Jamani mi sijui kama tutavuka kuingia nchi ya ahadi kama bado tuna watu hapa Afrika wasiojitambua, yaani hawa ndio wanaoturudisha nyuma si Mungu ashuke awaulie jangwani kama alivyoua wanafiki enzi za israeili kule jangwani😢😢😢😢😢 Shukurani sana mwakirembe kwa huduma hii njema ya ukuu wa mwaafrika, asante sana Naitwa Kassaa kutoka hapa uganda Kampala mjini
Yaa ALLAH waangamize wanao fanya ufisadi ktk ardhi Ikiwa hawataki Amani Wamagharib na bwana wao wanaona kitu cha kawaida kumwaga damu za watu wasio na hatia Kaeni makwenu tumewachoka
Ahsante sana kwa elimu hiyo,usisite kutuelimisha ili guache huwo unyumbu AFRICA nawaomba tuulinde umoja ,mshikamano na AMANI yetu,hão wanao tuchochea sido tuwauwe ndugu zetu,tuharibu maisha yetu,AFRICAyetu já maslahi yao huwo ni ujinga,inatupasa tumpige aile na akili ya kikoloni,huyo sio mwaafrica mwenzetu
Tunaweza tusibaki kuonba Mungu hapendi kuombwa bila kufanya sababu yaani uombe mtoto huna hata mchunba tuekwanza ndipo tuombe tujipange kuwafukuza Hawa washenzi
tatizo letu sisi africa tunapenda kuishi kwa maombi na imani ndio mana tunapigwa kilasiku. unajua hawa watu weupe waliona wakishatupatia dini na dini ikatukolea atutafanyakazi yani ata ikitangazwa vita utasikia africa wanasema mungu atapambana nao. AFRICA AFRICA AFRICA AFRICA TUAMKENI jmn wenzetu CONGO wanakufa kama kuku
Ni kweli ndugu yangu sisi tuanaishi kwa maombi tu, ndio maana mwakilembe kasema wa africa ni kama manyumbu mwenzetu akiwa anauawa tunamwangalia tu pumbavu
Uislamu ni Amani lakini pia hairuhusu Muislam kudhalilishwa na endapo ukionewa unapata madhambi Muislam hatakiwi kuwa Mnyonge na ndio maana Nchi za Kiarabu piga unavyo jua wewe kupiga hawakubali kushindwa tatizo watu wengi uelewa wa Dini hawaelewi maandiko kazi kukalia tu na kujifanya wana imani hali ya kuwa wapo kinyume na imani yenyewe
@@SokratesStallin Dunia sio makazi yetu Dunia ni Barabara ya kupita na kutembea tu mfano mtembezi anaetembea katika Jangwa kisha akaona mti wa kivuli na kukaa chini ya mti ule kisha aendelee na safari yake alipotoka hakujui na anapokwenda hapajui vilevile sasa hicho kivuli ndio Dunia yenyewe kama hauamini Mungu jiulize aliyeweka Sukari kwenye Tikiti maji ni nani?
Sasa kama mtu anakufukuza kwake ili uende kwako shida liko wapi? Wewe sunajifanya uko super power ni vizuri ukae na usupa pawa yako kwako. Kwa nini kuonewa hivi jamani? Baazi ya Africa ni Nyumbu kabisa.
