NOTI MPYA YA ELFU KUMI | YAZUA GUMZO KWA WATANZANIA | WENGI WAIPONDA NA KUIKOSOA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 553

  • @AshurasKikao
    @AshurasKikao 29 дней назад +1

    ❤❤❤❤ makopa kwa nyerere na karume tu ndio waass watu amina

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 месяца назад +2

    Mwacheni Mzee Nyerere na Mwinyi waendelee Daima milele.

  • @DamassiKastuli
    @DamassiKastuli 4 месяца назад +39

    Shujaa ni magufuli na nyerere 2

    • @glorysungura3180
      @glorysungura3180 4 месяца назад +1

      Kweli kabisa

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 4 месяца назад +2

      Mkwawa na Machief wote sio mashujaa sio history imepotoshwa saana

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 4 месяца назад +2

      @@DamassiKastuli kwa kuwa ni wakristo sio?

    • @SeverinoLuis-j1h
      @SeverinoLuis-j1h 4 месяца назад

      Waweke picha ya Makonda raisi kijana sio awo wazee awana ela nimaneno tu tumewachoka

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 4 месяца назад

      Mijadala ya kipuuzi inaanza...

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 4 месяца назад +3

    ikiwa kuna ukweli kuusu ili noti,basi ichi itaelekea pa baya 😂😂😂.
    isiwe kweli

  • @ChristnaMpepo
    @ChristnaMpepo 18 дней назад

    Sio nzuri mwacheni nyerere tu

  • @Zubeda-fw1cg
    @Zubeda-fw1cg 4 месяца назад +21

    Ajira hatoi ila kumtukuza ndo mnaweza ,, 😂😂 kweli hata shetani anawashilika wake

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 4 месяца назад +2

      Hata huko kwa mabwanazenu ulaya, serikali zao hazijaweza kuwajiri wanachi wao wote, hizo ni fikra za majitu mavivu,

    • @sajogamba1316
      @sajogamba1316 4 месяца назад

      Ajira ni Majaliwa ya Mungu

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 4 месяца назад

      Fanya kazi acha lawama.

    • @n-t2s
      @n-t2s 4 месяца назад

      zaidi ya watu elfu90 wanahitimu kwa mwaka unataka wote muajiriwe na serikali alafu nyanya awauzie nani fikiria kijana akili yako imelala

    • @glorysungura3180
      @glorysungura3180 4 месяца назад

      Umeona eeh?

  • @MohammedGayoye
    @MohammedGayoye 4 месяца назад +3

    Mama samia mitano tena au basi muweke picha ya p diddy...😂😂😂

  • @Mussa-g4f
    @Mussa-g4f 4 месяца назад +10

    Hatutak kwa nn wasiweka magufuri mama akalare hatutak

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 2 месяца назад +1

    Picha zibaki 2. Kwa waasisi wa Taifa. Nyerere na Karume tu.

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 4 месяца назад +3

    Binaadamu anaweza kuwateka watu akili akavumbua kitu na watu wakaamini mengi tutayasikia... mungu tusaidie

  • @hassanmbeko3507
    @hassanmbeko3507 Месяц назад

    Ahsante Mama. Mitano Tena.

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 4 месяца назад +16

    Mbona hamkuweka picha ya MAGU ??

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 Месяц назад +1

      Nashaangaa

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 Месяц назад

      ILA KAMA WANGE MUENZI MUASISI WA TAIFA INGEPENDEZA. MAANA INAIMBWA: KAMA SI JUHUDI ZAKE MWL.NYERERE. TAIFA LINGEKUWA WAPI?

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 2 месяца назад +1

    Mama samia shikamooo mitamo tena na pesa tunataka picha yako big up❤❤❤❤❤❤

  • @RashdaA-hk2dm
    @RashdaA-hk2dm 3 месяца назад +1

    Alokuwa hatak kuitumia aniletee mie mama yangu nampenda sana mkizimkaz mwezangu

  • @LatifaCharles
    @LatifaCharles 4 месяца назад +18

    Wekeni picha la diamond au alikiba sio hicho kibibi chenu

    • @khadijaacute
      @khadijaacute 4 месяца назад

      wewe hee😂😂😂

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 месяца назад

      @@khadijaacute 🤣🤣🤣🤣🤣nn tena

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 4 месяца назад +1

      itaekwa picha ya mama ako alokosa malezi ya kukufundisha tabia njema. ndio alivokufundisha hivo mama ako kudharau na kukejeli wazee wa wanzio

