MAJIBU YETU KWA DR KHAMIS IMAAM {02} - لقد تخبطت يا دكتور خبط عشواء -Sheikh Abuu Abdil Haliym Akidu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 39

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c Месяц назад

    Musituzingue km hamna la kusema la maana basi nyamazeni. Sisi hatuhitaji mambo hayo. Tafuteni kazi mfanye km hamna.

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 Месяц назад +1

    Huyu jamaa daa

  • @mashairiyamwilijo9977
    @mashairiyamwilijo9977 Месяц назад

    Nimeishi Morogoro miaka 3 nilishindwa kwenda kusoma Ibn Abasi sababu ya miamala ya wanafunzi wa sheikh sasa kuna MWANAFUNZI wallah shahidi Allah aliwahi kunambia" sikudhanii kheri sababu sijui unaposoma" na mwingine alikuwa ananiona hizbi sababu navaa suluali huu mtihani

  • @MujarabuMashallah
    @MujarabuMashallah 3 месяца назад +2

    Mashallah shehe tunakuelewa vizuri

  • @salumabdallahkaziiendelee9654
    @salumabdallahkaziiendelee9654 Месяц назад +1

    Aslm alykum Mimi sijaona tatizo la Dk Khamis Imam
    Pia kama umeona kuna tatizo kwa Jahi wafuate mlango wao uko wazi kupokea Nasaha. Kama Markaz Omar wafate kwa bahati nzur Kuna wasomi wenye mawazo na mipango mizuri ya kuendeleza Dini

  • @Mwajumakipangula-xe3fq
    @Mwajumakipangula-xe3fq Месяц назад +1

    Himanihaj yahaki kuweni Makini tupo tz jamani llah utuongoze

  • @katan671
    @katan671 Месяц назад

    Akidu na Shafīy endeleeni kuwachapa hawa Mahizb wa Markaz Kariakoo.

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 3 месяца назад

    Hayaaa abul fadhwli Bainisha Dr.ya alakh khamiis Imaam na baina ya Dr Islaam....bainisha duktuur zao

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Wamemtia dr hamis ktk njia hii,dr islamu kajizuia na usulubu wao huu wakamwita hzb drctoraa yake ya uchumi,sasa hii ndio drctoraa ya dini😢😢😢😢😢😢

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 11 дней назад

      @@hafidhwajina6718 bila shaka wewe ni hizbi wa islam 💊

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 3 месяца назад +2

    Daawa imejaa majigambo na kujiona kila sheikh ni bora kuliko mwingine hii ni hatari kwa mustakabali wa dawaa

  • @Abukauthar-k4e
    @Abukauthar-k4e Месяц назад

    Sisi masarafi wa Tanzania tuna matatizo Sana kwani nani anatoa tazikia ya usarafi?

  • @SalimSaidi-g3e
    @SalimSaidi-g3e 3 месяца назад

    Mcheni Allah

  • @Abukauthar-k4e
    @Abukauthar-k4e Месяц назад

    Sas sisi masarafi wa Tanzania tuna matatizo Sana kwani nani anatoa tazikia ya usarafi hapa Tanzania?

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p Месяц назад

    Sas hapo unafundisha unawachunguza watu

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 3 месяца назад +2

    Radd sio ugomv kwa kiswahili ni kukosoa, na kukosoana katika da'awa hii ni sehem katika dini.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Месяц назад

      Tafsiri ya nan hiyo ya radd maanake kukosoa?

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 3 месяца назад +2

    Ni vichambo kwenda mbele

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 2 месяца назад

    Mtu akipinda si katka sisi muwe nyinyi msiyo ijuha aki ata uyu akdu

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 месяца назад

    Akidu chizi huyo jamaaniiii😂😂😂

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 3 месяца назад +1

    Huyo akiingiaga kwenye mizozo yupo tiyari hata aongope,apindishe maneno,ilimradi aonekane yeye ndio katoa hoja,nadhani hamjasahau kwenye qadhiyyah ileee,😂😂

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 3 месяца назад

    Jai waacheni hawawahusu nyiny mmefanya nn

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 месяца назад +1

    Majadida kwisha habari yao
    Wana makundi teleeeeee
    Wenyewe kwa wenyewe wanakatana yani dahhhhh
    Allah kawatia adhabu hawa
    Kwa kuwadhulumu waislamu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      MPUMBAVU KWELI WEWE.... RADD NI KATIKA DINI NA ANARADIWA YEYOTE HATA KAMA NI SALAFY!
      TATIZO LENU MAHIZBI HAMNA MSINGI WA AL WALAA WAL BARAA!!!

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 11 дней назад

      @@pavillioncry5241 ikiwa hoja yako ndo hivyo bc mzee wako angekua na wale wengi sna kama kutofautiana ndo kuisha bc hata mama zako wako wengi na baba zako wa kambo 💊💊

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 3 месяца назад

    Sasa hawa majadida wenyewe kwa wenyewe wanakulana kwisha habari yao

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      ACHA UJAHILI MJINGA WEWE SISI MASALAFY SIO KAMA NYIE MAHIZBI NA MASUFI.... RADD NI KATIKA DINI NA ANARADIWA YOYOTE HATA KAMA NI SALAFY!

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 месяца назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x akhy samahani huyu mzungumzaji ni sheikh wa kisalafy au?maana hata simfahamu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      @@Hamis-ks1sy Wote hao ni masalafy! RADD ni katika dini wala hata usishangae...!!! Mbona hata Muhammad Mafuta zaman ashawahi kuraddiwa na Masalafy na Ruduud zipo utube! Hilo ni jambo la kawaida hata maulamaa Wanaradiana....!!!
      Sema hiki kitu wamekikosa Masufi na Mahizbi.... Ndo mana huwezi kuta Bachu anamradd Kishki, Yusuf Abdi wala Moh Bahero licha ya kwamba wana mafyongo mengi sana....!!! Msingi wa Al walaa wal baraa wameukosa!!!!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      @@Hamis-ks1sy Ni Salafy mzuri tu from Morogoro! Kama umefatilia Radd dhidi ya kikundi cha JAI utagundua pia ni Radd ya Salafy kwa Salafy... Na hivyo ndivyo inavyotakikana! Radd anaradiwa yeyote hata kama ni Salafy mwenzako! Tatizo tunatafsiri radd kama ugomvi ndomana!

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      @@Hamis-ks1sy Sema hzo Ruduud sio za sasa hivi... ni za toka mwezi March 2024 kama sijasahau! Nahis ndo zimewekwa RUclips sasa hivi!... But hakuna ugomvi wowote mkubwa unaoendelea.. Radd ni katika kuamrishana mema na kukatazana mabaya!

  • @OmarAbdalla-ug5yg
    @OmarAbdalla-ug5yg 3 месяца назад

    Hhhhhhhhhhha mnawatatiza wanafunzi wenuuuu hyaaaa kaasim mafuta wnafunzi wako aoooooo nyie hamupo kwa lengo la daaawa allah anawafitini sasa baina yenu

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 месяца назад

      Nyie Wajinga acheni upumbavu... Yani Wanaradiana Maulamaa wao kwa wao sembuse sisi masalafy! Sisi sio kama nyie mahizbi,, Radd ni katika Dini na anaradiwa yeyote hata kama ni Salafy!

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 3 месяца назад

      Wanafunzi wa Qasim mafuta? Kuwa na adabu kijana Hawa n masheikh hakuna aliye soma kwa sheikh Qasim mafuta hapo.

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy Месяц назад

      @@ibnayub2374 Akidu amesoma kwa shaikh Qassin Mafuta