Wafrika tutatumika na wazungu Hadi lini. Umefika wakati tujiapishe sasa basi kama wazungu wanaungana kwa umoja wao sisi tunasubili nini kungana kama wao. Kama ni siraha tuna marafiki zetu ambo wako tayari kutuunga mkono katika kulilinda bars letu la Afrika. Tusiogope bars letu litalindwa na wafrika wenyewe. Viva Afrika
7:38 HII NDIO MAANA YA KUJIKOMBOA KWA WAAFRIKA TATIXO BAADHI YA VIONGOZI WANAJIPENDEKEZA SANA KWA MATAIFA YA ULAYA HAWAJIELEWI. KWELI TUNAWEZA FANANISJA KUWA SISI WATUMWA
Sisi wa Africa bado tunatatizo kubwa tutaowaowa jee wazungu wakati wao hawaowi wadada zetu sinajuwa shida nini ilasisi bado tunaona Muzungu tunaona kama umepata muke ajabu kwetu guys fugukeni masho Hawa wazungu tuwatimuwe kabisa
Mungu isaidie Africa mungu ibariki burki na Faso mungu bariki ukanda wa saheli mungu msaidie Taraoure🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇫🇧🇫🇧🇫
Mungu simama na urusi simama na putin simama na traole ee mungu waaibishe
Viongozi wa Africa ni vibaraka..Mfaransa na wenzake watajuta kuingia kwenye vita hii siku zimebadilika mashetani watashindwa mkubwa mungu
Mungu amshaidie Ibrahim traore
Viongozi wengi wa africa ni vibaraka wa wazungu
@😊😊❤paschalsafari9747
God be with traore
Jamani mi sijui kama tutavuka kuingia nchi ya ahadi kama bado tuna watu hapa Afrika wasiojitambua, yaani hawa ndio wanaoturudisha nyuma si Mungu ashuke awaulie jangwani kama alivyoua wanafiki enzi za israeili kule jangwani😢😢😢😢😢
Shukurani sana mwakirembe kwa huduma hii njema ya ukuu wa mwaafrika, asante sana Naitwa Kassaa kutoka hapa uganda Kampala mjini
Shukran unafanya kazi nzuri unatuchanua
Allah awanusuri sahel state na Afrika nzima
Tatizo WA Africa ni njaa sanaa hawana umoja maisha tutakuwa nyuma Kwa ujinga huu WA kinafiki
kakangu Hilo limetumaliza afrika
Kabisa shida ni unafiki wa sisi wa Africa sio wazungu
Uafrica ni kazi sana hasa kwa viongozi wetu wanashida sana uvibaraka na undumila kuwili ni mwingi sana
Uko sawa kabisa kaka.Nimanyumbu kabisa,safi sana.
Mwakirembe kazi ipo africa ni tumuombe mungu atuunganishe waafrika tuwe kitu kimoja from 🇰🇪
Yaa ALLAH waangamize wanao fanya ufisadi ktk ardhi Ikiwa hawataki Amani
Wamagharib na bwana wao wanaona kitu cha kawaida kumwaga damu za watu wasio na hatia
Kaeni makwenu tumewachoka
Namjua vizuri Alassane watara. Ivory coast ndio ajali ya nchi za Africa magharibi
USIOMBE RADHI MWALIM UPO SAWA AFRICA HATUNA VIONGOZI SISI
Very true viongoz Africa wanapaswa wapigwe chini wote
Ahsante sana kwa elimu hiyo,usisite kutuelimisha ili guache huwo unyumbu AFRICA nawaomba tuulinde umoja ,mshikamano na AMANI yetu,hão wanao tuchochea sido tuwauwe ndugu zetu,tuharibu maisha yetu,AFRICAyetu já maslahi yao huwo ni ujinga,inatupasa tumpige aile na akili ya kikoloni,huyo sio mwaafrica mwenzetu
Tunaweza tusibaki kuonba Mungu hapendi kuombwa bila kufanya sababu yaani uombe mtoto huna hata mchunba tuekwanza ndipo tuombe tujipange kuwafukuza Hawa washenzi
tatizo letu sisi africa tunapenda kuishi kwa maombi na imani ndio mana tunapigwa kilasiku. unajua hawa watu weupe waliona wakishatupatia dini na dini ikatukolea atutafanyakazi yani ata ikitangazwa vita utasikia africa wanasema mungu atapambana nao. AFRICA AFRICA AFRICA AFRICA TUAMKENI jmn wenzetu CONGO wanakufa kama kuku
Ni kweli ndugu yangu sisi tuanaishi kwa maombi tu, ndio maana mwakilembe kasema wa africa ni kama manyumbu mwenzetu akiwa anauawa tunamwangalia tu pumbavu
Uislamu ni Amani lakini pia hairuhusu Muislam kudhalilishwa na endapo ukionewa unapata madhambi Muislam hatakiwi kuwa Mnyonge na ndio maana Nchi za Kiarabu piga unavyo jua wewe kupiga hawakubali kushindwa tatizo watu wengi uelewa wa Dini hawaelewi maandiko kazi kukalia tu na kujifanya wana imani hali ya kuwa wapo kinyume na imani yenyewe
Nimeyipenda.
Hakuna mungu ulimwenguni kama yupo kwanini asifanye dunia iwe yahaki na mataifayote yawe yahaki
@@SokratesStallin Dunia sio makazi yetu Dunia ni Barabara ya kupita na kutembea tu mfano mtembezi anaetembea katika Jangwa kisha akaona mti wa kivuli na kukaa chini ya mti ule kisha aendelee na safari yake alipotoka hakujui na anapokwenda hapajui vilevile sasa hicho kivuli ndio Dunia yenyewe kama hauamini Mungu jiulize aliyeweka Sukari kwenye Tikiti maji ni nani?