    • @ButoyiThierry-j8e
      @ButoyiThierry-j8e 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @AbeidRamadhan
      @AbeidRamadhan 4 месяца назад +1

      @@LatifaCharles siku zote mtu hujali cha kwake hongera sana mama unaupiga mwingi

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o Месяц назад

    Nice massage

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 4 месяца назад +4

    Wangewek picha ya magufuli jembe nasiuyo

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 4 месяца назад +2

    Haikubaliki notihii inafanana nanotiya shilingi kumi ya zamani jamani nyerere watanzania tuendeleekumuasisitu hatutaki man yang,'autena kwenyenoti😂😅

  • @EmilyLaitigo
    @EmilyLaitigo 3 месяца назад +1

    Mungu atutetee watanzania

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 2 месяца назад

    Kweli maana walizani mama Samia ataweka sura yake najua Mkapa nadhani alikataa na kusema haina haja kila siku mtabadirisha sura za not? Hakuweka sura yake inabaki kuwa tutakumbuka alikuwa Rais wetu yatosha

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 4 месяца назад +11

    Duh, kampeni mpaka kwenye hela zetu! 😂😂😂

  • @user13375
    @user13375 Месяц назад

    MiradAyo ndo wa kweli

  • @MwanaPili-b1u
    @MwanaPili-b1u 4 месяца назад

    Yaaani namba mungu amalize uongozi wake salama huyu mama halafu aje huyo Rais mwengine mtakae mkubali nione mtakavyo msifia

  • @LekumokLaizer
    @LekumokLaizer 29 дней назад

    Yes

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 4 месяца назад +7

    Hata wamu weke kuku kwenye noti shida iwe Ina fanya kazi tuu. Na iwe halali

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 4 месяца назад +4

    Hapn huyo mam hatakiwiiii iwekwe picha y magu

  • @bekahbrown9897
    @bekahbrown9897 4 месяца назад +1

    Raisi Samia ameangusha nchi ya Tanzania. Sidhani kama ni haki hata yeye kueka picha yake.

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 4 месяца назад +8

    Mwacheni Nyerere kwenye pesa za Tanzania 🙏

  • @Aisha-t2q
    @Aisha-t2q 3 месяца назад

    Weken ya picha ya mtetez wetu jpm magufuli ❤

  • @soundmale
    @soundmale 4 месяца назад +1

    Not yenyewe itashuka thamani bora waeke picha hapa kazi tu magufuli😢

  • @justicebridge
    @justicebridge 4 месяца назад +6

    Kwani uliyokuwepo inamakosa gani mbona value ni ile ile. Tunataka picha ya nyerere hapo mhusisi wa Taifa

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 4 месяца назад

      Taifa gani? Tunataka ya Karume sio Nyerere

    • @StephanoMarco-j7q
      @StephanoMarco-j7q 4 месяца назад

      ​@@OmerSuley-gl7goww nae mshenz tu km washenz wengine

  • @Znz-news
    @Znz-news 4 месяца назад +3

    Porojo nyingi za nini???!! Kwani si tuliungana. Tanganyika na Zanzibar kuleni chuma icho 😂😂😂😂

    • @saidabdillahi8107
      @saidabdillahi8107 4 месяца назад

      Ushungi unawakosesha raha na wala sio sura

    • @Znz-news
      @Znz-news 4 месяца назад

      Wapinge muungano tu

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 3 месяца назад

    Namie naziomba wanipe mimi kwa wale wasio zitaka kuzitumia hela halali za Rais wetu pendwa mama wa kiz mkazi kutoka znz.

  • @philipombwambo1980
    @philipombwambo1980 4 месяца назад +7

    Wasije kudhubutu

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 4 месяца назад

    MENGI NI TAKA TAKA ,MPENDA SIFAAAA NI TABIA ZA WAKINA MAMAAA

  • @AlfaniShabani-i2x
    @AlfaniShabani-i2x 4 месяца назад

    Sio sahii kabisa

  • @gelshonmlila
    @gelshonmlila 4 месяца назад +1

    Na mimi pia nakupenda umaarufu ila nyerere na habedi karume hawa tuache hata kwenye umeme kodi ya mwezi bado na dozo mbona kwa hizi pesa tunaomba miasa kwa wenzetu kinawakati unakumbuka hata matokeo ya nyuma ila atuwezi kumpata rais kama maguu na nyerere Mungu atusaidie sana katika uchangiaji wa 2025

