- Видео 91
- Просмотров 1 419 884
GACHI TV Online
Танзания
Добавлен 31 июл 2018
Gachi TV Online ni channel ya kipekee unayojihusisha na ukusanyaji, utayarishaji na urushaji wa Habari mbalimbali ikiwemo Matukio, Michezo, Burudani, Siasa na Vipindi vya uelimishaji kwa jamii.
Karibu Sana, ili kuwa wanafamilia wa Gachi TV Online tafadhari usisahau ku bonyeza neno Subscribe kisha alama ya kengele, pia Share, like na Comment katika video zetu.
Kwa mawasiliano zaidi ya kikazi tupigie kwa namba 0615806116.

A-Z ALIYOYAONGEA BOSI TARIMO KABLA YA KUINGIA KWENYE MSALA WA KUTEKWA | ALILIA KAMA MTOTO
A-Z ALIYOYAONGEA BOSI TARIMO KABLA YA KUINGIA KWENYE MSALA WA KUTEKWA | ALILIA KAMA MTOTO
Просмотров: 34 279
Видео
UTARATIBU MPTA WA MIKOPO 10% UTAIMALISHA UREJESHAJI.
Просмотров 919 часов назад
UTARATIBU MPTA WA MIKOPO 10% UTAIMALISHA UREJESHAJI.
AFISA WA TAKUKURU AFUKUZWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
Просмотров 1239 часов назад
AFISA WA TAKUKURU AFUKUZWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
ASKARI MGAMBO ZAIDI YA 425 WAPEWA NONDO | KARETI KUSIMAMIA UCHAGUZI | USIGUSE HAWA NI HATARIII
Просмотров 26219 часов назад
ASKARI MGAMBO ZAIDI YA 425 WAPEWA NONDO | KARETI KUSIMAMIA UCHAGUZI | USIGUSE HAWA NI HATARIII
TAZAMA!!! MAZISHI YA GRACE MAPUNDA | RC CHALAMILA NA MWAMPOSA WASHINDWA KUJIZUIA
Просмотров 547День назад
TAZAMA!!! MAZISHI YA GRACE MAPUNDA | RC CHALAMILA NA MWAMPOSA WASHINDWA KUJIZUIA
KAMANDA MURILO AELEZA HALI YA KIUSALAMA ILIVYO JIJINI DAR ES SALAAM
Просмотров 168День назад
KAMANDA MURILO AELEZA HALI YA KIUSALAMA ILIVYO JIJINI DAR ES SALAAM
GRACE MAPUNDA (TESSA) AACHA URITHI KWA DRANAZ | HUU NDIO UTAJIRI ALIOKUWA NAO KATIKA INDUSTRY
Просмотров 3,9 тыс.День назад
GRACE MAPUNDA (TESSA) AACHA URITHI KWA DRANAZ | HUU NDIO UTAJIRI ALIOKUWA NAO KATIKA INDUSTRY
KIMEUMANA!!! MAKONDA NA MKURUGENZI (AUWSA) MAJIBU YA PAPO HAPO | AMJIBU WE HUOGOPI | Idara ya Maji.
Просмотров 32221 день назад
KIMEUMANA!!! MAKONDA NA MKURUGENZI (AUWSA) MAJIBU YA PAPO HAPO | AMJIBU WE HUOGOPI | Idara ya Maji.
MCHEKESHAJI NDARO POLISI KISA VIDEO YAKE HII👆👆👆👆 AMTUHUMU ASKARI KUMTAPELI
Просмотров 57528 дней назад
MCHEKESHAJI NDARO POLISI KISA VIDEO YAKE HII👆👆👆👆 AMTUHUMU ASKARI KUMTAPELI
SERIKALI YARUHUSU KUMILIKI BUNDUKI | kwa Mujibu wa sheria | POLISI_ WAAGIZWA KUSALIMISHA SILAHA WA
Просмотров 4,2 тыс.28 дней назад
SERIKALI YARUHUSU KUMILIKI BUNDUKI | kwa Mujibu wa sheria | POLISI_ WAAGIZWA KUSALIMISHA SILAHA WA
🔴PUTIN ATUPA DONGO IPU | DKT. TULIA SIJAMWAGIZA AWAFOKEE |She said she is not a God nor an Angel.