Traore Mungu akuongoze uweze kushinda unyan'gau huu amina
Hongera sna sna Mwalim wa neno la Mungu Benson Mwakilembe kwa uchambuzi Bora sna wa maswala ya kiafrica
Mungu awape ujasiri miamba hao watatu nakuwarinda sawasawa
Viongozi wa Afrika ni manyumbu kwl bro waamshe waelewe
Mentality na laana ya ukoloni haitawatoka viongozi wetu pamoja na laana ya wivu ndo itaimaliza Africa
Congratulation brother, tujuze zaidi kaka.
Vive Ibrahim Traoré vive kisekedi 🇨🇩🤝✊ vive poutine 🇷🇺 vive xi jumping 🇹🇷 vive coré du Nord
Mungu atamfadhila, France, wamezidi, washugulike huko kwao,
Aiseee tunatakiwa kupambana saana hawa manyang'au watatutesa sana
Umoja ni nguvu utengano niudhaifu!!!Ee Mungu wape nguvu na ujasiri uwalinde popote waingiapo watokapo uwe pamoja nao nakupata ushindi kwa Kila jambo💪
Hongera sana UKUU WA MWAFRIKA Kwa kuwasema Viongozi ,Vibaraka na makuwadi wa ULAYA
Sasa kama mtu anakufukuza kwake ili uende kwako shida liko wapi? Wewe sunajifanya uko super power ni vizuri ukae na usupa pawa yako kwako. Kwa nini kuonewa hivi jamani? Baazi ya Africa ni Nyumbu kabisa.
Huyu mfaransa ni mshenzi kwani hapa kwao kenge hawa
Yani hawa niwashenzi sana eti niwana democracy
We still have long way to go for Africa liberation from Manyangau na vibaraka wao hypocrite African leaders..
Big up Mwakyembe . God bless Africa
Hamna chakuomba radhi
Mwalimu
Upo sawa
Mungu yupi atakaye msahidia Traore Zaidi Ya sisi waaafrika wenyewe tumsahidie Traore ,Mimi Nina marafiki wazungu nyuma yangu,Mimi nitafanya yangu ninayo yajua.
Na huu ndio ujinga wetu waafrica tunabaki kusema mungu tusaidie wakati wenzetu wanaaungana kutushambulia, MUNGU ashatupa akili tuitumie
Tukisema imetosha kuwa vibaraka watatuelewa
Ulafi wa maisha,madaraka pia,angalia viinchi VA kishamba vinamsaliti nduguyao ,traor e sio zelensk kibaka mrus anasaliti kwao huyu mwafka
Allah amhifadhi ndugu yetu Ibrahim Amiin
Mungu akuongoze na akulinde dhidi ya maadui zako
Traole for Africa🇹🇿🇹🇿
Utumwa huu utaisha lini Africa yetu ilove Africa❤❤❤
Mungu atamlinda ishaallah Ibrahim
Mchambuzi asante sana
Fukuza kabisa waende kwao traore never give up
🤔🤔 kweri Africa 🌍 Haina mtume God bless you 🙏 Ibrahim traore
Ninakuelewa sana mwamba
Tuingiyeni raiya kuisaidiya Africa la sihivo viongozi wetu maisha watatutesa na wazungu
Kwali kaka ni manyugu
Dah kweli unyumbu upo
Mungu tetea African
Namkubali sana huyu Mwamba Ibrahimu Taore Mkombozi wa Bara la AFRICA
Upo vizuri kaka
Nakukubali sanaa mwalimu
Africa tujiulize tunamsaidiaje huyu kamanda ,sawa wanamuwinda sana tuseme hatutaki
god bless u our leader Ibrahim traure
Mungu amnusuru Ibrahim Traore na kila shari ya manyangau.
Mwalimu nakuelewaga sana
Ni Manyumbu kweli sio uongo
Tunatakiwa Africa tuwe kitu kimoja kuliko kuendelea na manyangau haya
Mungu wa wazungu hawezi saidia Africa tutafute mungu wa African
Mungu atawalinda😊
Wa Africa tumesha rogwa
Kikwel uwongozi wako ní mzuri sana ifike mda tukatae utumwa
Tunakutaki mushan chem munguyuko nawe baba❤❤❤❤
Tuko bize eti pray for Israel 😂😂😂😂 siwezi kuiombea Israel wakati africa tunateseka. I'm a true africanist
Bro umeongea kwa uchungu aki, urindwe sana. Nakuelewa bro kuipigania Africa niko nyuma yenu
Mungu atawasaidia.