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 4 месяца назад +2

    Muacheni baba wataifa itapendeza nyinyi mulio kuepo jiwekeni kwenye vitenge ccm

  • @NasoroZubery
    @NasoroZubery 4 месяца назад +1

    Wekeni picha ya diddy

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 месяца назад

    Wekeni noti ya elfu hamsini na nyie hamuoni wezenu wana nusu lialy wana lialy moja wana lialy tano wana lialy kumi wana lialy ishilini wa lialy hamsini sada sisi jamani elfu kumi mwisho ushauri wangu kwa serikali tengenezeni noti ya shilingi elfu hamsini

  • @GreyGosbert
    @GreyGosbert 4 месяца назад +2

    Sa si bora iwekwe picha yanguuu😢😂😢😂😢😂

  • @ibrahimubalongo6635
    @ibrahimubalongo6635 2 месяца назад

    Aiseh nimeumia Sanaa badara ya kumuweka Magu daaah akiamungu m2 akifa wanasahau mema yake

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 29 дней назад

    Kwani Nyerere vamekosa nini ndani ya nchi hii?

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy 3 месяца назад

    Mara paaaap,not picha ya mama kwenye not then kwenye uchaguzi wa rais kashindwa,patam hapooooo😂😂😂

  • @PeterMush
    @PeterMush 4 месяца назад

    Bhanaaa eeeeh anko magufuli au nyerere ndo wapaswa kuwa kwenye noti hiyoo sio huyo mama kilemba hakitoi

  • @MEHMETMTONGA-d3b
    @MEHMETMTONGA-d3b 3 месяца назад

    Hongera Trampo

  • @FocusBoy-ev30v
    @FocusBoy-ev30v 4 месяца назад +2

    Bora mngemueka magu

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 4 месяца назад +7

    Heri akae nyerere

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 месяца назад +1

      Huyo ndiye anayestahili kwani ni muasisi wa taifa na alitetea maliasili na bandari zetu.. sio huyo fisadi anayetuuza kwa waarabu..! Hana heshima hiyo!

    • @jokhahamoud4849
      @jokhahamoud4849 3 месяца назад

      Naona mmekaamdomo juu kutaja waarabu hamuoni makabila mengine ? Acha unyau ww​@@josephgomalo41

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 4 месяца назад

    Mkiacha hili mnashika lile ,mradi tu mko huru kusema lkn maneno yameponza mdomo ,Mungu yupo ndomnaleta laana

  • @NolaskoMwinuka-s5v
    @NolaskoMwinuka-s5v 3 месяца назад

    Hiyo noti haifai kabisa mama aibadilishe

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 4 месяца назад +22

    kwanini wasituwekee picha ya kipenzi chetu magufuli ingewekwa picha ya magufuli hata pesa yenyewe ingekua na baraka lakini sasa hivi ndio nini tena

    • @MdUsman-nz6sd
      @MdUsman-nz6sd 4 месяца назад +1

      Maneno kuntu

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 4 месяца назад

      magufuli ni mtume au?

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 месяца назад

      @@MohdJuma-w6lkwahy samia ni mama wa mtume au 😏😏😏😏😏😏

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 4 месяца назад

      @@LatifaCharles ww ndo umesema

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 месяца назад +1

      @@MohdJuma-w6l ebu acha basi mm sitaki hy picha ata jina lake nikiskia nahs homa

  • @jophreyntashobo7311
    @jophreyntashobo7311 4 месяца назад

    Mimi ni mtu wa kwanza stoweza kuitumia hii noti

  • @nasrimwangangi313
    @nasrimwangangi313 4 месяца назад +1

    Shilingi elfu kumi 😂😂

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 4 месяца назад +1

    Hatutaki huyu mama wamuweke hata magufuli tutashukuru

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 4 месяца назад +1

    Naomba Noti zetu za Tanzania. Noti zote ziwe na picha za Baba Wa Taifa. Sababu aleio piganiya inchi ni Baba wa Taifa Nyerere.

