongai Месяц назад

    Vip Kaka Niko najua pia kuigiza sna naomba tufanye kolabu

  • @Florisvevo
    @Florisvevo 10 месяцев назад +1

    Amjambo clam Vevo mimi nimuigizaji kutoka Congo pa Bukavu namalengo kwako baba naomba musaadawako

  • @BrianWaynma
    @BrianWaynma 5 месяцев назад

    Clam my God protect you we are waiting for you in Uganda

  • @saidinsengiyumva3221
    @saidinsengiyumva3221 11 месяцев назад +3

    Umeweza san clamu❤️❤️❤️❤️

  • @KylianCharles
    @KylianCharles Месяц назад

    Clam unatupa amasa vijana kiukweli so never give up everything is possible just a believe in yourself

  • @Clemenceamisi-zy1oy
    @Clemenceamisi-zy1oy 7 месяцев назад +1

    Clam umetisha da unafanya vizuri

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 11 месяцев назад +3

    Mm namkubali sana nishai anapesa lakin hayko ka

  • @rehemarehemamasond-et3jw
    @rehemarehemamasond-et3jw 10 месяцев назад +1

    Clam mungu akuzidishia

  • @Thomassupirior-yi6cv
    @Thomassupirior-yi6cv 11 месяцев назад +1

    Clam hongera boss mwili mdongo hakili ndog chapati namaharang nyingi pes ndo usisem type sehem ya 5 naipend mbwa wew

  • @user-tx1jf1nl3z
    @user-tx1jf1nl3z 11 месяцев назад +2

    Big up broo Clam

  • @mattarmattar3026
    @mattarmattar3026 11 месяцев назад +21

    Kanifurahisha Sana huyu dada muandishi maana kauzu amemlazimisha huyu kaka jawabu ya kushirikiana mpaka nae kajibu vile anataka eheee ndioooo!

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 11 месяцев назад +6

    Kabisaaa clam ww sio comedian nakukubar sana kaka clam much❤❤❤

  • @user-jm8qn4ws3r
    @user-jm8qn4ws3r 9 месяцев назад +1

    Ongera sana blaz

  • @NikorasSamweli
    @NikorasSamweli 11 месяцев назад +3

    Big boss imefunika sana napiya ndani yake kuna watu wanapese sana bali hawajali nduguzao kwanye tatizo lolot

  • @yohanamangela7836
    @yohanamangela7836 11 месяцев назад +1

    Ongera sana napenda sana video zako

  • @user-zr2yz6qg1f
    @user-zr2yz6qg1f 11 месяцев назад +1

    Uo ni ushamba kuonyesha hela kumiliki gari so kutoboa njooni zenji bc km kumiliki gr haria ya 16 et 35 dadeki za hzo za uso au ndo utanganyika zaid

  • @EricSmith-fx5mo
    @EricSmith-fx5mo 11 месяцев назад +1

    Big up man.

  • @AnwaryMayaya-xu2zq
    @AnwaryMayaya-xu2zq 8 месяцев назад +1

    dada nae anajua kinyama big up