Fahamu jinsi Makaa ya Mawe ya Mgodi wa Ngaka yanavyochimbwa hadi kumfikia mteja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 5

  • @jexpew3654
    @jexpew3654 2 года назад

    TANICOAL ni failure katika uzalishaji wa makaa mgodini Ngaka. Hamuwalipi wafanyakazi kwa wakati, hamjali environmental safety mnamwaga makaa hovyo barabarani na mmeshindwa kusaidia kuishawishi serikali ijenge barabara kwa kiwango cha rami

  • @FilbertLuoga
    @FilbertLuoga 10 месяцев назад

    Kama namimi nataka biashara taratibu zikoje ndc

  • @jexpew3654
    @jexpew3654 2 года назад

    Kampuni yenu imekaa kiupigaji zaidi kuliko kuiletea maendeleo nchi hasa wananchi wazawa, Its None sense na saivi tunaona vikampuni vya kiupigaji vinazidi kuja eti CCM bandari kavu, wakati wa Magufuli hizi kampuni zilikuwa wapi??

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 Год назад

    Mtu binafi anatakiwa afanye nini ili anunie mkaa

    • @ndctanzaniatz
      @ndctanzaniatz  Год назад

      Unawasiliana na kampuni zinazo chimba ili mfanye biashara