Nimerudi kusikiliza tena huu wimbo mwaka huu 2024 hakika unatia moyo sana kuendelea mbele na Bwana Yesu ni mwema sana katika mapito yote Tunayo pitia hapa duniani
Sep, date 7, 2024 ,Saturday saa nane usiku akiwa gulf huku kichwa ikiwa imezongwa na mawazo amekuja kutafta utulivu kwa Jennifer gonga like tukitulizwa
Mara ya mwisho kuusikiliza huu wimbo ilikuwa 2008 ndiyo leo 1/1/2025 nausikiliza tena. Hongera sana Jenipher Mgendi. Mungu amekujaalia sauti nzuri sana!
Working here in saudi arabia as a domestic worker it's hasn't been easy vumilia moyo playing this song every morning it's make me feel relieve and strong hoping tommorow is going to be better..
I like this song. It was once one of my best songs while I was in primary school, now am almost finishing my varsity but it still blesses me. Mungu akubariki mama Jenifa. 🇰🇪
Nukuri Jennifer uwutomukunda kundirimbo ziwe ntamunezero yobayaravukanye,kutoka Burundi by shaduraka yaani kiukweli MDA mlefu nasikiliza nyimbo zako jenni, balaka zamungu ziwe kalibu n'a wewe
Mungu azidi kukubaliki dada yangu, asante kwa nyimbo zako zinanitiya nguvu sana tena sana. Ombi langu ni kwamba uendelee kwenye uokovu na uendelee kuubili katika nyimbo zako
A song that addresses the mind not the brain.I feel blessed after passing through thick and thin as I strive to make both ends meet.From Bungoma county,Kenya.
2024 tunaoskiliza tuko wap tujuane kwa like
Mombasa kenya🇰🇪2024
😊
Kinshasa, DRC
Très super
Relax your heart
Nimerudi kusikiliza tena huu wimbo mwaka huu 2024 hakika unatia moyo sana kuendelea mbele na Bwana Yesu ni mwema sana katika mapito yote Tunayo pitia hapa duniani
❤
Still listening to Jennifer mgendi in 2023 such a blessing
I love the song
Who else is here in 2024?
I had to listen to this song ,,cry and least let go😢
You're strong,,this too shall pass
Tar 18-03-2024 listen
Here🙏
Here we go
Sep, date 7, 2024 ,Saturday saa nane usiku akiwa gulf huku kichwa ikiwa imezongwa na mawazo amekuja kutafta utulivu kwa Jennifer gonga like tukitulizwa
Am here 2024 shida zangu akanileta hapa,huu ndio wimbo pekee utakao nifariji kipindi hiki kigumu😢😢😢
@@veronicaabby143 naufarijiwe
2024🎧
Mungu akikupa hekima anakupa na uvumilivu,upendo na busara pia.Libalikiwe neno lako dada Jenipher
Amina
Nakupenda sana dada kwa nyimbo zako
Nani kasikiliza 2024 tujuane mm nampenda sn jennifer mgendi❤❤❤
28september 2024
Wagapi tuko hapa 2025 ❤❤
2025 🎉🎉🎉🎉
Unaitizama hii nyimbo ukiwa wapi 2023 mimi nipo kahama shinyanga Tanzania 🇹🇿
Mara ya mwisho kuusikiliza huu wimbo ilikuwa 2008 ndiyo leo 1/1/2025 nausikiliza tena. Hongera sana Jenipher Mgendi. Mungu amekujaalia sauti nzuri sana!
Wimbo huu ni mzur ninapousikiliza nafarijik san jmn💝💝💝💝💝
Mungu atupe mungu tuuu jamani nipo kwenye wakati mgumu niombe mimi mtoto wa mwanamke mwenzenu🙏🙏🙏🙏🙏
2025 anyone 🥺😭?. Eh Moyo naomba utulize na uponye Moyo wangu mimiiih
Duh nyimbo hii inanitoa machoz sanaa
😂😂
Huu wimbo unatoa machozi 😭 hivyo tu,lakin ntajupata wapi dio uniongoze na mm
Nikupendae my Dada najua umeumia but safari bado inaendelea mungu akutunze pia akupe ujasiri pole dear
Love you my sis..