Просмотров 9 тыс.28 дней назад
Tafadhari usisahau ku bonyeza neno Subscribe kisha alama ya kengele ili kuwa wanafamilia wa GACHI TV Online Asante.
MEJA JENERAL MBUGE AFARIKI DUNIA LEO | MKUU WA JKT | MKUU WA MKOA WA KAGERA.
Просмотров 14 тыс.Месяц назад
MEJA JENERAL MBUGE AFARIKI DUNIA LEO | MKUU WA JKT | MKUU WA MKOA WA KAGERA.
WANAWAKE WAKANA WAUME ZAO MBELE YA RPC
Просмотров 282Месяц назад
WANAWAKE WAKANA WAUME ZAO MBELE YA RPC
HUYU HAPA ALIYE MUUA ISRAELI KWA KUMPONDA UUME NA KORODANI - ARUSHA
Просмотров 568Месяц назад
HUYU HAPA ALIYE MUUA ISRAELI KWA KUMPONDA UUME NA KORODANI - ARUSHA
HABARI MPYA_BONIFACE JACOB ATAMKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA | NIPO TAYARI MNIUWE | SIRUDI
Просмотров 355Месяц назад
HABARI MPYA_BONIFACE JACOB ATAMKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA KWA DHAMANA | NIPO TAYARI MNIUWE | SIRUDI
D VOICE na MBOSSO nani anatoka na YAMMY????
Просмотров 96Месяц назад
D VOICE na MBOSSO nani anatoka na YAMMY????
ZUCHU ATINGA MSIBANI AKUTANA NA EX WA DIAMOND, "PENNY WA MONDI"
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
ZUCHU ATINGA MSIBANI AKUTANA NA EX WA DIAMOND, "PENNY WA MONDI"
EXCLUSIVE : CHINO "AFUNGUKA MAZITO KIFO CHA DIDA" NILIKUWA NA NDOTO.
Просмотров 64Месяц назад
EXCLUSIVE : CHINO "AFUNGUKA MAZITO KIFO CHA DIDA" NILIKUWA NA NDOTO.
TAMKO ZITO LA RPC | MARUFUKU MHALIFU KUPIGWA
Просмотров 139Месяц назад
TAMKO ZITO LA RPC | MARUFUKU MHALIFU KUPIGWA
MSAMAHA WA WATANGAZWA | WAMILIKI WA SILAHA BILA KIBALI WATAKIWA KUZISALIMISHA KWA HIALI
Просмотров 741Месяц назад
MSAMAHA WA WATANGAZWA | WAMILIKI WA SILAHA BILA KIBALI WATAKIWA KUZISALIMISHA KWA HIALI
MAJIBU YA WANAFUNZI NI HAYA | KUHUSU NDOTO NA MALENGO YAO | TAZAMA HII
Просмотров 165Месяц назад
MAJIBU YA WANAFUNZI NI HAYA | KUHUSU NDOTO NA MALENGO YAO | TAZAMA HII
TUKIO!! WATOTO 03 WANATEKETEA KWA MOTO BILA MSAADA MDA HUU | WOTE WA FAMILIA MOJA | MAMA YAO AZIMIA
Просмотров 4,3 тыс.Месяц назад
TUKIO!! WATOTO 03 WANATEKETEA KWA MOTO BILA MSAADA MDA HUU | WOTE WA FAMILIA MOJA | MAMA YAO AZIMIA
MCHUNGAJI HUYU APONZWA NA UKARIBU KWA P DIDDY | OBAMA NA TRUMP WANAHUSISHWA | ORODHA YATAJWA!!!!!
Просмотров 307Месяц назад
MCHUNGAJI HUYU APONZWA NA UKARIBU KWA P DIDDY | OBAMA NA TRUMP WANAHUSISHWA | ORODHA YATAJWA!!!!!
BALAA ZITO!!! LAIBUKA CHADEMA ( BAWACHA) WAANZA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS SAMIA | WAKIIMB
Просмотров 3,6 тыс.Месяц назад
BALAA ZITO!!! LAIBUKA CHADEMA ( BAWACHA) WAANZA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS SAMIA | WAKIIMB
SHUHUDIA | MSAJILI LAINI ALOVYOTAKA KUCHINJWA KAMA KUKU | BAADA YA KUIBA SIMU
Просмотров 1,3 тыс.Месяц назад
SHUHUDIA | MSAJILI LAINI ALOVYOTAKA KUCHINJWA KAMA KUKU | BAADA YA KUIBA SIMU
HARI YA MBOWE NI TETE | MADAKTARI WANAENDELEA KUHANGAIKA | INASEMEKANA KAPEWA SUMU DAH!!
