Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hadi sigaraa inachoma mwili khaa nibalaa sana ngarambe boy mkali mwili chuma
Ngarambe boy mwamba...lakini pia nakuheshimu hujisifii, hata mwamba hukomeshwa. Nakubali bro
Tupo pa moja Davidsta & Ngarambe tupo wote uku katika jiji la Paris 🗼🗼🗼🗼🇨🇱🗼🇨🇱🇹🇿 tunakufatilia uku Bwana Ngarambe Bwana boujour
Story inasikitisha iĺa msimuliaji anachekesha🤣🤣🤣
Nimekufuatilia Ngarambe story zako ziko Vizuri Sana👍Zinachekesha , Mafunzo mengi Majengeka🤣
Babu kama Babu Hoo Kwann ulikuwa unamzingua ngarambe makofi 😂😂😂
Alway from Mandishi Matatu(USA) tuko pamoja sana
Nichukue nije USA🙊😁🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@@myself4128 siku hizi achapi dawa hana. Sasa nahamia kwingine. Pengine kwenye herufi tatu USA
Hahahaha davister umekutana na kiboko
Nakubali NGARAMBE Tuvunjie Nazi tuone
Davista safari hii unacheka hatari 😂😂
Kipara,NambalapalaMneloNditiKwetu huko Ngarambe
😲🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍
Davistat ninastory yangu nitakutafuta insha Allah
Wewe story yako nishajua itakua inahusiana na nn
Davista umevunja kabat. Utu wa mtu kituuu🤣🤣🤣🤣..ngalambe naona lyoi alijaisha kichwani ..
Mbata imekauka we ngalambe utaionea inavunjika kiulaisi.vunja dafu bichi kama utaliweza.
Story nzuri sana ✨
Nipite mimi ngarambe nipo keko hapa
Bado tupo pamoja ngarambe boy
Ngarambeeee unajimwambafai🤣🤣
Ugali wa moto💪💪💪
Davista makujibia swali lako Wakristo hawakamuliwi wanaogeshwa tuu no kukamua
Ni ukweli lakin mbwembwe nyingi ngarambe, 😂😂
Nakumbuk mwaka frani kuna kijana alifariki walidai alizidisha pombe kali kafariki ndugu wakampeleka mochwari asubuhi wakaufate mwili wa ndgu yao wanakuta kicha imepondwa ni hataree walisusa kuchukua mwili kilinuka
Ukiona hivyo ujue usiku alizinduka, wakammalizia! Dr akishaidhinisha kuwa mtu kafa, then akazindukia mochwari ujue hiyo ni kesi kwa Dr!
Nikishaona Manjegeka Makofi
Ngarambe boy 💪🇹🇿🔥
Sheria aiwezi futika akifa alfajir dhuhur anaenda kaburini
Davister leo umecheka mpaka basi
Kwa nini ulikua unazingua ngarambe makofi😂😂😂
Davista Mata DC Mtarajiwa.
Mbona ulipigwa makofi na wanajeshi?
Anachambaaa
You are a Comedian too Mr Ngarambe😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Ngalambe boy🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Hahahaaaa. Et kafunza
Kwenye uislam mpk mtu anasafishwaaa Amemalizwa lazima awe ameshafarikii
Kukafini ni kuvisha sanda sio kukamua kinyesi.
Nilijua tu kumbe yuko nae kafika🤣
Ngarambeee
Davistar sheby alawi yupo wapi mbona kapotea?
Yupo atakuja
MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo
Pamoja wajina
@@fatmamucha4419 Sana tu
Uongopi unasema kweli kabisa alumbugwe angalambe annandema mbalati ino nanmpwenu akuno yo-yo yo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@@pilimusa7770 angalia mbavu zisivunjike my
MTU makini mwambie ngarambe bwana atupe salamu wtu wa uku Paris 🗼🇨🇱🇨🇱 Bwana nasisi tunamuangalia Bwana mtu makini
😄😄😄 sawa
D'accord Davistar 💯💯💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇱🇨🇱je taime Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇨🇱
ngalambe boi
ooo
Manjegeka
Manjegeka..
Baku baku ndio nn🤣🤣
Wallet
Cm kubwa smart phone
Simu kubwa 😃😃
Wa nne
manjegeka
Duuh atari no 1
@@winfredmapunda3604 sanaa
@@winfredmapunda3604 vitu visivyoeleweka vya kuvuruga kichwa.🤣🤣🤣🤣.
