Maisha haya jamani! Bahati alikuwa mwembamba kweli kipindi hicho. Leo kawa bonge!! Mwenyezi Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Jennifer na Bahati ❤.
Tellement agréable, soyez brutalement bénis grâce à l'œuvre de Dieu que vous accomplissez. Et l'honneur , la gloire et puissance soient rendues à Dieu!!
Nurangiza ukurikizeho iza gakiza zose uhereye ku ya mbele ku geza ku ya nyuma aliko turashaka kukureba no kuli video wongeremo nabandi muhimbaze Umuremyi W'Ijuru n'Isi nibirimo byose,Imana irigutegura ibihembo
Daaaaaa enzi hizo kipindi tunavaa mabwanga saivi sasa mwendo wa modo haijalish baba mchungaj wala mtoto mchungaj au mwimbaji ni modo tu aise kweli utandawaz una mengi
I'm here because of my dear brothers Henry the band and Esau tosh ❤,,mummy i didn't like your comment on TikTok 😢 why calling them Cyber thieves
Yesu wa kuaminiwa 2024 ❤ ni yeye yule jana leo na milele
Niliutafuta huu wimbo sana mtandaoni. Ahsante
Esau Tosh & Henry the band, from fb & tiktok tumewakilisha
Bwana akusimamie , Damu ya Yesu ikufunike katika jina la Yesu
2024 na bado tupo na Yesu wetu
Bwana akubariki Jenifa Mgendi, endelea na Bwana
Maisha haya jamani! Bahati alikuwa mwembamba kweli kipindi hicho. Leo kawa bonge!! Mwenyezi Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Jennifer na Bahati ❤.
Baada ya kuona cover ya Gideon I just came back to this
Mungu Tuinulie vipawa kama hivi Tena tupate nyimbo nzuri zinazogusa mioyo yetu
Hizi ndizo nyimbo za injili zilizo nikuza ki imani nikiwa mtoto mdogo ❤❤❤. Nakumbuka utotoni🎉
2025 bado Baba hubadiliki, asante Kwa baraka 🎉
Asanteeeee sana for this song. I will forever kupendaaa wewe datiii na Bahati Bukuku ❤
Amina Amina wimbo mzuri lkn mum bahati ametoka mbali hata sikujua ni yeye akiii MUNGU hutoa mbali watu be blessed you both nimeangalia
It's Jennifers voice for me❤❤❤❤
Wakenya twawapenda sana sana, asante Kwa kazi njema, Mungu na aibariki❤❤❤🙏
inanikumbusha mbali sana watu hutoka mbali.role model wangu wawili nawapenda,neno la Mungu liende mbele.
Kweli wimbo huu❤sichoki kusikiliza unanibariki sana karibuni babati
ee mungu wimbo huu ulikuwa wap umenikumbusha sana wimbo mzur ,baba wewe nii wakuaminiwa
My favourite song
More blessing upon you mtumishi wa mungu. Watching from Australia 🦘🌏
Watu wametoka mbali jamani daa MUNGU ni mwema 😊
Mbarikiwe...nyimbo zenye uvuvio wa Roho mtakatifu
Aki umenikumbusha mbali Sana!
Barikiwa Sana Jennifer!
Ni kweli watumishi maana akina anaeijua kesho yake
Who is here 2025 the song is still a banger❤❤
Hatujafika tupo 2024
Nakumbuka mbali wimbo muzuri kabisa
Tellement agréable, soyez brutalement bénis grâce à l'œuvre de Dieu que vous accomplissez. Et l'honneur , la gloire et puissance soient rendues à Dieu!!
