HASIRA NA GHADHABU mp4: by B. NTURAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 35

  • @adamumanyoni
    @adamumanyoni 7 месяцев назад +1

    Hongereni wapendwa wetu Maria Consolata kwa nyimbo zenu nzuri🎉🎉🎉❤❤❤

  • @devocatuslaurent8824
    @devocatuslaurent8824 7 месяцев назад +2

    Napenda kuimba ,nabarikiwa kuona vijana WENZANGU katika utume uliotukuka , Mungu aendelee kuwaongoza katika Hali zote . Hasira inaleta matokeo mabaya katika maisha yetu- tusameheane ndio tutapata utukufu WA Mungu 🙏

  • @DominicLeo.
    @DominicLeo. 7 месяцев назад +1

    Wimbo umetulia sana✅💯

  • @MageYamay-jr5qn
    @MageYamay-jr5qn 7 месяцев назад +1

    Hasira na ghadhabu ni machukizo kwa Mungu mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri ❤❤🎉🎉

  • @ni20ch01
    @ni20ch01 7 месяцев назад +2

    Ujumbe mzuri sana hongera sana KMCS💪💪🙌🙌

  • @bayo1204
    @bayo1204 7 месяцев назад

    One of the best songs of time 😇😇😇

  • @martinmhando8351
    @martinmhando8351 7 месяцев назад

    Wimbo nimeusubiria sana huu hatimaye mmeuweka. Asanteni sana na hongereni sana, mliutendea haki wimbo huu. Hongera Ben Nturama kwa utunzi mzuri

  • @GraceKajembula-gd9vz
    @GraceKajembula-gd9vz 7 месяцев назад +1

    Hasiraa ni machukizooo mbele ya Munguu 🎉🎉🎉 ujumbe mzuriii KMCS hongereniii

  • @PeterLyimo-gy8zq
    @PeterLyimo-gy8zq 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri

  • @romanasulley83
    @romanasulley83 7 месяцев назад

    Hongereni sana wanakwaya KMCS Kwa mafundisho ya wimbo mzuriiii 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @MwajumaLucas-rb1zc
    @MwajumaLucas-rb1zc 7 месяцев назад +1

    Nimebarikiwa sana na huu mwimbo Mungu awabariki wanakwaya wote kazi nzuri sana

  • @diofarmtv
    @diofarmtv 7 месяцев назад

    Hongereni sana Wana KMCS kwa kazi iliyo tukuka. Mwenyezi Mungu awabariki sana.

  • @vedastosixbert-yd4qx
    @vedastosixbert-yd4qx 7 месяцев назад

    KAZI nzuri kutoka kwa ma-legends wetu 🔥🔥🔥🙏

  • @roinusamungu792
    @roinusamungu792 7 месяцев назад

    One of the interesting song_congore Sana Sana family_KMSC🎆🎻🥁🎻🎆🎇✊

  • @Blessedhopefamily
    @Blessedhopefamily 7 месяцев назад

    hongera sana waimbaji, miongoni mwa kaz nzuri sana. Nafurahi kuona mnajengekq vyema.
    Mungu awainue zaid na zaidi

  • @levinahenry4001
    @levinahenry4001 7 месяцев назад

    Hongereni sana Familia 🙂🥰🎉

  • @mgangajonas152
    @mgangajonas152 7 месяцев назад

    Hongereni kwa kazi nzuri ya uinjilishaji

  • @tiophilijohn2277
    @tiophilijohn2277 7 месяцев назад

    Hongereni sana Mungu atukuzwe

  • @machotamachota7016
    @machotamachota7016 7 месяцев назад

    Hongereni sana, Mbarikiwe sana
    @kaka Allen naona mikono yako iliyobarikiwa, mtoto wa Nyanza😁❤

  • @marymbata
    @marymbata 7 месяцев назад

    Hongereniii kwa ujumbe ...hata mbingunii tutaimbaaa Munguu aendelee kuwatunz

  • @paskaliakonaay01
    @paskaliakonaay01 7 месяцев назад

    Congratulations to all of you brethren for good work🎉🎉 God bless you

  • @PaulNatal-d4d
    @PaulNatal-d4d 7 месяцев назад

    Kaz nzur wana KMCS 👏👏👏🎉🎉

  • @AngelaKapinga-ii5vq
    @AngelaKapinga-ii5vq 7 месяцев назад

    Hongera yenuu jmn munguu awabariki

  • @rajabmusa4587
    @rajabmusa4587 7 месяцев назад

    Kazi nzuri watumishi wa mungu

  • @Hurmiy-Geofrey
    @Hurmiy-Geofrey 7 месяцев назад

    Wimbo mzuri na una ujumbe mzito🙏🙏

  • @mwatatumgovano
    @mwatatumgovano 7 месяцев назад

    Mbarikiwe sana Kwa wimbo mzuri 2:34

  • @adelinapeter-dx3cn
    @adelinapeter-dx3cn 7 месяцев назад

    Hongereni sana Mwenyezii Mungu awabariki sanaa

  • @halisingalama9962
    @halisingalama9962 7 месяцев назад

    Nimewapenda bure wanakwaya wangu hongeren sana

  • @tumainirwegelela1020
    @tumainirwegelela1020 7 месяцев назад

    Nyimbo yenye ujumbe mzito na wa muhimu

  • @johndgurty9011
    @johndgurty9011 7 месяцев назад

    Hongera sana kwa kazi nzuri

  • @tatugatv9319
    @tatugatv9319 7 месяцев назад

    Safi uinjilisha mazuri sana mmefanya mbarikiwe

  • @waromokello
    @waromokello 7 месяцев назад

    Nice song

  • @PriscaMgeni-zu4zp
    @PriscaMgeni-zu4zp 7 месяцев назад

    🎉🎉🔥🔥🔥

  • @veronicasulle2104
    @veronicasulle2104 7 месяцев назад

    🎉🎉🎉❤

  • @PeterLyimo-gy8zq
    @PeterLyimo-gy8zq 7 месяцев назад +2

    Kazi nzuri