2025 anyone 🥹😭???. Eh Mungu wanguh naomba uuponye Moyo wanguh mimiiih
One of my favorites. Sweet song👍👍
Asanteni kwa wimbo wako
Working here in saudi arabia as a domestic worker it's hasn't been easy vumilia moyo playing this song every morning it's make me feel relieve and strong hoping tommorow is going to be better..
Sure dear
May God protect you 🙏
Stay still God is just
@@francinahenry14 a
Wow powerful
Back in 2004 when i was in class 4 or 3 bleesing
Mwoyo wangu tulia baada ya mwaka mgumu nchini kenya December 25 nauskiza huu wimbo nakuomba mwaka mpya uwe wa mafanikio tele.
Wangali na yi sikiliza 2021 mukowapi ?
Nipo apa
👍
Nipo hapa 🙏
nipo
Oct 2021
Ubarikiwe xana mama nimeitim kidato cha nne napenda xana nyimbo zako mwak huu coz zinanigusa mno
Noel from Tanga ukipenda niite Sheshe sheshe hii nyimbo hadi mwisho wa ulimwengu haitaisha utamu Jennifer mgendi MUNGU akuinue mpendwa
Hii wimbo nimefikiria roho yangu inapopigia haraka nikasema tulia moyo
Am here 2025 listening to her songs from Kenya
Good my friend 😊
I like this song. It was once one of my best songs while I was in primary school, now am almost finishing my varsity but it still blesses me. Mungu akubariki mama Jenifa. 🇰🇪
Amen
Up up and
@@jonathanmasenene202 I can do to go u
@@jonathanmasenene202 I can do to go u
@@jonathanmasenene202 I can do to go upstairs u
Vumulia moyo,Kwa hali yoyote ile🙏🙏🙏, thanks am blessed with song Ni matter the situation of life 🙏🙏 team kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good my friend
Be blessed😍 2024 tupo???
Tupo
J'aime cette chanson mon Dieu béni cette femme 🎉❤❤
Amen, tulia moyo "" mpenzi wko akuanglia ulivo umia, anashangaa ujamwitia""?... Duu😭😘.. MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzur 🙏
Une belle chanson pour moi Que Dieu vous bénisse richement ma soeur
2024 July if still in love with this tumpeni like ❤❤❤ tukienjoy utamu wake na faraja ulio kwa huu wimbo🎉🎉
Nyimbo zako nazpenda kila kuitwapo Leo endelea kubalikiwa na kaz ys mungu
This song never gets old...❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧎
Ni barakaaaa tuu....
Mama na sikiya furaha kwaku sikiya wibo uu Mungu akupe baraka.
Mungu Akubariki sana hakika Nyimbo zako Zinanibariki kila iitwapo leo..
May God bless you mama🎉
🎉🎉a very wonderful and uplifting song God bless you
Tulia moyo, thanks Jennifer 2025
my sister Jennifer, God bless you , hooo Jésus Christ toujours LIKOLO (M.T.C)
This song I watched a CD in 2010, now am here again in 2025. Tulia moyo! .
Pole sana Dada Jennifer, kwa kuondokewa na wapendwa wako wa karibu.MUNGU NI MWEMA KATIKA KILA JAMBO.
Nukuri Jennifer uwutomukunda kundirimbo ziwe ntamunezero yobayaravukanye,kutoka Burundi by shaduraka yaani kiukweli MDA mlefu nasikiliza nyimbo zako jenni, balaka zamungu ziwe kalibu n'a wewe
Tuko hapa❤
The song never gets old and my love for it is beyond comparison
The best of love naoenda sana hii nyimbo rafiki yangu jenifa nakupenda sana Mungu akubaliki
Wimbo nzuli sana❤
Mungu akubariki sana Dadaangu na azidi kubariki kipaji chako, usonge mbele kwa jina la YESU 🙏
Jaman kak Jonas hongela pamban naona vyuma vikal San nabalikiwa kikwel
Much love my sister co when I listen this song I gain power
We are here in 2024 and the lady is still going strong my best artist
Madam Jenifer your song is Soo blessing am still listening it in 2023,may you be blessed.
