PART15:NGARAMBE MSUKULE MFU ALIE HAI MAREHEMU MWENYE KABURI 2 ALIETOLEWA MSUKULE/NIMEOA MAJINI 3/ROG

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии •

  • @jamalmohamed8195
    @jamalmohamed8195 3 года назад +3

    Pia Davista Elim Unayo Itoa Ni Elim Ambayo Huwez Ipata Sehem Yoyote Na Ni Elim Ya Kijamii Ambayo Ni Bora Kuliko Hat Ya Darasan Big Up Sana

  • @esthermaluko5621
    @esthermaluko5621 3 года назад

    Wa Congo tuna roho nzuri sana yessss 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 года назад

    Davistar kuna watu ambao wanajuwa Mungu na wenye hofu yake Mungu alafu wana ma bus chungu nzima yakwenda mikowa tofauti nahinsi ukiwajuwa na kuwafuata wanaweza kukusaidia kwenye usafiri wako ajiri ya kazi zako
    Ila huyo ni mtazamo wangu tu

  • @happynesskimt6249
    @happynesskimt6249 3 года назад

    Uwiiiiii mwenyezi mungu atunusuru na shiriki

  • @saidmohamed9627
    @saidmohamed9627 3 года назад

    Hahahaa huyu jamaa maneno yake yananifurahisha sana et WAGAVINGA.

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 года назад +2

    Ngarambe jirekebishee yaan hakuna office itakayo kuajir kwa tabia zako

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 года назад +1

    Story nzuri sana ✨

  • @jumachipangula355
    @jumachipangula355 3 года назад +6

    Kusini wako njema Mimi shuhuda nimelogwa tangu Agost 2012 mpk leo bado nateseka, nimepita kwa waganga zaidi 39. Nimekutana na vitu vya ajabu mitihani mingi sana mpk leo bado napitia. Bora ukutane na Simba au jambazi kuliko MCHAWI.

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      Pole unasumbuliwa na nini

    • @jumachipangula355
      @jumachipangula355 3 года назад +1

      ally nikupe tu chanzo, niliuwa nyoka mwekundu chumban kwangu mwaka 2012 sosi lilianzia hapo mpk leo niko kitandan, pia natembea na magongo mguu wa kushoto na mkono wake vinauma.

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      @@jumachipangula355 dah pole kipenzi usikate tamaa mungu yupo na wewe upo wapi

    • @jumachipangula355
      @jumachipangula355 3 года назад +1

      ally kwangu kbs newala mtwara, ila kwa niko Dar, unywaji wa miti shamba ulisabisha FIGO zangu kufeli, kwa hiyo napata huduma ya kusafisha damu kwa mfumo wa mashine

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      @@jumachipangula355 pole kipenzi usichoke kumuomba mungu ipo siku ataonyexha wepsi wake

  • @aminaally863
    @aminaally863 3 года назад +1

    Ngarambe boy 👦

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 года назад +1

    Doz iendelehe,more 🔥🔥

  • @abdulbasitsalim6133
    @abdulbasitsalim6133 3 года назад +1

    Amekosea
    Madhabahu ni kibla kwa usahihi zaidi kuliko kasema membari.

  • @kelvndaud5425
    @kelvndaud5425 3 года назад

    Swa swa kk

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 года назад

    Ngarambe msaidizi wa mganga hehehee

  • @azizahamisi7349
    @azizahamisi7349 3 года назад

    Nimekua wa 10 ngarambe boy♥️

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 года назад

    Wa mwisho🥰😍

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 года назад

    Wabongo ndio Asili yao Ahadi nyingi utekelezaji zero

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 года назад

    Tupo brother garambe

  • @tututz100
    @tututz100 3 года назад

    MAJI

  • @jamilarashidi6999
    @jamilarashidi6999 3 года назад +1

    Devi.kunayure.bb.arikuwa.mkimbizi.arifanikiwa.kurudishwa.kwao.tufahamishe.tujue

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  3 года назад +1

      Hajarudi mlimchangia pesa ndogo sana,wewe ulimchangia kiasi gani na ulitumia jina gani ulipotuma muamala wako maana sms zote alizotumia anazo!tuambie

  • @hamadimwinyi2146
    @hamadimwinyi2146 3 года назад

    Bad msuya upo...

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 года назад

    Wa kwanzaaa sekunde 45..
    Mzee mkubwa Ngarambe nakuelewa Sana na story yako.

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 года назад

    MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 года назад

    Ngarambe huyooo au siyo?

  • @credo7837
    @credo7837 3 года назад +1

    Sijachelewaa

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 года назад

    Mimi binafsi nakusapoti kwa kuachia matangazo ad za RUclips , natumia WI-FI .

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 года назад

    😳🇰🇪🇰🇪👍

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 года назад

    Wa13🙏

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 года назад

    Wa mwshoooo

  • @tiffaommy846
    @tiffaommy846 3 года назад

    💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼

  • @rachaelsikolia3432
    @rachaelsikolia3432 3 года назад

    Unampa mganga simu, noma hiyo, waganga maskini tu, hawana lolote,

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 года назад

    Nimewai leo wa 7.twende kazi.

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 года назад +1

    Nikushauli fungua group la WhatsApp davistar partner itakuwa rahisi utuekee link

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 года назад

    Twende sasa

  • @makame3524
    @makame3524 3 года назад

    Et mganga wa skuiz anakunywa mo energy🤣

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 3 года назад

    Wakwanza sekunde ya 9 tu

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад

    Hakuna mandishinya ya bible Luka 36 hiyo ni majengeka 🤣🤣🤣

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 года назад +1

    Baada ya kuishi na mabinti majini wa tatu bado ulikwua tu maskini? Wacha tufanye majengeka

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 года назад

      Tatazo alikuwa anachukuwa mjini masikin yanayofanania na msukule

  • @mustie5891
    @mustie5891 3 года назад

    3:10

  • @credo7837
    @credo7837 3 года назад

    Mzee wa manjegeka

  • @satinotino481
    @satinotino481 3 года назад

    NGARAMBE ILI SWALI NI LAKO,
    NAULIZA KWA SABABU SJUI,, IVI LINDI KUNA KABILA NGAPI? MIE NAJUWA WAMWERA TUU

    • @simbasalumu5394
      @simbasalumu5394 3 года назад

      Lindi Kuna makabila mengi sana. Kumbuka lindi Ina Wilaya kama lindi vijijini, nachingwea, liwale, kilwa (kivinje kipatimo) na ruangwa zote ni Wilaya na zina makabila yake. Lindi pia Kuna wamakomde ambao wanaongea kimakonde Cha Pwani ambacho kinaitwa kimalaba.

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 3 года назад

    Bonge la story