Hongera
Davistar kaa mbal na ngalambe ukimkwaza dimbwil lake balaa
Fanya kama unaona mambo ni motooo
@@fatmaalrshdii7615 wajina mm sitojaribu kumuombea ataning'oa meno bure
@@fatmamucha4419 so Meno Tu adi rohoo anaitowa mchana kweupee f
@@fatmaalrshdii7615 duh hatar
@@fatmaalrshdii7615 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kawaaa
Huyoo nimemuwahi
@@credo7837 hahahaha huniwezi wewe
@@mwajumaselemani5370 wakat wew umechelew🤣
@@credo7837 Kashinga mchokoz ww
@@credo7837 wee una 51 hapo mm nina 58 😂😂😂
👉#MTUMAKINI nakumbuka ulipewaga T-SHIRT kama hii alovaa #Ngarambeboi na #Mtimkavu uliipeleka wapi hebu tuambie isje ikawa iliyeyuka😁😁
Umeonaeee
Itakuwa kampa ngalambe a naogopa kuivaa😂😂😂😂
@@fatmaalrshdii7615 Hebu aje atujibu😁😁
@@fatmamucha4419 😁😁😁😁yaani inavofanana hadi nkakumbuka😜
@@vaghoghontweki9827 imefanana sana
Una Mini🥴mh
🤣🤣🤣
Mmh
Hadi sigaraa inachoma mwili khaa nibalaa sana ngarambe boy mkali mwili chuma
Ngarambe boy mwamba...lakini pia nakuheshimu hujisifii, hata mwamba hukomeshwa. Nakubali bro
Tupo pa moja Davidsta & Ngarambe tupo wote uku katika jiji la Paris 🗼🗼🗼🗼🇨🇱🗼🇨🇱🇹🇿 tunakufatilia uku Bwana Ngarambe Bwana boujour
Story inasikitisha iĺa msimuliaji anachekesha🤣🤣🤣
Nimekufuatilia Ngarambe story zako ziko Vizuri Sana👍Zinachekesha , Mafunzo mengi Majengeka🤣
Babu kama Babu
Hoo Kwann ulikuwa unamzingua ngarambe makofi 😂😂😂
Alway from Mandishi Matatu(USA) tuko pamoja sana
Nichukue nije USA🙊😁🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@@myself4128 siku hizi achapi dawa hana. Sasa nahamia kwingine. Pengine kwenye herufi tatu USA
Hahahaha davister umekutana na kiboko
Nakubali NGARAMBE
Tuvunjie Nazi tuone
Davista safari hii unacheka hatari 😂😂
Kipara,
Nambalapala
Mnelo
Nditi
Kwetu huko Ngarambe
😲🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍
Davistat ninastory yangu nitakutafuta insha Allah
Wewe story yako nishajua itakua inahusiana na nn
Davista umevunja kabat. Utu wa mtu kituuu🤣🤣🤣🤣..ngalambe naona lyoi alijaisha kichwani ..
Mbata imekauka we ngalambe utaionea inavunjika kiulaisi.vunja dafu bichi kama utaliweza.
Story nzuri sana ✨
Nipite mimi ngarambe nipo keko hapa
Bado tupo pamoja ngarambe boy
Ngarambeeee unajimwambafai🤣🤣
Ugali wa moto💪💪💪
Davista makujibia swali lako Wakristo hawakamuliwi wanaogeshwa tuu no kukamua
Ni ukweli lakin mbwembwe nyingi ngarambe, 😂😂
Nakumbuk mwaka frani kuna kijana alifariki walidai alizidisha pombe kali kafariki ndugu wakampeleka mochwari asubuhi wakaufate mwili wa ndgu yao wanakuta kicha imepondwa ni hataree walisusa kuchukua mwili kilinuka
Ukiona hivyo ujue usiku alizinduka, wakammalizia! Dr akishaidhinisha kuwa mtu kafa, then akazindukia mochwari ujue hiyo ni kesi kwa Dr!
Nikishaona Manjegeka Makofi
Ngarambe boy 💪🇹🇿🔥
Sheria aiwezi futika akifa alfajir dhuhur anaenda kaburini
Davister leo umecheka mpaka basi
Kwa nini ulikua unazingua ngarambe makofi😂😂😂
Davista Mata DC Mtarajiwa.
Mbona ulipigwa makofi na wanajeshi?
Anachambaaa
You are a Comedian too Mr Ngarambe😂😂😂🇰🇪🇰🇪
Ngalambe boy🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Hahahaaaa. Et kafunza
Kwenye uislam mpk mtu anasafishwaaa
Amemalizwa lazima awe ameshafarikii