MAKAA YA MAWE YAKILUNDIKWA MUDA MREFU YANALIPUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024
  • Mtazame Kaimu Meneja wa Kampuni ya TANCOAL iliyopo katika Mgodi wa Ngaka wilayani Mbinga mkoani Ruvuma Mhandisi Edward Mwanga akizungumzia athari za madini ya makaa ya mawe yakilundikwa muda mrefu bila kusafirishwa

Комментарии •