Просмотров 1,2 тыс.Месяц назад
HARI YA MBOWE NI TETE | MADAKTARI WANAENDELEA KUHANGAIKA | INASEMEKANA KAPEWA SUMU DAH!!
TAZAMA!!! UZEMBE WA DEREVA WASABABISHA VIFO 11 NA MAJERUHI 20 | POLISI YATOA TAMKO KWA MADEREVA NCHI
Просмотров 1,1 тыс.Месяц назад
TAZAMA!!! UZEMBE WA DEREVA WASABABISHA VIFO 11 NA MAJERUHI 20 | POLISI YATOA TAMKO KWA MADEREVA NCHI
TAZAMA POLISI WAJITOA KUOKOA BINTI ALIYETEKWA KWENYE JUMBA BOVU | RISASI NA MABOMU YATUMIKA MDA HUU!
Просмотров 199 тыс.Месяц назад
TAZAMA POLISI WAJITOA KUOKOA BINTI ALIYETEKWA KWENYE JUMBA BOVU | RISASI NA MABOMU YATUMIKA MDA HUU!
BONIFACE JACOB KWENDA JELA TENA | HAKUNA DHAMANA | AWA MPOLE SANA KIPINDI HIKI | MAJIBU YALIMPONZA
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
BONIFACE JACOB KWENDA JELA TENA | HAKUNA DHAMANA | AWA MPOLE SANA KIPINDI HIKI | MAJIBU YALIMPONZA
TUKIO LA AJABU!! MWILI WAKUTWA KWENYE BUTI UKIWA KIFUA WAZI | MASHUHUDA WASEMA NA SIMU ILIKUWA KWENY
Просмотров 14 тыс.Месяц назад
TUKIO LA AJABU!! MWILI WAKUTWA KWENYE BUTI UKIWA KIFUA WAZI | MASHUHUDA WASEMA NA SIMU ILIKUWA KWENY
Kumbe shehe ndo katuma majambazi😢
Mm sio katoliki wala dhehebu lolote la kikristo,mm ni mslimu kufia na mungu aniwezeshe mpaka safari yangu ya mwisho ya kabri basi ni naimani hiyo,lakini katika viongozi wa kiimani ni kimtoa shehe ponda ambae namwamini zaidi katika fikra zake na salifasa, wanatafa viongozi zaidi ya wa nne wakatoliki ambao na wakubali sana wanamwono na wana misimamo hata kufia,na hivyo ndivyo ubora mungu alivyotuletea,yaani usimame katika kile cha haki bila kuangalia ukuta uliombele yako ,mm ni seme tu viongozi wa dini au waserekali dunia sio kijiji tena wala watanzania sio wajinga tena chunga kauli zenu utajiabisha tu
Binafsi mm ni muslimu,lakini kiukweli nchi inataka wazalendo sio machawa,nchi imekuwa ya jabu sana yaani chawa ni mtu mkubwa kuliko mama anauza vitumbuwa ili asomeshe watoto na ikiendelea hivi hata kama sisi wana nchi au wapiga kura hatupendi na viongozi wa nchi wakiangalia ujinga huu basi tutakuwa na nchi ya hovyo sana, na itoshe viongozi wa dini yoyote kabla hajasema chochote ili asiharibu heshima dini yake ajipime maana viongozi wa dini wamekuwa machawa pia,kama huyu shehe sijaona Kuna kitu Cha kujibu,viongozi jitaidini kujiongoza kabla hujaongoza.
Wewe shee hujielew wewe unaonaje
Shee hajitambui
Wewe jinga isii cccm
Jamani mbona wenzetu huwa wanasema WANAFIA DINI shekh kwani shida iko wapi ???
Huyo shekh mala nyingi huwa anakulupuka sana.
Huyu sio shekh hili nisenge la bakwata
Nikweli nchi inaongozwa na sheria huyu shehe mzenji anataka kutuambia nini ?
