Brother nakushkr saaana , nimekuwa mdau wako kwa takriban mwaka mmoja , nashkr saaana kwa msaaada juu ya elimu Bora uitoayo mungu akubrki saaana mtumishi
Amina mtumishi lakin mim ninachangamoto hii unakutana na mwanaume anasema atanioa lakin huwa hawatimiz ahadi huwa wanapotea alfu ukianza mahusiano mengine yule wamwanzo analudi pia hawez kufanya chochote shida nin nateseka na hili tatizo mtu akitamka kuowana inaishia hewani
mtumishi hivi mwanaume mkiwa kwenye uchumba unampigia simu mara nyingi hapokei na yuko online alafu akipiga simu namuuliza mbona hukupokea simu alafu anakua mkali anafoka kwa hasira hii inamanisha nini?
Amina mtumushi
My favorite mentor may God bless you
Woow..am so humbled
Ahsante Sana mchungaji unaeleweka
Brother nakushkr saaana , nimekuwa mdau wako kwa takriban mwaka mmoja , nashkr saaana kwa msaaada juu ya elimu Bora uitoayo mungu akubrki saaana mtumishi
Natokea MWANZA. Ni.mafundisho. mazuri na ya muhimu Sana kwa kipindi tunachoishi leo
Barikiwa sana Victoria
Mtumishi kwakweli nakukubali Sana nakufuatilia kutoka mozambic
Nafatilia kutoka Lindi barikiwa sana
Amina baba mtumishi wa Mungu nimekuelewa sana, nitaweza kubadirika sasa na mahusiano yangu yatasimama, ubarikiwe sana baba
Amen Jenipher..karibu
Nawafuatilia kutoka Dubai nakukubali sana.
Asante sana
Ndio papa nikweli
Nafuatalia kutoka kigoma
Asante Flora
Asanteee kwa somo zuri
Ninawata zama kutoka Nederland uraya nani nawasikia vizuli sana
Mubarikiwe sana
Asante mchungaji
mimi kwamajina ni Carolina nawafatilia nikiwa saundia🙏🏻🙏🏻
Amina mtumishi lakin mim ninachangamoto hii unakutana na mwanaume anasema atanioa lakin huwa hawatimiz ahadi huwa wanapotea alfu ukianza mahusiano mengine yule wamwanzo analudi pia hawez kufanya chochote shida nin nateseka na hili tatizo mtu akitamka kuowana inaishia hewani
Natizama kutoka Arusha napenda sana mafunzo yako
Ntaendelea kukufatilia kila siku tunapitia migogoro mingi isiyo na sbb ni kwa kuwa hatujielewi sisi ni nani ni kweli
Nikweli sana😢
Natoka arusha ndo nimeanza kukufatilia
Karibu sana mgeni wangu
mtumishi hivi mwanaume mkiwa kwenye uchumba unampigia simu mara nyingi hapokei na yuko online alafu akipiga simu namuuliza mbona hukupokea simu alafu anakua mkali anafoka kwa hasira hii inamanisha nini?
Inamaanisha hakutaki kwenye maisha yake ila wewe huelewi na unamjengea mazingira ya kuendelea kuwa na wewe
🙏🏽🙏🏽