Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
🙏sana he maji Lita ngp na karafuu kiasi gani
Kijiko kimoja kwenye maji Lita kumi
Asante sana
Congratulations
Thanks
Kwa kuku aina zote au kienyeji tu
Kuku aina zote
Asante kwa ushauri
Shukrani sana
Asante na furahi
Asante elimu hii
Asante
Asante sanà kwa elimu
Hiyo karafuu inaweza kuwapatia kuku wa umri gani?
Kuanzia wiki ya pili
Nimefurahi sana kuona hii video leo sababu hili banda tulipewa ufafanuzi wa bajeti yake 🔥🔥 na kweli leo nimeona kuku wapo wakutosha
222w221wq1ww211@@KingoFarm1aww no n
Share na mim tafadhali. (ufafanuzi wa banda)
Hallo Kingofarm,mimi niko Mombasa Kenya nipeni maelekezo ili nijiunge tafadhali
WhatsApp 0712188239
Nimejaribu ku add lakini haileti
@@naomba msaada plz plz nahitaji namba zetu za normal
0712188239
Karachi ni (English)
Cloves
hivi unaweza kutumia dawa za asili na za dukani kwa pamoja?
Hapana
Unatumia kiasi gani kwenye maji
Naoba uni0nyeshe namna ya kumtapisha kuku
Vijiko viwili kwenye maji Lita kumi
Utaitumia vipi yani vipimo
Isikilize vizuri mpaka mwisho utaona
Mimi nasumbuliwa sana KUKU wangu ndui na Kitabu nakioataje?
Tupigie 0712188239
Ukiweka karafuu kwenye maji unasubr mpaka maji yabadilike rangi ndo niwape au hata kwa wakati huo huo naweka karafuu kwa maji na kuwapea
Unakoroga vizuri Kisha unawapa
@@KingoFarm1 shukrani sana🙏
Na kama kuku ni watan0 mpaka kumi utatumia kipimo gani
Kijiko kimoja kwenye maji Lita tano
Unatumua usiku na mchana
Ndio
Assnte