Mungu akujalie. Umtumikie Daima Kwa u pole na unyenyekevu. Uwasaidie wengine Kwa upendo kidogo ulichojaaliwa na Mwenyezi Mungu katk uimbaji.Pia Umtumikie ktk Roho na kweli. Karibu Sana Mdogo wangu. nakutakia safari njema ya uimbaji. Songa Mbele usikate tamaa.
Max mashamba ni comrade wa maana Sana kwenye fani ya uimbaji,ni producer mahiri Sana, st.Joseph choir parokia ya bikira maria chunya tunakupongeza na kukumisss Sana, pokea maua yako🌹
Much love dear napenda sana unavoimba, unanipa moyo wa kuimba na kujifunza zaidi na zaidi . Mungu akupe kibali zaidi uzudi kumtumikia kutoka moyoni na katika Roho na kweli. 🥰🥰🥰🥰

Asante sana sana dada angu ❤❤❤❤
Nawapenda❤
Mimi pia natamani sana sana kuwa muimbaji mzuri kama ninyi anaeweza kuniambia nini nifanye ili niimbe vizuri
@@ohmbeauty😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uwe unabana tumbo kwanza ndo unaimba
Max mashamba ni comrade wa maana Sana kwenye fani ya uimbaji,ni producer mahiri Sana, st.Joseph choir parokia ya bikira maria chunya tunakupongeza na kukumisss Sana, pokea maua yako🌹
Karibu sana Kazimoto.
Tutembee pamoja maana safari yetu nimoja.
Mungu atakufikisha unapotamani.kaza Mwendo.
Dada yetu mpendwa 🥰🥰🥰🥰❤❤❤
hongera sana
Very proud of you Jackie!😊❤
And your choir never fails!
😊😊😊 thank you Wifi
Safi sana mdogo wangu, Mungu wa mbinguni azidi kukupa kibali,familia yako tunakuombea mama.
Amen Amen mamdogo 🥰❤❤❤🙏
My favorite singer.... endelea kubarikiwa
😂😂😂😂 Favourite mtunzi
😂😂😂😂😂 to hehehe 😅
Nakupenda sana Jackine Kazimoto❤, Mungu aendelee kukuinua katika viwango vya juu sana , napenda sana uimbaji karama aliyoiweka Mungu ndani izidi kukua
Hongera sana Jacky..🥳🎉✨🥰
Asante dear😊
Dada Jackline unajua kabisa nakupenda sanaa ww n role model wangu ❤❤❤❤😊..Mungu akutunze zaidi uzid kumtukuza katika roho na kweli🙏🙏
Asante sana my dear 😊😊
Nimesmile mpaka mashavu yanaumia😅😅😅
Umependeza sana mtoto na umeimba vizuri❤❤
Your story is very inspiring. Namfurahia Mungu haukukata tamaa.
❤❤❤❤❤ asante sana sana dear❤
awesome😊
Akina Jackie huwa mna sauti khaali🤗🤗 hongera naipenda sauti yako na tabasam lako😊☺️
😊😊😊😊 asante sana rafiki
Safi sana kimbaumbau wangu
😂😂😂😂jamani ndo useme ukweli
Hongera sasa dada Jackline Kazimoto
Asante sana 😊
Nami katika ukamilifu wangu...
My favourite artist 🥰
Woooooow asante sana sana sana❤❤❤
☺️
😊
Proud of you Jackie ❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤ thank you so much dear
Ongerah🌹🌹
😊asante 😊
Much love dear napenda sana unavoimba, unanipa moyo wa kuimba na kujifunza zaidi na zaidi . Mungu akupe kibali zaidi uzudi kumtumikia kutoka moyoni na katika Roho na kweli. 🥰🥰🥰🥰
Amina Amina Amina asante dear, tumtukuze Mungu wetu daima❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nitamuhidi bwanaa my favourite Song ❤❤❤❤❤ Asanteni sanaa kila nikiusikia na nikiimbaa huwa nabarikiwa sanaaa🙏
My favorite person with the unique voice.
😊😊😊😊 thank you so much ❤
Jackie Mungu azidi kukutunza kwa ajili ya kumtumikia na kumsifu daima🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina 🙏 asante sana
Hongera sana kivuruge wangu, haujawahi niangusha.
😂😂😂😂 wewe mbona unanidhalilisha
Mwandishi hii interview ungeniachia mm😅😅
HAPANA KUBWA 😂😂😂
Mungu aendelee kukutunza
😊😊Amina atutunze wote
Her smile is so amazing 😊❤.Anaongea in discpline manner ubarikiwe sanaa dada yangu🙏❤️
😊😊😊😊thank you
Hongera Sana solo wangu 🥰🙏
Ooooh asante sana 😊
❤
🥰🥰🥰
Safi sana J🔥
Mtunzi 😅😅