Mungu akubaliki sana
Dada pole kwa yote. Mungu akusaidie mpnz
Tulisa moyo wako kwa mungu binadamu watakutoroka wakati mugumu lakini kristo hatakuajolia kamwe wapendwa
😢😢😢Moyo tulia Kwa yesu
Nabarikiwa kwlikwli
AMEN 🙏 IN JESUS HOLY NAME HONGERA KWA HIYO NYIMBO
Mm kila siku ndo doz yangu ya moyo Nakupenda sana mnyimba mwezngu
I used to listen to your songs many years back sauti nyororo
Nakupenda sana Mungu akubrk
2023 nabarikiwa sana
Wimbo wa kitambo kile Ingawa bado mzuri mno. Barikiwa Sana.
Nilikuahidi tuzo siku moja kukupatia ya heshima kabisa@Mgendi.Mungu akutunze
in my childhood this song ministered to me in difficult times...right now at 2022 all i can say is God bless you ma
Tulia moyo,,, japo majaribu ni mengi ya kukuvunja
Askanti kwa mwibu iyi, gloire à Dieu.
A great song.
Moyo wangu tulia ndani ya Bwana Yesu 😭
2024 ❤ moyo tulia kwa Yesu
Vumilia moyo 🙏🙏🙏
Team mama Jenifer mupo ?
anyone listening to this song may God bless you
@@d-maxScarlageKe still my favorite
Amina 👏
Miaka mingi sana,hii nyimbo huwa inanifariji sana,Jenifer Mgendi MUNGU azidi kukubariki,
Nakupenda bule jenifa mgend
Mungu azidi kukubaliki dada yangu, asante kwa nyimbo zako zinanitiya nguvu sana tena sana. Ombi langu ni kwamba uendelee kwenye uokovu na uendelee kuubili katika nyimbo zako
Nyimbo nzuri
Since 07 Hadi sasa nazeeka na Ngoma zako sounds like a new song day by day God bless
Mungu azidi kukuinua dada, huu wimbo faraja sn
Asee imenikumbusha mbali sana
Kila cku huu wimbo nimpya kwangu
Mung akubarik mama nipo dar tuombeane jmn
Yaan. Huu wimbo. Naupenda kutoka kumoyo. Asant. Sana
Blessed song I like that song hearing it from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Tulia moyoo🙏🙏🙏
A song that addresses the mind not the brain.I feel blessed after passing through thick and thin as I strive to make both ends meet.From Bungoma county,Kenya.
G good my friend
moyo wang ukiwa mzito nipo hapa
Tumsifu mungu kwa kua nmsidi
Kweli inatuliza moyo
Hii ngoma haukuiona kwa recommendations bana.. hii uliisearchi
Ameeen! likes from me here on my office desk at Masinde Mulior University. Soothing my heart! Thank you!
Enjoy.. #ingo
Naposikiza TU kwe napanda iman.nakupenda Bure dada
Ongera sana unajui kuimba sana adi unabaluza napenda sana nyimbo zako
A banger
Mungu akubariki sanaaaa nyimbo zako zinanibarik sanaaaaa
Tulia moyo feel blessed
Inanikumbusha Siku moja Wala ninafuatuliwa namaadui Ila wakashindwa
Mungu aku bariki
Nilikuwa nasikia tu sauti Kwa radio but now I can watch this song live ,God is Great 🙏🙏
@Jennifermgendi naikubali sana hii nyimbo
The song reminds me on my downfall at school,,it was my fourth year,,the song really encouraged me and strength too