Sio TARIMO HUYU
Yaani huyu ahehe anachuki kabisa na haelewi anachosema
Wakoloni weusi Wana roho mbaya sana mswahili kutawala sio vizuri tuvumiliane nchi yetu sote zamu yenu itafika
Huyu sio tarimo
Bona hiyu jamaa alikuwa sahii kumkosoa huyu jamaa hata sisi wanadini alitukwaza kukosoa kiongozi wa katoliki
Sasa wewe Bonge unatekwa Kwa sababu Gani!? Wakifikiri ni vema wamteke aliyesema wakione!!
Ee mungu tusaidie wewe uko juu juu ya yote uwalipe wote wanaoteka na kuuwa wenye haki walipwe dawa na kazi zao
Mashehe wasasa njaa tumbo
Amina mungu mwema
Huyu shehe tunakutaka uliongelee Lile la tarimo kutekwa hotelini usituletee.udini tulikuheshimu wewe Askofu shoo mmekwa machawa acha unafiki
Sio tarimo...kwanza tarimo aongei hivo
😂sasa hapa tunajua waliomteka ni vijana wametumwa na viongozi fulani
Shehe usijali birian zipo kila ijumaa 😂😂 na siku hizi zina pepsi na coca cola😂😂
Akiongea muislam mnakuja juu mbona wanaongea makanisani hampigi kelele mbwa nynyi
KWANI KUNA SHERIA MTU AKIKOSOA SERIKALI ATEKWEE?
Samia kitu gani uyo,mavi tuuu,nchi siyo ya samia, nchi ni ya watanzania so what brooo, unamtetea mtu anaye angamiza nchi kila pakikucha
Huyu shehe matope nadhani Hana elimu hata kidogo kweli ndio naamini huyu ni mija ya machawa
Kama ndo wewe uliyenusurika kutekwa na watu wengi tukakusikitikia na kulaani unyama na ushenzi uliofanyiwa basi kumbe ni mpuuzi, katafute clip ya uchochezi ya maaskofu usikilize wanachozungumza halafu ndiyo ndiyo umkosoe shee Mohammed Idd. Kama kweli wewe ni muadilifu na unaipenda Tanzania kwanza ungeanza kuwakosoa wale maaskofu waliokuwa wakitukana na kuwagawa watanzania kwa misingi ya udini, lakini kwa kumkosoa huyu shee hali ya kuwa anachoongea ni sahihi kwa sababu anawarekebisha maaskofu waliotukana wawe waadilifu na wasiwagawe watanzania, ndugu kwa kauli yako hii ya kuegemea upande mmoja basi hauna maana yoyote, ni mpuuzi sawa na wapuuzi wengine.
Siyo shekh ni usalama wa taifa lakini hii serikali si Ina msemaji!
Uyu jamaa mbonakama manenoyake yanauchochezi je nikweli ni talimo au ndo mwendelezo wa chuki nakutaka kutugawa mkumbuke wamaghalibi wanataka nchiyetu usiku na mchana aaya nyie endeleeni mwanakulitafuta mwanakulipata
Wanaitaka Ili iweje na wewe acha kuishi kwa kukalilishwa kauli za wajinga wa CCM wanaokudanganya
Mimi nasema kama serekali inasema hawajuii watekaji waseme siku tukiona mtu anatekwa wananchi tuwashughulikiee watekaji
Hilo ni la kuuliza Tena ,wangapi wamepotea Na police hawajawahi kutupa majibu , Sasa yeyote anayekuja bila kupitia Kwa viongozi wetu wa mtaa Na waje Na jeshi la police Ni Mawe Na kila tutakachokiona kinafaa kuwachakaza ,tuwachakaze.
Nchi inaongozwa Na sheria ndio , Sasa hivi tunauona Mambo kila mtu kuwa msemaji kila mtu kutoa majibu yasiyomhusu , Na viongozi wamekaa kimya ifike wakati viongozi wetu wa Dini mseme kweli hata ka Niwa Dini yako m mbona askofu shoo alimwambia maguguli inchi haiongozwi hivyo ,mbona hamkusema anakosea , Na Leo Samia amekuwa kimya Sana ,yeye kama raisi lazima akubali lawama hizi , Na kama hazikubali Basi kiti kimemshinda , unapokuwa kiongozi mkubwa Na changamoto zake Ni kubwa kila kitu utatupiwa Ni lazima azikubali Na kujitahidi kuzipunguza maana hatozimaliza . Sasa waende Kwa Ruto wakalalamike huko ili
Mbna syo yy,yan hata hawafanan hata kdg
Nchi lazima iongozwe na sheria na sio mtu ,kuhusu Tanzania ni nchi ya kwanza duniani kuwa na machawa wengi
Kwani wewe shehe na wewe ni chawa? au nimiongoni mwa wiohongwa mamilioni ya kodi zetu ilikutetea watawala 😢
Kumbe jamaa wangelimuua aisee tumefika pabaya kuzungumza tu mtu anatafutwa na wasiojulikana ili wamuue mungu simama nasi
Kumbe wewe kutekwa kulikuwa na sababu basi wewe ndio mkosa basi hapo hakuna kunyanyashwa
Kwahiyo wachawa ndiyo walikuwa wameamuwa kutaka kumuuwa Tarimo sasa huo utawala gani basi mbona hata katika Inchi za kiislam wanasheria za kutawala Inchi lakini sasa Tanganyika mnataka kutawala kiucgawa tu.
