My dear brother mimi ci mtazania, but nakuomba uka ombewe na mtumishi wa Roho na kweli, like pastor Daniel mgogo wakupgoze kwa sala la toba, hizo nukuzi,na balaa sikuodokee or kwa Ngwajima, or Omega church
Ngarambe boy hii story ni nzuri ila umeshindwa kuipangilia jinsi ya adithia au mm ndo sipo makin wadau ila leo tumejua kama davistar msukuma hahahhajaaj
Mtu makini aaah Leo nmejua wewe ni Msukuma. Asante kwa simulizi ya Ngarambe boy. All the way from 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 nikiwakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngarambe Yuko vzr Sana...Mungu amewekeza Amana nyingi ndani yake Ila adui anarefusha njia yake.Huu Ni mgodi unaotembea YESU akufanyie wepesi ngarambe🙏
Yesu au mungu?
Ngarambe boy njana na leo bro
My dear brother mimi ci mtazania, but nakuomba uka ombewe na mtumishi wa Roho na kweli, like pastor Daniel mgogo wakupgoze kwa sala la toba, hizo nukuzi,na balaa sikuodokee or kwa Ngwajima, or Omega church
Muendelezo please asee katika story zote hii kali nimeipenda kweli ubalikiwe ngarambe pia poleee kwa ulio petiaa hakika mungu mkubwa
Story nzuri sana ✨
Garambe boooy...
Nimewahi 🏃🏃🏃🏃 Kama naingia lindo la jioni.. 😃😃😃
Davistar kazi yako Ni njema sana👏👏👏👏. MUNGU akubariki mnoo🙏
Ooh kumbe kaka Davister ni msukuma
Ngarambe boy hii story ni nzuri ila umeshindwa kuipangilia jinsi ya adithia au mm ndo sipo makin wadau ila leo tumejua kama davistar msukuma hahahhajaaj
Nangojea Story Ya Davistar Mata 😊
Ningepita na kamera ya Davistar 🙆♀️, uwiiiiii 😅😅 cheu😏😅😅
Wahaya tunaongelewa sana
Twende Kazi
Merci beaucoup mtu makini
Dav umetudanganya we msukuma kweli😜😜😜😜
💃💃💃💃💃nimewai leo.tumesharudi ngende .. 🤣🤣🤣🤣nachingwea kulala na njaa ni kujitakiaaa.twende kazi.
Mtangazaji umenichekesha umepigiwa makofi kwa kuogopwa au 😂
Mm nipo Nachingwea ila mama mchinannamba ameshafariki miaka mingi iliyopita
Duh alikuwa mbabe kweli huyu jaman , alivyo okoka watu walifurah sana
JAMAAA ANA MADINI MENGI AISEE....
Namba 9 leo
Ngalambe umeuliza swali zuri kumuliza dav kabila gani
😂😂😂😂
Inawezekana backgroud yako ndio inayokushushia cv
Kabisaaaa
@@Teacher_01 uzuri wa hiz stry majibu yanakua yapo umo umo, hakuna mtu atakae kuajir tu bila kujua backgroud
Kazi siku hizi ni lazima uwe na godfather mbele kama hamna utakonda bure
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
Naikumbuka iyo ya ya mama chinannamba kumuweka
ndan mumewe🤣🤣🤣🤣🤣
Doz iendelehe
Watching 😊🇰🇪
Escape one
Nimewaziri Number 10 kwa leo 🇰🇪
Story nzuri
Ruangwa haha haha
kwenye mpila umefeli ungea mengine kibaka ww
Mmmmmh
Tupo makini Nairobi Kenya
No 3 ngarambe
Simba naomba msiiogelee kabisa 🤣🤣🤣 muwe na heshima
nipo
✌
Haya twende sasa
😳🇰🇪🇰🇪👍
Wa 3🙏
Davistar nimekusoma ila uwe makini na ngarambe?
😂😂😂😂
Asante
Ngarambe wewe ni mwana yanga tutawanyoosha mpaka mtakubali tu?
Haahhaa Ngarambe boy
Mtata sana
@@fatmamucha4419 yaani balaa
TUKO PAMOJA
Wale wanao fany kazi kwa waarabu leo wako busy kwel😥🤔
Mmmmmh
😂😂😂😂😂
@@aminaally863 kwii nn
@@Teacher_01 🤣🤣🤣
Sio kwel
#MTUMAKINI huyu #NGARAMBE kaacha bangi kweli mana duu hizo akili alizonazo sioni wokovu apo😜😜
😂😂😂😂
@@fatmamucha4419 Yaani kuna mda anataman kumpiga Davistar makofi akiwa anasimlia😁😁😁,,,,kajikaza hatari
@@vaghoghontweki9827 hatar