Jina La Yesu - Ann Annie (Official Music). SKIZA CODE 9524362

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 11

  • @salomemsisi6428
    @salomemsisi6428 Месяц назад

    Halleluya nimebarikiwa sana naupenda wimbo huu barikiwa Mt wa Mungu

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 2 года назад

    Mama wa YESU ubalikiwe saana toka Niko mdogo mama angu mzazi alikua anapiga sana nyimbo zako hakika Zina utukufu wa MUNGU mwingi🙏🙏🙏🇹🇿

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 Год назад

    Wimbo huu una nguvu ndani yake✝️

  • @watchmankingstone9602
    @watchmankingstone9602 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana...wimbo huu ni wa nguvu sana. Hakika hakuna ambalo lina nguvu kuliko la yesu

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 6 месяцев назад

    Whaoo🔥🔥🔥

  • @denisdaniel1839
    @denisdaniel1839 2 года назад +1

    Wow huu wimbu niliupenda sana miaka hiyo wakati unatoka na bado ninaupenda mno .. kwa miaka mitatu nilikuwa nautafuta Mungu mwema Leo nimeupata

  • @STEVEKASINAOfficial
    @STEVEKASINAOfficial 2 года назад

    🤗🥰🥰🥰

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 2 года назад

    Amen Dada

    • @edwardstephenmwamy6017
      @edwardstephenmwamy6017 2 года назад

      balikiwa sana mama,, hakika nasi tunabalikiwa kupitia huduma yako, nyimbo nzuriiiiiiiiii