Kwahiyo walikuwa wamekuja kumchukuwa ili wamuwe kama walivyo muuwa Kibao?
Shehe punguza njaa
Huyu shekhe mbona anajulikana Nchi yote kuwa mchochozi wenzake walimfukuza
uongo wala sio tarimo
Nchi yetu sote hii, sio ya watawala, jamani wakati wa uganda alipo tuvamia mwalimu alitangaza vita, watanzania tulingana je, leo ikitokea kwa bahati mbaya atuombei, je tutaungana kweli? Mana nchi yetu ina ubaguzi , tofauti na wakati wa mwalimu hii ni hatari sana,kwa taifa letu tujisahishe viongozi wetu
Hivi karibuni kila mtu atajinadi na dini yake ni hatari sana.
Mnatakakutuletea udini sasa hapo kakosea wapi sasa kama sio shelia ni nini bc tusingekuwa na vyombo vya usalama
Kwaiyo mnataka tuwe kimya taifa letu linakwenda wapi, Mungu katupa hakili,na fikra, serekali imetupa elimu, nini mahana yake
mungu yupo wewe shee anakuona achauongo wako
Mbona km sio yeye coz Tarimo anakithembe lakini huyu anaonge vizuri tyuu
Huyoo tarimo alisema yeye hayupo kwenye siasa nahapa alikuwa anafanya Nini Kumbee alijiingiza kwenye uanaharakati kimtandao! Ajitokeze akane kama sio yeye
Jamani huyu mohamedi idd kutoa mawazo yake kama mtanzania hakuna kosa la huyu sheikh lionekane jambo la ajabu kuliko la yule mchungaji aliyesema aliongea na mungu wake sio wetu kuwa mama.hatoboi 2025 na huyu siyo mara ya kwanza kama SI yeye mwenzake ambaye alisema mungu hamtaki mama kuwa rais. lakini mungu wake yeye acha huyo Kuna watu Tena wanasiasa waliorudi Toka ughabuni alisema nanukuu mama nimepata maono kuwa maneno mengine hafai kuyarudi. Na wengi wanapata matamko ya Jabu ni viongozi wa dini wa upande wa pili.mohamedi iddi anayo haki kusema kama wengine walivyosema. Wapi akina munisi muimbaji wa nyimbo za injili alisema maneno ya ovyo kabisa Lakini hatukusikia Kuna udini. Msiwafunge watu midomo kwa kisingizio Cha udini tuwe wakweli.mtu yeyote anayo haki ya kutoa maoni yake
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu ni mchezo wa kuigiza alitekwaji halafu ni wakati gani alivuliwa shati? Alisema kuwa alikwenda kuongea na wafanya biashara wenzake kwa hiyo anawajua .Mimi siamini na narudia Tena polisi fanyeni kazi yenu ya upelelezi vizuri huo ni uongo Tena uongo mkubwa
𝒀𝒂𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒂𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒔𝒉𝒆𝒉𝒆 𝒖𝒌𝒊𝒇𝒖𝒂𝒕𝒊𝒍𝒊𝒂 𝒉𝒐𝒋𝒂 𝒛𝒂𝒐 𝒉𝒂𝒛𝒊𝒇𝒂𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒇𝒊𝒌𝒊𝒓𝒊𝒂𝒈𝒂 𝒕𝒖 𝒌𝒖𝒐𝒏𝒆𝒘𝒂 𝒎𝒊𝒋𝒊𝒏𝒈𝒂 𝒌𝒂𝒃𝒊𝒔𝒂