Mungu humtoa mtu mavumboni nakumuweka juu zaidi
It reminds me when my mum died na our family members some were treating us as if hatkua watu😢😢
Miaka mingi imepita kwa jili ya wimbo huu Ila Sasa mgeni youtube
24th oct.2024😂❤
Hivi bahati bukuku akiona hii nyimbo. Atamini kwamba ni yeye
One of the living gospel music stay blessed @Jennifer
Mungu awabariki sana watumishi bahati na Jennifer
Mungu ni mwena sana anatowa watu mbali kweli hapa Bahati alikuwa ujauzito nimeona hivo
Vijana mrudiriye mavaliyo yazamaniilondo vazi kaka ubarikiwe kabisa vijana wengine wahoneye kwako
2025🎉🎉
Nkweli uko sahihi
Asante Jennifer Kwa kazi yako sana🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🏽🙏
Mamdogo Jennifer ulijaliwa sauti nzuri sana😂❤❤❤❤💞💞💞💞
Amakweli hakuna mwembamba hapadunian ila maishatyu yanatupiga
Daaaah nimekumbuka mbali sanaaaa.... mbarikiwe wana wa Mungu
Mwadamu anabadilika ,rafiki anaweza kubadilika Ni mungu tu anayeweza kubaki na wewe
Unasikiliza nyimbo nafs inatulia hallelujah 🙏🙏🙏
best ever gosp song collabo..hakunaga tena..🎉
Wimbo wangu pendwa kabisa wa zamani😇
Mambo yamebadilika jaman kwa warembo Hawa mungu nimwema ❤❤😂😂😂
Yes yeye habadhiliki 🙏🙏
Mungu hutoa watu mbali sana
Hakika Bwana Yesu ni Mwokozi wetu sisi wanadamu,
Dah nakumbuka meng sana enz naiskia lak redioni Mungu mkubwa kwa kweli
Nurangiza ukurikizeho iza gakiza zose uhereye ku ya mbele ku geza ku ya nyuma aliko turashaka kukureba no kuli video wongeremo nabandi muhimbaze Umuremyi W'Ijuru n'Isi nibirimo byose,Imana irigutegura ibihembo
Oo jamani watumishi mlikua wadogo nimependa nimebarikiwa
The message is powerful. God bless Jennifer. God bless Bukuku.
Wimbo naupenda sana huu ,,tunashukuru kwa kutuwekea mama
Wimbo msuri sana .asante sana
Duh hiu wimbo umenikumbusha mbali sana
2024🔥🔥🙏🙏
Mungu asbadike leo ata kecha milele na mile❤
Daaaaaa enzi hizo kipindi tunavaa mabwanga saivi sasa mwendo wa modo haijalish baba mchungaj wala mtoto mchungaj au mwimbaji ni modo tu aise kweli utandawaz una mengi
Mungo amenities mbali niliitwa tasa na says na watoto wawili
2024 muni follow please
Nimekuswa na huu wimbo sana nikiwa kwetu kenya
Kabisa Mungu habadiliki.mbalikiwe sana watumishi wa mungu.Mungu anatowa mbali saana ashukuliwe.
Haaminiki kama n bahati bukuku bt sauti yake haipotei
Kazi nzuri sana 💪🏽💪🏽🔥🔥
Wimbo bora sana mungu abatiliki kabisa
Wimb naupnd san nabarikiwq mno
Jamani hawa watu wanaumiza sana wamebadilika sana aisee wameacha uzuri wamekimbili ubaya haha ndio mambo sio kwa sasa
Jenifa na nahati mungu azidi kuwainua zaid maana mnatoa kaz zinatubaliki
Mbarikiwe sana one of my favourite song.
Ahsante sana jamani mke wangu nikupendae
ndoa sitakuja kuuwa watu 😂bukuku amenimaliza
Mzidi sana kubarikiwa watumishi wa MUNGU
enzi hizo tunavaa magwanda
❤❤❤Amen. Watu gotokambari
10/12/2024
Aisee!
Mungu awabariki ❤
It's just wonderful 😮😮😮 god bless more
Mungu atkuzwe
Mungu ni mwema namushukuru melele
Nimependa
Mimi nakupenda sana unanibariki sana nanyimbo zako
Wimbo huu uliimba
Nyimbo izi apana ,zilikuwa Safi wakati yetu
UKO wapi Sister Jenny?🙏🙏
Bahati Bukuku saizi kawa mzungu
Mungu tu!!!🙏🏽🙏🏽🙏🏽💞💞🌅🌄🌹🌹
Si mbarikiwe jamen 🎉🎉🎉
25/10/2024 ❤
Kweli watu hutoka mbali ❤❤
𝑵𝒈𝒐𝒎𝒂 𝒊𝒚𝒊 𝒏𝒂𝒌𝒖𝒎𝒃𝒖𝒌𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒛𝒂 𝒘𝒖𝒕𝒐𝒕𝒐
Baba we niwaku aminiwa unanikumbusha baba yangu uwu wimbo ❤❤
Hakika
Hii ngoma inanijenga sana
Asati sana kwa wimbo zuri sana
Them days
2024🥳🥳🥳🥳🔥
Pure gospel
Wimbo mzur