Mpe wasia asome sana adhikarr za asbh na jioni Allah atamlinda Insha Allah.
Hongera kwa kusema ukweli kuhusu UNYUMBU
Mjomba,awa wazungu inatakikana nao wawe wanauawa uku kwetu afrika,labda nao wataanza kutuogopa
Adui ya mwafrika ni mwafrika
Baadhi ya viongozi wa Africa hovyo sana.
kaka mwakilembe hongera sana kwzhilo yanii viongozi wengi wakubwa wakiafrika nimachawa wakizungu yani niwasenge tupu
Yaaani Mungu amtunze
Tunapaswa kujua kuwa Mungu wa mtumwa si sawa na mungu wa nguruwe
Mungu ako na Hao vinjana watatu tuombe wasiuliwe .
Viongozi wa afrika ni mashoga sana
Wafrika tutatumika na wazungu Hadi lini. Umefika wakati tujiapishe sasa basi kama wazungu wanaungana kwa umoja wao sisi tunasubili nini kungana kama wao. Kama ni siraha tuna marafiki zetu ambo wako tayari kutuunga mkono katika kulilinda bars letu la Afrika. Tusiogope bars letu litalindwa na wafrika wenyewe. Viva Afrika
Ibrahim you're covered by the blood of jesus.
Kweli mwalim afrika kuna shida
Safi
Allah amlinde traole umoja wa afrika ni unafki mtupu.
Ufaransa wamechanganyikiwa haoooooooooo
Viongoz weng wa afrika ni mashoga na wengune ni masenge na wengune ni wasagaji watafanya nn na mzungu ndio mwanamume wao..
Mwenyezimungu umu sa idiye vi ongozi wa A ES afrika Niyetusisi wa afrika
MUNGU ibariki Afrika,tunakuomba walinde makamanda wetu,Traore,Shihan na Goita.
Kwakweli mungu awapiganie mana nihatali
Ina umiza sana ki hisia
Usisahau kusema pia umujo wa African ukoupande wa manyangau
Viva hibrahim utadumu zaidi
Africa🌍
Tatizo asilimia 95 ya viongozi wa africa ni mapapeti wa wazungu mwalimu
Hili ndo tatizo kubwa
Tatizo sio mzungu hapa ila baadhi ya viongozi, yaani wanakera
Hatali
Marekani baba lao juu kwa juu mpiga hao madikteta
7:38 HII NDIO MAANA YA KUJIKOMBOA KWA WAAFRIKA TATIXO BAADHI YA VIONGOZI WANAJIPENDEKEZA SANA KWA MATAIFA YA ULAYA HAWAJIELEWI.
KWELI TUNAWEZA FANANISJA KUWA SISI WATUMWA
Duuh kwaiyo ivory coast wamekubali ufaransa aingie aisee
huyo ni shemeji yaooo
@@gosbertireneus5558afrika bwana
Na kuna misenge humu ukiwataja wazungu wanaumia sana au sijuwi ndio hao viboga sijajuwa shida n nn
Kweli kabisaa 💯 ni hao ni Mashoga Weusi Tanzania wanaolitetea Wazungu hawana Ubinadamu wowote umasikini tu unawasumbua wanakaa kuwatetea Wazungu tuuuuuuuu
Hapa ni kuungana tu Africa tukawasaidie wenzetu
Ee MUNGU UWAADHIBU WAGENI WANAOTUKANDAMIZA AFRICA
WAAFRICA TUNATAKIWA KUJITAMBUA
WE NEED TO UNITE
IVORYCOAST NIGERIA GHANA AND ALL WEST AFRICA WAKE UP
Watafeli sana....Ufaransa washafeli
Ipo siku mungu atahukumu
hakika unaelimisha, viongozi wa africa ni pumbavu kwelikweli.
😂😂😂😂😂.......daaah inauma sana Kwa kweli
Sisi wa Africa bado tunatatizo kubwa tutaowaowa jee wazungu wakati wao hawaowi wadada zetu sinajuwa shida nini ilasisi bado tunaona Muzungu tunaona kama umepata muke ajabu kwetu guys fugukeni masho Hawa wazungu tuwatimuwe kabisa
Emwenyesi mungu mulinte iburahim tiraiore
Umesema kweli ni manyumbu tu viongozi wa Africa wote
Kweli, ni unyumbu