"UNAPENDWA UKIWA UMEKUFA, WANAJITOKEZA, KILA MMOJA ANAJITETEA, WANATAMANI KUBAKI NA MALI" MSIBANI.
HTML-код
- Опубликовано: 15 ноя 2024
- Baada ya mwili wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha anayefahamika kwa jina Christian Temu, kutolewa agizo na mahakama kuwa uendelee kusalia Mochwari hadi mgogoro wa kifamilia utakapotatulika, waombolezaji waliokuwa wamefika katika Mochwari ya Hosptali ya Mount Meru kwa ajili kuchukua mwili huo, wamelazimika kuondoka huku baadhi wakidai kuhairishwa kwa mazishi hayo kwao ni hasara kutokana na umbali waliotoka hadi kufika msibani hapo.
Inaelezwa kuwa chanzo cha mgogoro huo ni mke mkubwa wa marehemu kukataa mume wake asizikwe kwenye eneo ambalo ndugu wa mume wamependekeza.
#kutoka #arushatanzania #trendingvideo #trendingshorts #trending #livestream #lifestyle #breakingnews
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Umeongea vizuri japo ww ni mchepuko ila una Adabu❤😂😂😂😂😂
Kweli kabisa, umeongea sawa. Sipendi udugu wa msibani, kwenye msiba ndio ndg wanaonyesha ufahari. Unapokuwa mgonjwa humuoni mtu. Wanaume wajifunze kuandika yale wanayotaka wafanyiwe baada ya kuondoka hapa duniani. Kuandika wosia sio kufa, ni kuweka mambo vizuri.
We ndio kivuruge umeharibu hii ndoa ya watu Mungu anakuona
Jamani duniani kuna mambo. Ila ata huyu mke mdogo inavyoonekana alikuwa mwaribifu wa hii familia na amekuja ili apate kitu. Mungu amsamehe sana. Kuaribu ndoa ya mwenzio shida sana. Mke apewe haki na pia ajaribu kutumia hekima ili mume wake azikwe vzr.
Sio mke ni hawara tu alikuwa mdada wa kazi
Nini baya kafanya apo?
Ndoa iheshimiwe na watu wote
😊ndugu.ndio.waamuzihuyo.mwanamke.mkubwa.ashikiane.nafamilia.ukoo
Wanaume.maremu
Mali ni za mke wa marehemu na familia yake,na yeye ndo mwenye mamlaka ya kupanga mme wake azikiwe wapi!? ndugu wana Mambo sana
Kabisa
Siyo kweli. Mke Hana Mamlaka na huo mwili ila Kwa Mali ana Mamlaka nazo.
Nimekupemda bure una heshima na una busara sana umejibu mswli vzr sana
Heahima ipi wakati ndio kavuriga ndoa ya watu. Alikuwa mdada wa kazi tu
Mke ana watano, kapelekewa watoto 2 alee,halafu mumtenge,msimshirikishe,sio kweli 😢
Eti jamanii. Halafu ana mtoto mchanga kabisa ndani!!
Dada una hekima sana
Mshahara wa dhambi huo
Marehemu kupelekwa mahakamani duniani na mbinguni je
Iwe fundisho kwa wanaume jmn...umeshajua unamali na umezaa watoto matabaka tofauti jaribu kuandika ata wosia
HUYU NI MKE MDONGO WA MWAKA 2024 ANA HESHIMA ZAKE SAFI SANA , POLENI SANA FAMILY.
Kaongea vizuri sana anajiheshimu
Angejiheshimu asingeingilia ndoa ya watu wakati alikuwa mdada wa kazi
Temu vs
Mke wake apewe mwili huyu alikua mumewe acheni tamaa
Kwa kweli mchepuko ana adabu sana,na ana heshima ❤
Mke mdogo una akili ulikosa kuomba upate mumeo ukut we ndo mchawi
Wew Hy kawa na heshima tu hapo ni kivuruge wa hatar
Kweli ujinga huwaga haubishi hodi
Kwakweli hao wanaojifanya wastaarabu ndiyo kichomi yeye ndio kajaribu ndoa ya watu
Mmm😢😂
Ndugu acheni kuongilia ndoa za watu kwa ajili ya maslah binafsi
Huo mchepuko unakitu unajua na ndugu wa marehemu
Mungu tusamehe
Kama marehemu hajatengana na mke wake,iweje azikwe nje ya nyumba yake?😂
Hata angetengna nye boma ni la mrehemu kwanini I azikwe nnje ya boma lake
Wakitengana labda kila mmoja ana makazi yake @@janethmwambona4386
HUYO MKE ANATANINI ZAIDI YAMARI HANAROTE ACHIE NDUNGU WAZIKE HANA UHARARI WAMWIRI IRA WAMARI
Yelewiii,mari😂😂😂😂
Yan wanaume awa muda mwengne kichefuo wanawake weng wa nn
Mke mmoja hatoshi