SINDANO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 41

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 6 дней назад

    Ukiubiriwa na imani ikakuingia ukaanza kumtumikia mungu ikitokea umetenda dhambi inaasiri sana kisaikoloj
    Ikiwa kunajambo ulikuwa unalisubiri kama majibu ya matatizo yako kutoka kwa MUNGU
    Inakuvunja moyo nakuona kama hustahili

  • @PARTCOVERS
    @PARTCOVERS 2 дня назад

    Hapo kwenye kumuuliza mzazimbona kama pame katwa makusudi

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila 8 дней назад +2

    Mwammba mwenyewe we are here one afrika pamoja sana ndugu angu

  • @salumsafari5914
    @salumsafari5914 5 дней назад

    Mimi nipo wazi na nipo tayari kujifunza

  • @MariaMathew-l7z
    @MariaMathew-l7z День назад

    Pa kianzia sasa ni wap

  • @salumsafari5914
    @salumsafari5914 5 дней назад

    Ahsant

  • @teklamhagama8659
    @teklamhagama8659 8 дней назад +2

    Ulimwengu unaendeshwa na kanuni😊😊

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 7 дней назад +1

    acaha ujinga njoo na solution sio kutisha watu

  • @NakembetwaKitundu-tn7xx
    @NakembetwaKitundu-tn7xx 7 дней назад

    Kitab kinapatikanaje wakuu

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 8 дней назад

    Nmekupata vzuri sana braza..ila pale kwa mzazi sauti ilipotea stakagi kupitwa na neno ata moja bro

  • @IsraeKijaga
    @IsraeKijaga 8 дней назад +1

    Nawezaj kupat kitabu chako cha malezi?

  • @remidmmasy8167
    @remidmmasy8167 6 дней назад

    Vitabu vyenu ntavipata je mbona hauweki namba ndugu? ?

  • @KaskileMulete-eu7td
    @KaskileMulete-eu7td 7 дней назад

    UNASTAILI

  • @ezekielshija9251
    @ezekielshija9251 8 дней назад +2

    Unaunganishwaje na ulimwengu?

  • @RemigiusRaphael-p7z
    @RemigiusRaphael-p7z 8 дней назад +1

    Unatakiwa utepe namba za cm hizi comedy hazisaidii

  • @wizzmoh
    @wizzmoh 8 дней назад +2

    sisi wamsingi kiuno tufungulie code😂😂

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 8 дней назад +2

    Ukosawa

  • @bongatv25
    @bongatv25 8 дней назад +2

    Naomba kujua utalatibu kitabu na pataje na bei yake

  • @dhulkarineibabubabu
    @dhulkarineibabubabu 8 дней назад +1

    Nitapataje kitabu

  • @JohnG-n8e
    @JohnG-n8e 8 дней назад +1

    Akili ndogo lazima ipagawe hapa

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 7 дней назад

    kila siku unashitua. tu

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 8 дней назад +2

    Muchokonozi unauelewa

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 8 дней назад +1

    Nakupata jomri ila wewe nimtu mkubwa sana

  • @StephenLyatuu
    @StephenLyatuu 8 дней назад +1

    Hii ni dozi sahihi

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 7 дней назад

    …napita tuu

  • @dhulkarineibabubabu
    @dhulkarineibabubabu 8 дней назад +1

    Nahitaji kitabu

  • @KIMUYAALEX
    @KIMUYAALEX 7 дней назад

    pamoja sana

  • @DaudiMushi
    @DaudiMushi 7 дней назад

    Safi

  • @AmourSalum-k8j
    @AmourSalum-k8j 8 дней назад +1

    Ok nimekuelewa kuhusu sie tulokosa kutambulishwa naulimwengu wakati tunazaliwe tutajifungamalisha na universe Ila kwa hawa watoto tunozaaa vp tutawafungamanisha na universe?

  • @GotfridJosephat
    @GotfridJosephat 8 дней назад +1

    Ukisikia mlo au dozi ya siku ndy hii sasa

  • @AbuuKhamisi-k4d
    @AbuuKhamisi-k4d 8 дней назад

    𝕌𝕡𝕠 𝕤𝕒𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕜𝕒🎉🎉

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 8 дней назад +1

    Sikupingi

  • @angelusmaulus6315
    @angelusmaulus6315 8 дней назад

    Naomba kujua namna ya kupata vitabu na gharama zake..,

    • @angelusmaulus6315
      @angelusmaulus6315 8 дней назад

      Nahitaji vitabu navipataje, pia gharama zake zipoje....,
      Nipo Dodoma.

  • @DavidTarimo-g8n
    @DavidTarimo-g8n 8 дней назад +1

  • @defxtro
    @defxtro 8 дней назад +1

    👍🏾

    • @VentureMbilima
      @VentureMbilima 8 дней назад

      Mkuu vitabu vyako tunapataje..v green city

  • @mariamnyamwiza4388
    @mariamnyamwiza4388 8 дней назад

    🎉🎉

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 8 дней назад +1

    Usingelienda shule ungeliandika vitabu ww masomo yako mazur sana lakn kunavitu unaongea tunakuweka miongoni mwa wapumbavu pia waelevu peke yake wataelewa nimemaanisha nn hapa

    • @SADICKDABALY
      @SADICKDABALY 8 дней назад

      Wewe ni takataka

    • @saimonmizingo7485
      @saimonmizingo7485 6 дней назад

      @SADICKDABALY Unasadiki ujinga pasipo kuishughulisha akili yako