  • @عاىشةالصبحي-م6ه
    @عاىشةالصبحي-م6ه 3 месяца назад

    Maana yake tanzania znz,😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tanzania bara tumeuzwa

  • @FestoMunishi-q4d
    @FestoMunishi-q4d 7 дней назад

    Hapana notii ibaki ile ile nyrkundu alafu huyo mama hapna

  • @MayaLupatu
    @MayaLupatu 4 месяца назад

    Mtihani na kilio watanzania

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 4 месяца назад

    Hamna noti hapo hiyo ni mbinu inayotumika kujua akili za watu ,kwamba wangapi wataropoka na wangapi watakaa kimya ni maunjaja tu inayotumika kujua akili za watu

  • @ANTONY-g6g
    @ANTONY-g6g 4 месяца назад

    Bira siasa tuheshimu sana Ile noti ya mwanzo so mm siungani na Hilo tuendelee kutumia ya mwanz

  • @JacksonLihawa-z7g
    @JacksonLihawa-z7g 4 месяца назад

    Rangi ya uumbaji wa muumba chanzo halisi nzuriii hatu taki nyekundu ni vita ufunuo 12:3

  • @edisonsanga5288
    @edisonsanga5288 4 месяца назад +8

    Bora picha ya jpm ingekuwa bora

  • @عاىشةالصبحي-م6ه
    @عاىشةالصبحي-م6ه 3 месяца назад

    Macho yenyewe kama kanywa pombe ya mnazi 😂😂😂😂😂😂😂😂 ukoloni unaludi tanzania tuandaeni silaha vita inakuja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 4 месяца назад

    Rais ni mama awe mfano kwa dunia

  • @Samwelkhan-v4m
    @Samwelkhan-v4m 4 месяца назад +2

    Wrkeni hata picha ya Sanam la posta Inatosha. Msi tusumbue

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 месяца назад

    Wanataka kumfuta Nyerere kijanja

  • @EmmanuelSaimonJanikila
    @EmmanuelSaimonJanikila 4 месяца назад

    Si kweli

  • @alexandermduwile9103
    @alexandermduwile9103 4 месяца назад

    Jamani Wa Tanzania wenzangu,
    Hata kama hu ungimko hoja yamtu, si vema kumtukana.
    Tuheshimu Utu wa mtu na Mamlaka pia.

  • @BeatriceMshana-w4b
    @BeatriceMshana-w4b 2 месяца назад

    Duh uwiii nimesikia hadi kuchanganyikiwa kumbe uwongo

  • @DanielLaizer-c9g
    @DanielLaizer-c9g 4 месяца назад

    Hatutaki tena picha yenyewe ni bora ya jpm au nyerere au hata mwingni syo mama

  • @NeemawiharaWiharaneema
    @NeemawiharaWiharaneema 3 месяца назад

    Kila rais ata badirisha ela au

  • @stellahrajabu3349
    @stellahrajabu3349 28 дней назад

    Inafanana na buku 😢😢😢

  • @WillyKyando-d3j
    @WillyKyando-d3j 3 месяца назад

    Wange bakia waasisi.wa nchi na picha za wanyama Kila rais akiwa madarakani awkiweka picha itakua sio sawa

  • @AustinJoshua-w8i
    @AustinJoshua-w8i 4 месяца назад

    Iko bomba

  • @OthumaniKadama
    @OthumaniKadama 4 месяца назад

    Ujue ni kweli kawaida ya viongiz wa Tz wanajisahau Kia tupo kwenye utandawaz lila kitu kipo waz wacpo sema wenyewe cmc tunazipata ughaibuni

  • @Mariamjaromedevu
    @Mariamjaromedevu 4 месяца назад

    Cjaipenda kabisa

  • @Merrymorris-u3c
    @Merrymorris-u3c 4 месяца назад

    Mbayaaa

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 4 месяца назад +3

    Mnachezea pesa kweli

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 4 месяца назад +1

    Si bora mtuwekee hata picha ya twiga hiyo noti itaeleweka zaidi.

