Mwenye Haki atasitawi kama Mtende 😇hakika kama ni nyimbo mmeimba vizur sana,Mmependeza,na ujumbe mzuri, nikiwa mkubwa ntajitahid nijiunge na kwaya Mt.Maria Consolata SUA 🤍❤️😇 Keep up with the good work 👍
Very Goood. Congore nyingi saaana kwa Mtunzi. Ogarnist. Na waimbaji. Mungu ameifrahia kazi yenu. Hakika hatowaacha hivihivi ni lzma atawapatieni chochote anachoona kinawafaa. Big up
Hongereni vijana wa SUA bn.....ila sasa sauti ya kwanza kweli wajitahidi kufikia pitch ya wimbo wameimba kwa taabu sana ❤❤❤ all in all it is great step congrats guys
Tuendelee kumleta Mungu katika mazingira yetu 🙏🙏🙏
Mmetisha Sana Hongera Manhuncho kwa kukikanyaga staywild
Mmetisha sana👌
Hongeren Kwa utume 🎉🎉🎉
Kipengere Cha mwenye haki atasitawi Kama mtende kirudiweeeeee mweee 🔥🔥🔥sio kwa utamu huo... Kongole kwenu
@eriki na Jacky wamemaliza kazi 🤩🤩🙌🙌
❤ kmcs hongereni sana kwa utume mwema .❤
Hunchoooo🔥🔥Anolddddd🔥🔥🔥❤️❤️❤️aiseee hongereni sana
😊🎉🎉🎉 much congratulations, akii mmeupiga mwingi kawimbo kanashawishi 😊
Hongereni sana wanakwaya, the song is so nice in terms of composition, locations (director) plus sauti, keep it up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe sana❤️🎉🎉🔥🔥
Kazi nzur, hongereni
Fantastic song.. Big up sanaaaaaa kmcs❤
Hongereni sana wakuuuu mmeupiga mwingiii❤🎉🎉
aiseee that's gudy keep mmeupigaaa mwingi
❣️❣️ Kaz nzur🤝
💖 wimbo umetulia Adi raha jamnii kaz nzuri Na yenye Baraka 💗💗 wimbo ujao nami nitashirikii
🎉 Asante sana
Good work 🙏🙏KMCS much blessings to you 🙏🙏✊✊
wimbo mzurii sana ♥️♥️
Wow🔥🔥🔥🔥👏👏👏
❤❤❤🔥🔥🔥🔥 kimewakaaa hongera sana KMCS kazi nzuri
Amen
Noma san aise i love the music
Much congrat maria consolata family kweli ni neno jemaaaaa
Wimbo mzuri Sanaa 💕💕umenibariki ..hongereni sana kmcs SUA
Mbarikiwe sana na utume wenu uzidi kustawi🎉🎉🎉
Yan 🔥🔥🔥🔥🔥 from Kmcs sua
Good work
Mungu azidi kuwainua Tena
Namwona Kaka yangu damas pale ❤❤ good job
This is the best Christian song I have ever seen blessings❤❤❤❤❤❤ from uganda
Konga nyoyo hongereni kwa kaz nzuri🙏🙏🙏
Good work wapendwa ❤️
Bado hamjafika, Mungu azidi kuwatangulia
Hakika ni neno jema
Waooh 👏👏👏 sana jamn mpo vizurii wimbo ni mzurii sana
Hongereni sana, Wimbo ni mzuri sana
kazi nzur
Mungu awabariki sanaaa
Erick vs Jack mmetisha kinoma kwenye hako ka part but all in all Wimbo mkali buana kongore kwa mtunzi Mr.Anold🙌🙌
Hongereni sana ndugu zangu katika bwana
Wimbo mzuri Sana hongereni ❤❤ KMCS SUA 🎉
❤❤ God overall
Hongeren kmcs mko gud kwa wimbo mzuri uo
🔥🔥🔥
Kazi nzurii sana
Hongereni sana mungu awabariki sana muendelee kumtumikia ❤️❤️,, namuona Agnes Nyerere classmate wangu akimwimbia mungu. Nimefurah sana 💞
Mkazidishiwe!🔥🔥🔥
Hongereni sana... hakika mmetoa wimbo Bora sana wenye kuvutia na wenye ujumbe mzito ndani yake❤❤
Kazi nzuri hongereni Sana , MUNGU awazidiahie Baraka nyingi katika utume wenu, AMEN
be blessed. ujumbe mzuri
Hongereni sana vijana wa kikatoliki 🎶
Hongereni sanaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Woooh good song 💞💞 hakika kumshukuru ni kuomba Tena aseeei maua mengi sana tupokeee♥️♥️
