Nyimbo tamu, Sauti tamu, Masomo safi na Upendo usiopimika wa kwaya hii! Hakika hata Mjukuu lazima asimuliwe kuhusu kwaya hii. Mbarikiwe sana Consolata Sua.
Ongereni sana wanakwanya wenzangu mpo vizuri,pia mnaimba vizuri na sauti zenu nzimejaa vizuri pia wimbo unaujumbe mzuri sana hakika mmenibariki,nawapendaaaa
ruclips.net/video/Jh5Suklxj4I/видео.html
Karibu kusaidia utume huu kwa kusubscribe, kushare na kuview kazi zetu
your support is our success 🙏🙏🙏
kama umemuona muhavila nipe like
Hongereni wapendwa kwa utume na Mungu awabariki
Hongereni sana sana na Mungu aendelee kuwabariki katika kazi zenu
Classical music congratulations friends
🔥🔥🔥 Hakika no wimbo unaonibariki na kunipa amasa ya kuendelea kumtumikia bwana....Mungu azidi kuwabariki kwa kazi nzuro Stay blessed forever
🔥🔥🔥kmcssua forever ❤️❤️
Mambo ni moto, mambo ni 🔥, hakika nitasimama juu ya vilima na vilima🌍
Thanks alot kazi nzuri n most interesting~May The blessings of The Almighty God be with you~Kmcs as you're proclaiming God's word🎼🎺🎺🥁🥁🎹🎼🥁🎶🎶🎇✨✨🎇🎶
🥰Traditional melody🔥🔥
Aminaa hakika kazi ni nzuri
Good work God bless all🙏🙏❤️❤️
Kazi nzuri Mungu awabariki sana 💪
Unyama sana💯
Hatarii Na nusu good job may Almighty God bless all
Mungu atukuzwe milele AMINA
HONGERENI kmcsUA
Safi na hongereni sana kwa kazi nzuri
Duuh,, mmeimba safi kabisa mwenyezi mungu azidi kuwaongoza katika hili. Hatimae nmemuona delphine anaimba kwaya
Kazi nzurii mnoooo
Congrats KMCS kazi nzuri sana
Hakika hii Ni fire 🔥🔥🔥
Mziki mtakatifu 🥳❤️ Kmmcsua 🔥
An Kmcs na Kwy ya Mt.Anuarite makuburi tofauti ni majina tu
😂😂😂🖐
@@antonymamsery11 amini kwamba
Mungu awabariki kwa utumeuliotukika wanasuaso. I like it
kazi nzuri sana vijana wa mungu toka sua
Asante kwa kutubariki
Ewaaaaaaaah!............ Kazi nzuri sana Mungu awabariki!....🔥🔥🔥
Nice song😍😍😍😍
Ewahhhh Nitahubiri neno kwa mataifa wote walisikie wakufuate wewe. Ee Bwana kuimba rahaaaaaaaaaaa🙈🙈🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
HUU WIMBO UNYAMA SANA
Aah ngoma ya Moto saaana
Good song!!! 🔥🔥🔥🔥
Ka melody flan hiv so interesting☺️
Kazi nzur🔥🔥🔥🔥
How good you feel to seeing people you know doing good work 💟
Sua KAZI SALA NA ELIMU 💥
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ❣️❣️
Congratulations ,, you made it
🔥🔥🔥 the best Melody
Hongereni sana kwa kazi nzuri❤🌹😘
Asante sana
Amina sana dada yetu🌹
❤
Wakulima wa mashamba ya SUA Morogoro na ako kamelody kakubembelezea usingizi!...🔥🔥 Hongereni sana na injili isonge mbele!.....
Kazi tamu sana.. Hongereni
Ahsante sana
ruclips.net/video/Jh5Suklxj4I/видео.html
🔥🔥🔥 kazi nzuri sanaaa👏
🔥🔥🔥🔥
Mungu awajalie sauti nzuri na maisha marefu. Mungu bariki Kmcsua Mungu bariki SUA,Mungu bariki Tanzania🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
🙏🙏🙏
Aseeeh this song is more than worshiping Kmcs forever in my heart ❤️❤️
Nice traditional song 😘😘 Mungu awabariki sana wanakwaya kwa wimbo wenye ujumbe mzur
Mungu azid kuwatunza mzidi kuimba sanaaaaa
Kaz nzury Sana mungu awe nanyi ,
Hongereni sana
Best melody
Best designing
Best production
What a great song it is!
kmcssua🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana.
Mungu azidi kuwabariki🙏
Nice song...nice video..good voice,,its amazing..
Hongereni mko vizuri
Mbarikiwe sana Wana KMCS
Hongereni sana kwa kupiga hatua zaidi katika kutangaza sifa na utukufu wa Mwenyezi Mungu.. mziki mtamu sana, mziki mtakatifu,
mbarikiwe sana
Nice video keep going
Hamu ya kuutazama haikati kamwe
Nyimbo tamu, Sauti tamu, Masomo safi na Upendo usiopimika wa kwaya hii! Hakika hata Mjukuu lazima asimuliwe kuhusu kwaya hii.
Mbarikiwe sana Consolata Sua.
I can't explain how a wonderful is your job but, the only thing I can say, may God's blessings be upon you all the time........
Nice Sana mbarikiwe na mungu awazidishie moyo katka kuifanya kaz ya bwana
Mko vizur Sanaa Mungu aendeleee kuwatiaa nguvu💞💞💞💞
hongereniii sana
Mpo vizuri consolata Sua, uinjilishaji mwema watu wa Mungu
Safi sana , hakika Mungu alisimama na sisi haikua kazi ndigo kufanikisha kazi hii
Hongereni Sana Askari wa Yesu. Mungu azd kuwainua.
Ongereni sana wanakwanya wenzangu mpo vizuri,pia mnaimba vizuri na sauti zenu nzimejaa vizuri pia wimbo unaujumbe mzuri sana hakika mmenibariki,nawapendaaaa
ruclips.net/video/Jh5Suklxj4I/видео.html
Ahsante sanaaa🙏🙏
niceee
🎈🎈🎉🎉🎉 🔥🔥🔥
Hongereni sana kwa wimbo mzuri🥰🥰
Hongereni kwa mziki mtakatifu wana kmcss
Pongezi..
Kazi nzuri sanaaa..
Good work jamaniiiiiii ❤️❤️❤️
Hongereni sana watumishi wa Mungu
Amina Amina Amina.
Amina Amina, tupaze sauti zetu. Be blessed all
Mungu awabariki sanaa kwa huduma mnayoifanya
Good job, keep it up
Safiii sana wanakwaya wimbo ni mnzuri
Ahsante sana Mtumishi, ubarikiwe sana
Hongereni sanaa🌹
Congratulations
Mungu awabariki sana
Woooow. Kazi nzuri Sana.....
🙏🙏
🙏🙏
Hongerenii
SUA on 🔥🔥❤❤
Good ☺️☺️
Nyimbo inakonga
Kitu imetulia
Kwanzia Melody, mandhari, uchangamfu na kinanda yake siyo ya nchi hii hakika tupande milimani kutangaza neno mpk shetani apate wivu
Arouna Arro
😋♥️
Mungu atukuzwe milele AMINA
HONGERENI kmcsUA
How good you feel to seeing people you know doing good work 💟
Wakulima wa mashamba ya SUA Morogoro na ako kamelody kakubembelezea usingizi!...🔥🔥 Hongereni sana na injili isonge mbele!.....
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