  • @ProducerModo
    @ProducerModo 4 месяца назад

    Tanzania noma Sana Ni ya moto

  • @OleLucas
    @OleLucas 4 месяца назад +1

    Ata hauna sababu ya kuchafua pesa zetu hii ni kama kanza ndani ya moyo tunao marais wawili pendwa baba wa taifa nyerere na mh: mgufuli wetu aki umetumbusha uchungu wewe nenda kaae kwako maana tulishajua kuwa umewahi kuwa rais hatujapinga hilo lakini kwenye pesa

  • @khalidmsuya6795
    @khalidmsuya6795 4 месяца назад +1

    Iñapendeza Itolewe Ya Namna Hiyo

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 4 месяца назад

    Wekeni sheikh nyundo

  • @RichardKaranja-m3o
    @RichardKaranja-m3o 4 месяца назад

    Huyo anafaa kuuwawa aingie juzi na anataka awe na hela ,,,nchi yenyewe inanuka shida

  • @naipendanchiyangu9631
    @naipendanchiyangu9631 4 месяца назад

    Mimi nailona yupo sahihi KWASABABU YEYE amekuwa RAIS WA kwanza MWANAMKE Tanzania binafsi naona wapo sahihi

  • @MbundaSaidi-xg9vx
    @MbundaSaidi-xg9vx 4 месяца назад

    Wamuweke John Pombe

  • @d.m453
    @d.m453 4 месяца назад

    Bora isiwe kweli

  • @Ben-kc1om
    @Ben-kc1om 4 месяца назад +1

    Pumbu zako kama vitunza mbegu vya nyumbu mwenye utapiamuli😂😂😂😂😂

  • @BashiteShimba
    @BashiteShimba Месяц назад

    Kwanza haifai

  • @JimsonMchala
    @JimsonMchala Месяц назад

    Saw tumewaelewa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 4 месяца назад +2

    ATUKOME NA WALA ASILIOTE HILI..! Hana adabu! Mtu anapewa heshima sawa na Baba wa Taifa wakati hana alichokifanya kwa Tangayika zaidi ya kuua wamasai na kuuza bandari zetu tulizoendeleza tangu uhuru! samia anataka kuitwa mama huku akituuza kwa waarabu? Ni nini alicholifanyia Taifa atake kuwekwa kwenye pesa? nani anataka kumkumbuka huyu mwanamke?

  • @RichardKaranja-m3o
    @RichardKaranja-m3o 4 месяца назад

    Isiwe ukweli kabisa miaka nenda rudi

  • @LekumokLaizer
    @LekumokLaizer 29 дней назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @shedracksebastian3090
    @shedracksebastian3090 4 месяца назад

    Kwa maoni yangu mimi naona noti hii nimuhimu kuwepo ili ijulikane kuwa ktk Taifa letu Tumewai kuongozwa na Mama shupavu ninzuri pia hata kwa uwakilishi wanawake wote nchini hii ni heshima kwetu watanzania pia imebaransi ktk pande mbili tumekuwa na noti ya Baba wa taifa pia kwa sasa Mama anastaili sana.

    • @Mayasa-o2w
      @Mayasa-o2w 4 месяца назад

      @@shedracksebastian3090 mama ako wewe sio mamaetu sisi kila siku tunalia watoto wanapotea watu wanauliwa hali imekua ngumu ajira hatuna vijana wanahangaika tu pesa imekua ngumu alafu eti mama shupavu eti iwe kumbu kumbu kumbu kumbu gani nzuri basi.

  • @MikeSimukanga
    @MikeSimukanga 4 месяца назад

    mama ni shetani

  • @LevinaModrick
    @LevinaModrick 4 месяца назад

    Zina toka kweri au

  • @gracemwagange
    @gracemwagange 4 месяца назад

    Na kwa jina la yesu isiwe kweli, na iwe ndoto ivo ivo bira awekwe magufuli na sio huyo

  • @deogratiusdeo6954
    @deogratiusdeo6954 4 месяца назад

    😢mi binafisi naona yuko sawa maana ndo rais wetu kwa sasa

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 месяца назад

      No waweke ya simba la masimba tu sio uyo

  • @AidanNsasu
    @AidanNsasu 4 месяца назад

    Haya tupige kura kasmu majaliwa na huyuDemu nanianafaa kuwekwakwenyehiyonoti{tunacheza sarakasi jamani🤸‍♂️🤸‍♀️💃💃🏄‍♀️🏄‍♀️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♀️🤸‍♀️Hiimiaka {5} niyamoto jamani}

    • @allymohamed2724
      @allymohamed2724 2 месяца назад

      Ni Nani Mamake sio demu? Pamb..........

  • @rehemanamangwamba
    @rehemanamangwamba 4 месяца назад

    Mmmh 😂😂 mbn kama elfu 1000 ya zaman,,,,,, waache tyu shuka yetu ya kimasai 😅😅,,,,,,,,,bora iwe uongo tyu