Mungu awabariki
Hongereni sana Mungu said kuwabariki❤❤❤
Hongeren sana kwaya ya Mt Maria Consolatha SUA
Aunt sylvia from Uganda am proud of you my son Egibert kainamula I love you so much❤❤❤❤❤
Waooooh!.... Hongereni sana kmcs family kwa wimbo mzuri na Kazi mzuri sana🙌🙌 Mungu aendelee kuwalinda na kuwatunza👍👍👍
Kazi nzuri sana🫡🫡🫡 Mungu awabariki🙏🙏
Hakika mmeimba vizuri pongez nyingi kwenu endelezen kumuimbia Mungu ni kusali mara mbili🎉
Soloist part maua yenu 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri saaaana Hakika nimeipenda wapendwa, NENO JEMA KUMSHUKURU MUNGU
Mmetishaaaaaaaaaa❤
Every time I listen to this song I feel blessed 😍 una ujumbe mzito sana
Mdogo wangu Debora hongera sana umejitahidi na part yako on that location u looked so good 🎉❤
Big up, kazi nzuri sana❤
Wooow THANKS KMCS 🙏🙏🙏
Mwenye Haki atasitawi kama Mtende 😇hakika kama ni nyimbo mmeimba vizur sana,Mmependeza,na ujumbe mzuri, nikiwa mkubwa ntajitahid nijiunge na kwaya Mt.Maria Consolata SUA 🤍❤️😇 Keep up with the good work 👍
Karibu sana na Mungu akubariki
@@samsonmdimi-vf3qd shukran sana Samson ✊🙏
Dah Ni wimbo wenye unamtukuza MUNGU kwakweli...KMCS SUA hongereni sana🎉..MUNGU awabariki Sana mwendelee na utume kwa moyo mnyoofu vivyo hivyo
Hongera sana My familly kmcssua❤️❤️
Much Appreciate, Wimbo mzuri hongereni KMCS
Hongera kwa mtunzi na kwa kwaya yote. Mungu aibariki kazi yenu
Very Goood. Congore nyingi saaana kwa Mtunzi. Ogarnist. Na waimbaji. Mungu ameifrahia kazi yenu. Hakika hatowaacha hivihivi ni lzma atawapatieni chochote anachoona kinawafaa. Big up
Kmcs Tunakupenda sana Sr Mtepa
Hongera kubwa kwaya yetu❤
waoooh so nice❤,,,hongereni sana kwa utume....Nawapendaaa
Chukueni 🎉🎉 maua yenu jamani kazi yenu ni njema sana . Mungu awabariki sana muenselee na moyo huo🎉🎉
I see my very own Annie!! 💞
Mmetisha wanakwaya
Wimbo mzuri,,, vedaaaaaaa😅
Nice na naona kijana Samson kwenye ubora hongera sana nyote
Asante sana mkuu
Hongereni sana wanakwaya 🎉 EDWIN keep it up kilana wetu 😊
Hongereni vijana wa SUA bn.....ila sasa sauti ya kwanza kweli wajitahidi kufikia pitch ya wimbo wameimba kwa taabu sana ❤❤❤ all in all it is great step congrats guys
Lovely
Waoo ahsanten, maana nimeitafuta sana Leo nimeipata,Mungu awabariki wote mliofanikisha hii KAZI, Amen 🎉🎉🎉🎉😊🙏
Amina
Much congratulations to Charity for the quality videos now the brand is going up
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Soo nyc
Best song
Hongereni sana KMCS ♥️♥️🔥
Hongera sanaaaaaaaaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hicho kipande cha mwenye haki atasitawi ni balaa niliona clip ya Onesphory sikujua ni yenu you kill it wana-kmcs proud of you❤
Jacky❤❤ Erick🔥🔥🔥😂
🎉🎉🎉
Hongeren sanaaa Mungu awatangulie kila lilojemaa kwenu ❤🎉🎉🙌🙏🙏🙏 5:20 5:21
Neno jema🔥🔥🔥
Jackline ❤❤ pendezaa saan
🥰🥰the best song ever
🎉🎉
Amazing 🙏😊😊
Thank you! Cheers!
Mungu awabariki kwa utume wenu
Woooow what a song 🎵
Be blessed kmcs❤❤
Much appreciate family
Nice work guys🙏🙏
Big up
Mbarikiwe🔥🔥🔥🔥🙏
Wimbo mzurii saana asanteeni